KINGWENDU AKATWA VIDOLE ZIMBABWE 🇿🇼 AZULUMIWA PESA 🤣

  Рет қаралды 1,831,620

KINGWENDU OG TV

KINGWENDU OG TV

Күн бұрын

#CHACHANDU#KINGWENDU#OG#TV#CHACHANDU#COMEDY#STIVEMWEUSI#VIDOLE#SWAHILI#COMEDY

Пікірлер: 423
@gospelvibestv3914
@gospelvibestv3914 2 жыл бұрын
Kingwendu we ni legend toka niko mdogo nakukubali sanaaa.....Mungu azidi kukubalikii
@eunicehope9873
@eunicehope9873 2 жыл бұрын
🙏☝️
@KAKABONAYA
@KAKABONAYA 15 күн бұрын
Kingwedu we ni mbaya hii sector,,,,from Kenya,,,,where my likes❤
@Faith-o8z
@Faith-o8z 2 жыл бұрын
Kingwendu hazeeki nakumbka nikimuona nkiwa mdogo sana adi sai niko 23yrs more love from kenya🇰🇪 kingwendu we love you so much❤❤
@TupoComedy
@TupoComedy Жыл бұрын
Nakubal sana Tm kingwendu pia naomben sapot yenu kama tupo comedy pia naomba like
@BashiruAhmedi
@BashiruAhmedi 2 ай бұрын
Tuko Pamoja kingwendu nisipo angalia movies zako haaa siwezi kabisa hata nikiishiwa bando lazma nifanye mchakato niweke
@vaines1336
@vaines1336 2 жыл бұрын
Hyo kofia imenimaliza🤣🤣🤣🤩
@mkatungu7457
@mkatungu7457 2 жыл бұрын
Umeona ehe. Hiyo kofia na jinsi anavxozungumza na pia anajua kucheza na uso na mdomp
@AdanAide-u8l
@AdanAide-u8l 11 күн бұрын
uko juu mwenzangu
@omanmwajabumbeguoman8642
@omanmwajabumbeguoman8642 2 жыл бұрын
😂😂🤣🤣🤣🤣atali kwakweli 🙌🙌🙌mzee unamambo wewe yani nachekaga mpaka bas dah ilo vazi la leo saluty
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 2 жыл бұрын
Kingwendu umependeza utolewe hayo macho 😂😂😂😂😂
@michaeljohn4493
@michaeljohn4493 Ай бұрын
Huyu mwamba comedian hatarii
@ismailmashimba3470
@ismailmashimba3470 2 жыл бұрын
Duu yani Leo nimecheka Hadi mbavu zinaniuma kingwendu noma
@vincentayua9435
@vincentayua9435 2 жыл бұрын
Ngwendu ngwendurire, hello hello ndo manake bby nang'o😂😂
@BashiruAhmedi
@BashiruAhmedi 2 ай бұрын
Kiwendu bwana unakipaji mungu amekubali
@peterdani9740
@peterdani9740 2 жыл бұрын
Kingwendu ndo king,👑 wa comedy noma sn
@JacobMwendwa-g2v
@JacobMwendwa-g2v Жыл бұрын
Kwanii hawataki za mkono😂😂😂😂
@ElijahBarongo-op1il
@ElijahBarongo-op1il 9 ай бұрын
So good comedy
@BMboss108
@BMboss108 11 ай бұрын
Nicheka jamani 😂😂😂😂😂
@mkatungu7457
@mkatungu7457 2 жыл бұрын
Kingwendu unanifurahisha saana unavyozungumza.
@abdulaabdula2631
@abdulaabdula2631 2 жыл бұрын
Eti vedole vya mbwaa au kuku😂😂😂😂🤣🤣
@joleal7941
@joleal7941 2 жыл бұрын
May favorite kingwenduuuu😂😂😂😂😂
@KarimSaidd-j3g
@KarimSaidd-j3g Ай бұрын
Comedian adimu sana kumpata huyu jamaa nomaa
@stevehnzioki3967
@stevehnzioki3967 2 жыл бұрын
namtambua sana kingwendu kwa raha zangu.kenya ajulikana sana
@nicholaskipyegon7839
@nicholaskipyegon7839 2 жыл бұрын
kabisa kaka brzaa
@lindaogada4514
@lindaogada4514 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂umaskini itatuuwa😂😂😂
@stevebiko253
@stevebiko253 7 ай бұрын
Za Zimbabwe 😂🎉🎉
@calvinkapuga9718
@calvinkapuga9718 Жыл бұрын
Mungu akulinde kingwendu kupata comedian kama hawa sio kazi ndogo kabisa 🤣🤣
@kingwenduogtv
@kingwenduogtv Жыл бұрын
Asante
@SamwelPastory
@SamwelPastory 6 ай бұрын
Kingwedu
@mathewngetich-m5u
@mathewngetich-m5u 5 ай бұрын
I love this guy
@bethasweya
@bethasweya 2 ай бұрын
🎉
@jafarchuan8537
@jafarchuan8537 2 жыл бұрын
Kingwendu Eeeh come zanzibar my broo skenk zipo🤣🤣
@eyshermohammed2236
@eyshermohammed2236 2 жыл бұрын
Nataka skank upo sehem gani mwamba mi mwera
@BlandinaDahungo
@BlandinaDahungo 3 ай бұрын
Unaweza sana kuigiza mzee
@cafunemungasia6867
@cafunemungasia6867 2 жыл бұрын
Kingwendu you make me smile when i m tired
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 7 ай бұрын
Zungu mwenyewe kijana wa mbagala kikngugiiii
@Mauline-uo2ww
@Mauline-uo2ww 8 ай бұрын
Baba lao 😅😅
@omarelhabibi4071
@omarelhabibi4071 2 жыл бұрын
Hiyo kofia nayo👌👌👌😂😂😂😂😂😂,kingwendu ameniuwa😂😂😂😂😂
@mikeomondi8417
@mikeomondi8417 2 жыл бұрын
😂😂😂😂kofia
@billyndarabu
@billyndarabu 2 жыл бұрын
Kingwendu you know the game since long time, hundred percent.😁😍 I'm from congo DRC
@teachertonnyexplains5122
@teachertonnyexplains5122 2 жыл бұрын
ila bebi nang'o. hiyo kofia na nguo ulioivaa😂😂😂😂😂
@ayshaalsahafi5714
@ayshaalsahafi5714 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@JeffMusyoki-uk5rj
@JeffMusyoki-uk5rj 9 ай бұрын
Kingwedu muhigizaji poa 😂😂😂
@NgenaWaobwela-hz5iv
@NgenaWaobwela-hz5iv 11 ай бұрын
Mzee pesa ina matatizo sana😂😂😂😂
@eliasjackson9548
@eliasjackson9548 2 жыл бұрын
Ahahahhaahahah hiyo kofia tu inanichekesha kabla sijaanza kukusikiliza vituko vyako😅😅😅😅
@Ivan-pr9ry
@Ivan-pr9ry 9 ай бұрын
😂 kingwendu wewe mwenyewe ndo umesema kama unatalala ma pesa 😅😅😅😅 vidole
@daudjandika6731
@daudjandika6731 2 жыл бұрын
😂😂 me na angalia kofia tu siimaliz kabisaa😂
@rahemarahema9645
@rahemarahema9645 2 жыл бұрын
Waaa kingwendu will kill me one day 🤣🤣🤣🤣love from kenya
@superbob7753
@superbob7753 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😆
@josephsimba3007
@josephsimba3007 2 жыл бұрын
Mzeh kingwendu nakushukuru sana kwaku nipa furah Siku ya leooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@muniracheusi9955
@muniracheusi9955 2 жыл бұрын
Vidole vya mbwa😂😂
@JacobMwendwa-g2v
@JacobMwendwa-g2v Жыл бұрын
😮😂😂😂😂
@godfreyoush
@godfreyoush 2 жыл бұрын
You are so funny
@kyopis434
@kyopis434 2 жыл бұрын
Much love from Kenya....umeniundia siku.😂
@ManuelLemburis
@ManuelLemburis 7 ай бұрын
Vp
@shukriolati4633
@shukriolati4633 Жыл бұрын
Kingwendu kwa kweli wafurahisha na kuchekesha sana iyee baby nango
@madimadiousseni2438
@madimadiousseni2438 3 ай бұрын
Ani zulumu pesa milioni tisini na mbili za Zimbabwe 🤣🤣🤣 kingwendu noma sana
@patrickmacharia9495
@patrickmacharia9495 11 ай бұрын
Hii nliipenda Sana #ranking electricals NRB kenya
@SAIDOTVshow
@SAIDOTVshow 2 жыл бұрын
Di top chatta kingwendu extravaganza ,number one, love from Rwanda 🇷🇼🔥🔥🔥
@gracevusieka
@gracevusieka 6 ай бұрын
tolewa meno😂😂😂😂😂😂😂
@dismaslagat4863
@dismaslagat4863 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅kaka yuko professional
@altaphonebypassofficial
@altaphonebypassofficial 2 жыл бұрын
I like that way of dressing on this comedy you will always remain legends of commedy respect for Africa, my favorite from DRC, KINGWENDU the best comedy. One love 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sebastiansamson2747
@sebastiansamson2747 2 ай бұрын
Unajua babaa
@BenardKatira
@BenardKatira 8 ай бұрын
Ako Noma sana
@fredmonena3393
@fredmonena3393 2 жыл бұрын
Heino heino kingwendu nkutizama tangu ile filamu yakonya lunchi taimu,Ila kwa kweli, bebe nango Tunakukuubali huku🇰🇪
@samuelmjomba4043
@samuelmjomba4043 9 ай бұрын
Tisini na mbili za Zimbabwe 😅😅😅
@kennedyajowi8529
@kennedyajowi8529 3 ай бұрын
Kingwendu umenifuja mbavu😄😄😄
@ShhBaba
@ShhBaba 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅❤❤❤ Nakupenda San baba
@BJKSus-v8z
@BJKSus-v8z Жыл бұрын
Kingwendu you make my day 😂😂
@gracevusieka
@gracevusieka 6 ай бұрын
haaaaaaaa kingwentu wapenteza sana
@samsonsammyofficial3714
@samsonsammyofficial3714 2 жыл бұрын
Nakukubari Sana mze wangu tangu nikiwa mdogo
@WiliamMbembati
@WiliamMbembati 6 ай бұрын
kingwendu sana baba nakukubali sana
@bahatimpolo286
@bahatimpolo286 2 жыл бұрын
Noma Sana kaka
@superhemed7590
@superhemed7590 2 жыл бұрын
Milion 92 za Zimbabwe🤣🤣🤣
@DexterCallen
@DexterCallen 9 ай бұрын
Weebaba umenikata kidole ujue😀😀
@FezaMapendano
@FezaMapendano 6 күн бұрын
Nimecheka kama rofa😂😂😂
@simonmuriithi7565
@simonmuriithi7565 2 жыл бұрын
Niko kenya,u r the best ever comedian I always n I will continue loving.
@simonmuriithi7565
@simonmuriithi7565 2 жыл бұрын
Kingwendu kofia tafadhali
@moreenRebecca
@moreenRebecca Жыл бұрын
🎉r😊😮❤g😊😊
@Saiddoti
@Saiddoti 4 ай бұрын
❤ Hyu mzaramo anafundisha kama utamuerewa vzuri kama zumbukuku basi subiria ujionee Ndicho kinawaponza vijana wengi hapa tanzania wanajikuta wanapata wanaingia kwematatizo kwa ajiri ya tamaa
@NelsonMandela-vs7zh
@NelsonMandela-vs7zh Ай бұрын
Nampenda San ngwendu
@harunamwanawima2946
@harunamwanawima2946 2 жыл бұрын
Nakukubar mzee wangu
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kalipwa pesa ya soda tu
@moreenRebecca
@moreenRebecca Жыл бұрын
wow🎉😮😅😅😊kifon
@hamisimaningi4758
@hamisimaningi4758 2 жыл бұрын
Hello....Hello...ooooo
@josephinekalama9175
@josephinekalama9175 2 жыл бұрын
Nice one i watch from Kenya
@bejesedekia-gu1mw
@bejesedekia-gu1mw 10 ай бұрын
Mwamba kingwendu
@harvestarmudidi1465
@harvestarmudidi1465 2 жыл бұрын
Watching From Kenya, much love
@madimadiousseni2438
@madimadiousseni2438 3 ай бұрын
Umekatra 🤣🤣🤣
@FrancisOyeye
@FrancisOyeye Ай бұрын
Ina mafunzo pia asante kigwendu
@AmaniLameck-yr5rq
@AmaniLameck-yr5rq 9 ай бұрын
Kingwendu akili nyingi atali
@EmanuelJosphat
@EmanuelJosphat 11 ай бұрын
Mungu fundi amekupa uwezo wa kuchekesha😢
@Hobalu-mi7ml
@Hobalu-mi7ml Жыл бұрын
Kingwendo mze wa comedy 😂
@YvonneSwithins
@YvonneSwithins 10 ай бұрын
Nenda kakate ukose vidole vya kutembelea😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@PurityWesonga-z5r
@PurityWesonga-z5r 3 ай бұрын
Ananifurahisha sana😅
@HappynesAlphan
@HappynesAlphan Ай бұрын
Mzee kingwendu 😂😂😂😂😂😂
@sarahmuiruri9393
@sarahmuiruri9393 2 жыл бұрын
Nice watching from kenya
@mulababaz7122
@mulababaz7122 2 жыл бұрын
Umeupinga mwingi dingi Salute👊
@princebigboss5606
@princebigboss5606 2 жыл бұрын
Msijifanye hamjaona hiyo surupwenye ilivyotoa mzigo wa kingwendu 🤣🤣🤣🤣
@wanderenyeura9011
@wanderenyeura9011 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗
@johnmusungu4381
@johnmusungu4381 Жыл бұрын
Hadi sai bdo naenjoy hii. HB mwenyewe nakkbali sana.
@tatujuma4795
@tatujuma4795 2 жыл бұрын
😂😂😂😂 nimecheka sana kwa kweli Kingwendu ni really commedia sio kama wale wengine wanao force
@hamisigege5946
@hamisigege5946 2 жыл бұрын
Mkali wao🤣😅
@nguijohn5830
@nguijohn5830 2 ай бұрын
Kingwendu saa zote❤
@ulujay7532
@ulujay7532 2 жыл бұрын
Ila hizi kofia za kingwendu huzitoa wapi? Na mabuti yake 😂😂😂😂😂😂😂😂
@lilianawino1873
@lilianawino1873 2 жыл бұрын
Nmeipenda kofia pia
@YvonneSwithins
@YvonneSwithins 10 ай бұрын
Kingwendu aache tamaa
@G.S985
@G.S985 2 жыл бұрын
Kingwendu nakupenda mpaka naumwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ibraimojosebarbosa1258
@ibraimojosebarbosa1258 Жыл бұрын
nao precepo dialeto max ese kota e bom na história kkkkkkkkkkkkkk diretamente d Moçambique
@ANNERMussa
@ANNERMussa 4 ай бұрын
Kingwendu tamaa yahela
@WiliamMbembati
@WiliamMbembati 6 ай бұрын
pamoja sana kingwendu
@moseskulola6913
@moseskulola6913 2 жыл бұрын
Watching from Cape town nakihamini Sana kingwendu
@TwahaNgelekele-tk9pi
@TwahaNgelekele-tk9pi Жыл бұрын
Nakubal brother umenisha San alf mimi ni shabik yko nakufatilia San Yan napenda San movie zako😀😀😀😀😀
@BarakavBoniventure
@BarakavBoniventure 8 ай бұрын
Uko vizury kingwendu
@nancyjohnson6620
@nancyjohnson6620 2 жыл бұрын
Ila ungevaa vzr tu kama kipaji kipo huna haja ya kutumia nguvu kubwa
@mammam4701
@mammam4701 2 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 Baba angu uyo
@bratherbcomedy4576
@bratherbcomedy4576 2 жыл бұрын
Pesa ni sabuni ya roho unaeza kufanya chochote bora upate safi sana kingwengu
@MaSuzy-zf8ol
@MaSuzy-zf8ol 11 ай бұрын
Kingwedu wee kabila gan
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 жыл бұрын
Hii kalii nimecheka leo bhebhe nanhooo
@mcprohcomedy
@mcprohcomedy 2 жыл бұрын
Kingwedu always makes me laugh
@mussasuleimanali8787
@mussasuleimanali8787 2 жыл бұрын
Yan kingwendu umenichekesha leooo aaaa we achat umenifraisha San da
KINGWENDU AMVUTISHA BANGE MTANGA UTACHEKA SANA HII
12:54
KINGWENDU OG TV
Рет қаралды 909 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
WAMEYATIMBA NDARO NA STEVE MWEUSI
14:56
Ndaro Tz
Рет қаралды 2,2 МЛН
KINGWENDU anavyochezaa kimaasaii tazama
14:17
EBENEZA KWAYA KIVUGA TV
Рет қаралды 36 М.
majuto,mtanga,pembe,kingwendu
12:24
Africa shared TV
Рет қаралды 1,1 МЛН
MJUMBE KINGWENDU ATAPELIWA NA OMBA OMBA UTACHEKA SANA HII
18:25
KINGWENDU OG TV
Рет қаралды 78 М.
FAMILIA YA MZEE KICHECHE - FULL MOVIE (Ep 1-10)
3:14:46
kicheche
Рет қаралды 463 М.
KINGWENDU ATAKA UTAJIRI UTACHEKA SANA HII
17:11
KINGWENDU OG TV
Рет қаралды 300 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,1 МЛН