Mm kama ambassador wa wasafi nakubaliiii..Npeni likes za wasafi
@aysharahman30803 жыл бұрын
Umekuja huku 🤣🤣🤣
@shangaziwataifa86753 жыл бұрын
@@aysharahman3080 Goma kali
@edwardnelson3353 жыл бұрын
chinga mwenye melody zake 💣💣💣🔥🔥🔥like kwa king of new school 🐘🐘🐘🐘konde gang fc nipen like chama la wana🔥🔥⏱️
@greennourish583 жыл бұрын
Nyimbo za skuizi bwana, ... haya bwana
@parambili13823 жыл бұрын
Uyu mtoto n fundi aiseee katishaaaa ni fireeeeeeeee kama umeona ilo ndondosha like yako apo kwajili ya kond gang family
@KrizSnazzy3 жыл бұрын
Ngoma Kali sana respect kutoka 🇸🇸🇸🇸wapi likes za Ibrah
@herewego31373 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h6XGYqWYjt-VetU
@bbycandy39793 жыл бұрын
Wewe weeeh piga kelele kwa ibraha wake 🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️Don lem go kiboko babu💃💃💃
@baaliyanuun4163 жыл бұрын
The King is back Ibtah ft kinata MC Gonga like kama ww ni mwana wa KONDE GANG FC @ harmonize##
@herewego31373 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h6XGYqWYjt-VetU
@herewego31373 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h6XGYqWYjt-VetU
@getyuth3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/f2ivXpauq9eNhrM
@baaliyanuun4163 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@richardmloha17623 жыл бұрын
Mweny alikuwa anaisubir na atairudia Hadi iende trend tjuane kwa likes wanang wa Kondegang
@herewego31373 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h6XGYqWYjt-VetU
@herewego31373 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h6XGYqWYjt-VetU
@mishikitendo44413 жыл бұрын
Pamoja
@aysharahman30803 жыл бұрын
Lazima tufike trending
@richardmloha17623 жыл бұрын
Uwakikaaaah ❤️❤️
@rachelmkumbwa87103 жыл бұрын
Ibrah fundi nyie achen
@MiaTheLathini3 жыл бұрын
1:30 bonge la SHOT 📸
@ellymtz96873 жыл бұрын
Wanaosikiliza hii ngoma huku wanasoma comments tutambuane apa 👍👍👍
@mohammedikitambulio26213 жыл бұрын
Kumamake Huyu Ibraah Wamoto Mno Hapoi Wala Haboi Dah Konde Gang For Everybody
@clifordnyaosi94203 жыл бұрын
Chinga ni wa stima aki weka like tujuane💥💥💥💥💥
@amanimichael45333 жыл бұрын
Ibrah safiiiiii naomba like za dolemigo
@jameschipande10902 жыл бұрын
Huyu msanii Kinata mc anafanya vizuri hapa South Africa kwasababu anaimba kiingereza , kwahiyo kinasikika vizuri na ni mzaliwa wa hapa Kwa Zulu Natal, South Africa flag Ft Tanzanian flag.
@Kenyanewsalertstv3 жыл бұрын
Dogo Ibraah tutakuona mbali siku za usoni, hatarii🔥🔥
@herewego31373 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h6XGYqWYjt-VetU
@getyuth3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/f2ivXpauq9eNhrM
@zou74703 жыл бұрын
Inshallah
@aysharahman30803 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@sumadashsumadash73423 жыл бұрын
Ibra unauwezo wakushiba sana,umeshika hii ngoma kama we ndio mwenye NAYO..nahii ndio maana halisi ya kushirikishwa unatakiwa unafanya kama yako ili kumuonesha upendo mwana
@muhammedymadati40423 жыл бұрын
Pongezi za dhati kwa ibraah na timu nzima ya kondegang, siku zote mpo mbele kupush game la kisingeli 🙏. Jahbless 👊👊👊. #singelitothetop #kondegang4everybody #kondegang4life
Do Lemi Go 👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nyimbo nzuri sn.... hongera sn #kinata MC feat Ibraah
@hezynizedekingkong73033 жыл бұрын
ibraah hapo ndipo 👊 ... Do lemi go
@shadhililipamba56613 жыл бұрын
naomba like za ibraaah apa ata 50
@rayvannykiki82393 жыл бұрын
Jamani ukweli usemwe apa dogo apatia saaaaaaaaana ebukama umeukubali nipeni huko like zangu Tanzania 👉🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 is in fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💢💯💯💯💯💯💯💯
@sbboymkaliofficial91083 жыл бұрын
Kinata Aya mauno ulio mwaga umu kweli hii ni ya international singeli my blood ibraah more fire 🔥🔥🔥 tume kuelewa ibraah umetisha Sana mzee nakukubali
@mwanaishaalfan31453 жыл бұрын
Dogo lbrah Sai umechanuka ile mbaya ivyo ndo tunataka 🔥🔥🔥🔥
@kimsal55063 жыл бұрын
Gongeni like za Kenya hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Shaa-bb9vc11 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gabriellahpascal40522 жыл бұрын
Kinata unaimba mpaka Raha jmn na hivi sauti zetu zinafanana maana sio kukwaruza huku much love
@josephishmael47983 жыл бұрын
Nakubal fundi Wang Ibrah 🙏🏼🙏🏼🔥🔥 Kondegang4life 🤣🤣🤣 Kwan dada vanny mwenyw anasemaj . Daaah goma Kali kicha Wang 🔥🔥🔥🔥🔥💥💥
@yasheha94123 жыл бұрын
Kiboko ya dada vany🔥🔥🔥
@aysharahman30803 жыл бұрын
😂😂😂
@ashamnaida53043 жыл бұрын
Habar ya mjini uno ,habari ya mjini wowowo nimependa alivyoonyesha wowowo na kulichezesha
@odba_jr3713 жыл бұрын
Konde gang KINDAKI daki naomba 1k Kama wew pia Ni mwanachama gang for everybody
@husnanyamvula23723 жыл бұрын
Pamoja
@abdullkadirali27483 жыл бұрын
sio Kam dada van umewekaa kucha ya bandia daaah maraiiii ni 🔥 like zenu jpoo 10
@PESSA12313 жыл бұрын
Hii nyimbo Kali sana hiyo midundo yake tunatakiwa singeli tuipelekee huko duniani ndio midundo yetu Tanzania huwezi kusikia popote duniani isipokuwa TZ hongera sana.
@emmanueljoseph25763 жыл бұрын
Nimewahi kinata mc weweeeeeee like kwa kinata and IBRA
@dyzerjoshuah54753 жыл бұрын
Hahaha nakbl ebu like hapaa kama hii ngoma kalii konde gang 4 every body
@mzawajessa44523 жыл бұрын
Ibra nakuona mbaliii mungu akusimamie kwenye kazi zako
@vailethamos94563 жыл бұрын
Huba
@vailethamos94563 жыл бұрын
Huba
@joebaben95933 жыл бұрын
👐🏻✨
@maulidsarai23623 жыл бұрын
Konde gang 4 everybody....chinga umeua xana kk🐘🐘🐘🐘
@jacksonjonas58943 жыл бұрын
oya eeeee run Kama umesikia Dada vany mueka kucha bandia gonga like twende sawa🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@herewego31373 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h6XGYqWYjt-VetU
@Sabrahcloset2553 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣wabongo sie kwa kukuza🤗
@leayvictor73303 жыл бұрын
Jmn
@jacksonjonas58943 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@sabryseksena90453 жыл бұрын
Duuuuuuh umeuwa ibraah jitahid
@DogoCharlie3 жыл бұрын
Haha Do Lemi Go Hatari Sana!!!
@GitoshDan3 жыл бұрын
Parody loading ....@Dogo Charlie😂😂
@Rebornmusiq2543 жыл бұрын
Hiyo parody ikuje
@johnmaina6083 жыл бұрын
Parody master @dogo charlie
@jollykingkenya98783 жыл бұрын
Hey broh..I like your parodies..hope to do one colabo with you soon
@paulkeah96303 жыл бұрын
Dogo fanya mambo yako😁😁😁
@boscoboy5733 жыл бұрын
Oyaaaaaa wanangu nimechelewa naombeni like kumi to kwa ibraah huuu ndo mwaka wa ibraah wanangu
@paskarifabiani54313 жыл бұрын
P
@thaliamalaika97113 жыл бұрын
🤗🤗🤗
@nadhirynadhiry68423 жыл бұрын
Anaweza kusema ukweri
@hamisilally47273 жыл бұрын
Noma sana
@ahmedhassan26193 жыл бұрын
Moyo kudingadinga adi ngapiiii
@kaidrisa27113 жыл бұрын
Oyaaaa hatareee sana hiiii nani karudia Rudia kama mara zote ngonga like twenzetu on 1 trending 💥💥💥💥💥
@sammykatana8553 жыл бұрын
Love....Si kama Dada Vanny Mueka Picha Bandia👏👏👌😀
@divtv32263 жыл бұрын
Saafi Wakukaya all man southern boys - from Lindi mtwara me kwetu
@luckychris39863 жыл бұрын
Much love from +254🇰🇪🇰🇪 wapi love from kenya
@chocolatedrop39683 жыл бұрын
Aliyesikia moyo kudinga ndinga naomba like 😋
@ezekieltimotheo99073 жыл бұрын
nyimbo kali sana sema kinata Mc sauti haipangilie iko juu sana adi inaboa kuna sehemu anapanda sana adi inakua kama anapiga kelele ila kwa ibra nampa 100% amebalance unaweza sikiliza kipande kimoja zaidi ya mara 10 mziki hunao imba biti ni ya kukimbia na kufoka sasa ukishindana nayo unaharibu
@salimdogorasta68083 жыл бұрын
Cjawahi Pata like ya Konde Gang Leo Nawaombeni Jamani
@mohamedmussa39313 жыл бұрын
Mziki mzuriii sana Singerii na bongo flava Likeee kama zotee wanaopenda ujio mpyaa