HABARI ZENU MASHABIKI NA WADAU WA FILM ZETU ,TUNAWSHUKURU SANA KWA KUTUPA SAPOTI NA KUWA NASI PAMOJA .LEO TUPO HAPA KUWA JIBU MASWALI MUNAYOTUULIZA JUU YA WASANII AMBAO KWA SASA HAMU WAONI NAOMY YUPO NA CHANGAMOTO ZA KIMAISHA AKIMALIZA CHANGAMOTO ZAKE ATAREJEA NAOMY YUPO NA TUNATAMBA NAE , ILA RACHEL ,JOJOH ,DINYO ,EMMY ,MAUA ,GUMBO ,MIRAMBO HAO WOTE HATUKO NAO NA HATUFANYINAO KAZI WAPO WANAFANYA KAZI SEHEMU NYINGINE HIVYO TUENDELEE KUWAPA SAPOTI MAANA WENGI WAO WAKO NA CHANNEL ZAO ,,,,PIA TUNAWASHUKURU SANA NA MUENDELEE KUZIPOKEA KAZI ZETU NA MUSIACHE KUTUKOSOA ,USHAURI ,KUTUPONGEZA NA MAONI YENU MAZURI KWA UJUMLA ASANTENI SANA BY BHAILAM SIMBA A.K.A KIJOGOO KING WA MADEM ,,HALAAAAAAAA 🙏🙏
@MathayoMathayo-c6yАй бұрын
Hii nikubwa kulko King madem
@LeidonePlabodamz-v8tАй бұрын
@@Bhailamkhan safi kaka jitahidini KUTOA EPISODES KWA WAKATI KAKA
@LeidonePlabodamz-v8tАй бұрын
@@Bhailamkhan SAMAHANI KWA KUULIZA KAKA HIVI KICHECHE YUPOWAPI
@jescafesto5748Ай бұрын
Mimi naomba kupata nafasii kama itawezekana jamanii
@NumerousHashazimariАй бұрын
Nagusapoti kazi nzuri kijogoo Mungu awazidishie.good job mnanifunza vitu vingi kutoka movie zenu❤
@Jamila_1996Ай бұрын
Bhailam kila akishenyeta lazima aulize umeinjoi😂😂tulia bhailam mtu akiinjoy anasema mwenyewe bila kuuliza
@Zebuu-kpАй бұрын
Nakubali sana unamafunzo mazuri kwa vijana wa ovyo. Najua kuna watu wamepata kitu na kubadilika kama unamkubali mwamba weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉
@KzbBoyАй бұрын
Napenda sana videos zake Na hata zako pia Kp
@AsifiweImaniАй бұрын
Hongereni sn team ya Bhailam
@AliMunga-c8nАй бұрын
Big up sana kazi nzuri bro bhailam Mzee masuod mzee simba mariam big up sana
@JustinePaschalАй бұрын
Masoud anajua sana yani yupo serious na kazi namkubali san ....alaf naomy na bhailam pia mko vzr
@DannysWambiАй бұрын
Kazi nziri sana mimi ndo mutu wakwanza kutoka Congo 🇨🇩 naomba lakes zangu
@LwanzoPaluku6Ай бұрын
@@DannysWambi Safi sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩Niko Congo haut uel
@Alex-k2i1iАй бұрын
Nc job brother nipo Burundi nimechili na enjoy movi ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@mahmudramadhan3326Ай бұрын
Kijogooo Bwana Bailam umetisha San Bro 😂😂😂
@JuliusJembelayexu-dh5mmАй бұрын
Jaman naomi mungu amxaidie katka maixha yake na ampgania na ammwepuxhe na mabaya jaman naomben like zenu juuu ya Naomi ixhara ya upendo❤❤
@NassirngalaNassirngalaАй бұрын
Duuh hii bhailam ulitisha ......nakucheki nikiwa 254...Malindi Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪
@BemolPaul-z8oАй бұрын
Umetisha sana brother ❤
@SyombuaMuvengeiАй бұрын
Wewe kijongoo jina lako la ujogoo alijaisha manake apa mmmh asha tu ninyamanze guys natokea 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 naombeni like na mie pia mmi nimewapeni like mlioko hapa🎉🎉🎉
@SadockJoelАй бұрын
Bhailam nakukubali
@AminamwakeАй бұрын
Nakubali sana unamafunzo mazuri kwa vijana wa ovyo.najua kuna watu wamepata kitu na kubadilika 🎉🎉
@Joan-c2rАй бұрын
Finally mariam my favorite
@CasmirorsАй бұрын
Hongera San bhailamu unajua sana like zako tafadhar 🎉🎉🎉
@ElemachOfficialАй бұрын
Nakubalii kazii zenyu. Alf kwawale wanakomet bila kuona video. Warekebishe
Yaan watu wanaakili mbovu kweli bhailam Pamoja na Kutoa ufafanuzi bado wanauliza Jojo Naomi wapo wapi kha
@SandyVushaАй бұрын
Mzee Simba ushanguruma🎉
@BimkubwaMohamedАй бұрын
Kijogoooo anataka kula mama na mwana.
@HabibaAmaniАй бұрын
Nimewai leo🎉
@YesunijibuuАй бұрын
bailam kadumu kwenye wokovu siku moja😂😂
@nyamiziramadhani4232Ай бұрын
😂😂😂😂
@RehemaKatana-hb4eiАй бұрын
Kazi nzur sana ila naomba kuuliza vip kuhusu movie ya shetani
@Arwin-vy5ky3qp6sАй бұрын
Mzee wa smooth
@DanielChaulaАй бұрын
This kids of love
@DJ_AFRO_MOVIE_2024Ай бұрын
Nice one 🎉🎉❤
@Salimmikwanga-g1zАй бұрын
Kaz nzuri
@nurafedrick378Ай бұрын
Mnaparamia tuuuu bila kinga hayaa mimba pap tenazarau anapita mbele na mwanamkee
@ArunaHakizimanaАй бұрын
Bhailam ✊✊
@SaidAli-g8zАй бұрын
Amazing
@jemsnorteАй бұрын
Kazi mzuli muwe munafanya kwawakati basi
@witnessmaturege2944Ай бұрын
Mariamu unaota kitambi sasa😂😂 jamaniiii ❤
@mugishayves4805Ай бұрын
From 🇧🇮✌️
@Badman-66Ай бұрын
From kenya❤
@evelnjuma1834Ай бұрын
Duuh Iko vizuli sana hongelen 🥂🌷🇹🇿
@SamuelhoracioSilvestre-f7eАй бұрын
We baihlamu umiticha Apa Moz🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Natália ya 8,9,10,11...
@FarasiMeshack-c4qАй бұрын
Imuvi nirikua nina ichukia rakini tunakoerekea kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉
@samwelimoshi5614Ай бұрын
Kiswail gan hyo@@FarasiMeshack-c4q
@SophiaNdayishimiyeАй бұрын
Lete muendelezo 😊
@bettyrutto1306Ай бұрын
Wakwaza leo
@slokidogАй бұрын
kijogo kama kijogo kwenye ubora wake 😂😂
@Wiliam-Chibude1Ай бұрын
Nakukubari Naomba like zangu💥💥💥💣
@barakajohn4865Ай бұрын
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 1st
@selinadeeselnadeeeАй бұрын
Naomy yupo wap bailam
@JohnnyKB9Ай бұрын
From Malawi
@FranklineObureАй бұрын
Ndio nafika hapa nipe like mbili
@LeidonePlabodamz-v8tАй бұрын
JAMANI KWANI NI UCHUMI MDOGO AU MBONA HAMTOI KWA WAKATI EPISODES , MTU TUNASUBILI EPISODES MOJA ADI UNASAHAU KAMA KUNA MOVIE INAENDELEA KWELI ,, NI BORA MSHOOT EPISODES NYINGI SANA ZIWE TAYARI KWA KUPOST MBNA MNATUNYANYASA JAMANI WHY LAKINI WHY DAAAAH ,, MWAMBIE CLAM NAE AACHE UJINGA SAHIV N KMA KUNA MTU ANATUMIA ACOUNT YAKE KUPOST UJINGA YANI WASANII TUNAOWATEGEMEA NDO NYIE MNAOYUMBA DUUH BASI TU
@Milycent-g7nАй бұрын
Ukweli
@SaidiYusuphOggarАй бұрын
Ozah
@FariOfficial142Ай бұрын
Kijogoo
@MRAPPERАй бұрын
Naomi yupo wapi twambie ukweli aunaye ameondoka kama recho 😂😂
@HabibaAmaniАй бұрын
Kwakwel nimemic
@HabibaAmaniАй бұрын
Naisi atakuwa namimba
@malichanda3146Ай бұрын
❤alikuwa mjamzito kwani@@HabibaAmani
@HabibaAmaniАй бұрын
@malichanda3146 muonekana wake alikuwa anaonekana
@samwelimoshi5614Ай бұрын
Yakwako au@@HabibaAmani
@theefinestshow9962Ай бұрын
dah Mariam uyo aisee mamtu anafanya movie iwe tamu sana bana
@AdamSINGAILE-z8uАй бұрын
Wale tunaotaka muvi ikiisha tu na sisi tuanze ukingi maana tutakuwa tumepata mbinu za kutosha gonga like
@rizikisam6481Ай бұрын
😅😅😅
@HatungimanaBabesiАй бұрын
Jaman muangalie muongeze dakika basi mbona ndogo
@MashBebzАй бұрын
Kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤❤😊😊😊
@JacksonFaustine-be1gkАй бұрын
Kaz nzur🎉🎉🎉😢😊
@AthmanSaid-w6jАй бұрын
Unamikosi nduguu
@RajabuBakari-w6gАй бұрын
Mchawi nini 😅
@MNHAMAOFICIALАй бұрын
Ndouzuli!!
@oddypoddy-s4nАй бұрын
Watatu nimewahi
@nurafedrick378Ай бұрын
Hapo atakula mtoto na mama😮😮😮😮😮😮😮😮duuuuuu
@oddypoddy-s4nАй бұрын
Anko hamza yuko wap
@bwaji_deoАй бұрын
Gonga Like Hapa Kwa Ajili Ya Mama Kijacho NAOMI
@hassanhashiym815Ай бұрын
Kazi nzuri bro
@BarnabaaAmissi28 күн бұрын
Afu waliosema movie sio nzuri muko wapi😅😅😅😅😅😅
@NjoleZuma-ue9yoАй бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@gracekayumba-u6sАй бұрын
Waho Bora umeitolea ufafanuzi apo Hakuna maswali tena Mara Jojo yupo wap
@PaulHaule-ge6ezАй бұрын
Mariam😂😂 njoo Goigi
@salymahMysoulАй бұрын
❤ Kaz mzr
@OmarAli-vj9kgАй бұрын
Wakwanza
@MshamShaa-v1vАй бұрын
🇲🇿🇲🇿🇲🇿 SAWA
@SabrinaNurudiniАй бұрын
Bairam huna baya
@fatumakidoa4006Ай бұрын
Nikiona bhailam najua ni moto 🤣😅 unakuja
@JacklinebosiboriMomanyiАй бұрын
New upcoming KZbinrs tupitianeni jamani😢🎉
@Baristaboy254Ай бұрын
Sawa pitia na kwangu pia🎉😊
@JacklinebosiboriMomanyiАй бұрын
@Baristaboy254 nimekupitia pia habib
@EspoirAsengaАй бұрын
Roho itaumatu😂😂😂
@MwanzoMgumu-q9mАй бұрын
Weka like zako hapa kama unamkubali bhailam
@OmbatiVincent-g1xАй бұрын
tena kijogoo karudi kazini kaaja bibilia wapi.........?
@EmmakulataBernardАй бұрын
Mmempeleka wap Naomi wetu tunampenda Sana
@gracekayumba-u6sАй бұрын
Watu Bhana kwani hujaona bhailam Katoa ufafanuz
@ladislaus799Ай бұрын
Ameolewa mmewake amemkataza kuigiza😂😂😂
@AsifiweImaniАй бұрын
Leta Naomie naye kk ongera sn king
@BarnabaaAmissi28 күн бұрын
Jamaa ni mnoma
@LuluPeter-o1tАй бұрын
Kijogooo una hatari wewe mmmh au unataka kula kuku na mayai
@nurafedrick378Ай бұрын
Round ukiregeshwaa mwanamkee hutaonewaa ama uregeshwe hanis