KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR | ASIFIWE | SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA S01

  Рет қаралды 266,717

Uinjilisti Kijitonyama Choir

Uinjilisti Kijitonyama Choir

Күн бұрын

Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama katika Ibada ya SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA Season One, wakiimba wimbo wa ASIFIWE aka ASALI.
Siku ya Mbingu kujaa sifa ni Ibada ya Kusifu ambayo inaandaliwa na Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama.
Wasiliana nasi kupitia namba +255 746 440000 ili uweze kujipatia nakala yako sasa kwa Sadaka ya Tsh.10,000 kwa upande wa DVD na Audio CDs ,
Na Tsh30,000 kwa upande wa Kijito Flash inayojumuisha Video pamoja na Audio
Sisi @kijitonyamauinjilistichoir tutahakikisha nakala yako inakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania na popote Ulimwenguni ..
@kijitonyamauinjilistichoir
#SikuYaMbinguKujaaSifa
#SingLikeNeverB4
#HakunaMunguKamaWewe

Пікірлер: 158
@evelenev2877
@evelenev2877 4 жыл бұрын
Wakenya twawapenda sana kijito nyamaa 💞💋👌
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 4 жыл бұрын
Na sisi KIJITO tunawapenda sana Wakenya
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 3 жыл бұрын
Tuombee utatuona one day Nairobi
@reginaedward4645
@reginaedward4645 4 жыл бұрын
Napendaga sauti ya huyu Baba, Mungu amuweke
@mariejeanekawini8952
@mariejeanekawini8952 3 жыл бұрын
Anaitwa Modest Morgan. Indeed Mungu alimpatia sauti ya kumuinua.
@labanakyoo4177
@labanakyoo4177 3 жыл бұрын
Ndie yule alieimba ile ya lulu au
@kobokomusickenya896
@kobokomusickenya896 3 жыл бұрын
sijui niseme vipi ila muziki ukiwa mzuri maneno huniisha. God alwa smiles mkipiga muziki ivi.
@salilamsigwa4323
@salilamsigwa4323 4 жыл бұрын
Jina la yesu tamu jamani, asali imesingiziwa
@ruthmwasomola3907
@ruthmwasomola3907 3 жыл бұрын
Kabisa
@priscajustine2183
@priscajustine2183 3 жыл бұрын
22/2/2021 bwana yesu asifiwe milele na milele
@WycliffeMuganya
@WycliffeMuganya 4 жыл бұрын
Wapendwa mimi hubarikiwa sana kwa nyimbo zenu...Mungu awazidishie kibali
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 3 жыл бұрын
Amen. asante
@mercyezekia4044
@mercyezekia4044 3 жыл бұрын
@@UinjilistiKijito mbalikiwe mno
@jackmshana3777
@jackmshana3777 4 жыл бұрын
Pongezi Kwa MD kila kitu kinasikiaka Safi kabsaa
@mosesngatiah6365
@mosesngatiah6365 3 жыл бұрын
Mlikuwa wapi miaka hii yote watu wangu.Asifiwe Yesu milele
@josephvenus3259
@josephvenus3259 4 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema sana maishani mwetu na hajawai kutuacha tunapopita ktk majaribu. Na jina pekee la kutuokoa ni jina la Yesu Kristo 💪💪 hongereni sana watumishi wa Mungu Baba
@jameswembe-cg2db
@jameswembe-cg2db Жыл бұрын
I can't stop listening and watching this album.Kwa hakika kibao hiki kinanibariki
@everlight6
@everlight6 Жыл бұрын
Endele kubarikiwa mtumishi
@jeps.e4305
@jeps.e4305 3 жыл бұрын
I am glad this choir is back....much love from 🇫🇷🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 3 жыл бұрын
Keep praying for us my dear. God bless you
@neemajohn114
@neemajohn114 2 жыл бұрын
Mbarikiwe saana Kijitonyama sichoki kuusikiliza huu wimbo nimebarikiwa saana
@chibwechabala1720
@chibwechabala1720 2 жыл бұрын
I want that song , natotela lesa wandi palifyonse , nashukuru mungu wangu pali
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 Жыл бұрын
Jamani kumbe kwa YESU Kuna rumba pia pongezi Morgan kweli Kama ni kuimba umeimba
@adamsll7637
@adamsll7637 3 жыл бұрын
MUNGU awainuezaidi nyiewatu nawapenda sana
@maranathaanglicanchoirkoro2271
@maranathaanglicanchoirkoro2271 3 жыл бұрын
utukufu kwa Mungu
@pendothomas7258
@pendothomas7258 4 жыл бұрын
Hata mimi nalipenda sana. Lisifiweeee
@adelinaadoloph5311
@adelinaadoloph5311 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa uinjirishaji wenu mmependeza sana jamn mko smart kama maharusi
@nancymfinanga8667
@nancymfinanga8667 4 жыл бұрын
Huzihesabu idadi ya nyota Huzipa yote majina Asifiweee Yesu ni jina lenye nguvu litupalo moyo Mkuu.
@Maggie-yx8pw
@Maggie-yx8pw 4 жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah hakika Jina la Yesu ni tamu Asali imesingiziwa. Mbarikiwe sanaa.
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 4 жыл бұрын
Amina, ubarikiwe pia
@williamuphilipo7447
@williamuphilipo7447 4 жыл бұрын
Kila mwenye pumzi na amsifu Mungu... Haleluyaaa...
@mamananniemaloba5166
@mamananniemaloba5166 3 жыл бұрын
Mubarikiwe kabisaaa tena muhimidiwe tena tenta.
@fredrickmtangoo5071
@fredrickmtangoo5071 4 жыл бұрын
Wafalme wa Rhumba.
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 4 жыл бұрын
Sifa na Utukufu kwa Mfalme mwenyewe, anae tuwesha mpendwa. Ubarikiwe
@bernadethamasasi1104
@bernadethamasasi1104 3 жыл бұрын
Mbarikiwe, sauti ya baba ooooooh Mungu amtunze
@nathaliengalulamwanza4768
@nathaliengalulamwanza4768 3 жыл бұрын
100% praise the Lord💃💃💃💃💃💯💕💕💞💞stay blessed choir of GOD,I'm already in heaven
@jameskenny1808
@jameskenny1808 3 жыл бұрын
Nasifiwe sana. Naomba mtiye number ya simu natamani kuwasiliana na huyu baba mtumishi please
@nissilourde5491
@nissilourde5491 2 жыл бұрын
Interprèté la chanson de Charles MOMBAYA MASSANI : "ASIFIWE" (1992)
@evelynemolla8491
@evelynemolla8491 Жыл бұрын
Safi sanah
@janelunanilo162
@janelunanilo162 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri unanibariki sana sichoki kuusikiliza Mungu awabariki waimbaji
@johnmwanawaasafu8573
@johnmwanawaasafu8573 4 жыл бұрын
Asanteni mbarikiwe mnooo
@barakatarimo4447
@barakatarimo4447 11 ай бұрын
Kwaya ya viwango vya kimataifa mungu awalinde katika Huduma
@dativaemmanuel5238
@dativaemmanuel5238 2 жыл бұрын
Nice moree jamn naenjoyy na yesuuuu wanguuuu💯💓
@johnsonrimba3768
@johnsonrimba3768 2 жыл бұрын
Good one
@daniel.hernández89
@daniel.hernández89 4 жыл бұрын
Presente desde Cartagena, Colombia. Escuchando su música
@sinzasoundbandtanzania6200
@sinzasoundbandtanzania6200 3 жыл бұрын
Mucho Gracias mi hermano, desde Tanzania.
@daniel.hernández89
@daniel.hernández89 3 жыл бұрын
@@sinzasoundbandtanzania6200 amen mi hermano
@neemacharles7089
@neemacharles7089 4 жыл бұрын
Viva uinjilisti choir you are the best tunamsifu Mungu kwa viwango vingine🥰🥰😘😘
@joackimmbonde4125
@joackimmbonde4125 2 жыл бұрын
Asifiwe Bwana Wetu Yesu Kristo
@KelvinMusumali-g8b
@KelvinMusumali-g8b 8 ай бұрын
My favorite choir
@BrianMulwa
@BrianMulwa 3 жыл бұрын
Vitu vizuri havipendi haraka. Tamuuuuuuuuuuu
@euniceterry468
@euniceterry468 4 жыл бұрын
Hiyo rhumba ni hatari na nusu,
@upendomollel5661
@upendomollel5661 3 жыл бұрын
Wimbo wa Taifa langu Tanzania ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@yeirikitholebonny4322
@yeirikitholebonny4322 2 жыл бұрын
Ooh hallelujah...jina yesu jameni ni jina tamu...Asali imesingiziwa tu
@jeromendetaulwa3466
@jeromendetaulwa3466 4 жыл бұрын
Huu wimbo umenibarki sana asifiwe Mungu wetu
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 3 жыл бұрын
amen asante
@AnnaMakwasa
@AnnaMakwasa 3 ай бұрын
Nabarikiwa san nikisikia huu wimbo❤❤
@mzuandamlalli8654
@mzuandamlalli8654 Жыл бұрын
Hongera🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@fabianmkobalomkobalo3628
@fabianmkobalomkobalo3628 2 жыл бұрын
Mbalikiwe hakika
@jonasmambo8634
@jonasmambo8634 4 жыл бұрын
Hongereni sana
@righitkileo
@righitkileo 11 ай бұрын
❤❤❤Asifiwe Bwana Asifiwe Milele,❤❤❤❤❤❤❤❤❤.
@headsonkambeu1023
@headsonkambeu1023 3 жыл бұрын
This is powerful praise of YAWEH our GOD ALMIGHTY.
@evansamuzi3328
@evansamuzi3328 2 жыл бұрын
Napenda huu wimbo,Yesu wetu ainuliwe milele
@barakaabel5040
@barakaabel5040 10 ай бұрын
Ntuntufye unatisha brother,
@emmanuelkameme4091
@emmanuelkameme4091 3 жыл бұрын
hakika tunabarikiwa na nyie wapendwa wanaKijitonyama
@racheljaphet4529
@racheljaphet4529 4 жыл бұрын
Nyinyi mmefanyika baraka tunaburudika tukitafakari ujumbe mkuu 👍👍👍
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 3 жыл бұрын
amen asante
@eddiezunda1066
@eddiezunda1066 3 жыл бұрын
Hongereni sana mmenipa burudani safi kwa rhumba safi ya Kristo
@mikamakungu6745
@mikamakungu6745 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana Kijitonyama Choir
@neemajohn114
@neemajohn114 2 жыл бұрын
Cjui najikutaga niko wapi tu nikiwa nasikiliza huu wimbo
@rozeandrew241
@rozeandrew241 3 жыл бұрын
Nawapenda tangu nikiwa mdogo nyimbo zenu zinanibariki mno
@elietaabraham5494
@elietaabraham5494 2 жыл бұрын
Mmebarikiwa
@subirahamis8672
@subirahamis8672 4 жыл бұрын
Acha kabisa Jina la Yesu si mchezo mmenikosha roho
@euniceterry468
@euniceterry468 4 жыл бұрын
What a rhumba,jina yesu asali imesingiziwa.
@upendomwalupogo462
@upendomwalupogo462 4 жыл бұрын
Haleluja ahimidimiwe mungu wangu
@kwizerarobert6715
@kwizerarobert6715 3 жыл бұрын
Asifiwe kabisa
@bablayboy803
@bablayboy803 Жыл бұрын
Mungu ni mkuu zaidi
@rehemamsigala3902
@rehemamsigala3902 3 жыл бұрын
Yesu jua kwelikweli nuru yetu
@timotheomichael7233
@timotheomichael7233 11 ай бұрын
Nawapenda sana Kijitonyama
@abelalfredonapuiconapuico5626
@abelalfredonapuiconapuico5626 3 жыл бұрын
Mês medrick sanga
@erickmother3973
@erickmother3973 3 жыл бұрын
Jina la yesu ni tam jamani🙏🙏🙏
@ammymatogwa7853
@ammymatogwa7853 3 жыл бұрын
Wimbo dhambi inayotoka ndani
@gracejulius5000
@gracejulius5000 4 жыл бұрын
Asifiwe BWANA asifiwe kwelikweli mnanibariki sanaa
@davidmutisya337
@davidmutisya337 3 жыл бұрын
I will buy this choir new set of uniform..your songs are such a blessing
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 3 жыл бұрын
God bless you abundantly, We thank you in advance for supporting this work of evangelical ministry through giving.
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 3 жыл бұрын
Please let us know, how we can reach you, or you can contact us uongozi@kijitochoir.com Be blessed
@davidmutisya337
@davidmutisya337 3 жыл бұрын
@@UinjilistiKijito mutysiadave@yahoo.com
@fromlasttofirst22
@fromlasttofirst22 3 жыл бұрын
@@UinjilistiKijito The lead singer in this song, is he the same one that sang "Simba Wa Yuda"?
@alicegyunda8053
@alicegyunda8053 Жыл бұрын
🎉🎉🎉God bless you man of God❤
@christchurchnakasongola
@christchurchnakasongola Жыл бұрын
grateful for you
@isaacmola5639
@isaacmola5639 3 жыл бұрын
Sifuni sifuni Hallelujah Yesu.
@JaneKisale-tn9do
@JaneKisale-tn9do Жыл бұрын
Asifiwe
@glorylema5652
@glorylema5652 4 жыл бұрын
My best song kwa kwl sichoki mzidi kubarikiwa na MUNGU🙏
@nkundwemwakiluma5741
@nkundwemwakiluma5741 4 жыл бұрын
💥💥💥💥💥 Hallelujah...!!!
@festvalegilbert5158
@festvalegilbert5158 4 жыл бұрын
Haleluja
@eliaslusato5223
@eliaslusato5223 4 жыл бұрын
Jina la Bwana nalibarikiwe sana
@nelsonmwandwanga3484
@nelsonmwandwanga3484 2 жыл бұрын
This song makes me into worshipping God Amina
@rachealnamwinga7562
@rachealnamwinga7562 3 жыл бұрын
May God continue blessing you all
@denilsondenis3990
@denilsondenis3990 4 жыл бұрын
REMINDING ME OF MOMBAYA MASSANI - Asifiwe......Rip. Merci Kijitonyama
@UinjilistiKijito
@UinjilistiKijito 3 жыл бұрын
Merci Monsieur
@naomieliasmanyilizu761
@naomieliasmanyilizu761 4 жыл бұрын
Hongereni, ila da Nyemo unanibania
@fredrickfresters3610
@fredrickfresters3610 4 жыл бұрын
Ahsanteni Kijitonyama kwa kufanya kazi na Frester's Records...!! For Audio Recording & Production Frester's Records +255 768 407080 frestersaudio@gmail.com
@nelsonmariki1981
@nelsonmariki1981 4 жыл бұрын
Nice song mbarikiwe sna
@sibiriilboudo7171
@sibiriilboudo7171 2 жыл бұрын
Que Dieu bénisse votre ministère et demeurez dans les grâces infinies de Dieu!
@charlzysaul3257
@charlzysaul3257 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana mbarikiwe Sana Tena sana
@johnmsaki7920
@johnmsaki7920 3 жыл бұрын
Mnatubariki mbarikiwe sana
@benardsamwelministry7024
@benardsamwelministry7024 4 жыл бұрын
Yesu ni mwema sana
@esthershoka9870
@esthershoka9870 3 жыл бұрын
Mbarikiwe
@powerhouse5853
@powerhouse5853 3 жыл бұрын
Heavenly music. can't get enough
@rogermwabi9439
@rogermwabi9439 3 жыл бұрын
Surely gifted. Nice voice. Singing like angels
@titusmerchades3107
@titusmerchades3107 3 жыл бұрын
God bless you kijito nyama🙏
@jalinanjenga1741
@jalinanjenga1741 4 жыл бұрын
Barikiwa
@damarismbitha253
@damarismbitha253 3 жыл бұрын
Asifiwe Yesu Amen.....
@naimaalkiyumi2273
@naimaalkiyumi2273 4 жыл бұрын
Mbarikiwe sana wimbo mzuri sanaa
@Official-th8yz
@Official-th8yz 4 жыл бұрын
Hongereni
@webingogo3633
@webingogo3633 4 жыл бұрын
All nations should praise the lord God oho!! Halelujah:
@paulmmakoye8363
@paulmmakoye8363 3 жыл бұрын
Powerful
@beatricekamamaa209
@beatricekamamaa209 4 жыл бұрын
Hallelujah 🙏
@kayadelphine2417
@kayadelphine2417 3 жыл бұрын
Ameeeeeeeen
@isabelavictor9964
@isabelavictor9964 4 жыл бұрын
Asante watumishi wa Mungu 🙏 🙏 🙏
@vj8313
@vj8313 4 жыл бұрын
Oyeeesss 🔥🔥💯
@beatricekamamaa209
@beatricekamamaa209 4 жыл бұрын
Jehovah is in control 🙏
@lewinakilana7375
@lewinakilana7375 4 жыл бұрын
Ameen Mbarikiwe sana
KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR/TOYELELOO
10:13
Uinjilisti Kijitonyama Choir
Рет қаралды 156 М.
KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA | JEHOVA BABA WA UPENDO
11:27
Uinjilisti Kijitonyama Choir
Рет қаралды 143 М.
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 13 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 32 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR | MSALABA WA YESU | SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA S01
3:57
Uinjilisti Kijitonyama Choir
Рет қаралды 871 М.
Neema Gospel Choir - Haki Yake Mungu (Official Video)
7:50
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 357 М.
KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR |  NDANI YA SAFINA | SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA S01
10:44
Uinjilisti Kijitonyama Choir
Рет қаралды 122 М.
NJOZI - Official Video - Tumaini Shangilieni Choir
11:10
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 541 М.
Kijitonyama Uinjilisti Choir | Hakuna Kama Wewe / Msalaba wa Yesu) | Official Video
10:56
Uinjilisti Kijitonyama Choir
Рет қаралды 947 М.
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 5 МЛН
Kijitonyama Evangelical Choir - Naburudika.
10:39
mlekys
Рет қаралды 297 М.
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 5 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 13 МЛН