Jifunze namna bora ya kulima zao la karanga, mbegu bora ya karanga, wadudu na tibazake, magonjwa ya karanga na namna ya kuyazuia.. USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANEL YETRU UPATE MAKALA NYINGI ZAIDI
Пікірлер: 21
@claudjohnАй бұрын
Na mkoa wa iringa inakubali
@matugundamatugunda10 күн бұрын
Pia ninaomba mbegu nzuri ya kupanda Tanga
@josephjulias4149Ай бұрын
MITANDAO YA KIJAMII INAYOTOA ELIMU YA KILIMO BORA CHA MAZAO MBALIMBALI YA CHAKULA .NI NEEMA KWETU SISI WAJASI.IA MALI.
@edwardmadembwe1431 Жыл бұрын
Nakubal kaz nam namuomba mungu anijalie msimu 2022 nipande karanga eka 12 shamba lipo Tayar linaendea kusafishwa na kulimwa
@matugundamatugunda10 күн бұрын
Hbr ndg zangu, ninaomba namba za Whatsapp
@rabiaagenda36172 жыл бұрын
Hekari Moja naweza kupanda karanga kiasi gani
@nyemondagalla60811 ай бұрын
Dawa gani inafaa kwa palizi?
@abuujibriltv5233 Жыл бұрын
Unaweza kulima garanga kilimo Cha kumwagilia?
@kamilimaisha59822 жыл бұрын
Hekari moja inaweza kutoa karanga gunia ngapi au kilo ngapi?
@dorminantgene54893 жыл бұрын
Maelezo mazuri , ni mbegu gani naweza kupanda pwani? Nambari yenu ya simu
@kilimopesa273 жыл бұрын
0656258254 mbgu nzr kwa pwani ni Red mwitunde na Nyota
@princessdickson69003 жыл бұрын
Mbegu zuri ya karanga upande wa iringa ni ipi msaada