Kilichomuua Mama ISHA MASHAUZI, Isha Afunguka, Ameniachia Hiki!

  Рет қаралды 350,425

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 327
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 5 жыл бұрын
Inna ilah waina ilehi rajiuni mungu amrehemu na amtanganye na wema poleni Sana Allah akupe subra na imani InshAllah heri 🤲🤲🤲
@safinasurait8705
@safinasurait8705 5 жыл бұрын
Inalilahi wainairaihii rajiun
@azamansur7086
@azamansur7086 5 жыл бұрын
INNALILLAHI WAINNA ILAYHI AJIUUN pole sana da isha ALLAH amjaalie kauli thabiti mama yefu pia amsameha makosa yake ya siri na dhahri Ameen
@dashuusaalim.1928
@dashuusaalim.1928 5 жыл бұрын
daruki... hii dunia tunapita... wimbo wko umetimia kwko... Allah akuswameh dhambi zko na akupe maysha mazury ktk kbri yko. Allahummaaamyna
@tumaingidion2809
@tumaingidion2809 5 жыл бұрын
Pole xana isha mungu akufanyie wepesi ktk kipindi hiki kigumu,lakin mungu kampenda zaidi mama yetu. Na mungu amtangulie mbele ya haki.
@minzageorge2486
@minzageorge2486 5 жыл бұрын
Jamani kufiwa kwa mama kusikie t hivo inauma Sana pole isha
@ibraimsaid548
@ibraimsaid548 5 жыл бұрын
minza George u
@khalekichambo2143
@khalekichambo2143 5 жыл бұрын
Isha ngangari,wenye midomo wanataka ujirushe ulie ufike ukufuru. Wewe ni Muislamu unajua umaut ni haki kwetu,mamako utamlilia maisha just because you are not showing emotions it doesn't mean you are not hurting dear. Allah awape subra wana familia nzima kuondokewa ni huzuni kubwa
@jamilaamour7015
@jamilaamour7015 5 жыл бұрын
Polee Sanaa mamy
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 5 жыл бұрын
Pole sana dada , pia napenda hata majibu yako uko sawa mungu akupe subra.
@peterkyese4516
@peterkyese4516 5 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@SaudaOmary-jr5tm
@SaudaOmary-jr5tm 5 жыл бұрын
Pole sana da Isha mashauzi mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu R.I.P.mama Rukia Jumaa
@jumarajabngereza6713
@jumarajabngereza6713 5 жыл бұрын
R.I.p innalillah wainnalilah ragiwunna
@aminamgaya7511
@aminamgaya7511 5 жыл бұрын
Dahh pole sana isha hakika kila aliewahi kuona nyumbo zako lazima akiri ni kwa jinsi gani ulimpenda mama ako mungu akutie nguvu inshaalah
@mwajumalugenja9272
@mwajumalugenja9272 5 жыл бұрын
Inallah pole kipenzi changu isha
@janethmbogela9724
@janethmbogela9724 5 жыл бұрын
pole sana isha SNA tu uwezo ningekuja nikupe pole maana nimekukubari sana mdogo wangu
@fatmabenard8151
@fatmabenard8151 5 жыл бұрын
Pole sna da isha ss tuko nyuma yetu mungu ampe kauli thbit inshaaallah
@mariamsaidi7625
@mariamsaidi7625 5 жыл бұрын
Inalilah waina ilah rajiuun Pole Sana Dada Aisha Kikubwa tumuombee dua mama yetu Allah amuifazi
@MunaMuna-bd7nm
@MunaMuna-bd7nm 5 жыл бұрын
Innaalillah wainalillah rajiuun
@halimamatinda6961
@halimamatinda6961 5 жыл бұрын
pole sana isha
@aishsndalanga8509
@aishsndalanga8509 5 жыл бұрын
Pole sana dda mungu akupe nguvu
@dignajohnball5571
@dignajohnball5571 5 жыл бұрын
Pole sana dada
@kulwamaduhu532
@kulwamaduhu532 5 жыл бұрын
pole sana aisha
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Inna linlah wainna linlah rajiuun m mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
@mebakarimohamed686
@mebakarimohamed686 5 жыл бұрын
Pole sana mashaunzi
@ackleraezekiel2756
@ackleraezekiel2756 5 жыл бұрын
pole sana dada isha mungu akusimamie
@babyfety8104
@babyfety8104 5 жыл бұрын
Poleni wafiwa wrote mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu R.I.P mama yetu kipenz
@faridabakari8511
@faridabakari8511 5 жыл бұрын
Inalilah wainah illeih rajhun.. hio ndio njia ya hakkh . Allah amjalie kauli Tabith
@ayubayub6295
@ayubayub6295 5 жыл бұрын
Kweli dada maneno yako nimekuelewa siku zote upendo nikitu kizuri sana pili mshikamano Allah amjalie safari Yake iwe nyepesi
@francemwambona7514
@francemwambona7514 5 жыл бұрын
AAA mwanangu hiyo ndiyo duniaa ,,,yaliomo moyoni mwanguu Leo nakuhusiaaa kuishi na watu kazi inahitaji ujuzi😭😭😭😭nimejisikia vibaya Sana,,,pale usipo wajua mwanangu kua tambua😤😤😤😢
@rosejoseph2228
@rosejoseph2228 5 жыл бұрын
Pole sn Isha Mungu awatie Nguvu ktk kipindi iki kigumu R.I.P Mama yetu kipenzi Pumzika kwa Aman
@mwajumamuhando7122
@mwajumamuhando7122 5 жыл бұрын
Mungu amuweke maali pema
@wondersmotivation5543
@wondersmotivation5543 5 жыл бұрын
Inna illahi Wa inaallaina rajiuun,,,Allah amlaze mahala pema peponi,,,dunia ni mpito,,,Allah Atujaaliye mwisho mwema
@mashamwaki6384
@mashamwaki6384 5 жыл бұрын
Pole sana sana isha mwenyezi mungu ampe pepo ya milele
@tinamuta8019
@tinamuta8019 5 жыл бұрын
Pole sana wapendwa
@albertcuthbert9297
@albertcuthbert9297 5 жыл бұрын
Mungu ailaze mahali pema peponi amina
@azizasikalwani8432
@azizasikalwani8432 5 жыл бұрын
Inalilah wainalilah rajun Poleee sana lsha Mwenyezi Mungu akutie Nguvu ktk kipindi hiki kigumu
@nusaibahassan5842
@nusaibahassan5842 5 жыл бұрын
Kwake Tumetoka Na Tutarejea Allah Akuhifadhi Palipo Na Wema Jannathul Firdhaus Iwe Makazi YKo
@fatumatembo5694
@fatumatembo5694 5 жыл бұрын
innallillahi wainaillahi rajiun pole my dea friend mamaetu mpendwa mungu amueke pema peponi
@zuwenakabesela5150
@zuwenakabesela5150 5 жыл бұрын
Isha pole sana ,
@ayshahams7373
@ayshahams7373 5 жыл бұрын
Innalillah wainaillah rajiun pole sana Allah ailaze roho ya marehemu mahala pema pepon inshallah,, nyuma yetu
@sifamugwaneza1178
@sifamugwaneza1178 5 жыл бұрын
Poleni Sana ndugu wa marehem kwa kipindi hiki kigum
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 5 жыл бұрын
Poleni sana
@francemwambona7514
@francemwambona7514 5 жыл бұрын
Pole Isha. Sikusikia mam mungu akufunge mkaja wa Siri Amina.
@malaikacluz1864
@malaikacluz1864 5 жыл бұрын
R.I.P mama isha mashauzi
@bukuruhassan6328
@bukuruhassan6328 5 жыл бұрын
pole saana dada yangu isha
@swabrakaisar3212
@swabrakaisar3212 3 жыл бұрын
Kufiwa namama numtihan Allah atupe subra yarabi
@miyajmiyaj538
@miyajmiyaj538 5 жыл бұрын
innalillah wainna ilayho rajioun.pole da Isha njia ya marhaba
@fatmaemily4971
@fatmaemily4971 5 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa
@sharifaallan2386
@sharifaallan2386 5 жыл бұрын
Pole dadangu Allah awape subra....Na amlaze pahala Pena Pelosi mamayetu
@خسنموس
@خسنموس 5 жыл бұрын
Innalillah wayna illahi rajuun pole isha kwa msiba mungu akupe subra na imani be strong..R.I.P mama mashauzi..
@bahatimatonya5214
@bahatimatonya5214 5 жыл бұрын
Innalilah waainna illah rajuun pole isha kazi ya mungu haina makosa
@vumiliajuma4836
@vumiliajuma4836 5 жыл бұрын
Jamani mama
@frankpiano5883
@frankpiano5883 5 жыл бұрын
Pole sana mashauz
@maryamm7765
@maryamm7765 5 жыл бұрын
Inalilah wainailah rajiun Mungu amlaze pahala pema
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 5 жыл бұрын
Allah amlaze mahalipema pepuni insha allah pole isha kipnz cawatu😭😭
@mamafatuma138
@mamafatuma138 5 жыл бұрын
Innalialh wainallilah illaihi rajhun poleni sana ndungu zetu
@aishamohammed4275
@aishamohammed4275 5 жыл бұрын
Pole sana dada angu isha
@mwajumahamdu2324
@mwajumahamdu2324 5 жыл бұрын
Pole sana Aisha mashauzi
@nasraally9475
@nasraally9475 5 жыл бұрын
Pole Sana my
@ngemabohero2853
@ngemabohero2853 5 жыл бұрын
pole sana da isha allah awasimamie katika kipindi iki kigumu.
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 5 жыл бұрын
pole Dada Mungu akufariji
@mwanaisha522
@mwanaisha522 5 жыл бұрын
Allah akupe moyo was subira Isha mashauz
@neemagambere9987
@neemagambere9987 5 жыл бұрын
polen...kwa.msibaaa
@nurumanyota2430
@nurumanyota2430 5 жыл бұрын
Dah! pole sana isha
@3azxtv843
@3azxtv843 3 жыл бұрын
Khadija Poleni
@happynessmakoyehappynessma6611
@happynessmakoyehappynessma6611 5 жыл бұрын
Pole sana dada inauma sanaa
@felistabedi3511
@felistabedi3511 5 жыл бұрын
Pole sana mpendwa wangu
@salmaothuman9762
@salmaothuman9762 5 жыл бұрын
Alhamdulilah
@happyjulius5667
@happyjulius5667 5 жыл бұрын
Pole sana
@fatnahiddy4422
@fatnahiddy4422 5 жыл бұрын
Daaaah pole sana dada isha
@shanimwakipesile3341
@shanimwakipesile3341 5 жыл бұрын
isha mbona mkavu ivyooo dada angu Duuuh hatareeeee mnoooooo R.l.p mama
@rhinaamiry8535
@rhinaamiry8535 5 жыл бұрын
Mwenyew ndo nilikuwa najiuliza labda anajikaza
@husnaswai5299
@husnaswai5299 5 жыл бұрын
Shani Mwakipesile kulia hakusaidii bali dua ndo amali njema
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 5 жыл бұрын
Amefunga
@rehema2018
@rehema2018 5 жыл бұрын
Shani Mwakipesile Umeona eeeh
@halmamudy1
@halmamudy1 5 жыл бұрын
pole kwa familia
@sikuzanibusanya6423
@sikuzanibusanya6423 5 жыл бұрын
Pole sana daa Aisha r.l.p mom
@aishasalimaishasalim1323
@aishasalimaishasalim1323 5 жыл бұрын
Poleni sana ndugu jamaa.. wote kwa msiba..?
@mwansityally984
@mwansityally984 5 жыл бұрын
pole sana Dada Aisha mungu ampunguzie adhabu ya qabri pole saaana
@kaburajohn7609
@kaburajohn7609 5 жыл бұрын
aisha Pole sana dada yangu Akutie nguvu
@mealemalika7565
@mealemalika7565 5 жыл бұрын
Pole Isha kwa msiba wa mama pole sana
@najmagudeh203
@najmagudeh203 5 жыл бұрын
Pole sana mamaa zidi kumuombea
@nuweirali3376
@nuweirali3376 5 жыл бұрын
Pole Aisha mungu akupe subra iliyo bakia kumuombea dua
@japhetadelard5124
@japhetadelard5124 5 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa mwenyezi mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwenu wote kwakua kazi yake haina makosa
@sudymgeni701
@sudymgeni701 5 жыл бұрын
Pole sana may dadangu jamni
@mohdsalum3832
@mohdsalum3832 5 жыл бұрын
Sahihi
@roseamos2812
@roseamos2812 5 жыл бұрын
Poleni ndg wote jamaa na marafiki ktk kipindi hiki kigumu
@ashuashu3843
@ashuashu3843 5 жыл бұрын
Allah akusamehe madhambi akupe njia njema ameen.
@shamsahassan2586
@shamsahassan2586 5 жыл бұрын
mungu ampe safari yakheri endako,,mbele yake nyuma yetu,,allahummaghfirlaha warhamhaa waskinhaa filjannah,,,allah atupe hatima njema inshallah
@zunirasalim7660
@zunirasalim7660 5 жыл бұрын
Innalillahi wa innah illahi rajiun..mungu amlaze pema penye wema
@nyawarekassebea7114
@nyawarekassebea7114 5 жыл бұрын
Allah amlaze mahalapema peponi
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Inna lillahy wa inna illayhi Rajioun, Poleni sana mungu awape subra.
@shamimshabani6614
@shamimshabani6614 5 жыл бұрын
Innalillahi wainailayhi rajiuun Allah amlaze pema penye waja wema. Poleni sana kwa msiba.
@naimasalum1508
@naimasalum1508 5 жыл бұрын
Pole isha habipty
@delabossreizer9471
@delabossreizer9471 5 жыл бұрын
Inalilah wahina lilah laajiun nakumbuka ile mama nipe radhii sana ilikuwa na ujumbe safi
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 5 жыл бұрын
Innalilah Wainnailayhi rajoon pole sana Dear kwa msiba wa mama yetu kipenzi
@pricenssamina357
@pricenssamina357 5 жыл бұрын
R.I.p.rukia.juma.pole.insha.mumgu.akutie.nguvu
@catherinegati5843
@catherinegati5843 5 жыл бұрын
daaaa pole mwaya
@hadijababuu5825
@hadijababuu5825 5 жыл бұрын
inalillah waina ilaih raajiun Poleni sana wanafamilia
@uwinezaaime2728
@uwinezaaime2728 5 жыл бұрын
Pole dada isha kwakufiwa na mama innalillah wainailayh rajiun
@naimamunishi1241
@naimamunishi1241 5 жыл бұрын
Kwel dada UPENDO ni kitu cha muhimu sana hapa dunian
@elizakawogo5261
@elizakawogo5261 5 жыл бұрын
Pole sana Ishamashauzi kwakipindi hiki kigumu
@AAa-xv2mw
@AAa-xv2mw 5 жыл бұрын
Innalilah wainalilah rajiun Mungu Amlaze pahali pema Amiin ila isha umejikaza dada
@khamisamursally2470
@khamisamursally2470 5 жыл бұрын
Allahumma ghifillah Warhamna filijanat mbele yake nyuma yetu kweli kabisa Rukia hajakuwa mtu wa majivuna kabisaaa nilikuwa nNampenda sanaaaaa
@mneneijasmin1493
@mneneijasmin1493 5 жыл бұрын
khamisa mursally
@sheysarahnjeno9326
@sheysarahnjeno9326 5 жыл бұрын
Pole kwake isha ramadhan.mungu ampe kauli thabit
@aminahamisi8672
@aminahamisi8672 5 жыл бұрын
Pole isha
@sarahmohamed337
@sarahmohamed337 5 жыл бұрын
Msiba wa mamako mzazi,huku vipini vyaning'inia...Allah Atuhifadhi jamani.
@dotomohd9156
@dotomohd9156 5 жыл бұрын
Pole my dear msiba wamama mgumu maisha
@haithamabdallah1699
@haithamabdallah1699 5 жыл бұрын
Inna lillah wainna illah rajiun, allah ampe kauli thabiti in shaa allah.
@tauhidaalikhamis871
@tauhidaalikhamis871 5 жыл бұрын
Allah amlaze pahala pema
@hamadeddy8089
@hamadeddy8089 5 жыл бұрын
Innah lilah wa Innah lilah rajiun pole Sana Dada Isha Mashauz kwa kumpoteza mama yako Rukia Jumaa
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 5 жыл бұрын
Inna lilah waina ilah rajiun. Isha mkavuu ka sio mamaake 🙄😥
@missmoona4497
@missmoona4497 5 жыл бұрын
Inna lillah wainnah illah rajiuna,m/mungu amuondoshee adhabu ya qabri na wengineo woooote walio tangulia. Pia dd Aisha utalia saaaana utakapo imba nyimbo zako za mama.
@alisalim8328
@alisalim8328 5 жыл бұрын
Allah Ampe kauli Thabit Amin Yarabi
@najmamudhihir6806
@najmamudhihir6806 5 жыл бұрын
Poleni sana jamani duuuh
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 5 жыл бұрын
Innalilai wainnarajiuna poleni dungu pole sna da somu mungu ampe kauli thabiti na mwezi huu waramadhani
@johanesngashwa9168
@johanesngashwa9168 5 жыл бұрын
Mwanaisha Mbili wedtchs
@johanesngashwa9168
@johanesngashwa9168 5 жыл бұрын
Mwanaisha Mbili . .
@tatumuddy1709
@tatumuddy1709 5 жыл бұрын
Pole sana ndugu jaman kwa msiba
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 23 МЛН
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 39 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 340 М.
PENEZA ANASEMA CCM OYEEEEE,,,,UZINDUZI WA KAMPENI CHADEMA GEITA MJIINI
10:09
Nimekinai na Umaskini wangu - Mwanahawa Ali
15:13
SANDUKU LA DHAHABU
Рет қаралды 769 М.
Wanataarabu wamuenzi mama yake Isha Mashauzi
7:36
EastAfricaTV
Рет қаралды 100 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 23 МЛН