KILIO KIKUU!! NA KISASI CHA MUNGU WETU | DUNIA YAFIKA MWISHO || MWL. TENGWA ||

  Рет қаралды 4,780

TENGWA TV

TENGWA TV

Ай бұрын

BWANA YESU ASIFIWE!
SHIRIKI AU NJOO, TUINUE BENDERA YA YESU JUU, NA TUSIMAMISHE NA KUOKOA TAIFA LETU LA TANZANIA KWA KUOMBA, KUFANYA TOBA NA KUMLINGANA MUNGU
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kufanikisha Makongamano:
LIPA KWA SIMU
M-PESA: 5143575
TIGO PESA: 6749284
JINA: UMOJA WA MAOMBI YA KITAIFA
BANK
NMB: 23210038745
JINA: MAOMBI TOBA KITAIFA
BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
UMOJA WA MAOMBI NA TOBA YA KITAIFA
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
+255 769 515 808, +255 629 304 931
#HudumayaUamshoNaMatengenezoYaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840
#0658901901 RUDI_MWANZONI _ MWL. TENGWA
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:
M-PESA: 0752 001 840
TIGO PESA: 0678 304 931
AIRTEL MONEY: 0694 331 055
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
AU KUPITIA BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
#HudumayaUamshowaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840

Пікірлер: 61
@nicolelove497
@nicolelove497 25 күн бұрын
Kama tengwa anavyolia ndivyo na wale watakaomsogelea tengwa watakavyolia maishani mwao manake tengwa atawatapeli mkapa muishe kabisa..na naamini wengine wameshatapeliwa mpaka sasa..shauri lenu
@AssaBenson
@AssaBenson Ай бұрын
Asante Yesu kwaajili ya mwalimu tengwa nikweli tumeibiwa Bwana tunaomba msaada wako neema Yako ilitoe kanisa lako tulipo kwama tuisikie injili hii ambayo haijahi kuhubiliwa yangu ulimwengu kuumbwa
@wilesadatare6866
@wilesadatare6866 21 күн бұрын
ubarikiwe
@rahelkimario1497
@rahelkimario1497 Ай бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU.
@maureenmgeni
@maureenmgeni Ай бұрын
Eeeh BWANA Yesu nipo tayari kukutumikia. Nitumie vile upendavyo. Amina.😊
@asnathlaizer4603
@asnathlaizer4603 Ай бұрын
Ee Bwana Yesu turehemu na watoto wetu
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Ай бұрын
Wanaoomba na kugalagala sio kwenye smenti au Malumalu bali kwenye udongo au chini au kwenye majivu hayo ni maombi gani ya kulia halafu mnajilusha kwenye mtandao na kuwaonyesha watu kama mnaomba,Yesu alisema uombapo ingia kwenye chumba chako cha ndani aonaye silini atakutunza mbona hamuelewii😅😅😅😅😅
@joycenyalembe7718
@joycenyalembe7718 Ай бұрын
Mtumishi Agnes Bwana akupiganie pamoja na Mbeba maono Tengwa na Nabii Alfa. Ni kweli ufahamu tumeibiwa Mungu atuhurumie eee Bwana natamani sana sana kuishi kwenye hii injili.
@janengaga2928
@janengaga2928 Ай бұрын
Mungu mkuu tuhurumie kanisa .Tusamehe Dunia mzima mtakatifu ni wewe MUNGU tuponye FUTA uovu tuponye magonjwa.ktk kristo YESU twaomba.Ameen.
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 Ай бұрын
Tuko tiyari Bwana Yesu Kristo kutembea nawewe popote upendapo pamoja na watumishi wako.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza Ай бұрын
Watu wanachanga!yikiwa
@anthonysambali7274
@anthonysambali7274 Ай бұрын
Nalijua linipasalo kutenda, wakati na saa ikifika nawe utajua Mwalimu mbeba maono. Sijutii kuyafanya maisha yangu ya mwilini sadaka tangu Mungu aliponiambia niliendee kanisa la Kristo nitapata ninachokihitaji. Hakika Yesu ni Bwana Mungu alie Hai na ndiye anayelitafuta kanisa lake
@SharonGodwill
@SharonGodwill Ай бұрын
Mtumishi wa Mungu ninawafatilia sana ila Nairobi mntafika lini jamani
@user-ne1cd7oq4z
@user-ne1cd7oq4z Ай бұрын
Mungu aliye ziumba mbingu na nchi aturehemu.
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z Ай бұрын
Eeeh! Mungu mwenye rehema, tupe uelewa wako kwa wingi Baba. Tusipotee zote kwa kutazama kwa macho ya nyama.... wakati ni sasa tumche Mungu bila kuangalia nyumba. Mungu afungue watu wake na awape fahamu zaidi. Yesu yuko duniani🙏🙏🙏🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️
@monicaisuja8917
@monicaisuja8917 Ай бұрын
Yesu nisaidie kuulinda Iman ya wokovu na nikujue wewe nikuone na utukufu wako.huku kwingene tunadanganywa tu naomba familia yangu ikujue zaid
@user-jj6lj2bg8z
@user-jj6lj2bg8z Ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu huwa nakufatilia sana naomba unisaidie nasumbuliwa na roho ya madeni nisaidie nashindwa nitayamaliza kweli nimesha rudi nyuma sana kiroho kabla ya maden nilikuwa vizur sana kwa sasa nipo tu
@joycenyalembe7718
@joycenyalembe7718 Ай бұрын
Amina,watumishi wa Mungu ulilolisema utulivu unatakiwa ili kuyaelewa maneno anayoyasema Tengwa. Bwana unipe neema
@AssaBenson
@AssaBenson Ай бұрын
Asante Yesu kwaajili ya mwalimu tengwa
@Veronicaaugustine-nb1vt
@Veronicaaugustine-nb1vt Ай бұрын
Turehemu yesu nisasaidie eee yesu
@nancyshikuku-vs9le
@nancyshikuku-vs9le Ай бұрын
Ee mungu tusamehe sisi watumwa wako jehovah.
@estertujinyuda6217
@estertujinyuda6217 Ай бұрын
Uamsho na ueneee kote kwa jina la yesu
@jamesgervas577
@jamesgervas577 Ай бұрын
Turehemu BWANA Turehemu watoto wako Turehemu . Huruma zako Yesu Huruma zako Bwana Yesu.
@user-xd9cb2vi8b
@user-xd9cb2vi8b Ай бұрын
Turehemu Mungu kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti.
@user-md7bq3ew4e
@user-md7bq3ew4e Ай бұрын
Mungu uturehemu sisi wakosefu maana tunaagamia kwa kukosa maarifa
@user-cz9ft8ru7s
@user-cz9ft8ru7s Ай бұрын
Mungu irehemu Tanzania na watu wake na Afrika nzima.
@lilymwashumbe4890
@lilymwashumbe4890 Ай бұрын
Bwana Yesu atusamehe
@SAAYAUAMSHOULIMWENGUNI
@SAAYAUAMSHOULIMWENGUNI Ай бұрын
Baba seba tusungulelage lubango,, Bwana YESU turehem
@HappinessMgonja-dt3wg
@HappinessMgonja-dt3wg Ай бұрын
Yesu upo duniani tusaidie akili na ufahamu vimeibiwa na joka
@ELIZABETHMTAITA-nr4vp
@ELIZABETHMTAITA-nr4vp Ай бұрын
Mungu tusaidie tupate kuelewa injili hii na kile unachotaka tufanye
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 Ай бұрын
Ee Mungu wetu uturehemu
@RehemaGodfrey
@RehemaGodfrey Ай бұрын
Tuhurumie Jehovah bwanaa mungu katikati ya ghadhabu ukumbuka rehema 🎉🎉🙏🙏🙏
@helenmdee4004
@helenmdee4004 Ай бұрын
Mpendwa hii ni injili ya. huduma ya.uamsho.ulimwenguni unapoisikia ndio imeshafika Nairobi jiunge na group uwe mmojawapo wa kuieneza injili.hii
@NellyRebiam-tu8uf
@NellyRebiam-tu8uf Ай бұрын
Naitaka hii.natahiii mimi Mungu tuhurumie
@denisbongore3098
@denisbongore3098 Ай бұрын
Mungu tusaidie
@ezekielphilemon7343
@ezekielphilemon7343 Ай бұрын
Alfa ahsante Baba
@carolinemasaka1400
@carolinemasaka1400 Ай бұрын
Eeeee Mungu wangu Tuhurumie
@MdalahFedes
@MdalahFedes Ай бұрын
Amina
@YonaTisho-iu2ng
@YonaTisho-iu2ng Ай бұрын
Ni kweli.
@ezekielphilemon7343
@ezekielphilemon7343 Ай бұрын
Ahsanteni sana
@ezekielphilemon7343
@ezekielphilemon7343 Ай бұрын
Karibuni kwangu
@dekarisaomiro9009
@dekarisaomiro9009 Ай бұрын
Mtumishi tengwa nahitajii ukombozi mimi na familia yangu yaani mimi sioti kabisa, naikatokea nikaota nishtuka tu yote imefutika sikumbuki hata neno moja. Ila najua nimeota nini sijui nisaidieni watumishi, maana maandiko yanasema vijana wataona maono na sisi wazee tutaota ndoto, nisaidie yamkini nimeibiwa hali sijui.
@tengwatv3749
@tengwatv3749 Ай бұрын
Nipigie tuwasiliane kwa namba 0766 182 718
@jorambranchofmud6299
@jorambranchofmud6299 Ай бұрын
Waa
@user-oc6xl5qy3z
@user-oc6xl5qy3z Ай бұрын
Deus nós perdoe, na verdade o diabo nos roubou, Deus nos resgate-nos.
@ezekielphilemon7343
@ezekielphilemon7343 Ай бұрын
Meditation❤
@dianastemile6976
@dianastemile6976 Ай бұрын
😢😢😢😢Mungu tusamehe tuhurumie
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Ай бұрын
Hata ni ninyi ni watu wa kawaii da kama sisi kwani mmetokqa sayali ingine? Sote ni wa hapa!!
@user-jj6lj2bg8z
@user-jj6lj2bg8z Ай бұрын
Bwana YESU asifiwe mtumishi wa Mungu nauliza kwa hio tuache tu kwenda kanisani tusalie tu nyumban naomba ushauli mtumishi wa BWANA
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv Ай бұрын
Kama Mahali unaposali hawana Utakatifu na wew upo tayari kwenda mbinguni salia nyumbani
@tengwatv3749
@tengwatv3749 Ай бұрын
Sawa mtumishi, naomba unitafute inbox kwa namba hii 0760 200 500
@AgnessMloka
@AgnessMloka Ай бұрын
Jamani Mimi nipo morogoro nawezaje kupatana na ninyi ,,injili hii haipo duniani inaongelewa rohoni Sana na hakuna anaye elewa kwa rahisi mpka afilie Sana na wakati anafikilia mifumo ya ulimwengu yanakuja yanazonga,,kweli hii siyo dunia ya mwanzo,,,
@tengwatv3749
@tengwatv3749 Ай бұрын
Oooh! Ubarikiwe sana Mtu wa Mungu kwa kufunuliwa mambo haya. Karibu sana, Unaweza kutumia namba hii kutupigia 0766182718 MUNGU AKUBARIKI SANA.
@tengwatv3749
@tengwatv3749 Ай бұрын
Mtumishi wa Mungu Agnes Mloka tuwasiliane na nitumie ujumbe kwa namba 0760 200 500 Prophet Alfa
@everlinenafula
@everlinenafula Ай бұрын
Pastor MUNGU awabariki kwa injili kama hii BWANA YESU awatie nguvu na Karibu kwetu KENYA na sisi pia tufunguliwe
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv Ай бұрын
Hao wanawake wajistiri wavue mapambo wasisuke ,Mungu hadhihakiwi
@Geofrey-Martin-Kaputa
@Geofrey-Martin-Kaputa Ай бұрын
Ni kweli kabisa mtumishi wa Bwana haitakiwi Kuomba umejiachia hivyo hasa kwa wanawake
@RehemaGodfrey
@RehemaGodfrey Ай бұрын
Nipo dar salesam nifanye Nini niwe nanyi hata iv nasikia kulia t sielewi nitapataje jamani munisaidie macho yanitoka t
@Prophetalfakihamba
@Prophetalfakihamba Ай бұрын
Barikiwa sana! Mtu wa Mungu!! Wasiliana nami Alfa Kihamba 0760 200 500
@AssaBenson
@AssaBenson Ай бұрын
Asante Yesu kwaajili ya mwalimu tengwa
@AssaBenson
@AssaBenson Ай бұрын
Asante Yesu kwaajili ya mwalimu tengwa
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 36 МЛН
AFUNGULIWA NA KUTENGWA NA NDOA YA KIROHO (FULL VIDEO HD)
24:00
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 54 М.
| VOL.10 CHAPTER 01B | AGANO LA DAMU YA YESU | MWL. TENGWA |
2:19:27
| VOL. 2 | IMANI NI KUPOTEZA NAFSI YAKO _ | MWL. TENGWA |
1:58:16
TENGWA TV
Рет қаралды 4,6 М.
GIZA KUIFUNIKA DUNIA || PROPHET : ALPHA  KIHAMBA
1:04:47
TENGWA TV
Рет қаралды 3,3 М.
HUWEZI KUFANIKIWA KAMA HUNA AGANO NA MUNGU || MWL  TENGWA
31:57
TENGWA TV
Рет қаралды 1,6 М.