DADA SALAMA,kujua zaidi kusoma, kujiendeleza,kuuliza,kusikiliza na yote hayo WEKA IMANI YAKO KUBWA KWA MOLA WAKO.yaani lmani na VITENDO,baadae utafanikiwa,Kwani utakuwa umejiwakilisha nafsi yako kwa MUUMBA KILA KITU. 🤝
@issrahayattv1356 Жыл бұрын
Salama nimeipenda kipindii y leo sana mashaAllah umefanya ikawa n mabadiliko n vile vile tumepata elmu kw sheikh wetu kipozeo mashaAllah uwe unaleta pia c tu wasanii
@daudhabona8897 Жыл бұрын
HAKIKA hii interview ni Bora sanaaa. Na tunaomba aitwe tena. Kwa kweli ni kama umeturambisha tu.
@hassaniabdi3991 Жыл бұрын
Safi sana salama.ikiwezekana awa viongozi wa dini muwe mnawaita sana kuja kutoa muongozo kwakua tunapo kwenda ivi sasa sipo kabisa.
@advocateishengoma1088 Жыл бұрын
Thanks salama you nailed it 💅 today umeleta mtu ambaye ni kweli watu wengi wanapenda kumsikia
@seyyactor1418 Жыл бұрын
Ila Salama hata shungi your so real ❤
@tassyulimwengu4049 Жыл бұрын
Sikuwahi kujua Sheikh Kipozeo Hamble kiasi hiki, mwelevu sana huyu mwamba...."he knows almost everything kwenye uislam"... hongera sana Salama...this was the best interview ever! Nashukuru nimemjua huyu Sheikh...
@omaryngitu2443 Жыл бұрын
Nimezifurahia MB zangu,Ahsante sheikh kipozeo
@pilijuma7854 Жыл бұрын
Mashallah allah azidi kukuongoza shekhe wetu inshallah
@muhammadsalim7179 Жыл бұрын
MashaAllah from Kenya.Big up sana Salama,binafsi nimefurahi kw kutuletea shekh kw In Shaa ALLAH mlete tena kama ulivyo muahidi
@miangijunior4358 Жыл бұрын
Masha ALLAH Jazakallahu khair sheikh wewe nimfano mwema wa kuigwa kwenye jamii Umejipamba na Qur-an na Sunnah huu ndio UISLAMU hakika hivi ndivyo hata Mtume Wetu Muhammad S.A.W Alivyokua akiishi Kwa upole na maneno Mazuli, na tabia mzuri Kwa Ujumla. Tunamuomba Mwenyezi MUNGU Akutunze Duniani na kesho Akhera Amiin
@nemestesha7784 Жыл бұрын
kila mwanadamu anaweza kujifunza chochote kama atapenda na atataka-sheikh KIPOZEO
@Karimuabduli2293 Жыл бұрын
Unaweza kumleta tena salama kwa sababu elimu imekuwa sawa sana
@nassorntandu4513 Жыл бұрын
Kuna elimu kubwa Sana, kwa Sheikh Kipozeo! Kwanza ana ufasaha wa kuongezea na unyenyekevu katika ulimi wake!
@abdallahsaid45039 ай бұрын
Aloooo Moja kati ya interview Bora kabxa hii n number 1 nmeipenda mnoooooooooooooooooooo
@goodlucktemu3149 Жыл бұрын
Kupenda na kutaka jambo lolote ukitaka kufanya fanya ivi vitu zingatia 🤝, Asante Sheh.
@ramadhanitwahili6837 Жыл бұрын
Shekhe kipozeo daa anamajibu ya hekma na busala kweli Masha Allah shekhe mungu akulinde na hasadi na husuda,Allah akupe Pepo yake amini
@dsouzamaguno7006 Жыл бұрын
Bado tunahitaji mengi kutoka kwake,nimatumaini kuwa atarudi wakati Mchache ujao. Asante kwa Darasa 🙏🥰
@zainabsaid3488 Жыл бұрын
Amenitoa machozi sheikh hilali kipozeo kwa maneno mazito aliyokuwa akiyafasili hususani pale alipo muongelea baba yetu Adam . Allah azidi kumlinda sheikh wetu amiin 🤲😍
@husseinmaingo5009 Жыл бұрын
Muda umekuwa mdgo sana kwa Kipozeo Inshaallah natumai kuna cku nitakutana nae na tutaongea zaid. Allahuma Amiin 🤲🙏
@fahadfahmy Жыл бұрын
Hiyo ndio dini yahaki mashaallah
@hellertv1477 Жыл бұрын
Mlete tena salama huyu sheikh bado tunataman kumsikiliza
@planbmauwezo4853 Жыл бұрын
Dah mwenyz mungu akuwek san shekh uzid kutuelmisha
@hajiameir8688 Жыл бұрын
Siku ya pili dada salama jishushe mbele ya shekh vaa shungi ingependeza kama anavyopendeza mama yetu samia suluhu
@parma786 Жыл бұрын
MashaaAllah kipindi kizuri kitaongeza imani zaidi upendo zaidi na amani katiyetu zaidi mubarikiwe sana salama na wote as Tim na sheikh wetu mpendwa H S ( Kipozeo) shukrani slm alkm.
@samsonmwakikuti5318 Жыл бұрын
Huwezi choka kumsikiliza amekaa NONDO sana. Ana uwezo mkubwa wa kufundisha
@sadiqmwafrica6759 Жыл бұрын
Muongezee muda, mrudishe tena please, anahamasisha vizuri sana
@abdallahomar5868 Жыл бұрын
huu muziki muuondoe hapa kuna aya za mwenyezi mungu zinasomwa kuweni makini sana
@stuberjunior3855 Жыл бұрын
Assalam Alaykum naomba kushauri kidogo Kwa vile kunasomwa Qur an katika interview naomba kupendekeza mungekata music
@jacksonmposindawa2426 Жыл бұрын
TUNAOMBA SHEIKH AJE TENA HAPA KATIKA KIPINDI
@mohammedrajabumwamba1322 Жыл бұрын
🤝
@mozasaid3869 Жыл бұрын
Penda sana shekhe Kipozeo
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
Shekhe kipozeo🙏ALLAH AKUHIFADHI💟💟💟💟jaman ungemuulza ana wake wangapi.huenda mmoja akaniongeza na mie.mfano wa maziwa kuinama nmecheka 🤣he is genius and humble
@kiizaabdulmaliki5241 Жыл бұрын
Ahsante Mama, kumwalika huyo Mzee Kipozeo!
@gbwile1257 Жыл бұрын
Best interview ever🙏
@rodneylamai2847 Жыл бұрын
Mimi ni Mkristo ila Nampenda huyu Sheikh sana, anakufanya uione Dini ya kiislam ni nzuri c'se hana dharau kwa Wakristo na kuwaita Makafiri. Mungu amuongoze
@rashidchimwenda Жыл бұрын
Mashaa Allah sheikh Shaweji
@saluyaadamz Жыл бұрын
ALLAH akuifadh sheikh Hillary shaweji
@jadewynedwards4603 Жыл бұрын
mashallah this was the best interview may allah bress you salama and shekh kipozeo and all muslim we need more interview like this ameeen
@jumannematimbwa559 Жыл бұрын
Namkubali sana ayu mzee sichoki kusikiliza
@husseinibnuhassan1272 Жыл бұрын
Interview bora kwa mwaka huu
@omaraliali1268 Жыл бұрын
Kipozeo needs I more time and very Mapema Salama tena ongeza more matayarisho namanisha hata kupitia watu wengine tofauti ya hiyo team yako hapo umesema mwenyewe jamaa kila anachokujibu hukujibu for pasent
@salimjumaa8180 Жыл бұрын
Salama 4real u'r doing a wonderful job, God bless u. Keep going girl. Lv from 254.
@mussamsella8560 Жыл бұрын
Sheikh ana hekima sana hasa namna ya kujibu maswali
@kindysuleiman5935 Жыл бұрын
Ahsante salama impressed with your latest please bring more of this kind of personality
@iduelabu4007 Жыл бұрын
Salam tunakuomba rafiki yetu mlete sheikh wetu tena na umpe mda wa kutosha plz plz plz
@madrassatqadriyapalma Жыл бұрын
Melhor entrevista de final do Ano
@husseynomar9523 Жыл бұрын
Salama tafadhali tuleteeni SHEIKH MUHIDDIN MAALIM SIASA NA SABRA MACHANO WATU ZANZIBAR
Salama, kama ikikupendeza, please mrudishe tena Kipoozeo…
@idrisakabiliga7131 Жыл бұрын
tatizo mda hatujamfaidi vizuri
@abuaminmadi9839 Жыл бұрын
kutokea kenya nimependa darasa lako
@fahadfahmy Жыл бұрын
Sister Salama ulitakiwa hiyo Hijab uivae wewe na si uvalishe mic
@NuruJuma-zv3yzАй бұрын
😅😅😅
@othmanhaji1832 Жыл бұрын
Pamoja na uzuri wa interview, ni vyema unapowaalika Mashekhe wetu ukajistiri Dada Salama, kama ulivyofanya kwa Sheikh Mardhiyya. Pia tuondoshee huo mziki
@aminahkimwana109 Жыл бұрын
Hao ndo tunataka hapo tumepata faida kubwa sana mlete tena sheikh ao watafute na ma sheikh wengine siyo kila siku wasani tu haki nimefurahi sana
@hayfatshaaban5712 Жыл бұрын
Salama please interview nurdin kishki or Othman maalim
@saidahmed9688 Жыл бұрын
salama napenda vipindi vyako
@mhussein2511 Жыл бұрын
Sunan an-Nasa'i 5388 It was narrated that Abu Bakrah said: "Allah protected me with something that I heard from the Messenger of Allah [SAW]. When Chosroes died, he said: 'Whom have they appointed as his successor?' They said: 'His daughter.' He said: 'No people will ever prosper who entrust their leadership to a woman.'"
@sinaloa5698 Жыл бұрын
Intive agaaaaaaaaiiiin
@Derevamkongwe6864 Жыл бұрын
Salama umetisha sana kumleta kipozeo, nakuomba utuletee na shekhe Maulana Abubakar huyo ni shekhe wa matablii
@samxx411 Жыл бұрын
Wallah kisa kidogo cha mtume Suleiman lakini kama umekitoa chote yaani raha kabisa
@husseinmjema85 Жыл бұрын
Nimependa mjadala wenu namba umrudishe tena siku nyingine
@mwanaidimuhindi6671 Жыл бұрын
Mlete tena sheikh kipozeo
@inviolatangonyani4839 Жыл бұрын
Tunashkuru ..Pia tunaomba next time salama na Mch.kimaro wa KKKT
@yunussera4146 Жыл бұрын
Mwambie shekh إعملوا فكل ميسر لماخقله
@sinaloa5698 Жыл бұрын
Bonge la intaview tangu yahstonetown imeanzaa
@kivuswahilitv6833 Жыл бұрын
Hatuja ridhika tuonba part 3 na part 4
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Shekh karukaruka swali kkk swali kwann mungu aweke matabaka kuwe na wema na ubaya ikiwa kilankitu kinaandikwa kbl?
@hassanthabit4021 Жыл бұрын
Salama bist du ruhig bleiben
@remybuyenzi1856 Жыл бұрын
Umeeelimika kabisa Salama 😀😀😀😀😀😀😀. Hayo maswali yote unamuuliza anayajua sana na ni mkali sana kwa kujibu. Unapewa jibu la swali haendi uku wala kule. Unapata jibu kwa ufupi basi point.
@HassanHassan-sr3fq Жыл бұрын
Hivyo ndo ulivyo uislam
@khalidhashim6082 Жыл бұрын
Sheikh kipozeo arudi bhana arudi bhana arudi tena
@didakalaule7840 Жыл бұрын
Ukijaaliwa mlete tena
@hassanihussein4479 Жыл бұрын
Mlete tena sheikh sema sijapenda sheikh ajapiga misosi