Nampenda saaaana sheikh Othman mpka nashindwa kujizuia,Allah anisamehe kama nakosea
@alizahranmohd40955 жыл бұрын
Haaaaaaloooooo
@aisha.a.j27075 жыл бұрын
@@alizahranmohd4095 nini?
@omaryombopa27334 жыл бұрын
AISHA. A.J kumpenda mtu kuna namna nyingi we unampendaje
@dbsuley45344 жыл бұрын
Mashaalla akusamehe
@dbsuley45344 жыл бұрын
Na mm pia unanipenda
@ishermbelwa59524 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu umenifundisha Mengi na umenifanya nirudi katika dini yangu kwa ukaribu
@abubakallyissapumzikakwaam76513 жыл бұрын
MashaALLAH ALLAH akupe umri mlefu duzidi kujifunza mengi kupitia wew SHEKHE OTHUMAN MAALIM
@samsungjsevenprime57175 жыл бұрын
Asante sana sheikhe wetu kwa ukumbusho wako Allah akuzidishie umri na afya njema uzidi kutuelimisha
@shakilamasoud29834 жыл бұрын
Shukrani shekhe'''''Nijaalie mwisho mwema Yarrab.
@hamissifurah68515 жыл бұрын
Shukran ktv tz online
@samirarama94425 жыл бұрын
MAASHALLAH HUPENDA KISIKIZA MAWAIDHA YA MAUTI
@sulehmaneno40284 жыл бұрын
Ma sha Allah. Mungu akupe umri mrefu uzidi kutushafisha nafsi zetu.
@abdallahyahaya97604 жыл бұрын
Mashaallah mungu atupe mwisho mwema.
@samsungjsevenprime57175 жыл бұрын
Allah atujaalie mwisho mwema sote waumini ulimwenguni kwa rehmma zake Allah
@AbduBwika6 ай бұрын
Amin Ya Rabbal Alamin Ya RABB
@rajabissa73084 жыл бұрын
Mwenye zimungu akuzidishie maisha malefu yenye balaka
@ukhtysakinaa76645 жыл бұрын
Masha Allah mawaidha mazuri yakusisimua nafsi, Allah akulipe mema fi dunia wal akhera sheikhuna
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
Leo Ktv wamekosa udaku mashaallah wakatulete kitu masikio napenda sikiliza nafsi ikafarijika Allah awalipeni kila la kher Ktv tz online kidoti bandika bandua
@ukhtysakinaa76645 жыл бұрын
@@zayyatiyussuf9566 Amiin
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
@@ukhtysakinaa7664 Allahumma amin
@mohdissa89735 жыл бұрын
Shukran SHEKH kwa mawaidha mazur
@halimaramadan64065 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atujalie mwisho mwema tufe hali ya kua yuko radhi nasis in shaa Allah
@mwanaidiramadhan39195 жыл бұрын
Aamin
@ukhtysakinaa76645 жыл бұрын
Allahumma amiin
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
Shukran Ktv tz online hakika hii ni FAHARI yetu
@ukhtysakinaa76645 жыл бұрын
sana tyuu fahari yetu kweli
@mutaladjasmini48154 жыл бұрын
Allah akuzidishie umri mrefu uzidi tuelimishe na Allah akupe janat firdaus 🤲
@samanthaali8735 жыл бұрын
Subhna Allah Shukran Sheikh wetu kwa Nasaa Nzuri Ya Rabby tusamehe makosa yetu😢😢
@rahimaboud14684 жыл бұрын
0790398570
@neemamaiko38543 жыл бұрын
Maaashallah sheikh othman Allah akusimamie na akuongezee elimu
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu hivii ndio tumeanzaa au
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
Wakati sio live
@abdallahomary27384 жыл бұрын
Bado
@ntanguyerusahila7594 жыл бұрын
Asalam alaykum, Mashaa Allah, good preach
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
sheigh maulidi si bidaaa
@Kenyayetu245 жыл бұрын
Anasema hivi; Asili ya neno bidaa ni kile kilichokuja baada ya mtume swalallahu aleihi wa salaam Ni moja katika kanuni za kishariah kwa jambo lenye kuendana kinyume na Sunnah na hivyo kuwa dhwalala. Kimsingi jambo hilo kama likiwa ni zuri kisharia basi linakuwa bidaatul Hassana, kama jambo hilo likiwa halikubaliani na shariah basi linakuwa mustaqbaha, vilevile kama litakuwa linakubalika na baadhi linakuwa Mubah. Vilevile Bidaa inaweza kugawanyika katika vipengele vitano. Hapa Ibn Hajar hajatuletea hoja za bidaa ya Kilugha bali jinsi anavyoelewa neno Bidaa. Kilichotokea hapa ni kuwa Umar alianzisha mwenendo mwema na hivyo yeye na maswahaba wengine waliohusika wataendelea kupata malipo yao mpaka siku ya kiyama, kama ilivyo katika hadithi nyingine ya Mtume swalallahu aleihi wa salaam من سنّ في الإسلام سنّةً حسنة فله أجرها وأجر من عمل بها بعده من غير أن ينقص من أجورهم شىء، ومن سنّ في الإسلام سنّة سيئة كان عليه وزرها ووزر من عمل بها من بعده من غير أن ينقص من أوزارهم شىء. Hadithi inasema: "Atakayeanzisha mwenendo mwema "سُنَّةً حَسَنَةً katika Uislamu atapata ujira wake na ujira wa atakayetenda wema huo hadi siku ya Qiyaamah bila ya kupungua kitu katika ujira wa waliotenda, na atakayeanzisha mwenenedo mbaya سُنَّةً سَيِّئَةً atapata madhambi yake na madhambi ya atakayetenda madhambi hayo mpaka siku ya Qiyaamah bila ya kupungua kitu katika madhambi yao." (Swahih al- Muslim na At-Tirmidhy na An-Nasaaiy na wengine) Sasa tuawaulize wale wanaonadi kila bidaa ni upotofu na vipi je kuna Sunnah mbovu waijuayo?hadith hii huiruka sana na kujifanya hawaitambui au kuwa hap si mahala pake. Bidaa nyingine tuipatayo kwenye vitabu vya Sunnah. Mbali na Tashahud ya kawaida tuijuayo Abdullah Ibn `Umar. Alifanya nyongeza katika mwanzo wa Tashahud (Tahiyatu) kwa kuanza kusema (Basmallah) yaani Bismillah Rahman Rahim, na mwisho akaongeza Talbia; "labbaika wa sa'daika wal khayru bi yadayka wal raghba'u ilayika wal `amalu" Haya yameelezwa katika Bukhari na Muslim. Baadhi ya Bidaa njema za miaka ya hivi karibuni: Watu kukusanyika katika misikiti miwili mitukufu ya Makkah na Madinah na misikiti mingi duniani kuswali Tahajud baada ya salat Taraweh nyuma ya Imam mmoja (wakibadilisha na wasomaji mara nyingi)Kusoma dua ya kukhitimisha Quraan katika swala ya Taraweh na vilevile katikaTahajud mwezi wa Ramadhan! Kufanya mwezi 27 siku ya kukhitimisha Quraan katika misikiti miwili Makkah na MadinahMuadhin kusema maneno Allah akulipeni malipo mema(bora), baada ya kumaliza Taraweh na Qiyam katika misikiti miwili ya Makkah na Madinah Hatuyakatai haya kwani twajua msingi wake ni Bidaa iliyo nzuri , ila twasema kuwawale wapingao Maulid , hakika hawajioni na hujifunga wao wenyewe dhidi ya kauli zao wenyewe kwa kusema kuwa kila ambalo hakulifanya Mtume S.A.W au swahaba zake ni upotofu, kwa mantiki hii basi wao pia wako katika upotofu kwa kuanzisha haya na mengineyo... Au Bidaa hizi ni za ‘’Kilugha(lughawiyah)? Maana ya كُلُّ بِدعةٍ ضَلالةٌ: Hafidh Ibn Hajar Al Asqalani, aliyefanyia sherhe Al Bukhari, anatuambia kuhusu bidaa, " Chochote kile ambacho hakikuwepo wakati wa mtume S.A.W kinaitwa Bida’a lakini kuna Bida’a njema na Bida’a mbaya. Abu Na'im, anasimulia kutoka kwa Ibrahim Al Junaid, asema , "Nimemsikia Ash-Shafi'i anasema, "Bida’a zipo za aina mbili , bida’a njema(hasana) na chochote kile kitakataana na Sunnah ni dhwalalah(ni bida’a mbaya) na bida’a mbaya (dhwalala) Suali linakuja Maulid yapingana na na Quraan na Sunnah? Al-Hafidh al Bayhaqi, Manaqib As-Shafiy(1: 469) "Al Muhadithatu min umuri darbani alduhuma ma uhitha yukhalifu kitaban aw sunatan aw atharan aw ijma’an fa hadhihi al bidaatul dhalala wal althaniyatu ma uhdidha min khairi la khilafa fihi li wahidin min hadhihi wa hadhihi muhdathatun ghayru madhmuma" Imam Albayhaqi anasimulia katika Manaqib Ash-Shafi'i ya kwamba Ash-Shafi'i anasema kuwa , Bidaa zipo za aina mbili , ile ikataanayo na Quraan na Sunnah(Bidaa’t dhalala) na Bidaa nzuri ni ile ambayo haipingani na hivi(yaani Quraan na Sunnah) Al `Izz bin Abdussalam anasema mwisho wa kitabu chake , Al Qawa'id, Bidaa imegawanyika katika ulazima, ilokatazwa , inayopendekezwa, isokubalika na inayokubalika, na ukitaka kuifahamu basi angalia ile inayopishana na shariah (Quraan na Sunnah) Pamoja na kwamba iliwachukua waislamu takriban karne nne kuzinduka kuhusiana na swala hili la maulid, hiyo siyo hoja kuwa jambo hilo linakwa haram, kwani kuna rekodi sahihi za wanachouni wengine kabla ya hapo kujihusisha kwa namna moja au nyingine kumsifu mtume na kumshangilia, hivyo maulid yanakuwa ni maendeleo mwafaka katika mrengo huu. Na hata wale wanachuoni waliokuja baadaye wanaohesabiwa kuwa ni wanachuoni wa mrengo wa ki-salaf, pia walijihusisha na maulid kwa kuandika vitabu n.k kuonyesha kuwa swala hili halipingani na mafunzo sahihi ya Mtume. Sheikh Ibn Taymiah baba wa Usalafiyah anasema hivi kwenye kitabu chake Iqtidaswiratal mustaqim chapa ya Dar Hadith ("Majma' Fatawi Ibn Taymiyya,") Mujaraba wa. 23, uk . 163: "fa-ta'adhwm al-Maulid wat-tikhaadhuhu mawsiman qad yaf'alahu ba'ad an-naasi wa yakunu lahu fihi ajra`adhwim lihusni qasdihi ta'adhwimihi li-Rasulillahi, swalallahu aleihi wa salaam" "Kusheherekea na kuitukuza siku ya mazazi ya Kipenzi Muhammad S.A.W na watu kufanya ni msimu wa sherehe, kama wafanyavyo baadhi ya watu ni nzuri na wanapata ujira mkubwa katika kutokana na nia yaonjema kwa jambo hili la kumuenzi Rasullulah swalallahu aleihi wa salaam" Ibn Tay'miah anaendelea kwa kusema katika kitabu chake hicho, ukurasa wa 266 sentensi ya 5 toka chini Kwa jinsi watu wanavyofanya wakati wa sherehe hizi za maulid kama ni ushindani dhidi ya wakiristo wafanyavyo wakati wa kirisimasi kusheherekea uzao wa Nabii Issa aleihisalaam au ni hali ya kuonyesha mahabba kwa kipenzi chetu Muhammad swalallahu aleihi wa salaam na dalili ya mapenzi juu ya Mtume wetu kipenzi swalallahu aleihi wa salaam, Allah atawalipa malipo mema kwa ijtihad yao hiyo mbali ya kuwa kitendo hiki ni bida’a. Hii ni kutokana na mapenzi yao na nia yao njema kwa suala hili. Ibn Taymiah anaendelea kusema, "Twajua kuwa Maulid haikuwahi kufanywa na salaf, wangeifanya kama wangetaka kwani hakuna kipingamizi chochote cha kisharia kilichowakataza waisifanye maulid" Kipande hiki na vingine vingi mno katika vitabu vya Ibn Taymiah na wengineovimeondoshwa kwa makusudi kabisa na Masalafiyah( Mawahabi) kama wafanyavyo kwenye vitabu vingi vya Sunnah na maandiko ya kihistoria kupotosha ummah. Kuna editor wa Kiwahabi kwa jina Muhammad Hamid al Fiqqi , ameandika maneno yafuatayo kwenye sherhe yake chini kwa mshangao mkubwa sana eti…"kayfa yakunu lahum thawabun ala hadhaa…?Ayu ijtahadun fi hadhaa??" Ibn Jawz ameandika kitabu cha mashairi kuhusu mazazi ya Mtume (Maulid), Ibn Jawz ameandika kitabu cha maulid kwa mashairi kwa kuanza na beti hii….Alhamdullilah al-ladhiy abraza ghurrati aru’si al hadharat subhan Mustanira……
@abdulkareemseif6675 жыл бұрын
habib swaleh naona umenipa maelezo mengi tu ..kwanza nikatae kwa uongo uliouonyesha kwamba sheigh wa kisalafi aliamuru maulidi .....kisha tu niseme ..hivi hii hadithi mtume alieyosema kwamba ..utafarikiana umma wangu mpk utafikia makundi 73 ..yote yatakwenda motoni ila 1 tu ...maswahaba wakamuuliza..mtume ni lipi hilo ..mtume akawajibu ni lile ambalo litafanya au litafuata ambacho mm na maswahaba zangu hii leo..je hiyo hadithi ni dhaifu?Km si dhaifu nini mana ya hio hadithi.....kisha tu niulize....je km kumpenda mtume sisi tunawakaribia maswahaba kwa mapenzi dhidi ya mtume?mbona hawajafanya ....mbona maimamu hawakufanya ...na iweje maulidi yaanze kipindi ambacho hakina watu hususan kwenye dini ?tuseme tumewashinda kufkiri maswahaba Sisi? au kielimu? au kifikra? au kimapenzi kwa mtume?iweje km nijambo jema wasilifanye wao sisi tufanye? ivi sisi tuna fikra kubwa..kisha unajua uzushi mana yake? mana ya uzushi ni upotevu ..na hadithi haikufafanua bidaa flani ..imesema kila bidaa ni upotevu...haijalishi iyo bidaa inamsifu mtume au laaa ..na huwezi kutoa bidaa ktk quran wala hadithi....hili jambo mtume hakulifanya wala maswahaba wala hajasema lifanywe...iweje sisi tu....hapa kuna siri kubwa ktk maulidi inafichwa