Kimenuka! Wabunge wa Zanzibar Wasusia Bunge, Watishia Kuuvunja Muungano

  Рет қаралды 137,294

Global TV  Online

Global TV Online

6 жыл бұрын

Kimenuka! Wabunge wa Zanzibar Wasusia Bunge, Watishia Kuuvunja Muungano
Wabunge Wa (Cuf) Wametoka Bungeni Baada Ya Mwenyekiti Anaengoza Kikao Jioni Ya Leo Kuzuia Mijadala Kuhusu Muungano Uamuzi huo Ulitolewa na Mwenyekiti, Musa Hassani zungu, Baada Ya, Waziri wa Sera Na Bunge, Jenista Muhagama, Kuomba Muongozo
Instal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis...naibu SPIKA WA BUNGE
TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 240
@mwinyiathuman5786
@mwinyiathuman5786 6 жыл бұрын
Mimi natokea Kenya Mombasa lkn naipenda Sana zanzibar.ipo siku Zanzibar itakuwa inchi yakujitegemea kwa uwezo wa ALLAH INSHALLAH
@jumamkuu6542
@jumamkuu6542 6 жыл бұрын
Mwinyi Athuman nenda kwenu
@mwinyiathuman5786
@mwinyiathuman5786 6 жыл бұрын
Hate speach
@wambaamwambaje1272
@wambaamwambaje1272 6 жыл бұрын
Mwinyi Athuman Amin
@musamuyuga8702
@musamuyuga8702 6 жыл бұрын
utasubiri sana kafiri wewe
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 6 жыл бұрын
braza fuata ya nchini kwenu aiseh! ya huku hayakuhusu kabisa, wewe kuwa mtizamaji tu
@dubais9018
@dubais9018 5 жыл бұрын
Hata mimi moyo wangu umeumia sana juu ya nchi yetu kunyimwa usawa wa Muungano. Tupo pamoja na nyie wabunge wote mnaoitetea zaznibar
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 6 жыл бұрын
Poleni sana wabunge wa Zanzibar, baadhi ya wabunge hawana uelewa na ndiyo hao wanaoboronga mambo, tutawawajibisha wasituvuruge sisi ni wamoja.
@seifhabib5987
@seifhabib5987 4 жыл бұрын
Uwiiii kazi kweli kweli,hivi si vita vya Panzi hivi ila kuna CORONA jamani,osheni mikono na Mask muhimu Wazanzibar wezangu,mm sina la kusema Naogopa Ammiyy
@bakarihamisi5638
@bakarihamisi5638 4 жыл бұрын
Jamani tujitahidini kuitafuta nchi yetu iwe na amani marahiii nilazima tupate Uhuru Zanzibar unguja na Pemba
@iliyasamanzi5667
@iliyasamanzi5667 5 жыл бұрын
Mungu yupo mungu mmoja dunia mapito akhera ndio makazi
@abdalahmohamedi1806
@abdalahmohamedi1806 6 жыл бұрын
Upo sahihi kbs mzee nakuunga mkono
@kumulwa
@kumulwa 5 жыл бұрын
Hata mm nakubaliana nawo wauvije
@bakarihamisi5638
@bakarihamisi5638 4 жыл бұрын
Jamani wa Zanzibar tunateseka sana tumekosa Uhuru Zanzibar tunanyanyaswa tunabubuziwa sasa tumechokana na serekali ya uzayuni tunataka serekali mpya ya Zanzibar unguja na Pemba ndio mafanikio yakuikombowa nch yetu mahii inshaallah Zanzibar itapata Uhuru juu yahaq yake Allah atujalie tupate maendeleo tumechoshwa na ccm ya uporaji wahaki za wana nchi Zanzibar unguja na Pemba Pemba wametufungia kazi zetu hawataki tuziendeleze wanatukata ushuru hali yakuwa tumejiajiri wenyewe halafu wsnakuja wanatukata ushuru subhanallah Allah tuokowe na janga hili nchini mwetu Pemba Pemba na unguja
@mussachuo250
@mussachuo250 5 жыл бұрын
Dahhh poleni sana
@hamadali6379
@hamadali6379 5 жыл бұрын
Allah amin
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 жыл бұрын
Ni vizuri mjadiliane tz bara.tz.visiwani ni sawa hakuna pingamizi
@nassirmohd6850
@nassirmohd6850 5 жыл бұрын
Hakuna kitu ninachokichukia duniani kama huu muungano wa kishenzi ila iko siku in shaa Allah.
@ZuenaSharifu
@ZuenaSharifu 5 күн бұрын
Mimi huku Uganda nawaombea wazanzibar mupate taifa lenu huru
@hidayamussa4273
@hidayamussa4273 6 жыл бұрын
Safi sana
@salmaismail9425
@salmaismail9425 6 жыл бұрын
😭😭😭muungano walio unga hao wzee wt hawakuunga kwa ajil ya mfarakano bali waliung kwa ajil ya umoj km wamefikia hali hio ya kutudhalilish br na unavunjwe t maan cc wananzibar tunao uwez wa kujtegemea bdo na watuwache tuwe na maish ytu waone km hatutosonga mble kimaendeleo na wal htutokufa njaaa sana dah inaumma san kwa walivyofany watanganyika mungu ibariki zanzbar
@abuudharishahidy3074
@abuudharishahidy3074 5 жыл бұрын
Mwili wangu mpana tafadhali nipatiwe koti jengine hili linabana. Poleni mmeyataka wenyewe
@messithedon9502
@messithedon9502 6 жыл бұрын
Mpo xawa Wabunge Wa Zanzibar Mm m2 Wa bara Lkn Mnachofanyia co Kitendo cha Ubinaadamu Ila Ipo Cku Mungu Atakulipeni Ndgu Zanguni Nawapenda Xana Wananchi Wa Zanzibar....!!!
@kassimelseudally4825
@kassimelseudally4825 5 жыл бұрын
Nasi pia.
@aronbanda4484
@aronbanda4484 6 жыл бұрын
Hamjitambui wazanzibar muungano huu munaonewa
@nuranzubail1240
@nuranzubail1240 5 жыл бұрын
Mimi ni mtanganyika lakin nikiangalia kwa upana wake Zanzibar tunaiangamiza hasa kiuchumi . Sema wabunge wa CCM ndo hawajielewi kabisa
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 жыл бұрын
Kwanini mnalazimisha kutuletea SUKARI? Au mnataka.kutuwekea sumu.
@hajiameir8688
@hajiameir8688 3 ай бұрын
Wewe Ali salehe unatwanga maji kinuni Ameanza Baba yao Nyerere Kuichukia Zanzibar na Wazanzibari sababu tu ni uisilamu na waisilamu amesema mwenyewe Nyerere laanatullahi
@abdulrazakyussef3177
@abdulrazakyussef3177 4 жыл бұрын
Inallah masbriin. Muungano huu uliweza kulindwa na hekma kubwa ya Nyerere, na Karume. Nyerere alisema aliogopa sana kubezwa kuwa ''ameimeza ZNZ'', na pia alishasema ZNZ wanaweza na wako huru wakiamuwa kuvunja mungano, ila akatahadharisha, wakiondoka tu basi yataanza Upemba na UUNguja...Serikali ya mungano iwe na hekma na subra na haki kwa ZNZ. Nilimskia kiongozi mmoja wa juu wa serikali ya mungano akidai atamshughulikia mtu atakaye jaribu kuvunja mungano...ni makossa makubwa...mungano inalindwa na hoja na siyo nguvu...haitawezekana...basi serikali ya mungano ishughulikiye kero za ZNZ na baadhi ya wanasiasa wa upinzani ZNZ waache jazba…. na madai mengi, zingine hazina msingi. Bungeni kuna malumbano mengi...nasikia wabunge wa ZNZ walikuja juu sana waziri mmoja alipodai kuwa ZNZ siyo Nchi...alikosea kidogo...waziri mkuu angesahihisha kwa kusema….ZNZ na Tanganyika ni nchi sawa ndani ya muungano….lakini serikali ya mungano ni nchi ''pekee'' inayowakilisha ZNZ na Tanganyika ktk jumuia za kimataifa….ni jibu tosha kabisa.
@tezuratezura8452
@tezuratezura8452 5 жыл бұрын
muungano ufe mana haunatija
@omarhassan8451
@omarhassan8451 6 жыл бұрын
Unguja,Pemba,Mombasa mpaka Malawi yote ilikua zanzibar
@mussakamando2678
@mussakamando2678 5 жыл бұрын
Huko malawi bahari ilikuwapo?
@musamkala4642
@musamkala4642 6 жыл бұрын
bora
@hassankihonde1275
@hassankihonde1275 6 жыл бұрын
Vumilieni yakheeeeeeee, Mungu yuko pamoja na wenye kusubiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii√
@brisketkidari1623
@brisketkidari1623 6 жыл бұрын
wachane tu unawazonga nini waambieni hatuutaki sisi nyinyi tu uko ndo mnauweka hebu lianzisheni muone kama watapata mfuasi huku znz hatuutaki
@saidikikoko
@saidikikoko 6 жыл бұрын
Fanyeni cc tupo nyuma yenu kuwasupport. Yan unajua ninyi wazanzibar kiukwel mko conscious sana ukilinganisha na wabunge watanzania bara, ninyi mnasubutu hata kutetea watu wenu lakini wabunge wa bara wao ni matumbo yao wale wa CCM Vunjeni tu muungano na cc wabara tunasupport uvunje maana mnaendelea kuumia kipuuzi kwa ajili ya upuuzi wa wabara
@moziidavchonchi3338
@moziidavchonchi3338 6 жыл бұрын
WEE NAE FANYA UTAFITI HAO WAZANZIBARI WANAUMIA KIVIPI SASA, MBONA WAPEMBA KIBAO TUNAPISHANA NAO MBAGALA HAHAHA WANAFATA NN SASAAA WAENDE KWAO MAV YA BAKAYOKO HAO
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
@@moziidavchonchi3338 ivi unaona wapemba wanahamu sana na kukaa huko,wanakaa huko kwa sababu tu yakutafuta rizki zao,kwani Zanzibar yetu imedumazwa kiuchumi na Tanganyika ,iyo ndo sababu ya kuwaona huko ,is ingekuwa ivyo usingemuona mpemba hata mmoja ww,sasa tuachieni kisiwa chetu,muone km wapemba hawatarudi kwao,ila mnang'ang'ania nini lkn,km mnawapenda wapemba ss hatuna ubakuzi na ss pia tutawapenda lkn kinyume na hapo tutachukia,ni vyema tu mkakiachie kisiwa hiki kidogo
@aridiyahya8049
@aridiyahya8049 5 жыл бұрын
Wewe kweli nyumbu. Mbw* koko
@praisesamson8298
@praisesamson8298 6 жыл бұрын
Yote haya yanatokea kwenye utawala huu au kuwapo?
@masoudrashid8381
@masoudrashid8381 5 жыл бұрын
Kila kitu kina mwisho wallahi
@ddennisskkattulla5942
@ddennisskkattulla5942 5 жыл бұрын
Mpigeni kimya maisha yaendelee
@omarhassan8451
@omarhassan8451 6 жыл бұрын
Mkiona joto livueni Koti👋
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 6 жыл бұрын
techokaaaaaa jamani, tanganyika yatudhalilisha sanaaa. yatudhulumuuu.
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Bado mnaathari za kisultani!!!
@hamilsaleh-zo3hp
@hamilsaleh-zo3hp 3 ай бұрын
Muungano na uvunjwe wasitukhanithi ssi tunaweza hata kuwaoa na kuwalisha
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 6 жыл бұрын
km vipi muungano uvunje wao wabaki na kisiwa chao na sisi tubaki na tanganyika yetu maan haya malalamiko haya ishi
@mohamedsalum3112
@mohamedsalum3112 5 жыл бұрын
Shaaban Ramadhan sawaaa lkn naona hamtuwachii mmetugandaa
@aridiyahya8049
@aridiyahya8049 5 жыл бұрын
Tumewaganda!!??🤣🤣🤣
@onlinetv9189
@onlinetv9189 6 жыл бұрын
Bora wajitenge
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
Hatuutaki mungano me family yangu ccm lakini hakuna faida y mungano watoeni mashekhe wetuu
@moodyman7588
@moodyman7588 4 жыл бұрын
Nyinyi tukitaka kuwapiga changa la macho wafanyeni hivi wakiweka ccm Tanganyika Zanzibar tuweke Cuf o Act apo ndo itapatikanwa haki bila ya hivyo bc watatutukana, kwa wazanzibar tunataka independent no blablabla bom bom Think before you done
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 6 жыл бұрын
Jamani tudumishe umoja.
@salummuhija4435
@salummuhija4435 6 жыл бұрын
Tatizo wabunge wa Zanzibar siku zote mnahisi mnaonewa tu kwanini nyie lakini!!
@michakazojet1146
@michakazojet1146 5 жыл бұрын
kwani wwe huoni mifano ya kile kinachoendelea?
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 5 жыл бұрын
Yot sababu ya uislamu
@josephlukuba5831
@josephlukuba5831 5 жыл бұрын
Jamna jipya nana
@ibrahimmasanja7277
@ibrahimmasanja7277 5 күн бұрын
Ondokeni wakojani tumewachoka kila siku nyie mnaonewa ila nyie mnavyowaonea watu Wabara kwenu hamuoni.
@khadijahassan3504
@khadijahassan3504 6 жыл бұрын
sawasaw
@seifhabib5987
@seifhabib5987 4 жыл бұрын
Yahya sinongo karibu Zanzibar tuje kukunywisha Kakhwa na khaluwa.
@hamedhamiar3201
@hamedhamiar3201 5 жыл бұрын
kila mwenye akili timam analitambua hili kama Zanzibar inabamwa na muungano huu, wew umeona wap upande mmoja ukawa na maamuz kwamwenzake , wananzibar tumetaawaliw coz ya muungano inauma sana kuiyona Tanganyika inasonga mbele wakat Zanzibar inazidi kuteketea sabab ya muungano😴😥
@amanisuleiman5628
@amanisuleiman5628 6 жыл бұрын
Hakki hiiiiiooooo naiona inarudi kisiwa kime wakwama kooni hakimezeki na mtakitema vijana tupoooo tayari Kwa lolote na tanganyika mna tusoma mzikiwetu salama yenu maalim seif shariff katutuliza lakini akiachia kamba hapatatoshaa
@winniefrida1483
@winniefrida1483 6 жыл бұрын
mna mziki gani nyie wakati 1/4 tatu yenu ni mashoga
@samiryusuf9492
@samiryusuf9492 6 жыл бұрын
we fala kumbe baba ako na babu yako itakuwa nao mashoga ndio maana wabongo mumeumbwa na roho mbaya na sura zenu mbaya
@leonelleo4425
@leonelleo4425 6 жыл бұрын
Winnie Frida HAHA asilimia kubwa yao vidole juu..
@moziidavchonchi3338
@moziidavchonchi3338 6 жыл бұрын
MNASHINDIA UROJO UTAMSUMBUA NANI WW PUNGA??? ME NATUSUA FURUSHI LA DONA NIGUSE NIKUTIE KISU CHA MACHO MIXER MADOCHI YA MBAVU MAV WEE AFU MISHOGA MING INATOKA ZENJI NA MZIKI WENU WA TAARABU NA MIDUARA SIJUI VIDAKUDAKU ANI UPUUZI MTUPU
@aridiyahya8049
@aridiyahya8049 5 жыл бұрын
Wazanzibar wanapenda kudharau bara lakini wakidharauliwa basi waja juu. Nami ningependa tuvunje muungano ndo mtajuwa umuhimu wa bara kwenu. Hiyo mnayodanganywa eti itakuwa Singapore ya Africa.🤣🤣 . Mara nyingi mnapewa kipaumbele lakini haitoshi nadhani mnataka kuitawala bara.
@hamilsaleh-zo3hp
@hamilsaleh-zo3hp 3 ай бұрын
Ss tunaweza kuwaoa na kuwalisha kma wake zetu t ,wasituletee ujinga hapa
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 5 жыл бұрын
Jamanii eeh hemu Tuende katika uhalisia wa kimaisha hii nchi hat akae cuf,chadema,act wazalendo bc mayahudi hawaiwachi huru wametumia kivuli cha Tanzania bara mayahudi ndo wanaosokot Zanzibar sio Tanzania bara
@umadiali5793
@umadiali5793 5 жыл бұрын
Kweli kabisa huu ni muungano sio kutuonea wazanzibar tukawa hatuna haki!!
@yasseralhazim2447
@yasseralhazim2447 4 жыл бұрын
Leo wafugaji na wakulima wamekua hawana chakufanya kila kitu kinatoka bara Zanzibar hawana ruhsa ya atakupeleka maji ya drop muungano uwo una faida gani kwa raia viongozi mtakuja kujuta wakati wa kurudi kwa juu ya vyeo mlivyokua navyo
@pantaleokulaya5308
@pantaleokulaya5308 6 жыл бұрын
wabunge wa ccm bila kuamua nyie wengine hamna ubavu
@rashidibrahimshemlugu7845
@rashidibrahimshemlugu7845 6 жыл бұрын
funguka babaaaaa wataelewatu
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 6 жыл бұрын
Hahaaaaaa njaa mbaya sanaa
@albertanania3379
@albertanania3379 5 жыл бұрын
Lakini sawa Mimi nimbara lakini muungano auna maana kwasababu zanzabar na tanzania bara ni nchioja lakini ukichukuwa kama been dhaa kama sukari au tivii au friji ama garii ukipeleka tanganyila kama umezipeka Kenya au Uganda wakati ss ninchi moja kwaili wazazibaa twaeaonea
@iddibama6819
@iddibama6819 5 жыл бұрын
speak up
@salummohdnyiga9760
@salummohdnyiga9760 6 жыл бұрын
Mimi mwenyewe japo ni mtanganyika siutaki muungano ila nalazimishwa tu natamani sana niishi hapa kwa visa, na ukitaka kujua ubaya wa muungano safiri na TV yako na mengine mengi siwezi kuyaandika yote. Ni bora muungano tuupigie nao kura na si kuburuzana tuuu.
@suluman1808
@suluman1808 6 жыл бұрын
kwani vp nyie kama limebana livueni halinama.
@sautisamsu2981
@sautisamsu2981 5 жыл бұрын
tupo pamoja kweli ss wazanbar hatuna maana wanatuonea kwann
@hajikhatib8840
@hajikhatib8840 6 жыл бұрын
vichogo mbona mnaingangania Zanzibar!!!! wachiwe wapumue mmeshawazulum Sana Sana Hadi kuwauwa Kwa kudai haki Yao ..!!! wabunge komaeni hivyo hivyo ...Hata msirubuniwe wacha tuu Zanzibar iwe zanzibar.ya nini mateso ya wasiokupendeleeni mena......((fact))
@moziidavchonchi3338
@moziidavchonchi3338 6 жыл бұрын
HAKI GANI HAWAJIELEWI BADO
@hajikhatib8840
@hajikhatib8840 6 жыл бұрын
+Mursa DavChonchi wao na wewe nani hajielewi
@fatmahamad2156
@fatmahamad2156 5 жыл бұрын
@@moziidavchonchi3338 hujielewi ww
@shaabanhaji2014
@shaabanhaji2014 5 жыл бұрын
Tushawazoea awoo wakipewa shilingi tu wanakaa kimnyaaaa.... Haawana loloteee
@suleimanjngondo6760
@suleimanjngondo6760 5 жыл бұрын
wazanzibar iyo ni laana ya masheikh wenu mulio waweka ndani bila kuwasomea mashitaka
@allymsuya6655
@allymsuya6655 6 жыл бұрын
Tatizo ni unafiki was wabunge was CCM upande was Znzb
@shifaa3327
@shifaa3327 6 жыл бұрын
Muungano wa kisiwa cha zanzibar ni mswala kw wanawake kw wanaume ni mskiti na kukifata kitabu cha Allhah Quran hayo yt yanakaa sw wenyewe ela mungu hamumtaki wazanzibar kweli kutaachwa kulalamika kl sk twaonewaaa jmn dunia hii musijetutia mazilanii
@bonyenyekahawamoshi9775
@bonyenyekahawamoshi9775 6 жыл бұрын
Nyie no cuf
@sgfdhaikuhusu6086
@sgfdhaikuhusu6086 4 жыл бұрын
Nataka tutukanwe mpaka tumwskwe maji ya chini si munahamu ya muungano hata bado maana mwaona vizuri nyinyi kutukanwa km vele ati km tunataka msaada tuseme tupewe yaan ndo hatujiwezi
@madiyaahmad2749
@madiyaahmad2749 6 жыл бұрын
Hatutaki watuachie wenyewe zanzibar yetu wafe wakinya muungano 000%
@hamadshein935
@hamadshein935 6 жыл бұрын
ZANZIBAR IKIJITENGA.ITAKUWA KAMA DUBAI YA AFRIKA.UAE ITAJENGA MAGHOROFA UKIWA JUU UNAONA TAA ZA MBEZI.ZENJI WERAWERA
@user-pf9cd6zj1g
@user-pf9cd6zj1g 4 жыл бұрын
Hamna lolote hamna mumuzi yoyote ccm oyee
@ipmalu9947
@ipmalu9947 6 жыл бұрын
ndo Kwanza mjue leo kama Zanzibar inanewa na watanganyika
@godfreybigeyo9105
@godfreybigeyo9105 6 жыл бұрын
kiongozi wao ni nani hawa,
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Wahuni hawa!!!
@salehlofy4251
@salehlofy4251 6 жыл бұрын
Tatizo wazanzbar n watu wa Amani SAANA halafu hawana JESHI lakn kiukweli ZANZIBAR HASA HAWAUTAKI MUUNGANO, TANGANYIKA WANATEGEMEA JESHI KUWANYONYA NA KUWAZULUMU NA KUWATISHA ZANZIBAR
@MohdRashid-cu9qb
@MohdRashid-cu9qb 5 жыл бұрын
Hivi hawa wabunge wa ccm kutoka Zanzibar hawalioni hili au ndio wameridhika
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 6 жыл бұрын
Vunjaa sisi sio watanzania bara .
@Ba63828
@Ba63828 6 жыл бұрын
WATOTO WA MAMA MMOJA MWAGOMBANA BURE HAKUNA TIJA
@suleymanalawi9613
@suleymanalawi9613 5 жыл бұрын
mbunge wa zanzibar kupitia ccm hawez kuitetea zanzibar hata siku 1
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 6 жыл бұрын
Ile hiyo mibunge ya CCM wote ni wabara .nadhani watakubali .
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 жыл бұрын
Mmmh mm naona huyu jini hajafa ila wafufuliwe walotuachia jini huyu
@bakarimngazija6672
@bakarimngazija6672 6 жыл бұрын
HATUTAKI ZANZIBAR NI NCHI SISI TUNAMAAMUZI YETU. HATUTAWABEMBELEZA TENA SISI TUMESIKIA NA TUKOPAMOJA WAKITAKA WASITAKE SISI NI NCHI . MUNGU KAZIGAWANYA KWA MATAKWA YAKE . WANACCM MLIJUWE HILO ZANZIBAR KWANZA.
@saverynada180
@saverynada180 6 жыл бұрын
kama ni nchi si mjiuzie sukari yenu???
@moziidavchonchi3338
@moziidavchonchi3338 6 жыл бұрын
HAFU WEE NAE UNAONGEA UTUMBO KUBWA JINGA WEKA HOJA YA KUSEMA MUUNGANO UVUNJIKE NA HOJA KUBWA KUWEPO KWA VITA AMA UCHUMI KUYUMBA SASA ULIONA WAPI KUTOUZIKA KWA SUKARI MUUNGANO UKAFA HAHAHA TATIZO LA BAADHI YA WAZANZIBAR WENGI HAWAKUJIKOMBOA KIHELIMU MPO KIDINI DINI TUU
@mwanalelee6
@mwanalelee6 6 жыл бұрын
hahahaaaaaa Na bado maalim seif aliposema mulimuona mjinga sasa endeleeni mbele kwa mbele iyooooo
@mundhirhamad6595
@mundhirhamad6595 6 жыл бұрын
wamezoe hao chukueni hatua
@khamisdaima1455
@khamisdaima1455 6 жыл бұрын
Kwanini watanganyika wang'ng'ania huumunganooo
@charlesanselimo6658
@charlesanselimo6658 5 жыл бұрын
Kiti Cha spika Ni dhaifu
@omarkhatib4968
@omarkhatib4968 6 жыл бұрын
Haya yooote yanatokana na yule bwege sheni na mabunju ya ccm
@bugdadiajm8270
@bugdadiajm8270 6 жыл бұрын
Waacheni waende
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 6 жыл бұрын
mnaliona leo hilo
@omarjumanne4471
@omarjumanne4471 6 жыл бұрын
Bi Rukia umecheza ngoma huijui ujue kuwa Zanzibar zama hizo liikuwa na kiongozi mwinyi mkuu muungano hautovunjwa na wabunge ambao wanajaziba zao binafisi au za vyama vyao
@azizikitete7229
@azizikitete7229 5 жыл бұрын
Pumbavu sana wee jamaa
@joetchatv1453
@joetchatv1453 6 жыл бұрын
Muungano hauvunjiki
@tonedeusmuganyizi5265
@tonedeusmuganyizi5265 6 жыл бұрын
Huyu hana hoja. Zanzibar inayo sera ya kuingiza sukari bila kodi. Tanzania bara hatuwezi kuruhusu sukari hiyo kuingizwa hapa bila kodi na kuharibu ushindani. Kaeni na sukari yenu - na wala siyo sukari tu na bidhaa nyingine.
@omarjumanne4471
@omarjumanne4471 6 жыл бұрын
Tonedeus Muganyizi huo ndo ukweri wataalamu was uchumi hawsikilizwi Zanzibar ushauri wa kitaalamu hawataki sasa mnayaona Mimi kiwanda cha viatu nimewashauri hawataki sasa mambo hayo tumieni makuluge kujenga viwanda Zanzibar bars watakwama kuzuia bizaa zetu
@youngbreezy6615
@youngbreezy6615 6 жыл бұрын
Awo majamaa sijui wabunge muungano wameukuta apa hamna kuvunjika hawana lolote mxiee zanzibar bora ifanywe mkoa tu kam mikoa mengne maan rais wa uku zanzibar hmna kitu
@minaziparasu8748
@minaziparasu8748 6 жыл бұрын
Ikopoa znz kwanza .fanyenikweli musisumbuliwe navilaza vya Ali kesi namsukumaa
@arkammohamed711
@arkammohamed711 6 жыл бұрын
KUNA WATU WAMETIWA MFUKONI
@musamuyuga8702
@musamuyuga8702 6 жыл бұрын
nani anashida na nyinyi
@yasseralhazim2447
@yasseralhazim2447 4 жыл бұрын
Mtoto akililia wembe mpe huooo! Cmnaupenda mnapokua uwanja wa amani mnasema tuuduumishe muungano sasa iyo ndio faida yake.
@julianlukindo4623
@julianlukindo4623 6 жыл бұрын
Wasengenyie mfrane wenyewe makhanisi
@godfreybigeyo9105
@godfreybigeyo9105 6 жыл бұрын
nyie ni wa serikali gani? kwanza
@issahajiday4398
@issahajiday4398 6 жыл бұрын
Tuwache upumbavu tuamkeni na liwalo liwe ,hatufi njaa wala hatutegemei nyinyi tutaishi tu kwa uwezo wa allah, nn muungano ,free Zanzibar.
@maryammajid3213
@maryammajid3213 6 жыл бұрын
Imeona sahiv mshauzwa nyiee komaen
@bonyenyekahawamoshi9775
@bonyenyekahawamoshi9775 6 жыл бұрын
Hiyo anaonekana anagubu anaona anaenda kufa anataka kufa nawengi mjinga sana
@upendorobert7298
@upendorobert7298 6 жыл бұрын
Hamed Ally kwani ww utaishi milele?
KIMENUKA! Mbunge Awacharukia Wabunge Wanaoidharau Zanzibar
9:32
Global TV Online
Рет қаралды 43 М.
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,2 МЛН
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 62 МЛН
The joker's house has been invaded by a pseudo-human#joker #shorts
00:39
Untitled Joker
Рет қаралды 10 МЛН
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
MBUNGE KHATIB AICHANACHANA BAKWATA, AULIZA MASWALI MATATU MAZITO
11:07
Mwananchi Digital
Рет қаралды 166 М.
ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi"
8:01
Global TV Online
Рет қаралды 660 М.
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
Wabunge waja juu kuambiwa Zanzibar ni sawa na mkoa
17:05
Weyani Tv
Рет қаралды 38 М.
"Fanyeni Kazi ya Kutafuta Takwimu, Siyo Kubeza Serikali" - MUHAGAMA
8:52
🔴LIVE: KIKUNDE MUDA HUU MHE:FREEMAN MBOWE, LEMA,
Chadema Media TV
Рет қаралды 84
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,2 МЛН