Wolpa msameh mme mlee watoto wenu ,watoto bado wadogo dada angu hakuna mazur matup ktk ndoa. Msameh mkeo mleee watoto wenu dada angu nakupend
@majabiali97320 күн бұрын
Msameheanane acha kusikiliza walimwengu mlee watoto wenu watoto mtaawahangaishaaa jn msiwe ivyoo acheni ayo mambo msameheanane tu
@AlHamra-k4u23 күн бұрын
Mmmmmh, watoto bado wadogo wanahitaji malezi ya baba na mama. Hasira ni hasara hebu kaeni muyamalize . Pia jambo lako ukilipeleka mitandaoni au kwa marafiki wachache watakupa ushaur mzuri wengi wao wanakupa ushauri mbaya ilimladi waone anguko lako la ndoa. Pia ukute yule uliyemwamini ndiyo atakaye olewa na mtalaka mwenzio au kuolewa na mtalaka mwenzio
@wennybarny16822 күн бұрын
Sipendi kabisa wanandoa kuachana Japo mimi sijawahi hata kuchumbiwa
@VeronicaElias-o3x23 күн бұрын
Ww mwanaume hamnazo Hy nyumban ya watt wako mahakaman huko nn tena
@stellandimubenya896423 күн бұрын
Usikilize walimwengu mukavunja ndoa, watoto wanahitaji kulelewa na baba na mama
@floramwavipa147923 күн бұрын
Kaeni chini muyamalize ndoa inataka uvumilivu na mambo yenu msiyaweke mtandaoni
@vero5722 күн бұрын
Mukiwa munachukua wanaume za watu kumbukeni baadae na wewe maisha yako inakuaje???????