Рет қаралды 2,505
Muhadhara umetolewa na Sheikh Said Bafana , katika ukumbi wa Chuo cha Multi Media University Rongai nchini Kenya Novemba 19, 2023. Ukielezea mambo ya kuzingatia Muislamu kuyafanya katika dini yake, Ni mambo gani hayo? Inshaallah fuatilia hadi mwisho upate kuelimika. Sambaza ujumbe huu wa Allah upate faida.