King'ongo SDA Choir. Nawapenda Sana, barikiweni kazi KUBWA 💯
@devancpoul5524 Жыл бұрын
Mmenbarkiiii nawakubali namuona asiaa apo kama kawaida yakeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤ sanaaaa
@chikumwenda4954 Жыл бұрын
Jamani hii kwaya ni nzuri sana .Niko Marekani
@kingongosdachoir7856 Жыл бұрын
Waooo, tumefurahi kusikia kutoka huko.
@mchangojuia55026 ай бұрын
Nyimbo zeni ni sawa kabisa nathamani mutaimbia mbinguni. Kikoa chenu napenda
@MlayHarsonАй бұрын
@@kingongosdachoir7856to
@vincentvitalius9346 Жыл бұрын
Haleluyaaaa nabarikiwa sana sana nikiwa huku mbali, naona mnatubariki siku kwa siku….
@kemybarongo8078 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri sana, jina la bwana litukuzwe
@kabaranamaganga6646 Жыл бұрын
Mbarikiwe sna wana wa Baba, Mm na mke wng tumefurahia sna ujumbe
@niendiwemgonja4164 Жыл бұрын
Barikiweni sana kwaya ya kimataifa Injili yenu kwa njia ya uimbaji iwafikie wengi na kuwaongoa
@kingongosdachoir7856 Жыл бұрын
Amina Nie
@magrethmnzava602129 күн бұрын
Yesu hatuachi tuharibikiwe kamwee mchague basiiiiiii mm nmemchaguaa zamaniiii🙏🙏
@corretatz6335 Жыл бұрын
Kwa wingi wa wanaume wanaomtumikia Mungu kwa uimbaji hii kwaya imeupiga mwingi kabisa, sijapata kuona, kwaya Nyingi wanawake ndio hua wengi, wanaume unakuta wanakuwa wachache Sana, lakini hii kwaya naona ni kama nusu kwa nusu, watwambie wanatumia mbinu gani kuwashawishi wanaume kuimba ili na kwaya zingine waige mfano huu maana wanaume kama vile hua hawapendi kuimba kwaya makanisani
@kingongosdachoir7856 Жыл бұрын
Hahahaha asante kwa kuliona hilo, kwaya ni uinjilist na watu wamejitoa na wanapaswa kujitoa waume kwa wanawake, Tunashukuru kwa hilo, Mungu atukuzwe.
@gloriousn6425 Жыл бұрын
Afu kweli 😮Sikuwaza hilo mpaka ulivosema wewe 😅.Lazima kuna namna wanafanya siyo bure 🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙏🏿. Mbarikiwe sana king’ongo You guys have been my favorite toka enzi zile Kimara sda
Nyungu yabuka mhuu mnawekeza vipaji bwana awajaze zaidi
@nasmaaudas1990 Жыл бұрын
Mtunzi wa nyimbo za kwaya hıı abarikiwe sanaaa, anajua sanaaa
@marymhagama1597 Жыл бұрын
Ebwanaeee hakika hili nijeshi la MUNGU 🔥🔥🔥
@dicksonkananda6485 Жыл бұрын
Kazi ya kupenyeza injili kupitia muziki mzuri iendelee. Nyie bado ni Bora miongoni mwa walio Bora.
@kingongosdachoir7856 Жыл бұрын
Tunashukuru na Sifa na utukufu umrudie na ufike kwa Mungu muweza wa vyote kwake yeye ndio tunaweza.
@yohanamhagama8975 Жыл бұрын
Ameni
@ushindi7516 Жыл бұрын
Kweli mungu awabariki sana
@obadiansato1898 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa nyimbo nzuri wimbo mzuri ubunifu wa hali ya juu
@LuthDavid4 ай бұрын
Nawaombea sana mungu aendelee kuwatia nguvu kwenye uimbaj wenu kwan kwel cm zetu zimeharibu maadil indead
@yohanamhagama8975 Жыл бұрын
king'ongo mbarikiwe Sana Kwa kazi hii nzuri,
@pastorjohnh.okothatieno6742 Жыл бұрын
Hongera kwaya marafiki wangu. Bwana Yesu awabariki sana
@kingongosdachoir7856 Жыл бұрын
Tunashukuru Pastor
@TinnahWille-xk4wu Жыл бұрын
Nimebarikiwa mno nawapenda Sana mnatendea haki bando langu
@olivermlebele3894 Жыл бұрын
Mbarikiwe na Yesu Msabato
@sarahisaya2503 Жыл бұрын
Mungu nimwema sana tumia karama yako vyema
@makendamercy85168 ай бұрын
Barikiwa sana Barikiwa sololist MUNGU akuongezee mara dufu maana umeifanya kwa moyo
@user-qr3gf4dw3i Жыл бұрын
Barikiweniii saaana waimbaji wa king'ongo
@rahabseleman7322 Жыл бұрын
Hongereni Sana nyie ni wafalme wa mziki
@makaosdachoir5382 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana King'ongo tuombeane soon mambo yetu pia yatakuja mazuri ❤️
@LeeMichael-hz7nl8 ай бұрын
Jamani mpo dar sehem gani
@devancpoul5524 Жыл бұрын
Jamani nyie ndo mliobaki apo darr mnatikisaaaa mbarkiwwee
@kingongosdachoir7856 Жыл бұрын
Kama Bahari nasi tushuke kwa unyenyekevu ili izidi kujaa Neema, natutaendelea kuleta mahubiri kwa njia ya uimbaji siku kwa siku.
@yohanamhagama8975 Жыл бұрын
Amen
@albertokari7943 Жыл бұрын
God bless you kingongo wonderful and beautiful songs
@mkonothomas9517 Жыл бұрын
Kazi nzuri, sifa kwa Mungu
@magrethmnzava602129 күн бұрын
jamni Bwana Yesu atukuzweee anastahili milele
@EsgaCharo-qb4pi Жыл бұрын
Hongera Sana
@SarahOruda-pi7kg11 ай бұрын
You blessed us with the song in kariobangi camp meeting and now am back here to look for it
@ruthmbwambo4487 Жыл бұрын
Nce nce nce chungu 🔥🔥🔥
@godsonkiangi6793 Жыл бұрын
Mungu awabariki kwa Ujumbe mzuri.
@gimbagembeyale5252 Жыл бұрын
Wow!!! Glory to Jehova!! Mbarikiwe King'ongo!
@zitoniephrem271510 ай бұрын
Munachanua vizuri na kuimba vizuri mungu awabariki
@raypendo6310 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana watu wa Mungu nataman kujua mpo mkoa gan
@thompsonkumwenda7595 Жыл бұрын
Amina yesu asifiwe
@chantynyosoni2934 Жыл бұрын
Aminaa...powerful
@juliusobado6374 Жыл бұрын
Nyimbo tamu na sauti nzuri. Twashukuru kuwa nanyi SDA Church Kariobangi main - Kenya. Karibuni tena
@jumajeremia Жыл бұрын
be blessed sana daima nawapenda King'ong'o
@user-zs9ml2qk6u3 ай бұрын
Jiwe moja tu tandika adui akimye barikiweni kwa ujumbe
@ubaoniupdates9748 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 Another One
@kingongosdachoir7856 Жыл бұрын
soon
@SarahRyoba-my1xh Жыл бұрын
Mbarikiwe watu wamungu nawapenda sana
@neshakagonji4282 Жыл бұрын
Hongereni mwimbo mzuri sana.
@janematagaro488317 күн бұрын
So wesome watching live from mombasa God bless you
@official_allex_marealle4013 Жыл бұрын
Mkono ulitulia Asante Mungu
@eldardmk3624 Жыл бұрын
Barikiweni sana 🙏🙏
@saphinambwambo-wl7zr Жыл бұрын
Nawapenda sana, barikiwa sana
@WasiKambale-dv3qg8 ай бұрын
Nawapenda sana na wafata sana apa congo
@anthonyjohness240 Жыл бұрын
Amen, nice song, nice ujumbe, perfect, keep it up ❤🙏🙏
@salomevestinamichael1458 Жыл бұрын
Kwa kweli Yesu ametukuzwa kwa huu wimbo mutamu❤
@JacklinePhilimon11 ай бұрын
Kiwalani
@user-nm3os1bm3y6 ай бұрын
Mungu wambinguni awabariki nawapendaaaasana
@binkaleBitakabiona20 сағат бұрын
Hongereni sana kwa WIMBO huu
@mikinessnelisohn6054 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana wapendwa
@stanleymampwe1314Ай бұрын
I love the blended voices and the arrangement though I do not understand the language. Writing from Zambia.
@gabrielmbua4412 Жыл бұрын
Mbarikiwe Kwa Wimbo Mzurii
@nasibumpeho154 Жыл бұрын
BWANA awabariki sana kwa huduma hii, hakika watu wa MUNGU wanabarikiwa
@binkaleBitakabionaАй бұрын
Tunashukuru sana kwa WIMBO mzuri❤
@AmosSiwema-vf2qz3 ай бұрын
Mungu awe nanyi m ni amos natokea bukoba kagera tz
@sophiaboniphace5156 Жыл бұрын
🔥🔥🔥this song, Bwana awabariki
@fanmlan5245 Жыл бұрын
Hello, I love to see you. I am Haitian
@jameschengwali105110 ай бұрын
Waah! hawa sasa ni moto wa kuotea mbali.
@krichimndeme14154 ай бұрын
Ninabarikiwa sana na wimbo huu
@bakarikitunga Жыл бұрын
Mungu awabariki
@mercymwamba838410 ай бұрын
Message clear...am worth only in Jesus. Without Him, am a broken pot. Jesus abide with mw. Amen
@joashachochi7458 Жыл бұрын
Amina 🙏
@user-lr7jy7pj3s Жыл бұрын
Mungu awabaliki sana lakin mwenyekit mi naomba tu ule wimbo wa vitu sita
@MisetteMasoj-tc4eb Жыл бұрын
Vous chantez tres bien continuer comme ça
@eddvind9 ай бұрын
The song has really blessed me and the vocals are so nice. I played the song many times until the singers were about to ask for water
@MisetteMasoj-tc4eb Жыл бұрын
Amen amen amen amen amen
@bakarikitunga Жыл бұрын
Hongera sana
@jescaodingo9564 Жыл бұрын
Waw my best choir I love this song sooomuch Mungu awabariki sana ❤
@happykihunje7234 Жыл бұрын
Barikiwa Sana msonge mbele
@PendoOscar7 ай бұрын
❤mbarikiwe sana watu wa mungu
@alvinomwebu Жыл бұрын
Praise God for this amazing choir❤
@fredmose4086 Жыл бұрын
Beautiful song, God bless you
@innocentokongo6692 Жыл бұрын
Your wonderful choir. I enjoyed your inspiring songs in kenya Kariobangi camp meeting August 2023. Keep up. The energy and teamwork is on another level
@collinsotieno2643 Жыл бұрын
Fire vocals, powerful singing, beautiful message
@EsgaCharo-qb4pi Жыл бұрын
Aminaaa
@TheReapersYouthChoir9 ай бұрын
Mbarikiwe na Bwana
@subiratv4930 Жыл бұрын
Mmenikumbusha nyumbani. Naja hivi karibuni
@user-cj2ri4yx5d Жыл бұрын
am happy to listening the great choir may God bless all members
@user-wu3zi7rq7x Жыл бұрын
mungu awabariku sana mlifanya vema
@user-ci2rm8zu4m Жыл бұрын
Continue with your strengths ❤
@jeniphafignas381 Жыл бұрын
Nawapenda sana ...mungu awabariki sana waimbaji
@juliuskarani3661 Жыл бұрын
Nice voices
@meshacknyabasa6648 Жыл бұрын
Nice singing, Nice message. God bless you.
@neemakagonji4606 Жыл бұрын
Mnanibariki sana
@mosesemmanuel7751 Жыл бұрын
Good song
@peterekhaba7485 Жыл бұрын
Blessings 🎉 indeed
@ruthkiage3632 Жыл бұрын
Create me a new heart because you know my weakness...what a touching message. May Almighty God bless this choir forever more.
@annahruto85395 ай бұрын
Amazing vocals ❤🎉
@immaimmanuelmcdoublei3760 Жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri but matching imeminywa sana ina shots fupifupi mno but all in all 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Nice to see mwl Mwasomola on da stage, Mwl Nickson big up....keep it up 🔥