❤masha Allah shukran jazeelan somo zuri sana. Nawapata kutoka Nairobi kenya
@pilykingo Жыл бұрын
Shukran .. Bwana editor sauti yå kipindi hiki inajirejea mara mbili. Rekebisha mitambo
@fatmamansour676 Жыл бұрын
Waume wengi sahv hawapendi kutoka na wake zao
@Wahda-co5fb Жыл бұрын
Exactly
@hamadrajab8042 Жыл бұрын
Nice one
@aairraahseif5648 Жыл бұрын
Subuhanah Allah!mume unazitupa haqi na utu wako alo kupatia Allah kwa Mke tu'tena kiumbe aloamriwa na Allah awe chini yako na akutii leo wewe mume ndo unakuwa chini? mke ulo muowa wewe ndo ulomleta kwako aje akupande kichwani?Leo unamkadhibisha Allah unapoteza haqi na dhawabu na furaha zako kwa mke? Mke? hasara mume amuogope mkeo! Utumwa huo!nisimuogope Allah kwa alonipatia hidaya nyingi tu'ama kweli huu ni ujinga mkubwa sana!mke nilo muowa awe mke mwema, kwani huwa hawajui kuna wake 4?anikoseshe raha na niwe dhulmat kwa kitu gani alonacho huyo Mke hasa?kama ni pepo yeye ndo ataipata kupitia mumewe!bwege na hayawani ndo aweza kupelekeshwa na mkewe! Mume Bara Bara anae jijua yeye mume hawezi kuburuzwa! Nisimuhofie Allah wangu aloniumba rijaal na kunipa Rehma zote ati nimuhofie mke?mke?anipeleke motoni kwa kunipitisha njia za dhulma aaaaa Subutuuu!acheni ku ogopa wake zenu! Muogopeni Allah pekee! Hii tabia ya kuwapatia wake haqi zenu na kujifanya dhaifu acheni!wake wana haqi zao wanaijua lkn Sio hii, hii ya kuongeza mke haiwahusu!ameolewa na wote wana haqi sawa na ndivyo ataolewa mke wa 2,3,4,ni haqi ya mume!sijakuowa uje nitawale,wa pewa haqi zako ziheshimu Sio kuingilia haqi za wake wengine wajao
@maryamabdulla-io7qq Жыл бұрын
7
@aairraahseif5648 Жыл бұрын
@@husna34562 hawa wake wakubwa wanaikhalifisha Sunnah ya Mtume wetu S.A.W na kufanya hii Sunna ikawa ni dhambi au haramu mume kuongeza mke imekuwa kama haiko ktk uisilamu!sijui hawafundishwi huko makwao?wanataka uislam lkn tabia za kikafir mke 1 mpaka kufa na vimada juu nje huko!nimekuowa ushukuru Allah,Ungekuwa watangatanga huko wapika urojo vibarazani!mke kujifanya yy ndo ana amri mpaka haqi zako mume yy azikaba,wengine hata sifa za kuwa mke hawana lkn tunawaheshimu tu'mume mpaka anatafuta mke 2 nikutafuta furaha zake!hapati kutoka kwako! Vipi ww nimekuowa uje unipe furaha badala yake wa chukua na haqi zangu,na haqi za wenzio?wewe nani?huwezi uke wenza ondoka!sinijutishe kukuowa!mke Simamia ktk haki zako kama umetelekezwa!lkn usiibe haqi za wenzio na haqi ya mumeo ni dhambi na kujifanyananisha tabia na maqafir
@ummuwawili7 ай бұрын
mashaa Allah ....namuomba Allah anijaalie mume mwema mwenye msimamo kama huyu mtu aloandka hii msg Hongera sana wachache wanaojitambua km hv kwasasa hasa kwa watu wenye mke mkubwa mwenye uwezo wa kidunia.....Allah atuongoze
@aairraahseif56487 ай бұрын
@@ummuwawili amiin insha'allah Allah apokee Dua zako 🙏