AJABU YA SHOGA ALIYEOLEWA NA MUME WA SHOGA YAKE

  Рет қаралды 14,153

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 26
@chukwani4942
@chukwani4942 9 ай бұрын
Mie nahisi ni vyema ukitoa mawaidha uvae nikabu na uhojiwe na mwanamke mwenzako hasa hizo maada unazozungumza, ukhti mashaallah mawaidha yako mazuri ila fuata utaratibu
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 ай бұрын
Utaratibu gan tena? nyinyi viumbe vya mung hamuish sababu tuu
@chukwani4942
@chukwani4942 9 ай бұрын
@@nahlahassan-fd6le utaratibu wa dini yetu ya kiislamu
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 9 ай бұрын
​@@chukwani4942muhmu stara Co nikabu
@SaidinaKhamisi
@SaidinaKhamisi Ай бұрын
Maashaallah alfu mabrouk ukhty
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 8 ай бұрын
MashaAllah darsa zuri my ukhty, Allah akuhifadhi ktk wema na uchamungu, nakuomba jaribu kuvaa niqab na gloves mikononi utapendeza zaidi, shukran barakallahu fiiqum, nawapendeni kwa ajili ya ALLAH ❤
@Fadhila-q6b
@Fadhila-q6b 9 ай бұрын
Mashaalh mawaidh mazur,ila uwe unajstr ipasavyo ukhty
@mwantumswalehe2300
@mwantumswalehe2300 9 ай бұрын
Mashallah mashallah tabaraka Rahman ❤❤❤
@FatimaMohamed-n5h
@FatimaMohamed-n5h 8 ай бұрын
Kwa kweli kwanini wasijihifadhi na Imani NI kuwa haya NI pambo kubwa Kwa mwanamke na huyu Shegh Rashid hakuna asilolijuwa kwanini hawawekeei masharti ya sheriya za dini wajirekebishe Kwa kweli si hakki
@omanoman2044
@omanoman2044 9 ай бұрын
Maashaallah nikweli
@NassibuRudonongo
@NassibuRudonongo 9 ай бұрын
Assalamu a'laykum warahmatullaah.ukhuty jaribu kuzingatia mipaka pia.sitara yako ikowapi?au uneluhusiwa kutoa stara mitandaoni?
@monadinadi5295
@monadinadi5295 9 ай бұрын
Mashaallah ❤️🙏
@chikujuma18
@chikujuma18 9 ай бұрын
Asalaam alaayikum shukuran ukhuty fatuma
@husna34562
@husna34562 9 ай бұрын
Huku kwetu neno shoga ni zito sana nimesthuka😂kumbe rafik😅
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 8 ай бұрын
Shoga ni rafiki wa kike Ila ukimuita mwanaume shoga tafsili yake inabadilika mwanaume anayejifananisha na mwanamke huwa anaitwa shoga Mimi tangia nipo mdogo najua shoga ni rafiki wa kike ukubwani uku ndo nakuja kuona ili jina lipo na kwa wanaume wanaojifananisha na wanawake
@halimayusuf1616
@halimayusuf1616 9 ай бұрын
Hao masomo au makungwi. Wasi amini sana kuwaeleze mambo ya ndani. Maana makungwi ndio wana wachukua waschana kuwageuza wafanye ya kaumu lut. Au somo amchukue mume. Inakuaje ahapo
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 9 ай бұрын
Huyo kajtoa kwa kukosa heshma na ndoa yake.
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 9 ай бұрын
Bass haya afadhali hajuwi mwanamke wanaume wengi sahivi kila kitu najuwa mambo yalikuwa hayana maana ya upunzi
@مونا-ج6ذ
@مونا-ج6ذ 9 ай бұрын
😢
@salummzee9739
@salummzee9739 9 ай бұрын
Kwanza kina dada ili muwe walimu kwanza ficheni mapambo yenu huwez kutoa mafunzo wakat ww bado unataka kufungwa mikono ina meremeta kwa piko huoni kwa umetushitua nafsi zetu mitihan hii
@kutailass6671
@kutailass6671 9 ай бұрын
Duuuh, nany sasa mmezid😂
@shamzone388
@shamzone388 9 ай бұрын
Ni kweli
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 ай бұрын
Loooo😂😂😂😂
@user-ex3mw1bj9k
@user-ex3mw1bj9k 9 ай бұрын
Hee mbona mnanitisha sasa hivi kuna piko mikononi kwa huyu ukhty mbona mimi siioni hiyo piko mikononi mwake?
@AttiyaHassan_somomtoto
@AttiyaHassan_somomtoto 8 ай бұрын
@@user-ex3mw1bj9kwamekariri hawafungui wakaona wanajua muda wote watamuona somo mtoto wamtukane 😅 maskini wanaadhirika
MWANAMKE MAMBO HAYA YATAKUEPUSHA NA GHADHABU ZA MUME (HUBBUL HALAL)
18:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 2,7 М.
HUU NDIO UKWELI WA NABII SULEIMAN KUFIKA ZANZIBAR. Episode 01 (SEMA NASI)
32:24
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 146 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 26 МЛН
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Chapitosiki
Рет қаралды 3,1 МЛН
HUU NDIO MZIGO MZITO KWA KINAMAMA WENGI (HUBBUL HALAL)
26:17
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 1 М.
Waislamu wanaoenda  kufanyiwa miujiza kanisani | Nini tatizo?
21:44
Straight Path Dawah
Рет қаралды 124 М.
UKIONA DALILI HIZI, ANAKUSALITI (HUBBUL HALAL)
29:25
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 17 М.
MAISHA YA MAMA ANAYELALA CHINI YA MTI NA WATOTO SITA NDANI YA RAMADHANIÅ
9:40
YESU WA TONGAREN AWABEBA WANAFUNZI WAKE KWA TINGA
49:10
Straight Path Dawah
Рет қаралды 40 М.
HII NDIO SABABU WAISLAMU 25 KURITADI
10:19
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
MWANDISHI WA HABARI WA MZEE KARUME AILILIA ZANZIBAR
36:02
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 26 М.
SHUHUDIA TUKIO LA AJABU ALILOFANYA SHEIKH OTHMAN PEMBA
7:26
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 116 М.
MFAHAMU MSANII WA PEMBA MWINYI MPEKU NA SAFARI YAKE YA CHINA
44:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 146 МЛН