Maswali siku zote ni muhimu kuliko majibu. Mbona hujazungumzia mbolea? Mbolea ni muhimu sana kwenye kupata mavuno mengi
@abras347911 ай бұрын
Inaonekana mwandishi siyo mpenzi wa Kilimo its just a JOB to you. Mbona huonyeshi Shamba lililoandaliwa la Mpunga lenye vijaruba? Too many images missing. Maneno matupu hayasaidiii. Hata masuke umeshindwa kuonyesha😳😳😟🥺