Mashujaa FC 0 -1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/05/2024

  Рет қаралды 140,230

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Goli pekee kutoka kwa Joseph Guede limeipa yanga ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa FC ugenini kwenye Dimba la Lake Tanganyika Kigoma, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Tazama highlights....

Пікірлер: 61
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 5 ай бұрын
Mashujaa ni kweli wamekuwa wageni mbele ya Yanga nipeni like moja tu wananchi 😄😎💪
@JumaSanda-hn1ho
@JumaSanda-hn1ho 5 ай бұрын
wanabahati yao
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 5 ай бұрын
😄
@zamukahemele1505
@zamukahemele1505 5 ай бұрын
Muda sahihi wa kumsahau mayele na kuonesha sapport kwa guede🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@pascalkyara7411
@pascalkyara7411 5 ай бұрын
Hongereni sana azam tv kwa hiki mlichofanya sasa hivi ukiwa livescore unauwezo wakupata video za matches za NBC premier league moja kwa moja itakupeleka KZbin kazi nzuri azam tv 👏👏👏👏🔥🔥
@FatmaJumawazir
@FatmaJumawazir 5 ай бұрын
Wakwanza jaman like zangu😂😂😂😂
@DorothyKabikn
@DorothyKabikn 5 ай бұрын
Jmn Azizi ki anapenda Tim yetu anavyoshangilia🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@AzizaSwedi-vx9tv
@AzizaSwedi-vx9tv 5 ай бұрын
Alhamdulilah kwa Wananchi kikubwa pts 3 muhimu Zimepatikana Alhamdulilah.
@tanzalandtv3311
@tanzalandtv3311 5 ай бұрын
Mangungu tunaomba usiache uongozi Simba , kwakweli ukijiuzulu utatuangusha sana wana Yanga
@TwahirMohammed-x2h
@TwahirMohammed-x2h 5 ай бұрын
Hongereni young africas daima mbele nyuma mwiko
@jacksportman5181
@jacksportman5181 5 ай бұрын
Gwede my favourite player 🔥
@AzizaSwedi-vx9tv
@AzizaSwedi-vx9tv 5 ай бұрын
Alhamdulilah kwa Wananchi kikubwa pts 3 Muhimu Alhamdulilah.
@AmidaMangota
@AmidaMangota 5 ай бұрын
Jamanii yanga laha like yanguu iyooo
@NduwimanaMoussa-bu3ic
@NduwimanaMoussa-bu3ic 5 ай бұрын
Oyoooòooo.alove.you.yanga.shukran.mungu.kuipa.ushindi.tim.yangu
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 5 ай бұрын
Asante mungu kwakweli
@BenjaminiAsheri-ey1kh
@BenjaminiAsheri-ey1kh 5 ай бұрын
Hongereni wananchi kwa kuendelea kulamba alama 3 muhimu
@merinachalinze-rn2cc
@merinachalinze-rn2cc 5 ай бұрын
Mashabiki wa Kigoma noma
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 5 ай бұрын
Wa kwanza ku like kwa lipi? Achana na wa kwanza ku like, we like Yanga.
@NuruMaduru
@NuruMaduru 5 ай бұрын
Nyuma mwiko❤
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 5 ай бұрын
Daah ila kweli Mashujaa wako vizuri
@shabanimndemer1529
@shabanimndemer1529 5 ай бұрын
sioo oooo aema gooool
@kwamefidel736
@kwamefidel736 5 ай бұрын
Yanga ya motooo
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 5 ай бұрын
Kiingilio kilikuwa sh ngap
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 5 ай бұрын
Wananchiiiiiii 💛💚🔰💛
@MakakaApolinary
@MakakaApolinary 5 ай бұрын
Mashujaa mmejitahidi kupambana ila ndo hvo matokeo ya football jipange muda mwingne,,,,,,,,
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo 5 ай бұрын
Nisichokipenda kwa huyu mshereheshaji ni neno #Kutumbukiza😂😂😂😂 Ananiboa kichizii yaani..
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
Hilo neno linakukera bure maana huko kupasiana na kusukumana kote madhumuni ni KUUTUMBUKIZA huo mpira golini kwa mpinzani.
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo 5 ай бұрын
@@hajihassan5433 😁😁😁😁😁😁
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 5 ай бұрын
Jo-Magoli
@RashidiMkongewa-h9l
@RashidiMkongewa-h9l 5 ай бұрын
Yanga bingwa 2024- 2030
@Muhammedually
@Muhammedually 5 ай бұрын
Mapigo na mwendo, wamepigwa na wameenda.
@hasanimohamedi279
@hasanimohamedi279 5 ай бұрын
kiukwel mangunguuu mpen 5 tena😂😂😂
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 5 ай бұрын
Mangungu kaza mwana mitano tena😂
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 5 ай бұрын
Leo Azam mmejitahid
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 5 ай бұрын
Mashujaa kidogo mtuaibishe et 😂😂😂
@HASSANKAMGUNDA
@HASSANKAMGUNDA 5 ай бұрын
Sikuizi haya matangazo ya Mubashara ya mpira Mnayarusha baada ya mcheze Kwanini msiyarushe Kabla ya mchezo husika😂😂😂 atari
@GucciJackson-sw6pg
@GucciJackson-sw6pg 5 ай бұрын
Man U wakimuona Guede tumekwisha 😑
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 5 ай бұрын
😂😂😂
@kelvinJoshua-zo3up
@kelvinJoshua-zo3up 5 ай бұрын
Yanga balaaa!!!
@justinealistides5146
@justinealistides5146 5 ай бұрын
Ko ilikuwaje UBUNTU BOTHO mbona shabiki hawakuja
@ibrahimnganyule5367
@ibrahimnganyule5367 5 ай бұрын
Simba kuweni makini na uchaguzi Yanga wanaweza mchagua Magungu tena
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham 5 ай бұрын
Nitafutie msemaji wa mashujaa aliongea hovyo ,tumsikie maana wameshafungwa ... Tumsikie
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 5 ай бұрын
Aje aongee tenaaa
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 5 ай бұрын
AZAM TV MIYEYOSHO SAN WANAWEKA VIPANDE SAN
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 5 ай бұрын
Wananchi awashikiki
@RashidiMkongewa-h9l
@RashidiMkongewa-h9l 5 ай бұрын
Mangungu 5 tena
@SophiaChmpaya
@SophiaChmpaya 5 ай бұрын
Nyie kumekucha
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 5 ай бұрын
Nyuma mwiko😂😂😂
@RashidiMkongewa-h9l
@RashidiMkongewa-h9l 5 ай бұрын
Mangungu 5 tena ili wanayanga tufurahi
@nyaganyaga3876
@nyaganyaga3876 5 ай бұрын
MVP musimu huu ni AZIZ KI nadhani haina mjadala wanao weza chuana naye ni kipre, kamanda baka, matampi ,fei musimu huu simba pale hawaambulii tuzo yoyote ile
@fredricknyamwe5163
@fredricknyamwe5163 5 ай бұрын
Neno MVP kwa urefu humanisha nini tafadhali?
@nyaganyaga3876
@nyaganyaga3876 5 ай бұрын
@@fredricknyamwe5163 Most valuable player
@nkosiyabomasuku1795
@nkosiyabomasuku1795 5 ай бұрын
@@fredricknyamwe5163Mangungu kaVimba Pua
@consolathamlimi7883
@consolathamlimi7883 4 ай бұрын
😅😅😅 ​@@nkosiyabomasuku1795
@ahadihaonga2459
@ahadihaonga2459 5 ай бұрын
Sawa mabingwa
@TerioNgoyo
@TerioNgoyo 5 ай бұрын
Musonda auzwe
@FlavianaKatunzi
@FlavianaKatunzi 5 ай бұрын
Mbona azam wachoyo wanaweka highlights dk 8 tu acha uchoyo bhana
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 5 ай бұрын
Kiingilio kilikuwa sh ngap
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 5 ай бұрын
Bule
@SophiaChmpaya
@SophiaChmpaya 5 ай бұрын
Buku 5
@damianmcba9525
@damianmcba9525 5 ай бұрын
20, 10 na buku 5
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 58 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 268 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 146 МЛН
UPL HIGHLIGHTS KITARA FC 1-2 NEC FC
5:13
NEC FC TV
Рет қаралды 764
Impossible Goalkeeper Saves in Football
8:43
TKHD
Рет қаралды 58 МЛН
Lamine Yamal will never forget Endrick's performance in this match
14:22
Simba SC 1- 5 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 05/11/2023
12:02
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 58 МЛН