KINACHOZUIA NDOA YA DIAMOND NA ZUCHU, BABA DIAMOND AONGEA MENGI YA AJABU, AMTAJA KHADIJA KOPA

  Рет қаралды 20,827

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

Күн бұрын

Пікірлер
@GalaxyA-ve8tu
@GalaxyA-ve8tu Жыл бұрын
Yani ww baba nakupenda sana maneno yako yani unaongea ya kweli 🎉🎉🎉❤❤
@SbahHiai
@SbahHiai 3 ай бұрын
Swadata Maneno yako mapenzi haya rongwi 😊😊 kupenda ndio maradhi
@fatumahassan8834
@fatumahassan8834 2 жыл бұрын
Kweli baba dayamod🙏🙏🙏🙏🙏🙏👋👋👋👋❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@tabumpate9762
@tabumpate9762 2 жыл бұрын
Hongera mzee abdul umeongea pointi sana
@raneemAl-zx9yy
@raneemAl-zx9yy 2 жыл бұрын
Baba Asante wafahamishie hawo
@adrofinamhongora1990
@adrofinamhongora1990 2 жыл бұрын
Mungu akutunze umeongea sahihi kikubwa maelewano tuu
@beatriceochanda8516
@beatriceochanda8516 2 жыл бұрын
Msiangalia rangi ama umbo .....mke mwema anatoka kwa Mungu
@khadijamohammed2855
@khadijamohammed2855 2 жыл бұрын
Safii
@redempternzisajohn1000
@redempternzisajohn1000 2 жыл бұрын
True sio urembo heshima na maelewano
@wabisabi_7
@wabisabi_7 2 жыл бұрын
😂😂 Huyu Mzee bwana, eti Mtoto ana mauno feni
@shukujaibu7143
@shukujaibu7143 2 жыл бұрын
Baba nasibu uko sahihi. Hapo hakuna uchawi wala Dawa kimemywakia zuchu waliopita 'na sifa zao 'na shepu zao sasa hizi manongayembe.
@jamilaezekiel6174
@jamilaezekiel6174 2 жыл бұрын
Safi sana zuchu anajua mambo
@jeromemwenda2702
@jeromemwenda2702 2 жыл бұрын
👏👏👏
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 2 жыл бұрын
Umeongea kweli baba
@NaZ-xf1gr
@NaZ-xf1gr 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@tabumpate9762
@tabumpate9762 2 жыл бұрын
Dawa inendana na matendo mazuri unayomfanyia mume
@sistersade9039
@sistersade9039 2 жыл бұрын
Kwani mwanamke lazima awe mzuri wa sura na body ndio awe anastahiki kuolewa? Ingekuwa hivo basi wengi wasingeolewa. Hao walopita, wakae bila ya mapambo yoyote ikisha tuone kama wana uzuri wa ajabu. Labda daimond kapenda uhalisia wa Zuchu na tabia zake kama anavosema mzee Abul. Kila mtu na nyota yake, sio uzuri wa sura wala umbo la mwili.
@bahatimwamasika6988
@bahatimwamasika6988 2 жыл бұрын
Upo sahihi mzee Abdul
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 2 жыл бұрын
Hamna wanawake wenye sura na umbo wengi wao watembea tu mtaani na uzuri wao hawana soko wamebaki kuangaika mitandaoni na Wanawake wasio na sura ndio wanaojuwa kuwaendo wanaume na ndio maana mnawaona majumbani kwenye ndoa zao
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l 2 ай бұрын
Kabsaa yani
@receptionifabeach1329
@receptionifabeach1329 2 жыл бұрын
Zanzibar Kuna maadili mema
@fatuamjafary4959
@fatuamjafary4959 2 жыл бұрын
Baba unaongea safi
@kwazulu5240
@kwazulu5240 2 жыл бұрын
😀😀😀😀
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Жыл бұрын
Unajua zuchu anambra daimond maadili ya ki8slam na heshima hao wengine wal8kuwa hawana time sasa huyu wameelewa tabiya wako kama watoto wanacheza kama watoto wanacheza sasa daimond sasa hapo kinamfurushia hiyo
@evakabete2944
@evakabete2944 2 жыл бұрын
Kumbe zuchu ni mzanzibar
@jacklinewilliam3547
@jacklinewilliam3547 2 жыл бұрын
Kwani kabla ya wema zari mobeto tanasha huko nyuma akuwanawengine tena wakawaida tuu nyie zuchu bwana anafaa sana naturally na wazur mbona wote wameachana
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 2 жыл бұрын
Wambie hao
@hdusysceusbskdk
@hdusysceusbskdk 2 жыл бұрын
Baba umeongea ukweli kabisa mtoto kafunzwa nawazazi
@christinakalume6278
@christinakalume6278 2 жыл бұрын
Zuchu mrembo kuliko wote
@zainaamili7737
@zainaamili7737 2 жыл бұрын
Us in to
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l 2 ай бұрын
Yani mzee umeongea kwel..wàambie ukwel uzuri Wa mwamamke Sio rangi Wala shape
@julianapetro3897
@julianapetro3897 2 жыл бұрын
Diamond kiukweli zuchu hamuendani wemwenyewe kwasura umemshinda khaa nn unatafuta lakini hhii ndio ile mtu anatafuta pa kufia hahaha
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 2 жыл бұрын
Baba bado tu hadi leo kwa haya yote,eti ni mtu n bos wake..maajabu makubwa hayaa
@josephlorri431
@josephlorri431 2 жыл бұрын
Kama mwana,born town mwenyewe
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 2 жыл бұрын
Anakwambia "kitamboo"
@rebeccafatuma7711
@rebeccafatuma7711 2 жыл бұрын
Jamani walio sema aholewi Sasa muone mapenzi nikama kipofu licha ya nasibu kuohawa wanawake wa kila aina pia wazuri Ila kamupenda zuchu 🤣🤣🤣
@shukujaibu7143
@shukujaibu7143 2 жыл бұрын
Mtajiju zuchu huyoooooo
@marymwai4072
@marymwai4072 2 жыл бұрын
A family with no values. Si mama or baba. Wote ni wazuri kwa diamond. Wisdom should be gotten from parents but diamond's have failed. Diamond see uncles, anties for advice if not so enda kwa kadhi akusaidie na hekima
@monikananjala9806
@monikananjala9806 2 жыл бұрын
But it's Holly month of Ramadan Kareem why don't you pull down Diamond 💎💎 and baby mama's and girlfriends 😂😂 saumu yenu fake Sana 😏😏
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
DUNIA (Ep 46)
22:12
ASMA FILMS
Рет қаралды 459 М.
ZUCHU AONGEA HAYA MBELE YA DIAMOND KWENYE 'B'DAY PART' YA BABA LEVO
0:53
RAIS WA BURUNDI AMESEMA KAGAME TUMUONDOE HARAKA ANAIHARIBU CONGO ATAKUJA BURUNDI
12:39
DIAMOND NA MANARA WALIVYOCHEZA MDUARA KWENYE BIRTHDAY YA ESMA
0:58
JKLIVE | The Nairobi Diaries with Governor Johnson Sakaja (Part 1)
32:05
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 44 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН