Рет қаралды 4,745
Kilimo cha mbogamboga na matunda kinaweza kusaidia kupata virutubisho vya mwili kwa urahisi pasi kutumia gharama kubwa.
Moja ya mbinu bora ya kulima mbogamboga ni utumiaji wa viroba maarufu kama bustani viroba.
Wakulima kutoka Nyaranda wilayani Kilosa wamenufaika na mafunzo mbalimbali kutoka kwa Wataalamu wa Kilimo na kuamua kufanya kilimo cha Bustani Viroba.
Kipindi cha ShambaMali kinachokujia kila siku ya jumatatu saa 1:15 asubuhi, jumatatu hii kinakufahamisha namna gani wanakulima hao wamefanikiwa kutokana na kilimo hicho karibu kusikiliza…
ZAIDI TEMBELEA