KIPINDI UFUGAJI SAMAKI KWENYE MAENEO YENYE UKAME NA OEVU

  Рет қаралды 10,983

mifugouvuvi Online Tv

mifugouvuvi Online Tv

Жыл бұрын

Ufugaji wa samaki si jambo geni hata kidogo masikioni mwetu na wengi tunatambua kuwa ni shughuli inayohamkikishia mfugaji kipato na lishe mara baada ya kuvuna samaki hao..
Lakini mara nyingi tumezoea kuona shughuli hiyo ikifanyika maeneo yenye upatikanaji wa maji ya kutosha kwa kipindi chote cha mwaka jambo lililotufanya wengi tuamini kuwa maeneo kame hayawezi kufanyika shughuli hiyo na ubunifu mwingine wa kitaalam unaomuwezesha mfugaji wa samaki kufanya shughuli hiyo na kulima mpunga katika eneo moja na kwa wakati mmoja au watalaam wanaita “Samaki Mpunga”.

Пікірлер: 11
@UDFdaycareRuvuma
@UDFdaycareRuvuma 3 ай бұрын
Safi
@user-os8qc7pl1g
@user-os8qc7pl1g 3 ай бұрын
Nimeipenda sana hiyo fursa naomba mawasiliano yako
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 21 күн бұрын
Aina gani ya samaki?kambale?
@privatuskatabalo9617
@privatuskatabalo9617 10 ай бұрын
Changamoto ni mawasiliano
@ibrahimally9513
@ibrahimally9513 9 ай бұрын
Anatokea shinyanga wapi
@MohamedNgoli-ji8hj
@MohamedNgoli-ji8hj Жыл бұрын
naomba kujuwa mbegu ina patikana wp
@emilianazumbe5521
@emilianazumbe5521 4 ай бұрын
Kaka habari naomba nije nijifunze kwako kaka
@petercharles747
@petercharles747 Жыл бұрын
Naomba namba zenu tafadhali
@jhonbanza
@jhonbanza 6 ай бұрын
Je samaki n'a nguruwe kipi ni bora zaihidi katika mifugo
@user-yz5zn4tr6i
@user-yz5zn4tr6i 2 ай бұрын
Samaki, nguruwe wanachangamoto ila sikukatishi tamaa ukiweza nguruwe pia wanahela nzuri sana ukiwatunza vizuri
@ayubumitiyaki5840
@ayubumitiyaki5840 Жыл бұрын
maji asee unatowa wapi
KIPINDI: (FAHAMU NAMNA YA KUTENGENEZA CHAKULA BORA CHA SAMAKI)
29:16
mifugouvuvi Online Tv
Рет қаралды 4,6 М.
Tazama  NARCO Kongwa walivyofanikiwa kwenye malisho ya Juncao!
11:13
mifugouvuvi Online Tv
Рет қаралды 2,9 М.
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,7 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 152 МЛН
Самое Романтичное Видео ❤️
00:16
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4,9 МЛН
EXCLUSIVE: MASHAMBA YA MSTAAFU MIZENGO PINDA NI GUMZO!
26:20
Global TV Online
Рет қаралды 304 М.
UFUGAJI WA SAMAKI NA MBEGU ZAKE
28:54
Kilimo Biashara
Рет қаралды 69 М.
KILIMO CHA UFUGAJI WA SAMAKI
28:46
Tumaini_Tv
Рет қаралды 5 М.
UFUGAJI WA SAMAKI: MACHINGA ALIYEFANIKIWA KUFUGA SAMAKI
21:35
Jinsi mahindi yanavyoweza kuwa malisho bora ya Mifugo!
4:16
mifugouvuvi Online Tv
Рет қаралды 500
BMG TV: Ufugaji wa bata kwa tija, bei hadi milioni moja
28:12
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 5 М.
Сын вернулся с войны и сделал сюрприз 🤯
0:17
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 4 МЛН
🤣МАЛО КУПИТЬ ЛОШАДЬ
0:18
Бутылочка
Рет қаралды 4,8 МЛН
Хитрая МАТЬ делит НАСЛЕДСТВО между ДЕТЬМИ 😱 #shorts
1:00
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 8 МЛН
ПОХОДУ ОН БУДЕТ СИДЕТЬ ДОМА ДО СТАРОСТИ
0:18
😁💸 @karina-kola
0:16
Andrey Grechka
Рет қаралды 6 МЛН