Duuh Mimi pia kweli nlikuwa najiuliza Sungura wao anauzwaje laki Tatu??
@daudmakwasinga67543 жыл бұрын
sungura wangu manyoya yao yanasikana sana je huu ni ugonjwa gani
@elizabethkalinga08222 жыл бұрын
Naomba Mawasiliano yako Mtaalamu, natamani kujifunza Mengi Kwenu/Kwako
@sophyjoseph23527 жыл бұрын
wooow mmenishawishi
@gastordominic4104 жыл бұрын
Njoo nikuuzie
@anthonymushi26104 жыл бұрын
Nipo MUSHI KILIMANJARO nicheki kwa mbegu poa kabisa ya sungura jamii ya New Zealand white kwa bei nafuu na poa kabisa ahsante
@lessomwinyimkuu12684 жыл бұрын
Tukucheki vipi sasa....hujaweka no..
@anthonymushi26104 жыл бұрын
0620214998
@josephinembelenge45784 жыл бұрын
Napataje nipo dar 0715271304
@lesthermulagha66872 жыл бұрын
Ninamkoja karibu Lita 3000 Sina kwa kuuza niunge basi Ili niuze.
@patrickmwavipa30424 жыл бұрын
Kwa mbeya vp,
@ali_ford2 жыл бұрын
naomba namba ya hao tbcc
@kennethamman94922 жыл бұрын
Ulianza na sungura wangapi
@RehemaMwahalede8 ай бұрын
No zeni please
@fredyfile6234 жыл бұрын
Hivyo kama mtafuga hakikisheni kwanza mnatafuta soko wenyewe ndo muanze kufugaaa
@hadijaammir16473 жыл бұрын
Chakuchasungura
@RehemaMwahalede8 ай бұрын
Asante Sana Lakini nahitaji mbegu nafanyaje
@DanielMollel-v5z3 ай бұрын
Mm niko Dodoma ndiyo naanza ufugaji Niko na sungura 34 changamoto ni soko
@Aviero_07Ай бұрын
13:23 📌🙌
@TEACHER.CLEOPHAS3 жыл бұрын
Great work.
@joykimar52875 жыл бұрын
Jamani tuwezesheni nasi wenyeji wa iringa
@laurianpancras49532 жыл бұрын
Je? Vitoto vya sungura wa naachishwa kunyonya kwa siku ngapi
@omarymaliwa10923 жыл бұрын
Mm nafuga sungura je naweza kuwauza wapi
@bsrabbitfarm2 жыл бұрын
Habari za leo samahani naomba msaada nahitaji drinker za maji kwa ajili ya sungura nazipataje? Nipo nachingwea- Lindi
@earnwithme50752 жыл бұрын
nice
@fredyfile6234 жыл бұрын
Yaaani now nimebaki namabanda tu nanimepoteza pesa nyingi kwenye huuu mradi bcz unaambiwa ufuge lakini siku yawao kuja kuvuna na kupewa hela yako ndo mtihani
@gastordominic4104 жыл бұрын
Ww umeenda saore ni wezi tu wale tafuta soko lako ww
@herimwijonge9544 жыл бұрын
@@gastordominic410 why?? Mimi pia nlikuwa Na swali nao !! Sungura anauzwaje laki Tatu?? Ni kweli??
@sahoyosutre40157 жыл бұрын
very good project
@lameckfleekboy1404 жыл бұрын
Mko kenya
@obadiangabo48175 жыл бұрын
kilimo juu
@richardantony2457 жыл бұрын
safi
@reginaldsukums18125 жыл бұрын
What breeds do you prefer?
@mshindivictor16905 жыл бұрын
Asante
@magrethmkoga73402 жыл бұрын
Ningependa kupata group la wafugaji sungura WHATSAPP
@reginaldsukums18125 жыл бұрын
Nehemia Sungura pia wanapata coccid hilo umeliona
@elineemaayo93267 жыл бұрын
naitaji kuwa mfugajii wa sungura ila soko sijuh soko la uhakika lilipo ili nikitaka kuuza mda wowote naopenda niuze
@farijihaule68814 жыл бұрын
Nauza sungura anaehitaji
@josephinembelenge45784 жыл бұрын
Nahitaji sungura 0715271304
@farijihaule68814 жыл бұрын
Josephine Mbelenge unapatikana mkoa gani
@tatuhamisi48384 жыл бұрын
Na mm naitaji sungura
@tatuhamisi48384 жыл бұрын
0699343135
@masaganoela96453 жыл бұрын
Nataka
@godfreymwambakatimo90005 жыл бұрын
Habari nauliza sungura wako ni aina gani na unapatikana wapi?
@reginaldsukums18125 жыл бұрын
Aina ipi ya SUNGURA MNAFUGA?
@nyanzalakaporo25047 жыл бұрын
SAFI SANA NA HONGERA SANA NA MIMI NIME ANZA KUFUGA SUNGURA, MUNGU ASAIDIE WAFIKE KAMA WAKO
@josephmgema67645 жыл бұрын
samahan kk napenda xna huu ufugaji kk npo morogoro kw kwss kwet kahama , naomba nmb ako ilinikutafute
@geraldmosha91354 жыл бұрын
uko vzuri kaka.ntumie namba zako tuwasiliane zaidi@nyanzala kaporo
@fredyfile6234 жыл бұрын
Kama unafuga fuga tu lakini hii kampuni ya ttbbcccc yakitapeli kabisaaa na imelizaaa sana watu huku arushaaa na mmojawapo ni mm hivyo nawashauri watanzania wenzangu muwe makini bcz ss wengine tumeshaa liaaaa
@juliethmbuya81464 жыл бұрын
Mh mbona Nisha ogopa
@mustafaseif1646 жыл бұрын
Plz mm nataka sungura wa kufuga plz ni test WhatsApp 0629968641
@alfredjoshua86255 жыл бұрын
Na kwa mfugaji anae tarajia kuanza kufuga na yuko mbali na dsm. anapataje huduma zenu. je ni lazima kuanza na mtaji mkubwa kama mlivyoonyesha kwenye bajeti yenu??
@gastordominic4104 жыл бұрын
Ukitaka banda la bei nafuu tuwasiliane...mm fundi mabanda na mfugaji nipo mkuranga 0714085555
@larickmtui28526 жыл бұрын
Jaman me mfugaj na mkulima ila masoko cjapata
@kilimobiashara93616 жыл бұрын
pole unatakiwa kuanza na soko ndo uende kwenye kilimo
@abdullahibashir39577 жыл бұрын
poa
@alphonceshayo39687 жыл бұрын
naomba kuuliza soko lake likoje
@kilimobiashara93617 жыл бұрын
Soko lipo kwao kwa mkataba kama upo Dar watembelee maeneo ya sinza TBCC
@alphonceshayo39687 жыл бұрын
na kama ninao nahitaj kuuza n.a. sina mkataba nao
@henrysoori25297 жыл бұрын
Kilimo Biashara Arusha je? au wako Dsm tu???
@mwandumazaoidrossa17027 жыл бұрын
wapigaji hao kuweni makini eti soko liko kwao ndiyo uwauzie wao. upigaji tu
piga simu ama tuma ujumbe mfupi kwenye namba ya kilimobiashara uatumiwa hizo number
@bahatibithmuth15967 жыл бұрын
Kilimo Biashara Namba za kilimo na biashra hatuna
@erickwainaina57086 жыл бұрын
mahala papi Nairobi tafadhali?
@gastordominic4104 жыл бұрын
Mbona namba hamuweki jaman
@henrysoori25297 жыл бұрын
kwa hiyo Tbcc kwa mikoa ya Arusha Hawahusiki? au ni kwa Dsm tu?? Naombeni msaada wa majibu Yenu
@paschalkimaro98757 жыл бұрын
kwani hao sungura ni lazima watoke huko tu kama ninao nauza wapi?
@jemsbike91956 жыл бұрын
simba
@godwinwilfred66317 жыл бұрын
Je mbegu mnatoa nyie? Kama upo kanda ya ziwa vipi?
@kilimobiashara93616 жыл бұрын
Tuma ujumbe mfupi Kwenye namba iliyo Kwenye makala 0713588410 utahudumiwa
@martinapanga1766 жыл бұрын
Hayo majani ya kuwalisha sungura wngi dar nayatoa wapi jmn
@godfreymwaweza54895 жыл бұрын
Namba walizo tuwekea tuwasiliane hao tbcc kila ukipiga hawapatikani yani zimezimwa sasa mnatutamanisha alafu hampatikani ndo nini sasa?
@godfreymwaweza54895 жыл бұрын
@@kilimobiashara9361 tafadhar nipo dodoma kibaigwa nataka kufuga hivyo nitawapateje vilevile nipate elimu kidogo
@Mendietadiamante79717 жыл бұрын
Kama mtaji tu wa banda milioni moja Mtanzania wa kawaida ataweza vipi,f** that business.
@julianajames32946 жыл бұрын
Kwan umelazimishwa
@albeez18445 жыл бұрын
Shedrack Kileo kileo wawapi fala ivo?
@teoraskasasila6965 жыл бұрын
Mr shedrack akili za kuambiwa changanya na zako so waweza kuanza kidogo na ukafika mbali never give up Mimi ni mbunifu wa mabanda ya bei ndogo waweza kunitafuta nikupe somo
@luttykenny28655 жыл бұрын
@@teoraskasasila696 unapatikana wapi
@teoraskasasila6965 жыл бұрын
Niko morogoro brother
@masaganoela96453 жыл бұрын
Nipo moshi himo naitaji sungura no 0766533088 je naomba bei