GIZA KUIFUNIKA DUNIA || PROPHET : ALPHA KIHAMBA

  Рет қаралды 3,566

TENGWA TV

TENGWA TV

Ай бұрын

BWANA YESU ASIFIWE!
SHIRIKI AU NJOO, TUINUE BENDERA YA YESU JUU, NA TUSIMAMISHE NA KUOKOA TAIFA LETU LA TANZANIA KWA KUOMBA, KUFANYA TOBA NA KUMLINGANA MUNGU
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kufanikisha Makongamano:
LIPA KWA SIMU
M-PESA: 5143575
TIGO PESA: 6749284
JINA: UMOJA WA MAOMBI YA KITAIFA
BANK
NMB: 23210038745
JINA: MAOMBI TOBA KITAIFA
BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
UMOJA WA MAOMBI NA TOBA YA KITAIFA
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
+255 769 515 808, +255 629 304 931
#HudumayaUamshoNaMatengenezoYaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840
#0658901901 RUDI_MWANZONI _ MWL. TENGWA
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:
M-PESA: 0752 001 840
TIGO PESA: 0678 304 931
AIRTEL MONEY: 0694 331 055
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
AU KUPITIA BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
#HudumayaUamshowaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840

Пікірлер: 28
@mimmosaf.a5971
@mimmosaf.a5971 Ай бұрын
Asante Yesu ,nakumbuka nilikua naomba Mungu anisaidie kujua maandiko ,,jibu nililopata niliambiwa nimsikilize Mwal Tengwa hivyo kuanzia hapo nimepewa maarifa mengi
@ELIZABETHMTAITA-nr4vp
@ELIZABETHMTAITA-nr4vp Ай бұрын
Mungu aliyehai atusaidie kujua nini tunapaswa kufanya kwa ajili ya utukufu wake. Na Mungu awatunze na kuwapigania katika kila hatua mpigayo kwa utukufu wa jina lake. Amen Amen Amen
@medsonoscar6031
@medsonoscar6031 Ай бұрын
HALELUYAA, Asante sana Yesu Kwa kutupa HUDUMA HII DUNIANI
@veronicakiganga4547
@veronicakiganga4547 Ай бұрын
Yaani hapa mlikofika ni hatua njema sana. Hakuna haja ya kuwa na kundi kuubwa la watu lkn hawataki kusafiri. Mwl Tengwa na Alpha, wala msikate tamaa kwani Mungu atawapa walio na imani wasafirio pamoja nanyi. Bwana atawaleta mwenyewe. *Bwana asifiwe*
@elizaluchagula9787
@elizaluchagula9787 Ай бұрын
Amina,ni kweli kabisa,ee Mungu tusaidie
@carolinemasaka1400
@carolinemasaka1400 Ай бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu. Hakika Injili hii ni Moto Ulao. Asant Yesu Wangu kwa Ajili ya Neema Hii Kubwa
@AnnWanjiru-ic1td
@AnnWanjiru-ic1td Ай бұрын
Naoba, kujua, sana, yarohoni, irinimuabudu, yesu
@user-rc3ui5uu7r
@user-rc3ui5uu7r Ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@franksabas6339
@franksabas6339 Ай бұрын
Nimekuwa nakusikiliza sana una ujumbe mkubwa sana wa Mungu na ni ukweli, tupo pamoja ktk Ulimwengu wa Roho, ni ukweli kabisa Dunia IPO Gizani
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 Ай бұрын
Mungu tuponye
@user-gv4jx2fp4u
@user-gv4jx2fp4u Ай бұрын
Alpha mmepotea,MLIANZA KWA ROHO SASA MMEISHIA MWILINI,RUDINI KWA MUNGU MNYENYEKEE,MMEACHA NJIA,MNAJIDANGANYA MTU MMOJA AU WAWILI HAWAWEZI KUWA NDIYO MWILI WA KRISTO,
@rehemakipesile4930
@rehemakipesile4930 Ай бұрын
Mmmmh, Roho Mtakatifu ndiye kiongozi wangu kwa nyakati hizi, naona elimu zimekuwa nyingi ili kuwapotisha watu, ulivosema tu kwamba taa imewaka kwa mtu mmoja tu ambaye ni Tengwa moja kwa moja nimemuona kuwa unafundisha na kuhubiri uongo. Ole wenu msipotubu nyie watu kwa upotoshaji wenu.
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Ай бұрын
Sasa kweli Dunia imekwesha Amebaki Tengwa tu Hilo nimekwepa Bado Mungu Anawatu. Wake na Dini zinawatu wake , na Dunia inawatu wake ,. Unaonekana nabii wa uongo unavyosema umebaki peke yako uliesimama na kweli watakatifu Duniani wapo Ila hawajulikani kwasabubu Hawajinadi mpaka Mungu akufulie bila kufunuliwa na Mungu utatekwa na wanaojinadi , kwenye vyombo vya Habali,
@user-gv4jx2fp4u
@user-gv4jx2fp4u Ай бұрын
Ni kweli wamepotoka WANAJIDANGANYA KWA KUJIONA WAKO SAWA
@user-cf9sk4us6u
@user-cf9sk4us6u Ай бұрын
Muongo mkubwa.
@innocentkituma2714
@innocentkituma2714 Ай бұрын
Haleluya haleluya Haleluya
@EliyaKizaofficial
@EliyaKizaofficial Ай бұрын
Hakika jina la BWANA libalikiwe, kwajili ya watumishi wake, herimwenye maskio, yakuskia na askie
@AnnWanjiru-ic1td
@AnnWanjiru-ic1td Ай бұрын
Sasa, tuamuke, hatutafuata, Dunia, Tena Mwaso, watamaa, dioihabi. Nakupedapesa
@nancyshikuku-vs9le
@nancyshikuku-vs9le Ай бұрын
Ameeen.
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 Ай бұрын
Hakika kinara cha taa hakiwekwi uvunguni bali kwenye kiango ili umulike kwenye giza
@user-cf9sk4us6u
@user-cf9sk4us6u Ай бұрын
UNGEACHA KUOMBA SADAKA NINGEKUELEWA.
@azizafuraha613
@azizafuraha613 4 күн бұрын
Malaki 10:3 wende usome.labda hujuwi maandiko
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 23 күн бұрын
Nyie ni waflme na Yesu Kristo tutamwita nani naomba utubu
@tengwatv3749
@tengwatv3749 23 күн бұрын
@@ryobanchagwa2499 YESU NI MFALME WA WAFALME NA BWANA WA BWANA! KWA HIYO wafalme ni sisi, na mabwana ni sisi. Yeye ni MFALME wa wafalme...
@LeylaNgassa
@LeylaNgassa Ай бұрын
Atakaye kuelewa wewe na Mwalimu Tengwa ni lazima awe na Akili kubwa,Ufahamu mkubwa,nje ya hapo ataishia kuchanganyikiwa tu.
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 28 күн бұрын
Kiukweli Hawa watu walianza vizuli lakini ninavyoona sasa wanakoelekea sio kuzuri sasa najiuliza shida iko wapi,naona wanachemka kupita kiasi ,kila kitu kinahitaji kiasi hawa wasipoangalia shetani kisha watembelea ktk ulimwengu wa Roho😢
@user-xw6tx5rp5z
@user-xw6tx5rp5z 24 күн бұрын
Mmmh.mmmh inasikitisha sana watu wa ulimwengu huu ambayo hawajafunuliwa Hii Neema kubwa,,,ni heri wasicomment vitu wasivyovijua Kwa sababu n Mungu Mwenyewe je,?Tutajibia wap hizo kasfa tunazotoa Kwa watu wake???,Mungu wetu tufungue akili,macho na masikio ya Roho tupate kuijua kweli ambayo imefichwa
@LeylaNgassa
@LeylaNgassa Ай бұрын
Atakaye kuelewa wewe na Mwalimu Tengwa ni lazima awe na Akili kubwa,Ufahamu mkubwa,nje ya hapo ataishia kuchanganyikiwa tu.
| VOL. 2 | IMANI NI KUPOTEZA NAFSI YAKO _ | MWL. TENGWA |
1:58:16
TENGWA TV
Рет қаралды 4,7 М.
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 491 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 15 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 134 МЛН
ALTAR SERVICE 2024WELCOME TO GRAND FINALE OF JULY ALTAR SERVICE
1:47:53
Highways Sanctuary International
Рет қаралды 30
KUBALI UFAHAMU WAKO UFE ILI UMUONE MUNGU || MFALME TENGWA
10:52
HUWEZI KUFANIKIWA KAMA HUNA AGANO NA MUNGU || MWL  TENGWA
31:57
TENGWA TV
Рет қаралды 1,6 М.
UNYAKUO WA KANISA & TAIFA LA ISRAEL - Rabbi Abshalom Longan
2:19:33
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 11 М.
VITA YA KUKARIBIA KUPATA | BISHOP GWAJIMA | 10.10.2021
2:00:26
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 110 М.
1 IJUE NGUVU YA MUNGU YA MSALABA ITENDAVYO KAZI ILI UNUFAIKE NAYO || Mwl Christopher Mwakasege.
1:19:08
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 44 М.