Kweli nawafaham wahadhir kama watatu apo kabla hawajawa wahadhir hawakuwa waganga sasa hivi wote waganga
@noshadmadini57683 жыл бұрын
Kibaya zaidi wwnatumia channel za misikiti kutangaza uganga wao
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
@@noshadmadini5768 Miongoni mwa dalili na ishara za Kiama/mwisho wa dunia umekaribia; baadhi ya Wengi wao hao Waganga ni Matapeli tu.
@kukubanga61583 жыл бұрын
Äåä
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Ndio mattzo ya kutokusoma masomo ya duniani pia. Wenzetu waisilam wa nchi nyenginezo utawakuta wanasoma skuli na wengine wanafikia mpka udaktari na dini ya kiisilam wanasoma pia sana. Kwahio wanafanya kazi na huku wanatoa daawa. Lkn unakuta Tnz masheikh wengi hawasomi masomo ya skuli. Na wanataka kula na maisha ya kujitanaffas wake wawili+ watafanya nn??? Ndio mwisho wanaingia ktk utapeli, uganga, kusomea watu, kuuza madawa pengine wanajua haswa km hayafanyi kazi, lkn watafanya nn??
@IBRAHIMABDUonlineTV2 жыл бұрын
Sasa kweni uganga ni haramu Ndugu zangu??
@omariselemani657828 күн бұрын
Allah akuhufadhi sheikh wangu in sha Allah 🙏🙏🙏
@halyberryrahmeyadams33352 жыл бұрын
mashallah shekhe kipozeo Allah akubariki sana kwa mawaidha zako nakupenda na namwomba Allah akulipe mema duniani na akhera....amiin
@mohakelly4195 Жыл бұрын
One year still watching Allah akuzidishie elimu maana unatuelimisha sana sheikh wangu nakupenda sana kwa ajili ya Allah naitwa Mohamed kutoka Nairobi.
@sadickgrace92 жыл бұрын
Ijumaa na sikia unakuja mbande sheikh karb sana Sheikh inshallah
@rehemaathhmani3572 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah Allah akulinde kwa kila sekunde 🤲🙏
@mutomubaya3 жыл бұрын
Shukran Sheikh kwa kutuelimisha mengi kwa mda mchache. Allah akuongoze njia ya salama. Umeeleza umuhimu wa kusoma elimu zote mbili. Tujiulizeni sisi Waislamu wa Afrika mashariki je tangu imeteremshwa Qur'an hadi sasa, zaidi ya miaka 1400, kwa nini wengi wetu hawaelewi umuhimu wa jambo hilo....? Tuweni wakweli. Tazama utaona baadhi ya viongozi ndio wanadhoofisha uwezekano wa vijana kusoma kwa kuwa wanaandaa masomo kwa watoto pekee. Wakifikia kuitwa vijana masomo ya Dini yanakatishwa
@mursalmrisho15383 жыл бұрын
Shukran sana sheikh wetu
@sumisumi81813 жыл бұрын
Sheikh wetu Allah akulipe kheri zake na akuifadhi in shaa Allah
@wenge4x4233 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu amjaalie awe katika waja wema huyu Sheikh
@adijarashidi14263 жыл бұрын
AAmin yaarab nasi piya Allah atupe mwisho mwema in sha Allah yaarab 🤲
@abcmnbb26102 жыл бұрын
Mashaallah tabarakaallah
@AndulHida-hs5py Жыл бұрын
Jazzak Allah kheri.
@fathmaoman11863 жыл бұрын
Ma Shaa Allah. Allah atujaalie tuwe wenye kuitafuta elim
@husseinkazungu51013 жыл бұрын
MashaAllah shukran sheikh
@fatomhalogandy40453 жыл бұрын
Ameen
@hamzaforogo3 жыл бұрын
Maashaallah
@abdulnaseermrisho43423 жыл бұрын
Shukrani shekh wetu
@mariammsemakweli79043 жыл бұрын
Kweli shelkh watu kabisa kwakupenda coz you talk reality shukran 🙏👍👌❤️🙏🙏
@mussamtupa3 жыл бұрын
Mashallah Ila nimecheka mpaka michozi Wallah Mungu akuhifazi
@faridaikussi Жыл бұрын
Subhaanallah alafu yeye kimya
@AbuuhKibeku Жыл бұрын
Nakupenda sansa kwaajili ya allah
@BilalAdam-vj1ru Жыл бұрын
Mawaidha nzuri sana
@nooroman25353 жыл бұрын
Inshaallah lnshaallah shukrani kwa ujumbe mzuri Mungu hakulipe kwa ukumbusho
@nooroman25353 жыл бұрын
MashaAllah shelkh yetu Mungu hakuifadhi
@odhiaodhia98982 жыл бұрын
Chombo cha Yesu kwa muda usio julikana
@benjaminlijongwa37152 жыл бұрын
Mungu katika ukristo. ni mmoja. aliyejifunua kwetu katika namna kuu tatu. labda niwape mfano wa jinni ndio mtaelewa maana mnaishi nayo jinni linaweza kukutokea. na sura ya kike hilo hilo likakutokea kwa sura ya mtoto wakati mwingine kwa sura ya mzee. haina maana ni majini matatu Mungu wetu anauwezo wote na amejifunua au kujidhihirisha kwetu kwa namna nyingi ila kuu ni tatu
@suleymanabdulrahman24152 жыл бұрын
Usipanic kuwa mpole.Amka tafuta ukweli ujue njia na dini ya haki ni ipi.Ila usitumie nguvu bali muombe Mungu kwanza akuoneshe njia sahihi na ya haki wakati unaendelea kusoma na kudadisi.Utaujua tu ukweli,mbona kila kitu kipo wazi... Tatizo mmekuwa minded set kutoka kwa viongozi wenu wa dini...
@jumanzai86232 жыл бұрын
Mungu hafanani na chochote hageukigeuki Kama jini usemavyo
@engyusuph2562 жыл бұрын
Assallam Alyekum warahmatulah wabarakatuh, MashaAllah darasa zinatufikia, alhamdullilah. "Ombi langu hizo ala za muziki wakati wa kufunguka chaneli hii zisingekuwepo"
@yasalaam5902 жыл бұрын
Allahu mma.swalli wasallim wabarik alayhi Yaani sheykh nukta ni muhimu sana
@aminaabood28982 жыл бұрын
Alafu anakuwa msilam Jina.. Na ni wengi hatujasoma dini... Shida ipo hapo.. Wallah Allah atupe mwisho mwema... Watu wapo tayar kuslim kuingia dini nyingine... Hawajui faida uwislam... Leo angejua nin maaana Qurain
@thulaniduku32182 жыл бұрын
Kweli Sheikh wetu
@ahmadzubeir26053 жыл бұрын
Subhaanallaah!! Subhaanallaah! Kila Muhaadhir mganga siku hizi!hizi!
@zakariaathman90193 жыл бұрын
Ndio maaja hayo
@yasalaam5902 жыл бұрын
Amiin
@kapondamsita4763 жыл бұрын
Mashallah shekhe wetu
@husseinkhalfan94672 жыл бұрын
ما شاء الله
@yasalaam5902 жыл бұрын
Allahu akbar
@fatmasuleimankassim9 ай бұрын
❤
@jumakapilima72953 жыл бұрын
Profesa kipoozeo!!!
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
Mashaallah
@fabriceira88882 жыл бұрын
Mashaallah
@mhgwataragaragesudan14782 жыл бұрын
Ukweli sheikh unasema haki
@suleimanngare67073 жыл бұрын
Masha Allah 🇰🇪🇰🇪🤝
@saadaabdallah74733 жыл бұрын
MashaAllah
@wenge4x4233 жыл бұрын
Sisi Waislamu tupo radhi na wewe duniani na akhera Sheik kipozeo
@MariaSengo-cn5bx Жыл бұрын
leo nimekupata Shehe wangu
@mariammsemakweli79043 жыл бұрын
Kwetu Kenya shule za ndini hamna napenda sana mwanangu asome shelkh nitapate vipi shule naomba tafadhali
@fauziaabdillahi78952 жыл бұрын
Zipo mbona ila bei
@abdulhakimhasan76732 жыл бұрын
Mungu akupe maisha mema mazuri hapa duniani , Ameen
@shanimpenike75683 жыл бұрын
صحيح شيخ
@sheikhfirdaus98573 жыл бұрын
Mashaallah kajibu vizuli uganga sio halam
@daudimichael73389 ай бұрын
Ila mliambiwa mkihitilafiana kati jambo lolote muwaulize watu wa kitabu maana ndiyo waliowatangulia. mmehitilafiana kwenye hilo la mwana wa Mungu na utatu mtakatifu, tuulizeni tuwafundishe. Ila nyie kinachowafaa na hilo la kila muhadhiri kuwa mganga wa kienyeji.
@wenge4x4233 жыл бұрын
Mimi nina miaka 30 najifunza tokea kwake mpaka leo hii
@westonmbuba64212 жыл бұрын
Umechemka kuigilia imani usiyoijua.
@abdulhakimhasan76732 жыл бұрын
chemka uingilie ujue imani ya uisilamu na zenginezo .
@hamzaswaibu94702 жыл бұрын
Nyinyi ndo mnachemka mnaosema yesu Mungu
@ahmadzubeir26053 жыл бұрын
Huyu Sheikh Hilaal anachekesha Wallaahi
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Hayo maneno yenu yakuhimizana wake wengi japo kua uwezo hamna ndio yanayokupelekeni kwenye uganga na kutapeli watu.
@abdulrahmanmussa44792 жыл бұрын
Sheikh langu bana mashaallah haha
@benjaminlijongwa37153 жыл бұрын
Kipozeo unachanyikiwa wewe Tu sisitunamini Mwenyezi Mungu ni mmoja tu. Mnasema Allah hana mfano vipi hadithi zinasema anaugoko ana mikono anaitwa Baba
@selemanyahya12253 жыл бұрын
Hadithi nyingi haziko sawa lakn Qur'an imekamilika haina shaka
@al-answardaawakenya7322 жыл бұрын
Kweli elimu ni jambo la muhimu sana hivi leo ukisikia serikali ina mkono mrefu umeshawahi kuona mkono wa serikali? Mbona huwezi shika akili mkononi na ilihali ipo kichwani?
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
Kuna HADITHI zilizo Sahihi na Nyingine za UONGO
@abdulhakimhasan76732 жыл бұрын
Ni kawaida , wakristo wote duniani , kwa kuwa wame zaliwa ndani ya ukristo , wanakosa haja ya kusoma uisilamu , tena kukatazwa na kutohimizwa kwa uwoga. Yaani makosa ya ukristo na aibu zake , hawazijui. Tofauti ya kuwa waislamu kwa wingi , wanasoma ukristo na kulinganisha hiyo dini , ukweli ina bainika.
@swaumswalehsaidy93222 жыл бұрын
Video nyinginer hii hapa, Bonyeza hapa 👇 kzbin.info/www/bejne/p3WTmol-eLpmnMU
@leahbaatjes42153 жыл бұрын
Yeye mwenyewe south Africa alikwenda kuwasomea dua wauza madawa ya kulevya
@mahamudaideed69222 жыл бұрын
Dua anasomewa yeyote haijalishi anachofanya kila mtu na amali
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
Hata YESU Aliiomba Dua SOMA BIBILIA
@mombamo53 жыл бұрын
Maashaallah 🤣🤣🙏
@SJProductions12 жыл бұрын
Magomeni mapipa shabab
@jamilaomari24443 жыл бұрын
Sheikh kiboko!
@leahbaatjes42153 жыл бұрын
Kweli ushamba kazi sana ivi ndege kutingishika ni hatari ni khatari boti kutingishika? ?? Kwenye maji? ? Kazi sana
@andrewngondoe12732 жыл бұрын
Mjinga huyo,labda ilikuwa mara yake ya kwanza kukatiza kwenye mawingu mazito na ilipo yapita lazima ndege itulie,yeye anaonaa kuchezea ushanga wake mkononi ndio amezima huo mtingishiko!kumbe ni kutokujua tu.
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
MBONA MATUSI??? Kama Ni Ushamba Au Ujinga , Kama Nyinyi Mlishawahi Kupanda Ndege Sawa Lakini IUnaweza Kupanda Ndege Hata Mara kumi na Zaidi Lakini isitikisike Ila Juu ya Uzoefu wako Siku Ikitokea imetikisika Lazima Urashtuka na Kupata Uoga Hakuna Cha Mzungu wala Muhindi wala Mwarabu Utasikia WOTE SUNHANAHLLAH Au YESUU Au JESUS CHRIST 😀😀😀 Chezea Kupiga Futa Angani wewe 😂😂😂 Mama Angu Baba Mzazi WOTE wanatajwa Ukiona Mtu Anakejeli Huyo hajapiga tuta Angani
@abdulhakimhasan76732 жыл бұрын
Ushamba ni wako. Hapo katika hatari ya kuporomoka na kufa , ndio muislamu ana tambulika. Sheikhe msomi .
@zuberhamza78528 ай бұрын
Boti kwenye maji nikawaida pia Bahar ikichafuka watu wanapiga kelele wanaogopa hujawahi KUONA?? Na Ndege angani ndio sehem yake yakwenda safari ila mawingu yakiwa MENGI ndege inatingishika Sasa Ukiwa Angani na Baharini ni vitu viwili tofaut
@eliudnguge90132 жыл бұрын
hakuna mkristo anae amini kuwa mungu ni watatu ,kama hamuelewi jambo msiseme uongo
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
So Ndio nyie Mnaosemaga UTATU Au TRINITY ??? Leo Unakana ??? MUNGU BABA MUNGU MWANA NA MUNGU ROHOMTAKATIFU ???
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
WARAKA WA KWANZA WA YOHANA 5 : 7 Kwa Maana Wako wa TATU Washuhudiao ( MBINGUNI , BABA , Na NENO , Na ROHO MTAKATIFU , Na WATATU Hawa ni UMOJA , 😂😂😂😂😂😂😂 Innalillahi Wainnaillahi Rajiun HALAFU Unakataa Wakati MAANDIKO hujui 😃😃😃POLE WAISLAMU huwa Hawaharamishi Wakiongea Jambo jua Lina USHAHIDI Wa ANDIKA 😂😂😂
@abdulhakimhasan76732 жыл бұрын
Ndugu Eliud Nguge , yaani ukristo unaujua kivyako na wanadamu wengine wakose kufahamu maandiko ?
@clarencehilary5588 Жыл бұрын
Uwongo uliopitiliza
@seiflugendo50433 жыл бұрын
Niukweli mtupu
@sharifasharif39782 жыл бұрын
Hapo kwenye unganga sasa mnanikumbusha mganga wa diva🤣🤣🤣🤣🤣
@DarsaTV.2 жыл бұрын
Hahaha kweli kabisa mtu anajiita shekhe na mwenendo wake ndo ule mhh mtihani tumuombe allah atuongoze