KILIO - UINJILISTI KIJITONYAMA .ft. AICT CHANG'OMBE CHOIR and UKOMBOZI CHOIR KKKT MSASANI

  Рет қаралды 105,912

Uinjilisti Kijitonyama Choir

Uinjilisti Kijitonyama Choir

Күн бұрын

Пікірлер: 93
@josephvenus3259
@josephvenus3259 3 жыл бұрын
👏👏👏💪💪🌎🌎 hii sasa ndio nyimbo bora ya maombolezo yakumwaga baba yetu Magufuri. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu kwa umoja wenu mlio ufanya na kutuletea the best song at the write time. God bless you all the time.
@hellenminja3734
@hellenminja3734 3 жыл бұрын
Wimbo bora kbs wa kumlilia baba yetu Mungu awabariki sana😭😭😭😭
@agustinoezekiel367
@agustinoezekiel367 3 жыл бұрын
Hakika
@dorcahogeto1544
@dorcahogeto1544 3 жыл бұрын
Napenda jinsi hizi choir tatu zimekuja pamoja kuimba wimbo wa faraja.... mungu atupe faraja sote
@mariamjaphet555
@mariamjaphet555 3 жыл бұрын
Mungu azidi kutuunganisha baada ya pigo hili nimefarijika na umoja huu katika kuomboleza .Mungu ampumzishe mahali pema shujaa wetu JOHN POMBE MAGUFULI
@Mirampaul
@Mirampaul 3 жыл бұрын
😭😭😭this is true love surely ❤ Tanzania you really loved your president ❤ may God give you comfort and wipe your tears.. from kenya 🇰🇪 we are mourning together.
@hilgathjoshua8804
@hilgathjoshua8804 3 жыл бұрын
Mungu yupo tunashukuru kwa muda tulioishi nae rais wetu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💔
@ipajam9
@ipajam9 3 жыл бұрын
Umenena Vema Hilgath Joshua. Ashukuriwe Mungu kwa muda aliotupa tukawa naye.
@Wakio231
@Wakio231 3 жыл бұрын
Naomba Mungu faraja kwa taifa Tanzania, Tanzania is blessed in Jesus Name no weapon formed against Tanzania shall prosper. The devil is a liar, wipe their tears and heal their hearts God. Much love from Kenya 🇰🇪
@sylviaoum2943
@sylviaoum2943 3 жыл бұрын
Amen Amen..be blessed
@ruthmmambwe5244
@ruthmmambwe5244 3 жыл бұрын
Rest in peace mzee Magufuli.. Zambia mourns with you 🇿🇲🤝🇹🇿
@ipajam9
@ipajam9 3 жыл бұрын
Thank you Ruth.
@geraldlaurent7465
@geraldlaurent7465 3 жыл бұрын
Tanks sister
@shemlaattorneys5436
@shemlaattorneys5436 3 жыл бұрын
hii nyimbo inanikumbusha kipindi cha Nyerere, Eee Mungu mlaze Raisi wetu Magufuli
@berithaandersonn2234
@berithaandersonn2234 3 жыл бұрын
Mmefanya vizuri sana, I remember the Nyerere version of this song
@elizabethkisamba7961
@elizabethkisamba7961 3 жыл бұрын
Nenda rais wetu kapumzike. Pole mama Janeth na familia na Watanzania wote. Asanteni waimbaji. God bless you.
@giftlwila9967
@giftlwila9967 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭 Amina Asante kwa UMOJA HUU.
@itmaster7279
@itmaster7279 3 жыл бұрын
Ni vizuri sana kuwa na umoja, ila usiishie katika nyimbo za maombolezo tu. Mnaweza tengeneza wimbo ambao mkiungana, mtafanya vizuri na wimbo huo ukawatoa sana. Na huo ndio umoja ambao kanisa, kwaya na wakristo tunatakiwa kuwa nao. Mfano mzuri tunaweza ona kundi la Joyous Cellebration na Solly Mahlangu wanavyoshirikiana
@jorophecharles9733
@jorophecharles9733 3 жыл бұрын
Reminds me of Nyerere' s death when the song with this rhythm was the first to be aired by TBC.Very sad for this untimely death of our Genius President.There must be somewhere we as Tanzanians have done wrong to deserve this unbearable punishment.Let us turn and repent to our GOD seeking his mercy and start afresh.
@mwana4599
@mwana4599 3 жыл бұрын
I can't say more.
@grancebeuty2443
@grancebeuty2443 3 жыл бұрын
Da oliver unanibariki sana
@HumanBeing-pj4hm
@HumanBeing-pj4hm 3 жыл бұрын
To Him who sits on the throne and unto the King; be all the honor and glory now and forever more amen.
@mecksonmgeyekwa6987
@mecksonmgeyekwa6987 3 жыл бұрын
Media zimeshindwa kuupiga wimbo mzuri huu kwann?
@jenifervenis6878
@jenifervenis6878 3 жыл бұрын
Ahsante Yesu kwa maisha ya baba yetu
@orenisrael823
@orenisrael823 3 жыл бұрын
💔💔💔💔💔💔🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Asanteni saana kwa ushirikiano wenu
@neemaadrian4269
@neemaadrian4269 3 жыл бұрын
Tumelia tunalia na tunaendelea kulia pumzika john
@levinamachui9293
@levinamachui9293 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie watanzania kwa kipindi hiki kigumu kwetu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@tajaelmichael227
@tajaelmichael227 3 жыл бұрын
Hakika kilio chetu sio bure Mungu ndio tegemeo letu
@petersanagaya2916
@petersanagaya2916 3 жыл бұрын
Safi sana kwa umoja wenu huu Mungu atakuwa pamoja nasi Tanzania
@yeremiarichard4755
@yeremiarichard4755 3 жыл бұрын
RIP Baba vita umevipiga hadi ulimwengu umetingisika kweli Mungu awe faraja kwa families yako na wote wakupendao
@gracy05ful
@gracy05ful 3 жыл бұрын
Now this is a perfect tribute... so beautifully sang💔
@rahabumshani8671
@rahabumshani8671 3 жыл бұрын
Kifo hichi jmn bac tuu kama yupo baba yetu 😭😭😭 but any way R.I.P our president 💔😭
@jerrybuya3694
@jerrybuya3694 Жыл бұрын
Faraja nzuri MBARIKIWE
@charlesgasper2243
@charlesgasper2243 3 жыл бұрын
Heri wema hawangalipo maumivu yawaTanzania hayapimiki Ila tunamatumaini Mungu ni waupendo
@kalobeflix
@kalobeflix 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri saaana wanikumbusha 1999 wakati wa msiba wa
@agapesaligawesasaligawesa2781
@agapesaligawesasaligawesa2781 3 жыл бұрын
Wawoooo . So speechless. Mungu awabariki sana
@yasintamakongoro9458
@yasintamakongoro9458 3 жыл бұрын
Mmenikumbusha msiba wa babu yangu baba wataifa
@ruisetom1150
@ruisetom1150 3 жыл бұрын
Mungu abadirishe na Uganda na Rwanda Kua n Risi kama Magufuri wende baba Africa yote inaria kweri
@yasintamakongoro5957
@yasintamakongoro5957 3 жыл бұрын
kwaheri rais wangu
@joshualazaro5275
@joshualazaro5275 3 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa umoja huu. Ni kweli tumepoteza Jembe ila Mungu anabaki kuwa Mungu...
@florenceakola6721
@florenceakola6721 3 жыл бұрын
mimi Niko Kenya huu Wimbo Ninapo huzikiliza na tiririka machozi nyingi sana muparikiwe watumishi wa Mungu awape nguvu mlipoteza shujaa mimi nilimpenda sana magufuli
@florenceakola6721
@florenceakola6721 3 жыл бұрын
ninausikiliza wimbo huu kwanzia asubui mpaka jioni
@fransavinhonacmela827
@fransavinhonacmela827 3 жыл бұрын
Umependeza Sana huu Wimbo kwenye Huu #Msiba wa Baba wa #Taifa umetupa faraja sana Asanteni kwa #Corable matata
@vicentrevocatus9353
@vicentrevocatus9353 3 жыл бұрын
Pengo kubwa tutamkumbuka kamwe,
@carolinenanjakho9280
@carolinenanjakho9280 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri kabisa wa kumuaga kiongozi wetu mungu ailaze roho yake pema.
@elveenwealth6081
@elveenwealth6081 3 жыл бұрын
Poleni sana Wantanzania.Bwana awafariji. Africa Tumempoteza Kiongozi Shupavu sana.
@candidadilemile5882
@candidadilemile5882 3 жыл бұрын
Mwanga wa milele amwangazie Astarehe kwa Amani Roho ya Magufuli na roho za marehemu wengine wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa Amani AMINA.
@papangoda229
@papangoda229 3 жыл бұрын
Yua best song god bless
@jefredyfrednandy5880
@jefredyfrednandy5880 3 жыл бұрын
Kwa umoja huu mungu atakuwaa pamoja nas
@immamburu
@immamburu 3 жыл бұрын
Shalom Mungu upo🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@lilianwilfred3271
@lilianwilfred3271 3 жыл бұрын
Mungu awabiriki watumishi
@busaraclemence4447
@busaraclemence4447 2 жыл бұрын
Huu wimbo bora aliimbiwa JK nyerere na Sasa akaimbiwa JPM... THE BEST EVER
@antonyndinga8890
@antonyndinga8890 2 жыл бұрын
nitapata wpi nakala ya wimbo Kama huu wa Mwl Nyerere
@nelsonmariki1981
@nelsonmariki1981 3 жыл бұрын
Mbarikiwe
@onelife7850
@onelife7850 3 жыл бұрын
Chang’ombe ninalia nanyi. Nimehubiri kwenu miaka ya nyuma. Naona mumeendelea sana
@danielmboya8633
@danielmboya8633 3 жыл бұрын
Mimi nashukuru kwa kunikumbusha nikiwa darasa la tatu mwaka 1999 nyimbo hiii ili tumika kwenye maombolezo nyerere mungu awabariki sana
@ruisetom1150
@ruisetom1150 3 жыл бұрын
Uziri na utamu wamutu Mungu amupokee
@koolNgulia
@koolNgulia 3 жыл бұрын
So touching! so Befitting! so beautiful. May H.E Magufuli rest in power
@vicentkebula6670
@vicentkebula6670 3 жыл бұрын
MBARIKIWE SANA. NYIMBO ZIMEIMBWA ILA HII IMEKUWA NZURI KULIKO." RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE, MPENDWA WETU HAYATI JPM APUMZIKE KWA AMANI. AMINA"
@deejosephkingi3676
@deejosephkingi3676 3 жыл бұрын
Binadamu mavumbi,na mavumbini tutarudi.R.i.p our dear president Hon.JPM
@suzanfelix8065
@suzanfelix8065 3 жыл бұрын
Tunalia ,tunalia tunaliaaaa😭😭😭😭😩😩Tanzania katutoka rais magufuri
@ednamadebele214
@ednamadebele214 3 жыл бұрын
R.I.p my prs
@benardwanjia3406
@benardwanjia3406 3 жыл бұрын
You pple of Tanzania truly loved your president,may God comfort you.Aisee nimependezwa na upendo wenu
@augustuss4503
@augustuss4503 3 жыл бұрын
Thank you for the love and support you guys have shown us, God bless Africa🙏🏾
@apocalypse199amenjesus-chr2
@apocalypse199amenjesus-chr2 3 жыл бұрын
RIP ! Jesus Christ is Lord.
@lilianodhiambo3694
@lilianodhiambo3694 3 жыл бұрын
😭😭😭😭💔💔💔💔 lala salama..it is well ..God is above all..it shall be well with people of Tanzania and African at large ...together we are mourning a real son of Africa a true leader..rest in power jpm💪💪💪
@atanasmkondya5952
@atanasmkondya5952 3 жыл бұрын
Mungu atujalie nguvu katika kipindi hiki kigumu
@josephkaranja5774
@josephkaranja5774 Жыл бұрын
Powerful
@jmwaka9316
@jmwaka9316 2 жыл бұрын
Je mnaweza ku upload na ile Kama hii ya Julius nyerere? Nilipenda sana. Nimekuwa nikisearch kwa muda mrefu miaka na miaka siipati ile ya Julias nyerere kwa sauti hii.
@mcndimbotv8539
@mcndimbotv8539 3 жыл бұрын
Asanteni kwa kazi nzuri as always. Tumepoteza jembe
@EmmyJeruto-o4z
@EmmyJeruto-o4z 10 ай бұрын
Continue resting our hero!!!😢😢
@johnmanisi8427
@johnmanisi8427 3 жыл бұрын
Mungu azidi kutufariji
@carolinejohn9201
@carolinejohn9201 3 жыл бұрын
My his soul Rest In Peace our legendary 💔
@monicaboay2256
@monicaboay2256 3 жыл бұрын
The comb🔥🔥🔥
@yonasshechonge4549
@yonasshechonge4549 3 жыл бұрын
Mungu ibariki 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@macknnko6617
@macknnko6617 3 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa utumishi wenu
@josephinegwambasa1781
@josephinegwambasa1781 3 жыл бұрын
😔 bado naona kama ni ndoto
@elinihakigodfrey665
@elinihakigodfrey665 3 жыл бұрын
R.I.P President
@violetkirumbi2690
@violetkirumbi2690 3 жыл бұрын
My best gospel singers! asanteni sana.
@RandB_Channel
@RandB_Channel 3 жыл бұрын
Very sad 😥😞😭😭😭😭😭
@atufungo3585
@atufungo3585 3 жыл бұрын
Mungu awabarikii mnooo
@josephatmualuko9686
@josephatmualuko9686 3 жыл бұрын
Rest in peace rais Magufuli...
@tinnashemetili8596
@tinnashemetili8596 3 жыл бұрын
R.I.P
@silviangwego3621
@silviangwego3621 3 жыл бұрын
😭😭😭😭
@kevintheonest2811
@kevintheonest2811 3 жыл бұрын
💔💔💔💔
@nurumwangoka7424
@nurumwangoka7424 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@ireneshemhina6338
@ireneshemhina6338 3 жыл бұрын
😭😭😭💔💔🙏
@nurumwangoka7424
@nurumwangoka7424 3 жыл бұрын
😭😭😭😭🙆🙆🙆🙆🙆
@WAKYELA
@WAKYELA 3 жыл бұрын
R I P
@kedricksiame6167
@kedricksiame6167 3 жыл бұрын
Nimbo zuli
@kalobeflix
@kalobeflix 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri saaana wanikumbusha 1999 wakati wa msiba wa
@beatricekamamaa209
@beatricekamamaa209 3 жыл бұрын
😭😭😭
KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR | ASIFIWE | SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA S01
10:18
Uinjilisti Kijitonyama Choir
Рет қаралды 266 М.
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 32 МЛН
Kijitonyama Uinjilisti Choir | Hakuna Kama Wewe / Msalaba wa Yesu) | Official Video
10:56
Uinjilisti Kijitonyama Choir
Рет қаралды 947 М.
AICT CHANG'OMBE CHOIR (CVC)- KWAHERI MAGUFULI
10:14
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 311 М.
Masiah Masiah yahwe
6:59
kijitochoir
Рет қаралды 323 М.
Benjamin Dube ft. Hlengiwe Mhlaba - Kubobonke OThixo (Official Music Video)
15:28
Dube Connection Enterprise
Рет қаралды 2,9 МЛН
KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | JEHOVA BABA WA UPENDO
11:27
Uinjilisti Kijitonyama Choir
Рет қаралды 143 М.
MPOKI WAZIRI / WAKUVANGA MGONJWA
20:47
CHEKESHA TV
Рет қаралды 2,3 М.
Mungu kwetu sisi
5:54
isaackrp
Рет қаралды 319 М.