😳KIMENUKA! ELIE MPANZU, LAWI WOTE WAMEFELI UBELIGIJI! SIMBA YATOA TAMKO ZITO!

  Рет қаралды 76,287

Tanzania Digital Tv

Tanzania Digital Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@MarthaBura-or8fe
@MarthaBura-or8fe 2 ай бұрын
Tamaaa mkataa pazuri Simba life nzuri unataka vyatamaa
@athumaninasoroathumaninasoro
@athumaninasoroathumaninasoro 2 ай бұрын
Simba ❤❤❤❤❤❤❤
@KwellyRyoba-xp6yr
@KwellyRyoba-xp6yr 2 ай бұрын
Jamani tuelewe nchi ya Tanzania bado hijafahamika kbs kwamba kuna mpira unachezwa.Kuna nchi na baadhi ya watu.weupe hawaamini watanzania wanajua kucheza mpira.Huyo Lawi ametoka timu ya coastal ambayo hata tz ni mashaka sasa iweje akaeleweka huko Ubelgiji.Hao wamemharibia lawi wamrudishe Coast acheze shirikisho japo hiyo round moja apate uzoefu na umri ni mdogo one time mambo yatakuwa yes attendance kuko ulaya.
@CikeTanzania
@CikeTanzania 2 ай бұрын
Fundisho hilo Simba mleteni fasta Mpanzu.
@mosesbukwimba
@mosesbukwimba 2 ай бұрын
bora elia mpanzu kuliko lawi 7:56 8:01 8:03 8:03 8:03 8:05 8:05
@gracemtango
@gracemtango 2 ай бұрын
Hahahaha simba mungu anatutetea sana
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
SIMBA BEBA WOTE HAO ❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JohnTuroto
@JohnTuroto 2 ай бұрын
🎉❤
@CikeTanzania
@CikeTanzania 2 ай бұрын
Sasa uchawi gani mambo tuu hayajakaa sawa kwao.
@abdalla8193
@abdalla8193 2 ай бұрын
JIBWA LA PATE
@CosmasMarco-mm7db
@CosmasMarco-mm7db 2 ай бұрын
Naitwa Cosmas nikomamajimoto achawajifunze naowachezaji
@official_mr_bery
@official_mr_bery 2 ай бұрын
Da .ilaa mbona wanatuchukuliaa POA.POA wa african footballer
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk 2 ай бұрын
Alikuwa mr kulakula😂😂
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 ай бұрын
NGOMA NI BORA SANA SIMBA MSIMWACHE. NA KOCHA USIWATENGE WACHEZA UTAUA VIPAJI VYA WACHEZAJI JARIBU KUWACHEZESHA WOTE. ILI WASIKATE TAMAA.
@gibrilmongi5646
@gibrilmongi5646 2 ай бұрын
Simba waachane nafredy wamchukue mpanzu
@ErickIsrael-f2u
@ErickIsrael-f2u 2 ай бұрын
Lazima waludi Simba
@SirajiRashidy
@SirajiRashidy 2 ай бұрын
Duuh 😊😅😮
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 2 ай бұрын
Adebayo Aliiringia simba sasa atacheza singida mambo haya
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 2 ай бұрын
Kazi aondoke aje Lawi
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix 2 ай бұрын
Hili liwe fundisho kwa wengine
@AlfaniMichael
@AlfaniMichael 2 ай бұрын
Kabisaa tamaa zinawaponza wanawafelisha vijana ona sasa
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 2 ай бұрын
Fct❤❤❤❤
@DanielChaula
@DanielChaula 2 ай бұрын
Ilifaa abaki tu kama mchezaji wa simba then akafanye tu majalibio basi
@CareenTemba
@CareenTemba 2 ай бұрын
Usitukane wakunga angali uzazi ungalipo michezo ni mzunguko kama neno MTAKUJA
@Eliahsingo-e8u
@Eliahsingo-e8u 2 ай бұрын
Halaka mpanzu na law Acha fredy na ngoma apo
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 ай бұрын
HIZO NI TAMAA ZA VIONGOZI NA MCHEZAJI. WACHEZAJI MSIWE MNADANGANYWA. KUNA WATU WAMEKAA KUHARIBU WACHEZAJI.
@JohnNyarara
@JohnNyarara 2 ай бұрын
Kwenye mpira hakuna hakuna uchawi, wanaosema kwenye mpira Kuna uchawi ni mambo yaliyopitwa na wakati
@MarthaBura-or8fe
@MarthaBura-or8fe 2 ай бұрын
Alishidwa kibu itakuwa yeye
@SamwelRashid
@SamwelRashid 2 ай бұрын
Law Tamaa zimemponza mjinga kweli akalime
@EMANUELNYOLOBIMAKANYANGA
@EMANUELNYOLOBIMAKANYANGA 2 ай бұрын
Mwacheni akome kabisa zile ni tamaa za mzee fisi
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 2 ай бұрын
💯 ❤❤❤❤❤❤
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
VP MMEGEUKA MAHAKIMU???
@fetychina3969
@fetychina3969 2 ай бұрын
😅😅😂
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix 2 ай бұрын
Ngoja akome
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
HAKUNA KUKOMOWANA HAO VIJANA WADOGO TIMU INAYOWEZA IWACHUKUWE
@kiboshokiboshomungumkubwa7789
@kiboshokiboshomungumkubwa7789 2 ай бұрын
Huyu sio mpanzu ni panzi
@Cristiano.UR123
@Cristiano.UR123 2 ай бұрын
Lawi na Elie MPANZU hatuwataki 😂
@KwellyRyoba-xp6yr
@KwellyRyoba-xp6yr 2 ай бұрын
@user-br7lh1yq5m Kwa kweli hata mm sioni haja ya kuwaleta wawaache watange na njia waendelee zao huko.Hao mawakala wao ndio walochangia wachezaji wote wailing kuikacha simba ,mpanzu alikwenda kutimiza ndoto zake na Lawi tamaa za wakala .wawaache watajifunza wkt mwingine watakapo pata timu zingine.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
KAMA WAZURI KWA NINI MUWAKOMOWA NA KUWEKA VISASI??? AU NYIE MATOPOLO MNAINGILIA MAMBO YA KIIVURUGA SIMBA???
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 2 ай бұрын
Hivi vitu vina taratibu kanuni na sheria vinapotolewa na watu wanaoingiza Mia.mbili mfukoni ni shida sijui lakini watu tunajua kesi ya simba na costal na TFF sasa inapotolewa na watu baking sijui impact itakuwa wapi
@Cristiano.UR123
@Cristiano.UR123 2 ай бұрын
KIMENUKA 😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
WACHA UTOPOLO BANAA
@YohanaJumanne-v3v
@YohanaJumanne-v3v 2 ай бұрын
Rit Simba wange mpata Elie mpanzu ilikua goood Mo dewji fanya kweri Gsm anakuonea wivu sakata la Lameck Lawi ni chano ni Gsm kawekeza Costal sasa msimu huu akae tu atulie bila team kihelehele cha mchezaji kwani angegima kama Yusuph Kagoma na Awesu ange baki Simba tu uji kaukologa sasa aunyweeee
@RoseMuniss-y5q
@RoseMuniss-y5q 2 ай бұрын
Awesu kasharud kmc😂😂😂
@kassioothemiracle1688
@kassioothemiracle1688 2 ай бұрын
​@@RoseMuniss-y5qnoma 😂😂😂😂
@MLEGULA
@MLEGULA 2 ай бұрын
Anakuja Yanga huyo
@LinusKyando
@LinusKyando 2 ай бұрын
LAWI SI ANARUDI COASTAL,MPANZU ANARUDI VITA
@HajeebasJr
@HajeebasJr 2 ай бұрын
Mpanuzu sio mchezaji wa vita kwan kwasasa yukohuru hata yanga munaweza kumchukua
@mjogotv0852
@mjogotv0852 2 ай бұрын
Wote wanakuja simba ndugu angu usiwaze kabisa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 ай бұрын
​@@HajeebasJrUTOPOLO HAMNA HELA MANENO MENGI TU
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 38 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 13 МЛН
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 4,8 МЛН
GB 64 KWA HASIRA AMVAA MCHOME, ANASEMA SINA AKILI?
20:24
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 74 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 38 МЛН