Kipindi hiki ni maalum kuhusu KILIMOBIASHARA CHA MPUNGA. Katika kipindi hiki utajifunza hatua zote muhimu za kilimo cha mpunga kuanzia vigezo muhimu vya kuhagua shamba,, maandalizi, maandalizi ya shamba, vigezo vya kuchagua aina ya mbegu za mpunga, usiaji wa mbegu katika kitalu (HII ITAKUWA PART 1) Katika PART 2 ya kipindi hiki utajifunza MBINU na KANUNI za utunzaji wa shamba la mpunga ili kupata mavuno bora na mengi. Katika PART 3 ya kipindi hiki utajifunza juu ya uvunaji, utunzaji na masoko ya mpunga kwa marefu na mapana. Kama ndio mara ya kwanza hapa nakusihi SUBSCRIBE, COMMENT,LIKE & SHARE ili ujiunge nasi katika masomo haya yanayokujia kila wakati kutoka mashambani. #kilimobiashara #ajefarms #biashara #ujasiriamali #trendingshorts #mashambayanayotyembea #tanzania #live #ufugaji #viral
@BulleIkila23 күн бұрын
Nataka.mbolea
@aje-farmsmashambayanayotem739223 күн бұрын
Mbolea aina gani tafadhali? Unaweza kupata ushauri na kuagiza mbolea hapa : www.aje-farms.com Au WhatsApp:0757757968 Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO.
@AbelyBufumbe-dk9eq Жыл бұрын
Nawapata vzr sana nikiwa kisiwani Comoros
@aje-farmsmashambayanayotem7392 Жыл бұрын
Karibu sana. Ni matumaini yetu kuwa unaweza kusambaza video hii iwafikie Comoros ili wajionee shughuli za kilimo cha mpunga Tanzania.
@johnmakundi24154 ай бұрын
Habari ya Comoro?
@aje-farmsmashambayanayotem73924 ай бұрын
@johnmakundi2415 tafadhali SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWAFIKIE WATU WENGI COMORO na maeneo mengine duniani! Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA
@bibibomba97998 ай бұрын
Kiukweli masomo ni mzuri mno
@aje-farmsmashambayanayotem73928 ай бұрын
Ahsante kwa feedback yako. Tafadhali SUBSCRIBE na share video hii ili wengine waweze kujifunza. Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA
@BulleIkila23 күн бұрын
Bolea.nitaipata.wapi
@aje-farmsmashambayanayotem739223 күн бұрын
Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA na tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Kupata ushauri na kuchat na wataalamu wetu tembelea hapa: www.aje-farms.com
@enockgasto98332 ай бұрын
Je mpunga kalamata unaweza kuweka mbolea ya kizungu? Kama ndio mbolea gani? Kwa wakati gani? Mara ngapi? Vp kuhusu palizi ni njia ipi sahihi ya kuuwa magugu? Palizi yaani
@aje-farmsmashambayanayotem73922 ай бұрын
Kupata ufafanuzi zaidi wa kina agiza mwongozo kamili wa KILIMO CHA MPUNGA ambao utatumiwa kwa WhatsApp na kisha kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp BURE. Kwa mawasiliano zaidi WhatsApp:0757 757 968. Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII. Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.