KILIMO CHA MAHARAGE.

  Рет қаралды 27,359

Tino Agri     TV

Tino Agri TV

2 жыл бұрын

Kilimo cha maharage ni rahisi na kinalipa sana kikifanyika kwa utaalamu. Gharama nafuu na ushindani wa soko sio mkubwa sana. Huhitaji kusafiri, kinachofanyika ni kuwaita wateja waje shambani kwako na kuchukua mzigo.
Ekari moja ya maharage ya njano kwa maeneo mengi unaweza pata gunia kati ya 8 - 12 au zaidi ila inategemea na eneo unalolimia.
Shamba la maharage kama unalima kwa kumwagilia unaweza lima mara tatu kwa mwaka . Hii ina maana ukilima ekari moja tu utakua na uhakika wa kipato cha uhakika na kikubwa kila baada ya miezi minne

Пікірлер: 16
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 6 ай бұрын
Hongera sanaa Kwa mkulima anajuhudi na maarifa Sisi waafrica tumelala sanaa tunafikili tunaweza kuishi bila KAZI za viwango lazima tubadilike kama wengine duniani
@abdallahseif7858
@abdallahseif7858 Ай бұрын
Mbegu za maharage ya njano napawa wap chief msaada
@zeyanaalharthy5049
@zeyanaalharthy5049 4 ай бұрын
Kisarawahi unaweza kupanda
@salummkulima3225
@salummkulima3225 Жыл бұрын
Kwa kipindi hiki Cha 2023 ni mda gani wa kupanda
@mafunzokuhusukilimo5375
@mafunzokuhusukilimo5375 4 ай бұрын
Samahani ndgu yangu nilikwa off kwa muda mrefu sana
@SurprisedBorderCollie-ls2mq
@SurprisedBorderCollie-ls2mq 6 ай бұрын
Unaweza vuna kiasi gani kwa eka
@Kheir220
@Kheir220 Жыл бұрын
Nahitaji mawasiliano baina yetu, nataka kuanza iko kilimo , nikiwa na maana kwamba uwe mwenyeji wangu . Huko mim ni mgeni natokea Zanzibar.
@levinakyauke
@levinakyauke Жыл бұрын
Kak nashukuru Sana Ila haiwezekan kupata mawasiliano na ww
@josephkalenge9186
@josephkalenge9186 2 жыл бұрын
Naomba kujua madawa ya kudhibiti magonjwa ya mimea ya maharage
@mafunzokuhusukilimo5375
@mafunzokuhusukilimo5375 4 ай бұрын
Tafuta Nordox Express hyo ni red copper pia tafuta na Booster ya Verno amplifaya ambayo ina Calcium, copper , Zinc na Brono kwa wakati moja
@FrolahRimo-cm3tu
@FrolahRimo-cm3tu 6 ай бұрын
Unanong,ona alafu nasema tusbucrib
@mafunzokuhusukilimo5375
@mafunzokuhusukilimo5375 4 ай бұрын
@frolahrimo samahani ila si kila mtu alipewa sauti kubwa ndyo maana kuna wingine ni pastors kuna wingine ni walimu kila mtu na karama Yake
@mathiaskalawa3753
@mathiaskalawa3753 Жыл бұрын
Konokono wanakata maharage dawa gani nitumie
@mafunzokuhusukilimo5375
@mafunzokuhusukilimo5375 4 ай бұрын
Tafuta FERRARI GOLD MKUU
@julianamhenga1712
@julianamhenga1712 2 жыл бұрын
Hivi ni sahihi kupiga booster kwenye maharagwe!?
@mafunzokuhusukilimo5375
@mafunzokuhusukilimo5375 4 ай бұрын
Kabxa ni Sahihi
KILIMO CHA MAHARAGE: UPANDAJI, MBOLEA NA UTUNZAJI
15:16
AGALUS TV
Рет қаралды 58 М.
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 70 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 3,6 МЛН
Kilimo sawa: Ukulima Bora wa Maharagwe ya Kawaida
15:25
Kilimo TV
Рет қаралды 37 М.
HUDUMA KWENYE MAHARAGE SIKU 30 ZA MWANZO
4:35
AGALUS TV
Рет қаралды 578
Shamba darasa la maharage: siku ya mkulima na sakirp (enabel)
11:34
MAKALA YA  MBEGU  BORA ZA MAHARAGE TBC
25:23
Monica Liampawe
Рет қаралды 8 М.
Msichana Mjasiriamali Tanzania kupitia kilimo
2:30
DW Kiswahili
Рет қаралды 151 М.
KILIMO  CHA  MAHARAGE:  MATUMIZI YA MBOLEA
9:32
AGALUS TV
Рет қаралды 12 М.