MUME WA ISHA MASHAUZI AMFANYIA VURUGU ISHA KWENYE INTERVIEW / NGUMI NUSU ZIPIGWE HADHARANI

  Рет қаралды 76,642

Manara TV

Manara TV

Күн бұрын

Пікірлер
@Kabeya410
@Kabeya410 4 ай бұрын
Isha Nilikua nafanya kazi na baba yako Dereva BOHARI KUU YA SERIKALI. Alikua mtu safi sana nilikua Bosi wake yaani Mimi TRANSPORTER OFFICER BOHARI. namuombea Kwa Allah ametangulia mbele ya haki Allah amsamehe makosa yake ALLAHU MAGFIRAHUM WARAHMAHUM FIL JANNA.
@khadijayusuph9316
@khadijayusuph9316 4 ай бұрын
Yashanikutaga hayo so isha namuelewa vzr sana tu😮
@ErizicDaud
@ErizicDaud 4 ай бұрын
Naukiwa na mke mmoja au mme mmoja kiukweli unavuta sana hatua
@lydiajoseph2571
@lydiajoseph2571 4 ай бұрын
Alafu msikilizane, gorofa mtajenga
@SalmaMasoud-ry4pg
@SalmaMasoud-ry4pg 4 ай бұрын
🇰🇪Msirudianeeee please We mtu anaomba msamaha kiuwongooo wwachana nae piga kazi Zako Isha Kisha Simama usiku Fanya IBADA WWACHANA NA HIVI VIVIJANAAA VYA KUVILEA ALLAH ATAKUPA MUME MWEEMA
@Humanity21216
@Humanity21216 4 ай бұрын
We umejuaje kama kiuongo ila binadamu sisi miyeyusho
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 ай бұрын
Acha kushadadia ya watu Siku wakiridiana utaweka wapi sura yako
@Kabeya410
@Kabeya410 4 ай бұрын
Wee salma kwa hiyo wewe unamshawishi waachane ilibaendelee kuzini
@HusseinBundara
@HusseinBundara 4 ай бұрын
Dada isha nakupenda Bure pambana na Hali Yako maísha ni yaleyale TU my sister❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 4 ай бұрын
Km umeamini amepata mzungu wa zanzibar kwenye mawio like
@thuwaybarajab6099
@thuwaybarajab6099 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂daah
@erickmakwinya5649
@erickmakwinya5649 4 ай бұрын
😂😂 uckute kwel
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 4 ай бұрын
😂😂😂tena mambo yao bambam na mzungu wke
@aishamzeehamissi6859
@aishamzeehamissi6859 4 ай бұрын
Somo kuwa na msimamo somoo wamezidi hiyo midumee
@SadaIbrahimu-s7z
@SadaIbrahimu-s7z 4 ай бұрын
Mwanamke msimamo❤
@zuhuraismael7398
@zuhuraismael7398 3 ай бұрын
Jaribu mzungu Isha mashauzi wao hukuwanga na mapenzi Aina hii yenye unataka
@naimachiza3939
@naimachiza3939 5 ай бұрын
Saaafi isha...kazaa Ivyoo ivyoooo
@zainabsabas1807
@zainabsabas1807 4 ай бұрын
Huyu mwanaume kunakitu anataka sio kwa maneno hayo duu vijana wengi wanataka mwanamke sababu ya kitu sio mapenz na maneno hayo hatakama mie isha sikurudii 😢
@thamani5842
@thamani5842 4 ай бұрын
Huyu kaka anaomba msamaha kwa kutaka kitu, na uyo mama anamtaka lkn anajifanya hamtaki
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 4 ай бұрын
Sana bado wanatakana lait wangekuwa hawatakan wangejiepusha na mitandao
@FatumaJuma-f6s
@FatumaJuma-f6s 5 ай бұрын
Yaan mnaboa sana😢kuna watu kibao wa kuwafanyia iyo interview kila siku ni polojo zao tu😮
@SeifMilowe-y4x
@SeifMilowe-y4x 5 ай бұрын
Labra w ndo unaboleka
@FatumaJuma-f6s
@FatumaJuma-f6s 5 ай бұрын
😬😬
@nunuuali5316
@nunuuali5316 5 ай бұрын
Kwa kweli yaan mi nashangaa
@IdarousPossy
@IdarousPossy 4 ай бұрын
Wew ndio unaboa huna akili
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z 4 ай бұрын
Mimi inanishangaza kwa kweli vijana tafuteni hela msijemkadhalilika😂
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 4 ай бұрын
Alafu Isha ana Binti , mkubwa jamani,mbona huyo bwana haoni Hilo,anamtia Isha aibu Kwa Mwanae na anamtia aibu mtoto wa Isha Kwa wasomi wenzie na hata Kwa jami inayomzunguka,mie niliona tangu day one huyo mwanaume ni mitihani, doh,pole sana isha nakuonea huruma hadi naogopa😊
@mussaelias3535
@mussaelias3535 4 ай бұрын
Ww huwezi kukaa na mwanamume sababu uliisha zowea kujiongoza mwenyewe hutapata, mwanamume ambaye uta mcontro ww mbabe
@chuggaboy9877
@chuggaboy9877 4 ай бұрын
Eeeeh mbona karma umekuja na story yako😅😅
@rerisamba
@rerisamba 4 ай бұрын
Kuna miaka ikifika kama ya Isha unakuaga na kunyenyekea kweli
@JahnjeanjayNjau
@JahnjeanjayNjau 4 ай бұрын
Binafsi namuelewa sana Isha,hakuna jambo linalouma kama mwanaume unampenda unamjali halafu ugundue kuwa kuna mwanamke mwenzako mahala,mimi huwa natamani kuliko hivyo bora nikawa bila mwanaume kuliko kumhudumia mwanaume na bado anakudhalilisha kwa mwingine, namuelewa sana Isha
@zaiogy5787
@zaiogy5787 4 ай бұрын
Sanaaaa yalinikuta hayo jaman mapenzi nawaachia wahindi
@FatmaLupagi
@FatmaLupagi 4 ай бұрын
Wewe ni mimi kabisa.
@VeronicaPaul-l8m
@VeronicaPaul-l8m 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@AsmineMkinga-cs4dg
@AsmineMkinga-cs4dg 4 ай бұрын
Ata Mimi namuelewa
@elizabethjackson1990
@elizabethjackson1990 4 ай бұрын
Kabisa yan da isha inaboa
@AminaAfrica-pr3gi
@AminaAfrica-pr3gi 4 ай бұрын
Unajidagannya aisha mwanamme wa peke hako ayupo na atakuwepo labda umuumbe wew na huna usezo juo hicho ni cheo cha allah pekeyake isijidanganye hatotojea wa pekeyKo upoooo
@ياسمينياسمين-غ2ص
@ياسمينياسمين-غ2ص 4 ай бұрын
Wanaume tamaa una mke mzur bado unahaha fanya yako dadangu Allah atakupa mume mwaminifu
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud 4 ай бұрын
Kumuona kungwi kagoma kusamehe akilin yangu inanambia Bado nayeye anahitaji kungwi 🎉🎉
@Joseph2010201
@Joseph2010201 4 ай бұрын
Msimamo mzuri kwa upande wa Dada, pia Kaka ni uungwana kukiri ulipokosea ila jua kuwa Thamani yako Mwanaume inalindwa na wewe mwenyewe. Kubali yaishe na Uanaume wako ni muhimu kuliko mahusiano.
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 4 ай бұрын
Aisha fnya kazi zako..unawatoto.. wanakutegemaaa
@eben_ezer8853
@eben_ezer8853 4 ай бұрын
Ila tz kweli Kuna mambo Sasa Isha ndio wakwanza kuachana kheee mbona upumbavu mwingi
@ErizicDaud
@ErizicDaud 4 ай бұрын
Tatizo sio kuachana walijinadi Sana kuwa hawata achana milele juzijuzi tu
@rehemasalim6062
@rehemasalim6062 4 ай бұрын
Kheee jamn kweli kabisa kheeee
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 ай бұрын
Imagine
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 ай бұрын
​@@ErizicDaudduh
@ChristineKesi-k9r
@ChristineKesi-k9r 4 ай бұрын
Ww Isha katka level yko,si mtu wakulalamikia mapenzi,hilo jambo la kawaida,eti mume wa pkyko,dunia ipi😂labda sio huku,usimwamni mume kiasi hio na dont love excess,utajiumza buree😅
@IssaManjapa
@IssaManjapa 4 ай бұрын
Watangazaji badilikeni siku moja moja muende mukamuoji hata nashi mc au songa cyo paka mungu awachukue ndiyo muanze kupiga kelele
@mustaphasegeja1712
@mustaphasegeja1712 4 ай бұрын
Uje kwangu nikukung'ute we mkulya
@rehemajuma4915
@rehemajuma4915 4 ай бұрын
Eti Mshangaxiii mjini Kuna maneno😂
@AlexSamweli-jj9tt
@AlexSamweli-jj9tt 4 ай бұрын
Dada aisha hapo nisurasurambiiiiiiiii mama🤣🤣
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 4 ай бұрын
Mm nikiolewa hata mke wa pili sawa kikubwa tupendane na mke mwenzangu na Niko teari na Sina wivu juu ya mwanamke mwenzangu ambae tupo kwenye ndoa
@mariakibusi5914
@mariakibusi5914 4 ай бұрын
Da Aisha Yani wewe ndio kama Mimi,Mimi kazi yangu kupokonywa waume tu naamua kuwaachia Yani hatuna tofauti
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 4 ай бұрын
Pole sana,,
@mariakibusi5914
@mariakibusi5914 4 ай бұрын
@@jumakapilima7295 ya Dunia kaka angu ndio maana tumeumbwa kusamehe kwasababu malipo ni hapa hapa duniani,Mimi nimepokonywa mume nikiwa na mtoto wa miaka mitatu niliishiwa kunyanyasika nikaamua kuondoka mwenyewe,kuna msemo unasema mwenye nguvu mpishe
@monicakimati4619
@monicakimati4619 4 ай бұрын
Pole sana nenda kwenye maombi kikundi Cha karismatiki Katoliki..Yesu Kristo atakufungua
@rerisamba
@rerisamba 4 ай бұрын
Chezea mizimu na mibabu ya ukoo ikikuamulia huoleki
@SaadaSuleyman-f1i
@SaadaSuleyman-f1i 4 ай бұрын
Tatizo lake huwa wana tuchukulia wapuuz haswa pale unapompenda mtu nakuwa muwazi kwake wewe mshukuru mungu Da isha
@RajabuHayyan
@RajabuHayyan 4 ай бұрын
Dada mwanume wa peke yako hakuna 😅omba upate atakae kuheshimu na kukupenda lkn wa peke yako mzar mwenyew😅
@KituRu
@KituRu 4 ай бұрын
Wapo
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 ай бұрын
Wapo
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 ай бұрын
😳🤔huyu kaka mshenzi kumbe😮 Eti huyu nyota yangu
@MamaAisha-w1x
@MamaAisha-w1x 5 ай бұрын
Wee isha hayo ndo maisha yako mbona wee bwana wako wazaman mliachana kwa sababu amekufumania au umeshajisahaulisha
@IddAthuman-o9s
@IddAthuman-o9s 5 ай бұрын
Huyo mshangazi nikama halikua hanatafuta sababu,ha kwende huko, kama hanataka wake wapekeyake hangemuhumba wake
@sajdatomar6025
@sajdatomar6025 4 ай бұрын
Mmh mbona h nyingi 😅😅😅😅😅😅 kiswahili kigumu kweli​@@IddAthuman-o9s
@samanyaswai
@samanyaswai 4 ай бұрын
Isha Ulikuwa Na Rako Rohoni Ulikuwa Na Sababu Zako So Ndo umeamua Kushikilia Hapo Hapo.
@Bless-sk8uv
@Bless-sk8uv 4 ай бұрын
Utasubiri sana huyo mwanaume wa pekee eti😅😅 alafu huyo lijimama najiuliza vijana wenzangu unalala nae vipi? 😢mtu kaa libuyu
@Susan-f4j
@Susan-f4j 4 ай бұрын
Somo please nupe nafasi
@dignakanje4508
@dignakanje4508 4 ай бұрын
Labda umzae mwenyewe.Utaolewa sana .Vinginevyo uache mhusiano.
@aminajuma1435
@aminajuma1435 4 ай бұрын
Wapumzisheni kidogo jamani ... Muweke akiba yamaswali , maana wakirudiana mtaanzatena upya kuwahoji.
@ConstanciaShangali
@ConstanciaShangali 4 ай бұрын
Hakufai Huyu mwanaume.. ni Mnafki bora umemgundua mapema
@EuniceOdegea
@EuniceOdegea 4 ай бұрын
Aisha mrembo sana
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 5 ай бұрын
Nyie kaz ya Mabango nikukimbiakimbia tu akisikia isha alipo,nenda nyumban kwake au oficn kwake mctuchoshe
@Fofo-z6t
@Fofo-z6t 4 ай бұрын
Huu ndo msimamo da isha
@HishamMudhheer
@HishamMudhheer 4 ай бұрын
Angekua hana hela angerizika tu..tatizo kamzidi kipato huyo mshkaji ndo maanaa😂
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 4 ай бұрын
Kijana badilisha msimamo huyo bibi hakutaki tafuta binti uoe mungu kakataza zinaa mbaya Mungu anakuepusha na jambo Kuna shari ingine lkn inakuwa na kheir na ina kuwa kheir lkn ndani yake ipo shari Tafuta binti uoe huyo bibi achana naye ataoata mtu mzima mwenzie Kashavurugwa humwuwezi achana naye unajidhalilisha bureee
@HALIMASIRI-w7i
@HALIMASIRI-w7i 4 ай бұрын
Utasubiri wapekeyako paka kesho😊😂😂
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 4 ай бұрын
Aisha awakujui vizuri apo ndipo nauona msimamo wa bibietu apo Peps dah aisha kaza
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 4 ай бұрын
Dawa mnaweka wenyewe halafu mkipendwa drama kibao
@MariamWiliam-z8k
@MariamWiliam-z8k 4 ай бұрын
Mnaomtukana isha kumamae zenu kawakosea nini ye kaamua namsimamo wake na pia ndo kajipangia maisha yake htaki mtu mwenye mambo mengi muachen kipuri isha
@KituRu
@KituRu 4 ай бұрын
Isha yupo sahihi
@hemedchuma9-cq4nh
@hemedchuma9-cq4nh 4 ай бұрын
Kwa kauli hz za uyu jamaa hana mapenz ana htj ela
@miss_megan
@miss_megan 4 ай бұрын
This guy shud work hard and respect himself, sometimes it's not worth it...kama mtu hakutaki hakutaki poor mindset will make one be worthless
@elizabethcharles6527
@elizabethcharles6527 4 ай бұрын
Achana nae uyo Isha akufai anakaaa nawew kwasababu yakitu fulani naww
@mustaphasegeja1712
@mustaphasegeja1712 4 ай бұрын
Isha unajishaua Sana sikuizi
@mrfashion1687
@mrfashion1687 4 ай бұрын
"Mwenyezi mungu alimuumba EVA akamuumba na ADAMU"😮😮😮😮😮
@augustinofifi
@augustinofifi 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@asumaathuman6094
@asumaathuman6094 4 ай бұрын
Kijana anataka hela huyoo😢
@PascoMlinga
@PascoMlinga 4 ай бұрын
Acha ushamba pambana na maisha Yako
@KhalfanSeleman
@KhalfanSeleman 4 ай бұрын
Wewe unaweza wakwako katengenze waudongo
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 4 ай бұрын
Dah! Mbona hizi ni aibu ? Kwani hawa watu wana matatizo gani , ni ujana kiki ukosefu wa nidhamu binafsi ama ninini duhh ! Tuwe na hofu ya MUNGU na wanadamu waliotusunguka..sikutegemea kama dada Isha nae ataingia kwenye hizi ishu za kujidhalilisha mitandaoni kisa mapenzi ...dahhhhhh!!!! Aibu hizi
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 4 ай бұрын
Wapo bwana wa pekee yake safi una msimamo mzr
@HawaSwabra
@HawaSwabra 4 ай бұрын
Ajifany kam mtoto mdogo vile ajikuta mzuri kumbe duhu mm pia ninanafuu
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 4 ай бұрын
Mzuri ndio
@MohamedSarahani-gk6jx
@MohamedSarahani-gk6jx 4 ай бұрын
Nakumbukaaa ishaaa alikuaa naa jaamaa mmoja anaitwaaa tevez ,tevez alimkeraaa waligombanaa wakavunjiaani viiio vyaa gari zaaoo haikupitaa mudaaa wakaaachanaa semaa aishaaa anaa msimaamooo sanaa
@MariyamSimba-ub7lz
@MariyamSimba-ub7lz 4 ай бұрын
Unajua mwazoni Nilikuwa sijakusoma ila Aisha Simama na msimamo Huo huo Dada akwende tyuuu😂😂
@HawaaMkubwa
@HawaaMkubwa 4 ай бұрын
Mwisho wa zinaa ni kudhalilika
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 4 ай бұрын
Fukuza dada asikupotezeyi mda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Hanifa4-d4q
@Hanifa4-d4q 4 ай бұрын
Kaka anatafuta umalufu kwanguvu😂😂😂😂
@ashaabdallah9672
@ashaabdallah9672 4 ай бұрын
Huwez kupata mwanaume wa peke Yako my sister wapeke yko hapana ni sawa sawa kutafuta sigiria ya mikono mirefu utaitowa wap hakuna icho kitu mume wa peke yko sahau
@RajabuHayyan
@RajabuHayyan 4 ай бұрын
Umeona eee omba upate wa nafuu
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂ujinga tu hamna kazi
@DorisLiwenga
@DorisLiwenga 4 ай бұрын
Uwo ndio umwanamuke/wanawake kuweni msimamo kama Isha
@AnzeraniSalee
@AnzeraniSalee 3 ай бұрын
ila Kaka yangu ulipata mwanamke sahih kwako bac tu ????????
@paschalsenole4167
@paschalsenole4167 5 ай бұрын
Kiukweli mm shabiki wa Isha lkn Kwa hili 😂😂😂
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 4 ай бұрын
Bibi anajiona mzuri wakati hana tofauti na kabati la nguo
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 4 ай бұрын
Ni mzuri
@emaanursery6183
@emaanursery6183 4 ай бұрын
Jamani muacheni isha Ana mwili kama kabati . Kwani wewe .unamwili waaje acheni upumbavu hata kama nimimi hakuna mwanaume wawawli wameweza wenzetu waislam ila wengine hatuwezi kabisa kabisa kwahiyo isha uko sawa kabisa
@hawamohamed2059
@hawamohamed2059 4 ай бұрын
Isha chunga ukizidii kumkataa mabango atampata mrithii 😅😅😅
@JahnjeanjayNjau
@JahnjeanjayNjau 4 ай бұрын
Huyo Isha naona ana tabia kama mimi naona kinyaa tu kama mmeshakubaliana inabidi mridhiane mbali na hapo usanii haujengi uhusiano wa kimapenzi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 ай бұрын
Wanawake km hawa huwezi kuwa-control ... Lkn pia kuna mwanaume mwenye mwanamke 1 wapo
@LatifaIrakoze-ws6hp
@LatifaIrakoze-ws6hp 4 ай бұрын
Sasa huyo mwanaumme si amuace wanawake wapo warmer wapo nimapenze tu kama .hamutaki anajitapa.anataka wake pekeyeke. Na eye atapata wakwake peke yake huyo mwanamuke akielewi eti mwaname wa peke yake wewe ni malayika. Anza ujiangaliye vizuri kwa kiyo. 😂😂😂.mayisha ni safari has irakoze ni hasara.ungemusamehe mayisha akaendeleya
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 4 ай бұрын
Nyie wandishi wasenge kweri mnawarazimisha wapatane arivyo tongozana mrikuepo mbona mnashindwa kuwaoji watu wenye uwitaji wagonjwa na kero zirizopo tz
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 4 ай бұрын
Hivi baadhi ya watu wanajua maana ya neno MUME/MKE😂😂 hizi caption.
@wahidabakar
@wahidabakar 4 ай бұрын
aisha msamehe mwenzio
@AidaRashid-u5l
@AidaRashid-u5l 4 ай бұрын
hata utembee masharik na maharib hupati mwanaume wa peke yako msamehe huyo bint ni chizi anatuma picha uchi
@Siti-ho4yd
@Siti-ho4yd 4 ай бұрын
Ila watu wanafki apa ndn n uchochezi usimrudie usimrudie km mungu anasamehe uyu n nan😏😏😏
@GraceMalley-ly2xn
@GraceMalley-ly2xn 4 ай бұрын
Utampata mwingine atakosa Tena mwisho utaitwa nani wew usie jua kusamehe ndugu Yangu jua amekosa na msamehe maisha yaendelee ila kaeni muongee Kuwa akirudia Tena Hata Sisi tutakuwa mashahid wako
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 4 ай бұрын
Nilikuwa cjamjua kumbe asha ushuziii😂😂
@dorislema2465
@dorislema2465 4 ай бұрын
Wew ndohuna iyo adabu unaetembea na mtoto wa 2000
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 4 ай бұрын
Isha wewe mtu mzima Hebu kuwa msamehemi mtu wa kusamehe umekuwa msusuavu wee mbona unamkosea mengi alitekuumba unataraji msamaha lkn wewe kumsamehe binaadamu mwenzio mgumu mtu mzima hovyoo Kijana umeshajizaliliza kwa huko isha lkn anajishetua wanawake wako wengi tena wazuri kushinda hata huyo bibi tafuta bi ti uoe achana nahuyo shangingi
@frankfelix3876
@frankfelix3876 4 ай бұрын
Hapo ndoutaamini mwanamke nikiumbe kizuri lakini mwanamke akichafuka robo Kaa mbali nae kabisa hawafai hata kidogo
@Kabeya410
@Kabeya410 4 ай бұрын
We mtangazaji acha kupotosha kama hujui uliza WA KWANZA KUUMBWA NI ADAM SIYO EVA SISI KTK QUR AN NI HAWA SASA WE KUSEMA ATI ALIUMBWA KWANZA EVA KWA MAANA YA HAWA UNAPOTOSHA KITABU GANI UNANUKUU LETE ANDIKO UNAHARIBU WATOTO WASIO JUA
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 4 ай бұрын
Mwanamme wa peke yako ni baba yako mzazi tu. Utahangaika sana sana kumpata. kumpata
@NewNew-ep5dq
@NewNew-ep5dq 4 ай бұрын
Wakwako utampat wapi
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 4 ай бұрын
Isha Kwa nacharo upajui😂😂😂izo nyonyo vipo
@kilogreek4050
@kilogreek4050 4 ай бұрын
MADAM ISHA ANATAKA KUOLEWA NA SULUM KIKEKE 😂MUANDISHA USIKIHI KAMA UNATUKANWA??????😂😂😂
@DaudLucas-qj3mp
@DaudLucas-qj3mp 4 ай бұрын
Yani vyombo vya habari kunavitu vingi vyamsingi kulisaidia taifa kusonga mbele mmekalia kuhoji mambo ya kihuni na wahuni
@AshaAlfred
@AshaAlfred 4 ай бұрын
Dah!! Ukewenza mwiko mm nakuelewa sanaa
@abdulbonomali6548
@abdulbonomali6548 4 ай бұрын
Mwanamke anaweza kumwacha mwanaume wake kwasababu ya kuchepuka na akanzisha mahusiano na mwanaume mwenye mke
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 ай бұрын
😂😂😂
@KeemTitanium
@KeemTitanium 4 ай бұрын
Isha yuko na mu whiteeeee
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 4 ай бұрын
Ndo mkome kufuga vibenteni
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 4 ай бұрын
Huyo mwaname bwege tuuu mashangingii waliojaa kibao mjini unang'ang'ania mwanamke asie kutaka
@ChichiMdem-oh6vi
@ChichiMdem-oh6vi 4 ай бұрын
Achakuwa kama sigala kali mbele inawaka nyuma inawaka wewe siulisema hakuna unacho misi kwa isha mpumbavu wewe muache anzishe maisha yake eboooooo
@HALIMASIRI-w7i
@HALIMASIRI-w7i 4 ай бұрын
😅😅😅 mwambie
@stn4873
@stn4873 4 ай бұрын
Alfu anaenda mbele anapanda😂😂😂😂😂
@maimunaathumani9121
@maimunaathumani9121 4 ай бұрын
Yupo kimaslahi uyo da aisha achana nae
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
MUNIIRA AYAA JAWAABTI UGU DANBEYSA & TALO SIIYAY
32:46
Mohamed Buskut Official
Рет қаралды 20 М.
NDARO KAMCHOMEA STEVE TENA AYAAA
12:27
Steve Mweusi
Рет қаралды 501 М.
ISHA MASHAUZI kuachana na Muziki wa Taarab mazima?
14:52
NG'ARING'ARI
Рет қаралды 18 М.