Dr Tuntufye,umefanya mambo Makubwa sana Kwenye Wimbo, Hongereni nyote mlioshiriki kuimba,na kuutendea Haki kikamilifu,Mungu awabariki sana.
@ericknampesya883518 сағат бұрын
Kila nisikiapo Wimbo nahisi kama napaa Kabisa, Hongereni Sana,mmechangamka inavyostahili,Kuna style kama mnakanyaga Moto,mmetisha Sana.Mungu azidi kuwabariki Sana.
@THecatbabalaoooКүн бұрын
Who is here after #brucemelodie performed this song??😊
@emmanueltillya2017Күн бұрын
Iko wapi Kijitonyama ya miaka ile ya 2000?
@justinemaingu14602 күн бұрын
2024 ni mwendo wa kusifu Bwana kwa nyimbo nzuri kama hii hakika nabarikiwa
@raphaelmwamakimbula96423 күн бұрын
❤
@DembeleMablochette3 күн бұрын
C🎉🎉🎉
@SaikoMkumbwa3 күн бұрын
Hii nyimbo ikipigwa kokote kanisa lolote tz ulikuwa unasimama kuusikiliza
@paccythegreat40133 күн бұрын
#BruceMelodie brought me back here😂😂😂 🙌🙌 #loveFromRwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@SaikoMkumbwa3 күн бұрын
Aandaeni live pale uwanja wa taifa mtumie vyombo duu mtatisha nyie mshilikiane na ic chang.ombe ....ulyankulu ....ic shinyanga itakuwa maajabu ya tz mtajaza watu kiingilio 10000 aki ya mungu mtajaza watu kuliko mpira
@SaikoMkumbwa3 күн бұрын
Huu wimbo ni kama wa taifa vile umewakutanisha wengi sana katika hii tz na nchi nyingine aandaeni tmasha kubwa pale uwanja wa taifa muwaalike ulyankulu ICC SHINYAGA IC CHAng.ombe na kwaya nyingi mnaimba live na vyombo sio background aki mtajaza watu nyie iwe jumamoss fulan
@Kenyanmother4 күн бұрын
This song has to be more than 15yrs old❤
@kobahamisi4 күн бұрын
💛💛
@kobahamisi4 күн бұрын
❤
@modestamodesta39404 күн бұрын
Eee yawe yawe❤❤❤ ariririiiii2024
@starfordmwakabonga70264 күн бұрын
Mnapiga sebene kali mnoooo.....ila mbona kama hamlotendei haki wapendwa.....show show show...sioni mweee😃
@Officiallee-y5f5 күн бұрын
Hadi sasa bado naskiliza kazi nzuri sana hii
@modestamodesta39406 күн бұрын
Bdo sana 2024❤❤❤
@LouieMoses-x6h6 күн бұрын
Meta Stravenue
@HappyAnangisye7 күн бұрын
Mungu awabariki sana Kwa uimbaji wenu
@VeronicaRugoyi7 күн бұрын
Mbarikiwe sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@kainomugisharwangyisiriza71927 күн бұрын
🇺🇬🇺🇬🇺🇬🙏🏽🙏🏽🔥
@BlessedShally-sl6ex7 күн бұрын
Hallelujah
@NikeGabriel-u5f7 күн бұрын
Kwa mungu ni lahaaaaa🙏🙏🙏
@nalwaddamercy82198 күн бұрын
HALLELUJAH ❤❤
@relaxtube13628 күн бұрын
Schoolmate wangu wa UDOM Ester namuona hapo
@luckymsomba48189 күн бұрын
kwa yesu raha jamanii
@DoreenEniyoye9 күн бұрын
Hakika Mungu atafungua malango tunyeshewe mvua ya BARAKA yake Amen
@enosmwangondaofficial85899 күн бұрын
Mbarikiwe sana
@happymwanyika920510 күн бұрын
Hakuna Mungu kama wewe❤❤❤
@EngPeleka10 күн бұрын
Kila aliyetazama hii video Mungu amsamehe maovu yake na ampe nguvu ya kishinda dhambi.
@PascalNahimana-e1i10 күн бұрын
❤❤
@leskarmeikok895610 күн бұрын
Song kali sana hiii
@stevekanuya11110 күн бұрын
Nipo hapa 2024 najiandaa kuingia 2025 hla nyimbo Ni inanibarik Kama vile imetoka Jana
@robertlinuma605111 күн бұрын
Yule solo artist Yuko wap .
@lordorcas934411 күн бұрын
Ouie ma bien aimée na ba Brides Yonso na Jésus Christ baza kaka mindeles na ba Films nyonso ba movies, Satan nde moto Moyindo makambo tout y’a Mabe’ eza ba Noir Biso nde ba makaku siata ! Moi je suis fière d’être un africain ata Bolobi Discrimination ekosilaka te Jusqu’à ce que Jésus Christ reviens , je suis fière de ce Que je suis ❤
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur12 күн бұрын
Hawa ndio walikuwa wanaimba NYIMBO ZA INJILI saivi asilimia 90 waimbaji ni freemason/illuminati pia wanatafuta umaarufu na hela tu
@robozaowhaipy12 күн бұрын
Aleluia Deus seja louvado 👏👏👏👏
@KellyMemba12 күн бұрын
Amen 🙏🙏
@SophiaPatson12 күн бұрын
Hawa hawajai kukosea ata sikumoja nawakubar wana wa Jehova