KIMENUKAAAAAA.....Lissu AFANYA VURUGUUUUU!!!!!

  Рет қаралды 98,832

SUPER TAMUTAMU

SUPER TAMUTAMU

Күн бұрын

Пікірлер: 269
@BoniphaceSaidy-d3j
@BoniphaceSaidy-d3j 5 күн бұрын
Kwass kinachoendlea kusema kweli lisu Yuko sahihi kabisa nchi yetu inachewa sana
@DUBLE-LAFF
@DUBLE-LAFF 23 сағат бұрын
Minaamini tumpe kuraaa❤❤ lisu nch itabadilik
@GeraldMakalala-z2c
@GeraldMakalala-z2c 4 күн бұрын
Lisu usizimungumzie MAGUFURI kabisa Magufuri alikuwa levo nyingine
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 5 күн бұрын
Lala salama mzalendo JPM 😢, the hero and true son of Africa.
@leymanleyman7426
@leymanleyman7426 4 сағат бұрын
Huyu si ndie alikuwa akimponda magufuli saa hii amegeuka acha ujinga ww.
@StellaKaluwa
@StellaKaluwa 5 күн бұрын
🎉Magufuli Amekufa lakini lakini bado ANAISHI kwenye MIOYO ya WATANZANIA kama ulikua hujui
@GambasonLuselegasi
@GambasonLuselegasi 4 күн бұрын
Sema na moyo wako
@brigethsauzand3926
@brigethsauzand3926 5 күн бұрын
Usipende sana kumsema Magufuli mwenyekiti utaharibu hata kama unahisi alikutendea mabaya. Magufuli anapendwa na kukumbukwa sana wananchi wanaweza wasikuelewe
@DenisHassan-b5x
@DenisHassan-b5x 5 күн бұрын
Usipomuelewa ww tutamuelew.sisi
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 5 күн бұрын
Kweli kabisa alifanya makubwa JPM
@EmmanuelUsele-vf2fx
@EmmanuelUsele-vf2fx 5 күн бұрын
mimi sipend amguse magu
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 5 күн бұрын
Magufuli hakuwa Mungu! alikuwa mwanadamu kama Mimi na wewe
@IbrahimMwakasembe-mu5fv
@IbrahimMwakasembe-mu5fv 5 күн бұрын
Mimi sikumuelewa Magufuri
@w4058
@w4058 4 күн бұрын
Wewe kelele Magufuli muuwaji wa kila kitu mshenzi mmoja hasidi mkubwa dhalim muuwaji alopeleka majeshi Zanzibar bora MMungu alivyo sikia dua zetu
@josephinamarko3323
@josephinamarko3323 4 күн бұрын
Utakuja kupigwa mawe jukwaan ww kumuongerea magufuli😢😢 wetu hatupend
@BonifaceBenjamini
@BonifaceBenjamini 21 сағат бұрын
MATENDO 12:21--23 21.Basi siku Moja iliyoazimiwa, Herode akajivika mavazi ya kifalme, akaketi katika kiti cha enzi, akatoa hotuba mbele yao. 22. Watu wakapiga kelele, wakisema, Ni sauti ya Mungu, Si sauti ya mwanadamu. 23. Mara Malaika wa Bwana akampiga, Kwa sababu hakumpa Mungu Utukufu, Akaliwa na chango, akatokwa na roho.
@RwegoshoraPatt-os2ik
@RwegoshoraPatt-os2ik 4 күн бұрын
Kweli umejifunga kibwebwe
@KangaMaluguru
@KangaMaluguru 5 күн бұрын
Tunakupenda sana ila unapomsema vibaya MAGUFULI unapoteza 40% ya kura zako.Kumbuka Magu ni kipenzi cha watanzania wengi.Nakushauri epuka kujitia doa kwa kumsema vibaya Magu.Hata kama ni mbaya kwako jifanye unasapoti sera yake.
@johnsosy3128
@johnsosy3128 4 күн бұрын
Au anyamaze kabisa asimuongelee
@kefakaduma2758
@kefakaduma2758 3 сағат бұрын
Inabidi na sisi watu wa bala tukachukue urais zanzibar tuuze bandari zao
@rehemashabhay8946
@rehemashabhay8946 5 күн бұрын
List ukitaka watu wakuelewe wacha kumsema Mugufuli...
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 5 күн бұрын
magufuli alikuwa Mungu au?
@simonjohn2784
@simonjohn2784 2 күн бұрын
​@@witneskilinda5034 magufuli alikua mzalendo wakweli
@kashangakuroka997
@kashangakuroka997 30 минут бұрын
Hawezi kuacha kumzungumzia kwasababu nisehemu ya historia yake
@NeemaSimion-x4z
@NeemaSimion-x4z 3 күн бұрын
Toa sela hayo tunayajua mheshimiwa usilete vita maana hiyo sio sera na huna cha kuzuia akitaka watatoka tuu. Ila mama anajali utuu.pia pkpk ni zetu za hela yetu leta selaaa.
@tumainilyimo
@tumainilyimo 3 күн бұрын
Hela zako na nani? Au na wewe mwizi
@mckobatz5861
@mckobatz5861 14 сағат бұрын
Anko Lisu wakati unataka kusema unachoamini kuwa ni ukweli na sio kuweka chembe ya unafiki kwa kuwa maybe we sio miongoni mwao kumbuka walicholiswa watanzania na waafrika wengi kupitia dini na elimu kimeshaondoa asili ya mwafrika hivyo better ujizoeshe kuzungumza katika lugha yao wapo watu wanaipenda chadema na wanakupenda wewe ila wanaamini ni dhambi kuzungumza madhaifu ya marehemu ambaye ni mtu kama wewe katika madhaifu yake anayo mazuri yake as long as ameshapita kwenye hii stage ya maisha muache tu apumzike stick to the solutions watu wanataka majibu na mipango nini utafanya kuendesha nchi kupitia rasilimali ambazo wapo mafisadi wachache wananufaika nazo don't talk about the dead
@YusuphIddy-h2d
@YusuphIddy-h2d 3 күн бұрын
Lisu kwenyekamoenizako magufuli usimzungumzie tunakupenda lakini ukimsema marehemu utakua unakosea we pambana na walio hai
@ZaituniNyanje
@ZaituniNyanje 22 сағат бұрын
Lissu wewe ni mtu poa sana lakini mbona mdomo wako unaaza kunikosea usi mtaje kabisa baba magufuli please 🙏
@kashangakuroka997
@kashangakuroka997 28 минут бұрын
Kwani asimteje yye alikua MUNGU
@kashangakuroka997
@kashangakuroka997 28 минут бұрын
Mbona Nyerere anatajwa
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 5 күн бұрын
Lisu unakosea sana unapomtaja Magufuli sema yoote ila Magufuli,no....pambana na hali yako ya sasa hivi unatakiwa base sana kwenye sera zako za kutafuta uongozi
@danielbachuta157
@danielbachuta157 4 күн бұрын
Kwani magufuli alikuwa Mungu?
@DottoRamadhan-f9x
@DottoRamadhan-f9x 5 күн бұрын
Sikia bosi lisu tunakuamini ila ushauli magufili alikuwa bonge la laisi nakuomba ukitaka kutikisa tanzania acha kumtaja aliekufa magufuli hayupo tena ogea misingi ya nchi hata mmi nipo pamoja nawwe
@AlyAbass-g8o
@AlyAbass-g8o 5 күн бұрын
Wewe mnafki magufuli ulimponda weee Leo unamfia mama piga Kazi lisu aka lime aljzet huko ikungi hana kazi za kufanya
@kudratabuu1103
@kudratabuu1103 5 күн бұрын
Mimi na amiini mungu humpa amtakae wew endelea kusema uongo aikusaidiii kabsa
@KareemMkobe
@KareemMkobe 5 күн бұрын
Wanakukanyaga nn dada bandari si zimeuzwa kwer
@SamMtaresi
@SamMtaresi 4 күн бұрын
Kwako ww n uongo kwasababu umeajiriwa.... ✌️✌️✌️ Ukikua utaacha
@EdwinEdward-ze2eq
@EdwinEdward-ze2eq 4 күн бұрын
Kwakweli kiongozi anatakiwa awe na upendo kwa nchi na watu wake
@ErickErick-rx4fx
@ErickErick-rx4fx Күн бұрын
Aki yamungu samiya atutuuza adi ssi 😢😢😢
@JuniorNdaba-d1m
@JuniorNdaba-d1m Сағат бұрын
Wewe ndiye mkombozi wanchi hii
@CumaEmedi
@CumaEmedi 4 күн бұрын
Lete sera Archana kuongea mambo ya mtu alie Kufa dini yetu ataki kumuongelea marehemu wee Sema ukichukua nchi machoko wataongezeka mpaka maofisini😊
@NeemaMkwemba-ws9du
@NeemaMkwemba-ws9du 5 күн бұрын
Wewe ckiliza alafu chagua pumba na Mchele,,akili kichwani mwako, Kama yanamuhusu sawa Kama unaona anadanganya ni wewe tu, utajua mwenyewe,
@JoshuaMwelinde
@JoshuaMwelinde 2 күн бұрын
Tunataka uwe rais wetu wa Tanzania na katiba ibadilishwe kabsa ila sijui ukiwa rais utafanyafanyaje kurudisha bandali na kilicho kuwa chetu kudi mikononi mwetu mbona tumekuwa watumwa kupitia wageni wainje ya nchi yetu wazawa mtuko wapi??????????
@w4058
@w4058 4 күн бұрын
Hilo Magufuli ndie aliyeshiriki kumpiga risasi Lissu nyie wapumbavu wakubwa wote yeye na huyo Samia hawana tafauti
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 3 күн бұрын
Na bado wapangaji tunalipa kodi ya jengo. Alaf wanajiita miungu watu. Nikiburi cha uzima tu.
@MussaSuleiman-ui9fy
@MussaSuleiman-ui9fy 4 күн бұрын
Lissu ongea sera zako kama huna hoja kaaa kimya sera zako hazijulikani nini utawafanyia watanzania ? Ushoga umetangaza hadharani kuwa wewe unapenda kufru hii unataka nchi hii kuipeleka huko
@salvationagano308
@salvationagano308 13 сағат бұрын
Lisu oyee
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 4 күн бұрын
Saut za watu zinaharibu ni utoto wazimiwe maiki!!!
@VibeScott
@VibeScott 5 күн бұрын
Sisi kama wazalendo tunajua uchungu wa nchi hi ila machawa wa serikali ndiyo ivyo
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho 4 күн бұрын
Lisu akirudia maneno ya MAGUFULI ananikera sana,yeye ndio wa kwanza kumpinga leo maneno yake yanakuwa yakitolea mfano.
@johnsosy3128
@johnsosy3128 4 күн бұрын
Achanana Magufuli anapendwa mmno na hauta faidika na chochote kumsema vibaya zaidi itakupa hasaratu. Mseme kwa mazuri watu wanaompenda watakuja kwako utapata uungwaji mkono wa ajabu utashangaa. Mabaya yake achananayo hayakusaidii kisiasa. Kwani Magu mwenyewe hayupo
@EdwardMasalu-fk5se
@EdwardMasalu-fk5se 6 күн бұрын
Sawa kabisa,tunakupata,
@greysonmatembo2802
@greysonmatembo2802 6 күн бұрын
Jani uyu mwenyekiti anawajaza sumu wananchi😂😂😂😂😅 nabidi apimwe akili😅😅
@Danielkashatila2024
@Danielkashatila2024 6 күн бұрын
Hakuna uongo hapo
@JosephJackson-f1s
@JosephJackson-f1s 5 күн бұрын
We ndo huna akili endelea kusema maisha magumu mapimbi ambao hawana akili
@JosephJackson-f1s
@JosephJackson-f1s 5 күн бұрын
We ndo huna akili huyu mama kila cku yuko kwenye ndege afu inaendelea kusema maisha magumu
@DenisHassan-b5x
@DenisHassan-b5x 5 күн бұрын
Hakuna uongo hapo nahc ww hauna uzalendo ila una yako binafc
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 5 күн бұрын
Kwani pikipiki hauzioni
@ShabaniShabaniTv-dp5xq
@ShabaniShabaniTv-dp5xq 3 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@BahatiHilary
@BahatiHilary 2 күн бұрын
Mbona hoja zako ni kumsema Rais wetu tu huna sera nyingine.
@Abihudi-e4c
@Abihudi-e4c 2 сағат бұрын
😢😢😢😢
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 5 күн бұрын
Ela za kununua pikipiki ni bora wangenunua madawa kwenye Zahanati na vituo vya afya wananchi wanaangaika madawa hakuna.
@w4058
@w4058 4 күн бұрын
Mie mpenzi wa wengi kwasababu anasema kweli time imefika wakati tuachaneni ubinafsi tuungane na Allaah atusaidie sote kuwaondoa CCM
@enockshombe6311
@enockshombe6311 4 күн бұрын
Watanzania tunaamini uongo kuliko ukweli maana tunaimani ya kindoa mapenzi yakiisha yanabaki mazoea ccm mapenzi na wananchi yalisha Keisha yalisha b,ki mazoea hata uongre vipi hawats kuelewa Hao , sawa na mwanamke nuolewa anateswa kuondoka anasema watoto wangu watabaki na nani wakati maisha yapo mikononi mwa Mungu SI kwa binadamu
@davidwatson6821
@davidwatson6821 4 күн бұрын
Duuh, mheshimiwa hata kama unamchukia Magufuli kiasi gani, siyo kumsema vibaya kiasi hicho, we tangaza tuu sera zako watu watakuelewa
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 6 күн бұрын
NI KWELI KABISA MTU AKIWA RAIS WA TAIFA LA TANZANIA 🇹🇿 HUWA WANAUONA KAMA MUNGU WAO. YANI AKUNA NCHI INAYO JAA UJINGA KAMA TANZANIA KWA KAMBO YA KUWAPAMBA VIONGOZI WAO, YANI MTU AKILA AKASHIBA UTAMSIKIA AKISEMA " ASANTE RAIS SAMIA LEO NIMESHIBA" YANI UJINGA MWINGI SANA
@JosephMwaitete
@JosephMwaitete 6 күн бұрын
HATA MUDA HUU WAPO WANAOMUONA HUYU LISU KAMA MUNGU, KILA MTU ANA MTAZAMO WAKE USILAZIMISHE ATAKACHO MTU
@Danielkashatila2024
@Danielkashatila2024 6 күн бұрын
Kwa kweli Tanzania tumepotoka sana
@adrophwilliam3225
@adrophwilliam3225 5 күн бұрын
Wana ccm ndiyo wenye ujinga wa kumuona mtu kama mungu
@SaleheNgoli
@SaleheNgoli 5 күн бұрын
Hamanchi
@TeddyCyprian-o1s
@TeddyCyprian-o1s 5 күн бұрын
Nyie Wana ccm ndo munatakiwa kupimwa hakili hamuelewi kinacho semwa kwani bandali hazijauzwa au Hadi muzee na nyie
@DenisHassan-b5x
@DenisHassan-b5x 5 күн бұрын
Unajua kisa cha kumpeleka hamfuley polepole ubalozin akili zake km za tundu lisu walijua hilo
@JamaliMalike
@JamaliMalike 19 сағат бұрын
Asante
@w4058
@w4058 4 күн бұрын
Lakini msisahau na wamasai na Watanganyika nao wamejazwa Zanzibar mpaka masheha wakuu wa polisi nafasi nyeti zote Zanzibar zimeshikwa na Watanganyika lakini Mheshimiwa Wetu Mkombozi Wetu wa Watanganyika na Wazanzibari
@Gidion-f8i
@Gidion-f8i 4 күн бұрын
Umejaaliw sana wee mzee
@MohamediAthumani-ub8nn
@MohamediAthumani-ub8nn 5 күн бұрын
Lisu kwa magufuli unakosea sana magu alikuwa mzalendo sana zaidi yako jifunze uzalendo kwa magu
@donaldmwahalende4841
@donaldmwahalende4841 5 күн бұрын
Wasio julikana vp
@iddysekamba
@iddysekamba 5 күн бұрын
Uzalendo gani alikuwa nao
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 5 күн бұрын
Dikteta mkubwa magufuli nchi hii haijawahi kutokea
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 5 күн бұрын
Kwahyo huyu nae ni kicha mbn kila siku maneno hayo tu lete sera za chama chako mwendawazim wewe Leo Rais Samia unamwita kichaa lkn ndo alokurejesha Tanzania bwege wewe kilemaa bora ungekufilia mbali maana wew ni fitna ya nchi hii
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 5 күн бұрын
Hana uzalendo wowte dicteta mkubwa
@valentinoswenya748
@valentinoswenya748 4 күн бұрын
Hata spika job ndugai alishawai sema hayo yote
@josephinamarko3323
@josephinamarko3323 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂hapo naona aibu mm yaan inaonekana hapo watu wanamsanif tu hako pamoja nae wanamchochea aongee udobwedo wake umutoke😂😂😂
@Gidion-f8i
@Gidion-f8i 4 күн бұрын
Ww Bado upo gizan sali San utafunguliw
@josephinamarko3323
@josephinamarko3323 14 сағат бұрын
@@Gidion-f8ipolee 😂😂
@placidpeter6775
@placidpeter6775 6 күн бұрын
Raisi mtarajiwa
@SaleheNgoli
@SaleheNgoli 5 күн бұрын
Rais wa vichaa
@tumainilyimo
@tumainilyimo 3 күн бұрын
​@@SaleheNgolikichaa ni wewe usiyeona nchi inaharibika
@HaikaFoya
@HaikaFoya 3 күн бұрын
mwandishi siyo kweli mnafiki wewe.
@BakariMkwawa
@BakariMkwawa 5 күн бұрын
RIP MAGU
@nihifadhimpalala639
@nihifadhimpalala639 5 күн бұрын
Wananchi wanatakuwa wapigwe kodi had wafe tutawaliwe upua akili ziko kenya ukitaja magu unakosea kwani c alitaka kumuua huyo au nonyi akili mmeshikiwa
@RevocatusNdokeji
@RevocatusNdokeji 4 күн бұрын
Mm nipo na lisu lkn lisuu mwache magufuli .....ukitaka kupendwa Zaid mwache magu
@VitusTumwesige
@VitusTumwesige 13 сағат бұрын
Aisee
@StumaiAbdallah
@StumaiAbdallah 3 күн бұрын
Hayaaa
@rambostalon2888
@rambostalon2888 5 күн бұрын
✌️🔥🔥
@abassjuma6248
@abassjuma6248 4 күн бұрын
Unafikiria kushambulia viongozi wa kuu wa kitafa kwa matusi ndio kingozi bora? Huna busara
@Anwar-t4r
@Anwar-t4r 9 сағат бұрын
Blablabla hutashinda nenda kauze tomatoes sokoni mjinga ww
@elishuaisaya4176
@elishuaisaya4176 5 күн бұрын
Ongeeni mipasho baadaye tumkumbuke trump
@TitusMhakilidza
@TitusMhakilidza 6 күн бұрын
Huyu mama anakuelekea nikubaya sana
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@SaleheNgoli
@SaleheNgoli 5 күн бұрын
Hamanchi
@f.a6043
@f.a6043 5 күн бұрын
🐸👈🏽😂​@@SaleheNgoli
@EliasCosmas-qp6gn
@EliasCosmas-qp6gn 4 күн бұрын
Magu muache apumzike Kwa Amani hatakama alikukosea mseme na maziri alo yafanya uyaseme wewe mwenyewe ukipewa nchi Lazima uwe mkatili tu maana kila aitwae baba hutetea tumbo Lake kwanza .😋
@w4058
@w4058 4 күн бұрын
Kweli MMungu humpa amtakae wala Lissu hasemi uwongo muwongo mkubwa wewe
@MASIAVALENTINO-d9f
@MASIAVALENTINO-d9f 4 күн бұрын
Ndo umeandika nn sasa
@EmanuelPaulo-gn8qf
@EmanuelPaulo-gn8qf 5 күн бұрын
Huyu mnyaturu mkimpa nchi atawauzia mabeberu.
@michaelambanier1706
@michaelambanier1706 14 сағат бұрын
Hii inaitwa ngumu kumeza
@w4058
@w4058 4 күн бұрын
Mshazowea kufanywa kama mapande ya damu katika matumbo ya mama zenu machizi nyie msomuelewa
@WilliamDaudi-p1t
@WilliamDaudi-p1t 4 күн бұрын
Tumuombee lisu mama watamuuwa
@nassorkhamis6233
@nassorkhamis6233 2 күн бұрын
Mama wanyooshe nyerere alitubana sana Zanzibar sasa zamu yenu
@BushiriMickidadi-ui3tb
@BushiriMickidadi-ui3tb 5 күн бұрын
Huyu huyu chizi ndo anaefaa hao wazima hamna kitu.
@w4058
@w4058 4 күн бұрын
Chizi mwenye
@w4058
@w4058 4 күн бұрын
Machizi nyie msomuelewa
@michaelmazoya9244
@michaelmazoya9244 5 күн бұрын
Ili utoboe udimuongelee magufuli vibaya
@salvationagano308
@salvationagano308 13 сағат бұрын
Haki haki haki
@ayoubkoshuma137
@ayoubkoshuma137 5 күн бұрын
Nimegundua upinzani Tanzania hakuna Lissu alikuwa anatafuta pa kusemea tu Wala haeleweki
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 5 күн бұрын
Unakutana na kikund Cha wa2 wanasema mitano tena
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 2 сағат бұрын
Ukimsikiliza lissu kwa makini kuna sehemu anaongea ukweli mf:bandari uwanja n mengine ukweli kbs nchi ya hovyo pkpk zinanunuliwa na kuna sehemu brbrn ni mbovu hizo ela kwnn wasitumie kutengenza mabarabar
@eliahedward7490
@eliahedward7490 14 сағат бұрын
Hiy ni sera au majungu
@JamesRohomoja
@JamesRohomoja 5 күн бұрын
Hiv anayosema ni kweli? Kama kweli basi tujipepole nchihiii
@emanuelsichone8027
@emanuelsichone8027 5 күн бұрын
Apimwe akili babu Yako mamae
@salummakadi311
@salummakadi311 4 күн бұрын
Huyu NI mnyaturu og
@nihifadhimpalala639
@nihifadhimpalala639 5 күн бұрын
Yaani comments za humu ndani unahundua tz hakuna watu wenye akili n lisu na wengine wachache.
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 5 күн бұрын
Koma kabisa mbwa mweusi wewe huna jipya
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 5 күн бұрын
Kichaa kapewa rungu Sasa, ni kuropoka tu, ruzuku anapokea sijui pesa zinatoka wapi? Nacho kiona hapo ni chuki tu dhidi ya uarabu na uislamu. Kila kitu mwarabu, bandari ilikuwa mikononi mwa wazungu hatujusikia kelele, waarabu kubinafsishiwa kelele. Tumekuelewa tutapiga kura ya maslahi na wala hamtashinda wabaguzi wakubwa nyinyi.
@SalimMohamedFaraj
@SalimMohamedFaraj 5 күн бұрын
Huyu mzee sijawahi kimsikia hata siku moja akizungumzia sera ya chama chake
@SaleheNgoli
@SaleheNgoli 5 күн бұрын
Huyu ni kichaa
@AbdallahMohammed-u2v
@AbdallahMohammed-u2v 6 күн бұрын
Mwandawazimu kaanza wazimu wake huyu Chadema hawana kiongozi
@JosephJackson-f1s
@JosephJackson-f1s 5 күн бұрын
Hongera wew ambaye siyo mwendawazimu
@AmbasonKalenga
@AmbasonKalenga 5 күн бұрын
Huwezi kumuelewa wanaomuelewa ni wale wenyeakili kubwa tu
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 5 күн бұрын
Wa bibi yako sio
@Robust78
@Robust78 5 күн бұрын
yaani watu wengine bhana wanachefua sana, mtu akisema kweli mnamwita mwendawazimu, unaona raha watanganyika kufanyiwa mabaya yote hayo? hata kama unamaslahi binafsi bora ukae kimya kuliko kujaribu kulikinga jua kwa viganja. safari hii hatukubali ngo!
@sakoson957
@sakoson957 4 күн бұрын
Inamaana bimkubwa ni kichaaaaaa
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 5 күн бұрын
Weye huna sera zaidi ya kuwasema waliokufa na walio madarakani? Hebu tupe sera zako itafanya nini ukiprlewa Nchi hii utafanya nini? Muungano utadumu na kama hutaki rudi kwenu Mkoani ukafanye nchi yako weye mchonganishi tu. Huna sera za kutufurahisha ila uchochezi unapenda kuchonganisha ila Mungu atakushinda na atakushindilia soon. Huna nia njema na Nchi hii. Utalaanika Mungu atakufedhehesha. Utakufa kwa pressure.
@EmanuerKalori
@EmanuerKalori 3 күн бұрын
Mimi ni Chadem lakn kumsema vibaya mjomba Magu ni bora ufe ww
@JosephMwaitete
@JosephMwaitete 6 күн бұрын
Magufuli alisema, "masharti yaliyowekwa kwenye mkataba wa bandarini ya ovyo,ni kichaa tu atakayeyakubali," alichokikataa ni masharti ya mkataba, je bandari imbebinafsishwa kwa masharti ya awali au kuna mabadiliko?
@EliaMunuo-u7o
@EliaMunuo-u7o 4 күн бұрын
Huna kitu ww ,mamluki tu hao
@SeifuMapembe
@SeifuMapembe 16 сағат бұрын
Samia ela atoa wap
@Gidion-f8i
@Gidion-f8i 4 күн бұрын
ivi mkuu mbona arush hufik huku natamani nikuone tuuu
@SaidLukoloma
@SaidLukoloma 5 күн бұрын
Ccm inatuumiza sana
@SALVATORYJMSIGWS
@SALVATORYJMSIGWS 4 күн бұрын
Ila kiukweli ccm kwasasa haina maana
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 5 күн бұрын
Ucha ujinga tangaza sera za chama chako mpumbavu mkubwa wewe taja sera za uzalendo ili watu wakuelewe tulikuwa na mzalendo makufuli ila kwa akili Yako fupi Kila siku unamtaja makufuli kwa mabaya wapinzani niwajinga sana nilitegemea ungekuwa na sera Kama Rais wa Bukinafaso tukuelewe lakini unatangaza kutaka marehemu na watu wengine pumbaaaavu
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 5 күн бұрын
Jenga hoja Matusi ya Nini Nchi ni yetu sote
@instakiller1268
@instakiller1268 5 күн бұрын
We fala na chama chenu Cha kisenge hicho Mafisiem mtakoma Mwaka huu
@emanuelsichone8027
@emanuelsichone8027 5 күн бұрын
Mkimbuz babayako chawa wewe lisu safi
@JoshKibe-d1t
@JoshKibe-d1t 5 күн бұрын
Mabeberu wazio jua lakuxema
@BakariMkwawa
@BakariMkwawa 5 күн бұрын
Lissu ni kichaa apelekwe Mirembe
Balozi Liberata Mulamula: Chanzo cha Mgogoro wa Congo (Part 1)
26:10
KIMEUMANAAAAAAA!!!!!..Lissu ALETA Fujo TENAAAA....!!!
1:07:01
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 35 М.
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.
JESHI LA POLISI LILIVYOWADAKA WALIOTEKA WATOTO
11:12
DMTV
Рет қаралды 6 М.
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН