KIMEUMANA! DEREVA MWANAMKE AMCHOMA MTUMISHI KWA RC MTAKA, MAGARI 200 YAKWAMA NJOMBE...

  Рет қаралды 36,714

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

KIMEUMANA! DEREVA MWANAMKE AMCHOMA MTUMISHI KWA RC MTAKA, MAGARI 200 YAKWAMA NJOMBE...
Wafanyabaishara wa Mazao ya Misitu ikiwemo zao la Mbao Mkoani njombe Wameulalamikia Wakala wa Misitu Mkoani humo TFS kwa Kushindwa Kuwapa Vibali vya Kusafirisha Mazao ya Misitu kwa Wakati Jambo ambalo Limekuwa Likiwaingiza katika Hasara kubwa.
Wakitoa malalamiko yao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka Wafanyabiashara hao akiwemo Sofia Raymond pamoja na Subira Kyando wamesem kuwa Magari yao yanayosafirisha Bidhaa hiyo mhimu kwa Uchumi wa Mkoa wa Njombe Yamekwama kwa Muda a Wiki Moja kwa Kile Kinachodaiwa ni Matatizo ya Kimfumo katika Utoaji wa Vibali Hivyo.
Audatus Kashamakula ni Maneja wa Wakala wa Misitu Wilaya ya Njombe akizungumza baada ya Kusikia Kero kutoka kwa Wafanyabiashara pamoja na Madereva Wanaosafirisha Bidhaa Hiyo Mhimu amekiri Kutokea kwa Changamoto ya Kimfumo ambayo Ilisababisha Wafanyabiashara Kukosa Vibali vya Kusafirisha Mazao ya Misitu ndani ya Mkoa wa Njombe ambapo amesema kwa sasa Huduma Hiyo Imerejea.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amefika katika maeneo ambayo Wafanyabiashara Wameegesha Magari yao baada ya kukosa Vibali vya Kusafirishia Mazao yao na hapa akatoa Maamuzi juu ya Kadhia Hiyo Iliyowakumba Wafanyabiashara wa Mazao ya Misitu Mkoani njomb.
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 82
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@charlesmakelele4268
@charlesmakelele4268 Жыл бұрын
Anthony mtaka no bonge la kiongozi,,hajawahi niangusha Kila unapomuweka anafanya vizuri...hongeraa sn mheshimiwa,,,nakuona ktk nafasi ya ukatibu mkuu tamisemi.
@nazarethjoseph8862
@nazarethjoseph8862 Жыл бұрын
Good job
@sarahkwamboka8190
@sarahkwamboka8190 Жыл бұрын
Yaani nchini kwetu viongozi wangekuwa wa hivi, ingekuwa raha kweli. Wanakalia mabungeni na kubuni mbinu za kuibia watoza ushuru na kujijazia mifuko yao. Mara nyingi viongozi wa Tz husikiliza sana wanaokandamizwa.
@firmakisika5073
@firmakisika5073 Жыл бұрын
Hongera sana RC Njombe maelekezo yanayoleta matumaini kwa wafanyibiashara
@kelvinulungi230
@kelvinulungi230 Жыл бұрын
Safi Sana mkuu mkoa, pomoja na mama huyo vituo vingi sana
@monicambossa4937
@monicambossa4937 Жыл бұрын
Safi sana Mama naomba namba yako niongeze ulinz
@alphoncejuma9652
@alphoncejuma9652 Жыл бұрын
Hongera sana ww ni kiongozi siyo bora mtawala
@josephatemmanuel458
@josephatemmanuel458 Жыл бұрын
Uko sawa kiongozi Inafika mahara tubadilike tufanye kazi ili maeneeleo
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Жыл бұрын
Hapa tutamkumbuka sana mwenda zake, enzi yake huu upuuzi haukiwepo labisa yani.
@AmisseMwenetombwe
@AmisseMwenetombwe Жыл бұрын
Naomba number hizo za kujifunza kingereza
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 Жыл бұрын
Mama shikamooo nimekuelewa good job
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Duuu kweli tanzania M,mungu anatuona
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 Жыл бұрын
Mama HUYU ameongea KWa UCHUNGU sanaa.. viongozi wetu wasaidieni HAWA wafanya biashara hakuna faida kuuubwaaaa SANAAAAA wanayoipata kisa wakiona Lori limejaza.. roshwa ni kubwa sana barabarani.. VIONGOZI WETU KIUKWELI MUNAJITAHIDI SANA KUWASAIDIA WANANCHI WENU.. HONGERA MKUU WA MKOA.. 🤝
@mlewamlewa976
@mlewamlewa976 Жыл бұрын
Point kabisa dad yangu wamezid hao yote huo nimchongo wa kupiga cm
@franciskaristo822
@franciskaristo822 Жыл бұрын
Mama Aron umeongea point🙏🙏🙏
@timboxlee919
@timboxlee919 Жыл бұрын
Hapo ni wizi tu,hakuna cha mfumo hapo, RIP JPM
@batilda4920
@batilda4920 Жыл бұрын
Rushwa imezidi Sana duu!
@nashonmwinuka1758
@nashonmwinuka1758 Жыл бұрын
Huyo anaitwa ma Aron nimfanyabiashara sio dereva bhana mwandixhi
@MrA24G
@MrA24G Жыл бұрын
Rafiki yngu mtaka ni no nonsense.Ifike mahali tuwe serious.
@juliusmwandusa1528
@juliusmwandusa1528 Жыл бұрын
Uongozi ni tunu hongera Sana kiongozi
@JosephJon-wk6il
@JosephJon-wk6il Жыл бұрын
Mama nikweli kwabisa haowatu nimajambazibkilasehem maliyasili nishida kailuki kazianayo
@onescaniaonescania8227
@onescaniaonescania8227 Жыл бұрын
Hii ichi imekosaa uzalendoo na uwajibikaji ,magufulii fufukaa , mwenzako kashindwa
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Rushwa ni shida kweli. Kweli
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Hii😢
@fidelisjeremias3145
@fidelisjeremias3145 Жыл бұрын
Rushwaaa imezidiiii yaani bila uongozii kuwa makini watanzania wanatesekaa
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Na kuandamana hatuwezi
@fidelisjeremias3145
@fidelisjeremias3145 Жыл бұрын
Hiyoo ndioooo Tanzania yetuu😅😅😅😅
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Жыл бұрын
Hawana wajibu wakazi makukumia muda hawajuwi ndio maana tunahitaji katiba mpya Wana nch
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Idara za serikali zimekuwa ovyo sana..kuna watu wamekuja kukagua huduma yangu, lakini ghafla wameniandikia fine ya ajabu..tena wametengeneza control number wakati kipindi wanaondoka walisema ni 'supportive supervision". Nitalipa annual contribution, fine silipi. Walikuwa wanatengeneza mazingira ya rushwa siku tunafanya majumuisho ya taarifa.
@BakariIssa-nx3yf
@BakariIssa-nx3yf Жыл бұрын
Inchi ya vibaka mama mwizi baba mwizi watoto wezi
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 Жыл бұрын
Nlisha wahi kuipita Check point ya nyigo ilikua ni ucku na ndo mara ya kwanza kupita njia ile ila kiuhalisia ile check point imejificha na kibao hakina hata kiakisi mwanga kwa ucku ni ngumu kukiona
@katambimfalimbega3808
@katambimfalimbega3808 Жыл бұрын
Heko mh maelezo mazuli shida baazi ya hao watumishi vibuli Sana
@silasdominic5309
@silasdominic5309 Жыл бұрын
Hongera mkuu wa mkoa
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Жыл бұрын
Msaidieni Rais wetu jamani
@DONALDMTOWE-u9g
@DONALDMTOWE-u9g Жыл бұрын
Shida ni unae muomba,yani unamshitaki paka kwa panya.
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@khadi-z4o
@khadi-z4o Жыл бұрын
UJINGA MTUPU VIONGOZI WA TZ.... WANAFANYA KUSUDI ILI WALE RUSHWA
@CharlesLutandula
@CharlesLutandula Жыл бұрын
HONGERA SANA MKUU WATUMISHIWENGI HAWANA UPENDO NA SERIKALI YAO NA HAPOLAWAMAZOTE ZINAMWANGUKIA RAIS HAPOTATIZO KUNARUSHWA INASUMBUA MKUU NAKUOMBASIKUNYINGINE FANYAUKAGUZI WA KUSHITUKIZA .
@clevermgedzi4708
@clevermgedzi4708 Жыл бұрын
Angekuwa amefanya mtu wa kawaida angekuwa amefungwa na kesi ya hujumu uchumi
@mwanamwendy9265
@mwanamwendy9265 Жыл бұрын
Hilo la vituo kweli ni changamoto sana, usumbufu ni mwingi mno
@ismailmwakabelele2393
@ismailmwakabelele2393 Жыл бұрын
Kila Kona uendapo, Tunaambiwa Mfumo. SISi mitandao sio mizuri,halafu Mfumo sio mzuri,hivi kwanini Tusiweke Manual,halafu kwenye Mfumo,mtandao upo down,umene umekatika hivi vyote tunacheleweshana. Jamani,tutumie njia ileile ya zamani,halafu wao watakopi kile walichokiandika Manual ili tusicheleweshane ati Mfumo. Zamani tulicheza Kwa kuandika mbona kazi hazikusimama?
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Mfumo rushwa ndio unaofanya kazi
@husseinmaula4965
@husseinmaula4965 Жыл бұрын
Mkuu upo sahihi
@josephkulija293
@josephkulija293 Жыл бұрын
Mfumo unarejea baada ya kusikia Mkuu wa Mkoa anakuja? Nakukubali sana Mkuu wa Mkoa ktk utendaji wako Mungu akubariki sana
@mohddelo
@mohddelo Жыл бұрын
Safi mkuu
@abdallahnkrumah6237
@abdallahnkrumah6237 Жыл бұрын
Hapo inawezekana Mifumo ikawa ZIMWI Jingine la kutafuna Wananchi kabla ya Mifumu kulikuwa na Zimwi la njoo kesho.
@nappekiliakiliasalimu346
@nappekiliakiliasalimu346 Жыл бұрын
nikweli vituo vingi sana wanasumbua
@barakabusima
@barakabusima Жыл бұрын
Shida iliyokuwepo ni ya kuvuta subra....😂
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 Жыл бұрын
INASEMEKANA Kuna RUSHWA KUBWA SANA KWA WATU WA MALIASILI.
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Hakika
@AlfaSaa-j4h
@AlfaSaa-j4h Жыл бұрын
Ccm hao na bado mtakoma maana hamtaki madabiliko mtateseka sana
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Huyu RC nimemwelewa, natamani wote wangekuwa hvo
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 Жыл бұрын
Rc uko vizuri Sana we ni mzalendo
@bushirihamisi3819
@bushirihamisi3819 Жыл бұрын
Shida ya watumishi wa maliasli ni kero kubwa sana rushwa ndio kipaumbele chai akuna lolote hapo
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
KWELI KABISA KUNA SIKU NILITESEKA SANA UNAGONGA MIHURI MPAKA UNACHOKA
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv Жыл бұрын
Wanaofanya hayo Kwa kutaka mazingira ya rushwa rushwa
@edwinekahatano8472
@edwinekahatano8472 Жыл бұрын
Kwakweli
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 Жыл бұрын
Tukubaliane nani anaemuuliza dereva maswala ya mbao!!?😅
@godfreyissa6231
@godfreyissa6231 Жыл бұрын
Hiii mifumoo mpaka hospital
@daslamonline4665
@daslamonline4665 Жыл бұрын
Mfumo wa upigaji
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 Жыл бұрын
SIJAONA WATU WAZEMBE KM SERIKALINI
@mahengedaktari-ek8go
@mahengedaktari-ek8go Жыл бұрын
Wahuni hao
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Hilo ni swali niliuliza kwa waziri wa kilimo na naibu waziri wake miez michache ilopita kwenye mkutano wa Exporters , Pesa nying za serikali wanatumia Bilions of money kutengeneza mifumo lakini ni mibovu haifai ,hata kukata leseni tu kunamuda unazungushwa weeee shida tupu unajiuliza , hizo mifumo ipo hata ya kawaida tu ya oesa ndogo haisumbui ila ya serikali weee inazingua hiyo wakati ndiyo inayotumia mabilion ya walipakodi , NAONA WAPIGAJI WANASINGIZIA MIFUMO WAO WALE RUSHWA ,
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t Жыл бұрын
Sio watu wanaisitisha maksud ili wapate kitu mm ilinitokea nikaambiwa mfumo niliposimama imar mfumo ulifunguka mda huohuo.
@jellyyatta7597
@jellyyatta7597 Жыл бұрын
Mkinga huyo
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Жыл бұрын
Sema nilichogundua huyu mother anaeongea ana pesa amini kwambaa😂😂😂
@saidmabanga388
@saidmabanga388 Жыл бұрын
C umeona shngoo ilivo nona
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv Жыл бұрын
😂😂😂😂
@isayarevelian9698
@isayarevelian9698 Жыл бұрын
Kitu o chá waja iringa hakina alama kifutwe
@bulunjamalimikulwa4876
@bulunjamalimikulwa4876 Жыл бұрын
Tutamshauri mama aturudishie Mtaka mkoa wa simiyu, mchapakazi huyu. Kongole kwake
@deograsiamgeni5716
@deograsiamgeni5716 Жыл бұрын
Pole saa hii zamu ya Njombe
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 Жыл бұрын
Na sisi wa Dodoma hatujamfaidi alituonjesha2 akahamishwa ni KIONGOZI bora sana
@GideonMalyego
@GideonMalyego Жыл бұрын
Hyu mkuu wa mkoa hajawai kuwa fala fala na chawa wa mtu,anakupga za uso papo papo hna masihara!😂
@saidmabanga388
@saidmabanga388 Жыл бұрын
😀😀😀😀
@saidmabanga388
@saidmabanga388 Жыл бұрын
Uyuuu jamaa namkumbkq tangu yupoo dodomq ni mtuu wa misimamo sanaa
@mtegamelkior5193
@mtegamelkior5193 Жыл бұрын
Rc Mtaka ni moja ya majembe ya kutengemewa. Njb itabadilika kuwa ya maendeleo zaidi, mchumi mzuri huyo.
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
@ Abdala hawasaidiwi ni haki yao hao hakuna msaada walarushwa si watimuliwe tuu wanaombaomba pesa iwapo wenzao wako seriously kikazi zao Walipwe wiki moja kukwamishwa hapo ndio vitu vya kijinga jinga vinawakwamisha kuondoka
@ibrahimhodabaksh3939
@ibrahimhodabaksh3939 Жыл бұрын
VITUO VYANINI UPIGAJI TU
@Jal210
@Jal210 Жыл бұрын
Rais bure umemwondoa mchengerwa
@OmarButotela
@OmarButotela Жыл бұрын
Takukuru chunguzeni ukweri
MLINZI AUWAWA KIKATILI NJOMBE, AVAMIWA NA KUCHOMWA KISU SHINGONI
6:38
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Chapitosiki
Рет қаралды 3,1 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 14 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 11 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /45/ #love
20:10
BabaJoan
Рет қаралды 196 М.
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Chapitosiki
Рет қаралды 3,1 МЛН