SAKATA ZITO LA MWALIMU ALIYEFUKUZWA KAZI | ALIDHURUMIWA SHAHIKI ZAKE | AFISA UTUMISHI ABANANISHWA

  Рет қаралды 50,428

RAI TV

RAI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 117
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 4 ай бұрын
Mbingu zikufunike boss wangu. I wish to ɓe part of your team kaka. Boss aliyenyooka khaswaaa
@DerickNgowi-mf5pe
@DerickNgowi-mf5pe 5 ай бұрын
Serikali ya samia imchukue huyu mama ana kitu kikubwa sana ....
@joycemwake4647
@joycemwake4647 4 ай бұрын
May the Lord bless you honorable makonda ,for really you are helping people
@issaramadhaniathuman
@issaramadhaniathuman 5 ай бұрын
Huyu mama nimemuelewa sana anajitmbu hanrrd pcnt ❤
@EmmanuelMashana
@EmmanuelMashana 5 ай бұрын
Hongera sana Mhe. Makonda Kwa kazi nzuri, Mwenyezi Mungu aibariki kazi ya mikono yako na akuzidishie siku za uhai wako ili uwasaidie wanyonge
@patrickmarwa5024
@patrickmarwa5024 5 ай бұрын
Mwalimu uwezo wake wa elimu ni mkubwa pia akili nyingi sana anajua kujieleza pia .
@patrickmarwa5024
@patrickmarwa5024 5 ай бұрын
Mkuu wa idara ajira yake ipo chini ya nani kama mkuu wa mkoa unaweza kufanya mabadiliko hapo hapo huyu mwalimu tunaomba awe mkuu wa idara
@zaliafahussein4451
@zaliafahussein4451 5 ай бұрын
Ana kitu mwalimu
@freemansuleiman7847
@freemansuleiman7847 5 ай бұрын
Makonda mungu akubariki sana ww ndo umejua sisi wananchi tunataka nini baba mungu atakulipa usiogope kupigwa vita
@NoelaKetau
@NoelaKetau 5 ай бұрын
Waalimu wapewe heshima sanandio waliotufanya tupo tulipo.Makonda ubarikiwe sana baba
@thelalas9204
@thelalas9204 5 ай бұрын
Huyu mwalimu jamani mpeni kazi nyengine huko serekalini asimamie mambo ya wanarusha.yupo fiti sana mkakamavu
@DenizaChambala
@DenizaChambala 5 ай бұрын
Makonada mungu akuweke akulinde na mmungu
@DenizaChambala
@DenizaChambala 5 ай бұрын
Makonada mungu akuweke akulinde na mmungu
@DenizaChambala
@DenizaChambala 5 ай бұрын
Makonada mungu akuweke akulinde na mmungu
@DenizaChambala
@DenizaChambala 5 ай бұрын
Makonada mungu akuweke akulinde na mmungu
@DenizaChambala
@DenizaChambala 5 ай бұрын
Makonada mungu akuweke akulinde na mmungu
@stephenkitururu5588
@stephenkitururu5588 4 ай бұрын
Hongera sana mkuu wa mkoa Kwa kumsaidia huyo mwalimu
@SamwelManirakiza
@SamwelManirakiza 5 ай бұрын
Hongera sana mh makonda kwakunyosha mambo
@mbwafumabula4706
@mbwafumabula4706 5 ай бұрын
Akija silaa hapo nyumba inabomolewa
@BarakaloishiyeLukumay
@BarakaloishiyeLukumay 3 ай бұрын
Mungu akusidishie san
@SeveriniTemu
@SeveriniTemu 5 ай бұрын
Mkuu Makonda unazo hekama za mflme Selmani kwenye bibilya. Pambana mungu akuongeze hekima busara uchaji kipawa watanzania tuzidi kukutasimini mbele ya safari ndefu : nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko rushwa ni adui wa haki sitapoke na Wala sitatoa. !!!!*** Hayo ndiyo madhumuni ya chama yadumuuuu asanteee mkuuuu tupo pamoja
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 5 ай бұрын
Afu Maza huyo mwanasheria ana Cheka Cheka anadhani utani kwenye issue serious kama hyo asee. Nonsense
@JosefuRashid
@JosefuRashid 5 ай бұрын
Mam ana upiga mwing kazi iendelee kusimamia haki zawayonge mkuu makond vzr san
@OmaryBora2
@OmaryBora2 3 ай бұрын
Asante mwanasheria
@komboko4143
@komboko4143 5 ай бұрын
Nampenda mwalim bitris maana yupo full dose hadanganyiki yupo makini sana
@piusgadau6328
@piusgadau6328 5 ай бұрын
Huyu teacher aliyeoa ana kazi ngumu sanaaaaa😂
@khaliphaabubakar9466
@khaliphaabubakar9466 3 ай бұрын
Mme wake atakuwa na bahati kubwa kuwa na mke kama huyu teacher
@piusgadau6328
@piusgadau6328 3 ай бұрын
@@khaliphaabubakar9466 huyo mama akili kubwa mnooo huenda mwamba asiinjoy
@DeborahMwampashi
@DeborahMwampashi 3 ай бұрын
Mungu akulinde makonda
@ImaniImanueli
@ImaniImanueli 5 ай бұрын
Broather nakukubali sana ningependa u.gekuja hata mbeya usafishe madudu mengi na pia nakuombea uje uwe Raisi wetu wa tanzania ck zijazo.
@restitutakisamo7607
@restitutakisamo7607 5 ай бұрын
Jamani b Bitrice class mate umeteseka sana,pole sana.pambana mpaka kieleweke,Ashira oyeeeeèe❤
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 5 ай бұрын
Kumbe kasoma ashira,,nilikua nashangaa mbona ana uwezo mkubwa Sana kumbe alisoma kipaji
@adilimihinga7873
@adilimihinga7873 5 ай бұрын
Mh.ahsante sana kutetea haki za wanyonge!
@zeldakahitwa7509
@zeldakahitwa7509 4 ай бұрын
Shukrani mkatoe kanisani
@OmaryBora2
@OmaryBora2 3 ай бұрын
Tenda haki kaka Mungu atakupa na atakulinda
@MshamuKazumali
@MshamuKazumali 5 ай бұрын
Bg up magufuli mdogo,chapa kazi mkuu.
@RashidiHamisi-uv7sd
@RashidiHamisi-uv7sd 5 ай бұрын
Big Up Mh. Makonda kwakazi nziru. Huko mkoani arusha.
@nkweefrank2030
@nkweefrank2030 4 ай бұрын
Mama yuko vzur sanaaaa❤
@irenesanga8809
@irenesanga8809 4 ай бұрын
Beatrice umetisha mama
@danielchaulema1670
@danielchaulema1670 5 ай бұрын
Hongera Sana makonda
@dicksondkaganga1290
@dicksondkaganga1290 4 ай бұрын
Duh!
@JacksonMtambo-xb9rl
@JacksonMtambo-xb9rl 4 ай бұрын
Fanya kazi mzee
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 5 ай бұрын
Beatrice mwl na mwanangu umenibeba mabegani kwa umedhihirisha kuwa mwalimu si wa kubezwa na kutweza utu wake.
@CharlesKiyenze
@CharlesKiyenze 5 ай бұрын
Saf Sana teacher uko vzur makonda hongra San hatuna viongoz weny kufany kam makonda
@peterkerenge9207
@peterkerenge9207 5 ай бұрын
"Mpeni beatrice akae mtoni"😅 mheshimiwa umeniua
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@beatrice4780
@beatrice4780 5 ай бұрын
Udumu Mwana! Wanaokuchukia ni wenye vijiba vya roho, mawivu tuuuu
@irenesanga8809
@irenesanga8809 4 ай бұрын
Makonda kwa kweli nimekupenda bureeeee.malipo kwa Mungu
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 4 ай бұрын
Kwn hawa watumishi wanatokea familia zipi ambazo hawathamini watu. Mimi nadhani ikigundulika mtu kadhulumika wabomolewe na waliohusika washughulikiwe effectively
@stellakivuyo4411
@stellakivuyo4411 4 ай бұрын
my madame
@RashidiHamisi-uv7sd
@RashidiHamisi-uv7sd 5 ай бұрын
Makonda big up
@susananyasani6526
@susananyasani6526 5 ай бұрын
Katika Dunia nzima Wananchi hawaruhusiwi kuishi sehemu ya Mto kwa sababu sehemu hizo ni Kitanda cha Maji 😂 asante
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 5 ай бұрын
Kiwanja kikaingia mtoniiiiiiii. Walai huyo mtoa maelezo hajielewi.
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 5 ай бұрын
Mh haya mambo yanatakiwa kufuatiliwa kila mwaka
@jestinakalonga8934
@jestinakalonga8934 5 ай бұрын
Barikiwa
@felisterandrew8418
@felisterandrew8418 5 ай бұрын
Hupendwi kwa sbb unatenda haki,,mtenda haki daima hapendwi
@RamadhaniOmary-z3p
@RamadhaniOmary-z3p 5 ай бұрын
Huyo mama anasema ukweli ndo maana hana wasiwasi anasema ulweli
@sharafisaidi7999
@sharafisaidi7999 5 ай бұрын
Ingekuwa wakati wa jpm huyu mwalimu angepewa ukuu wa wilaya
@Blasius-yz7pb
@Blasius-yz7pb 5 ай бұрын
Jiandae kukaria kiti cha urais kamanda mungu AKULINDE
@saitotisimon4842
@saitotisimon4842 4 ай бұрын
Natamani kuingia kwenye siasa❤️
@GraceMbungu-hn7oi
@GraceMbungu-hn7oi 4 ай бұрын
Daaa! Mama huyu anajiamini Hadi raha
@rahmaomar9137
@rahmaomar9137 5 ай бұрын
Hongera mwl
@KajiruSele
@KajiruSele 5 ай бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏
@bonifacedanielmwakisunga9638
@bonifacedanielmwakisunga9638 5 ай бұрын
Huyo afisa utumishi afai kabisa kwanini wanakuwa waongi watumishu wa umma kwani akifukuzwa kazi huyo mama wao wanapata Nini no laana ya vizazi vyao fukuza shule zao Nina wasiwasi sana
@stevenmwamba-tm6ox
@stevenmwamba-tm6ox 5 ай бұрын
Namkubali,makonda,ingawa,halinivujia,nyumba,yangu,suna
@PaulRadslaus
@PaulRadslaus 4 ай бұрын
Njoo nakwetu lukwa baba uwe mkuu wa mkoa tumekupenda sana
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 5 ай бұрын
Kiwanja kimeingia mtoni hahaha dah nimecheka kifala sana
@bukharyally
@bukharyally 5 ай бұрын
Ndio maana nakupenda makonda unacho sema nikama ninavyo wanza mm safi sana kaka
@romanilyimo
@romanilyimo 5 ай бұрын
Wacha uongo bana amuweziwaza sawa na makonda ndg kila mtu ana nafsi yake 😂😂😂
@stephenkitururu5588
@stephenkitururu5588 4 ай бұрын
Huyu mwana Sheria namkubali sana kwanza anajibu Kwa mujibu wa Sheria pasipo Kona Kona ... Kama unamkubali kama Mimi gonga like hapo chini tufahamiane 😂😂❤
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 5 ай бұрын
Hapo kama namuona Slaa vile waziri wa ardhi yaani akiiona hii mmeishaa
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 5 ай бұрын
Makonda 🔥🔥🔥
@LilianKisumbi
@LilianKisumbi 5 ай бұрын
Hivi kwa Nini watu hawana hofu ya mungu
@Ndekya
@Ndekya 5 ай бұрын
Hivi mmegundua huyu mwalimu beatrice ana utulivu sana
@EllyAyo-uq6ol
@EllyAyo-uq6ol 5 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI MKUU WA MKOA WA ARUSHA,NAOMBA MHE.RAISI WETU AKUTUME NA HUKU KIBAHA,NI KAMA VILE HATUNA HATA MBUNGE
@SamaGane
@SamaGane 5 ай бұрын
Uko vzr
@sagangohe.bukombe131
@sagangohe.bukombe131 5 ай бұрын
Good
@Itarusii
@Itarusii 5 ай бұрын
Kazi kweli kweli!
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 5 ай бұрын
Mwalimu yupo vizuri amekataa ku sign mpaka wakubaliane kisheria hapapariki na pesa
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 4 ай бұрын
Hivi kwnn wanaodanganya serikali wasifukuzwe na kufungwa. Kùkosa hofu ya Mungu na kudharau viongozi tena mbele ya umma. Huu ni ubadhirifu wa madaraka. Kaka i mean i wish kufanya kazi na wewe na naahidi kuwatumikia wananchi wako
@youthmediatv1
@youthmediatv1 5 ай бұрын
Huyo mama kamuajili
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 5 ай бұрын
Ila nyie watumishi wa hii nchi bhana, yaani mtoni ambako Beatrice hapamfai kapewa mtu ambae anaishi hapo hapo mtoni dah😂
@fatumasaidimmependezamjeng8994
@fatumasaidimmependezamjeng8994 5 ай бұрын
@njamusenga5551
@njamusenga5551 5 ай бұрын
Gombea uraisi mkuu
@adilimihinga7873
@adilimihinga7873 5 ай бұрын
BILA hivi mh.hatutoboi!
@AlbertShayo-i6v
@AlbertShayo-i6v 5 ай бұрын
Haya ni marmtatizo ya kitaifa kwanini wakuu wa mikoa wengine wasimsaidie Rais kama anavyofanya mkuu wa mkoa Arusha ?
@danielchaulema1670
@danielchaulema1670 5 ай бұрын
Asiyempenda makonda nifisadi
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 5 ай бұрын
Huyu mama serekali mchukuwe anakitu kikubwa
@OmanOman-hz1qm
@OmanOman-hz1qm 5 ай бұрын
MAKONDA WEWE NI SIMBA USIOGOPE KAMATA HUYO
@zeldakahitwa7509
@zeldakahitwa7509 4 ай бұрын
Arusha mkatoe sadaka ya shukrani kwa RC huyu Mungu amewakumbuka hapa kila aliyenyimwa haki yake ataipata
@sultanijuma3537
@sultanijuma3537 5 ай бұрын
😂😂😂😂daaah hatalii sana
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 ай бұрын
Huyo msemaji wa jiji eti anachekacheka sasa unacheka kwa kuzurum haki ya mtu unaleta mapenzi kwenye ujinga
@Dorka12-n7b
@Dorka12-n7b 4 ай бұрын
Makonda mtetezi wa wanyonge ubarikiwe na kizazi chako
@sulemanmuyomba3524
@sulemanmuyomba3524 5 ай бұрын
Yaaani
@African511
@African511 5 ай бұрын
Nguvu ya JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI ndani ya PAUL CHRISTIAN MAKONDA, blue print ya JPM.
@youthmediatv1
@youthmediatv1 5 ай бұрын
Chapa kazi
@IssaKulaifa-ft5us
@IssaKulaifa-ft5us 4 ай бұрын
Makonda pitanao haooo
@maimunakassim8413
@maimunakassim8413 5 ай бұрын
,😂😂😂😂😂hii nchi inawatumishi wajinga sana.mpeni mwl mto wake aupeleke chumbani
@brownnyagawa705
@brownnyagawa705 5 ай бұрын
Ninatamani makonda Awe waziri
@nesenaibala1910
@nesenaibala1910 5 ай бұрын
Hakuna maeneo huko osmotic kule mashamba yote yana wenyewe
@hamudzakuwani4149
@hamudzakuwani4149 5 ай бұрын
Kwa kweli kinjwa ni kinjwa makondaa wewe ni taraolee mpya wa tz 230
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 5 ай бұрын
Mwalim ni wa moto hatari
@josephwilliam9736
@josephwilliam9736 5 ай бұрын
Nasubiri apewe mto
@johnimboru2078
@johnimboru2078 5 ай бұрын
Wakuu wa mikoa mengine waige hili jambo
@yahayaomedkingungalo2179
@yahayaomedkingungalo2179 5 ай бұрын
Makonda mwamba. Mtetezi wa wanyonge
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 5 ай бұрын
Mwalim beatress ww ni jembe unajua kujieleza balaa tatizo wakishakalia viti wanajiona wo wenyewe ndo wanaakili
@MahamudBampenja
@MahamudBampenja 5 ай бұрын
Uyu mama anacheka cheka wakati watu wapo seriously
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 5 ай бұрын
Makonda uongozi unaujua.
@RUBENNGAYA
@RUBENNGAYA 5 ай бұрын
Umalaya unamsumbuaa,anachekacheka nini???????
@jokhajj
@jokhajj 4 ай бұрын
Ndo namshanga kama malaya kaona tajiri
@AlbertShayo-i6v
@AlbertShayo-i6v 5 ай бұрын
Mwalimu huyu yuko vyema
@jerryshah4880
@jerryshah4880 5 ай бұрын
Makonda na kazi
@MkayulaDavid
@MkayulaDavid 5 ай бұрын
Huyu mama kucheka cheka
@JuliusChambo-t4c
@JuliusChambo-t4c 5 ай бұрын
Wapigaji tumbo joto
@HildeMgaya-gc2pt
@HildeMgaya-gc2pt 4 ай бұрын
njjj
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 44 МЛН
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 12 МЛН
MUWEKEZAJI MKUBWA AMVUNJA MBAVU RC MAKONDA, SEMA UNA..
18:49
Tropical Storm possible in the Caribbean...
16:55
Mr. Weatherman
Рет қаралды 41 М.