UFUGAJI WA SAMAKI NA MBEGU ZAKE

  Рет қаралды 69,239

Kilimo Biashara

Kilimo Biashara

6 жыл бұрын

Jifunze namna ya kufuga samaki katika hatua zote kuanzia mayai ya samaki mpaka sokoni

Пікірлер: 27
@jabirnalicho6218
@jabirnalicho6218 2 жыл бұрын
Nashukuru kwa elimu nzuri sana
@user-so9nd6ei1w
@user-so9nd6ei1w 4 ай бұрын
Naomba namba
@saidhamisi2795
@saidhamisi2795 3 жыл бұрын
Somo zuri Sana nimeshkuru
@jonathankaombwe6191
@jonathankaombwe6191 3 жыл бұрын
Ni gharama zipi ambazo zinatozwa ktk kujifunza ufugaji wa samaki.
@florajames769
@florajames769 2 жыл бұрын
Je naweza fuga kwenye maji ya chumvi?
@abdulmurtaza4722
@abdulmurtaza4722 4 жыл бұрын
Nahitaji kuja kwenu kujifunza na kuelewa jisni ya kuanza naomba unisaidi naomba mawasilano yenu
@danielminja2087
@danielminja2087 3 жыл бұрын
Ufugaji wa samaki
@KADALAtv255
@KADALAtv255 3 жыл бұрын
Tunawasilianaje sisi watu wa kipsto cha chini nawezaje chimbakisima na kwa gharama kiasi
@emilianabenedict2892
@emilianabenedict2892 2 жыл бұрын
Mbengu napataje nakaa arusha
@emilymaguga5870
@emilymaguga5870 4 жыл бұрын
Nningependa kufuga bwawa dogo tuu kwajili ya chakula naomba ushaur na namba zenu kwa ushauri
@fredrickwanjala741
@fredrickwanjala741 3 жыл бұрын
Je nina swali wenzangu iwapo nataka kufuga samaki kataki maeneo ambayo si mtoni ila bomani nitafanya nini
@goodluckkirango9820
@goodluckkirango9820 Жыл бұрын
naweza kupata namba zetu ilikupata vifaranga
@zhnnnsafisanamweshimiawata1312
@zhnnnsafisanamweshimiawata1312 5 жыл бұрын
nambayakonahitaji kuga samakkama firangaefutano nataka mbegu naushauri
@deesyjuma2510
@deesyjuma2510 3 жыл бұрын
Mimi nataka vifaranfga vya sato
@imanimanda4254
@imanimanda4254 5 жыл бұрын
Mimi nimefuga natakakuchimba menginematatu nahitaji mtalam kutokakwenu
@fredrickwanjala741
@fredrickwanjala741 3 жыл бұрын
Kwanza n mtoni au bomani inafaa tujue
@leodavid5714
@leodavid5714 6 жыл бұрын
Thanks
@dougrasmapunda9217
@dougrasmapunda9217 6 жыл бұрын
Shida mtaji ni mkubwa sana ila watu tunapenda ufugaji sana
@billionstrillion350
@billionstrillion350 6 жыл бұрын
Dougras Mapunda ukitaka kuwekeza usiwaze mtaji kwanza waza wazo lako lijenge vizuri kama elimu ya kufuga alafu mtaji badae
@joejose7608
@joejose7608 4 жыл бұрын
Naitaji mbegu plz 0621975435
@alfredfuteh573
@alfredfuteh573 3 жыл бұрын
Wakulima wanaotaka kufuga samaki Dodoma watapataje vifaranga?
@dougrasmapunda9217
@dougrasmapunda9217 6 жыл бұрын
My no 0652721014 napenda kilimo na ufugaji cjui na anza wap
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 35 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 69 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 181 МЛН
Kilimo cha Uyoga kinavyompa mafaniko mama huyu
19:12
Kidani Show
Рет қаралды 17 М.
ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94
26:39
TAJIRIKA NA KILIMO CHA ALIZETI
12:51
Tanzania Kilimo digital Tv
Рет қаралды 1 М.
EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!
26:20
Global TV Online
Рет қаралды 304 М.
TRAINING: Ufugaji wa Samaki
12:49
TAYOA MEDIA
Рет қаралды 39 М.
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН