HISTORIA YA RAIS MAGUFULI: 'GENIUS' ALIYEUTOSA UALIMU, SIASA IKAMUINUA, URAIS, KUUGUA HADI KIFO...

  Рет қаралды 1,499,202

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

HISTORIA YA RAIS MAGUFULI: 'GENIUS' ALIYEUTOSA UALIMU, SIASA IKAMUINUA, URAIS, KUUGUA HADI KIFO...
HII ni Historia ya Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Tano, Dkt John Pombe Magufuli, kuanzia Kuzaliwa Kwake, elimu, ajira ya ualimu, safari ya siasa, urais, kuugua mpaka umauti ulipomfika Machi 17, 2021..
Global Tv Online na Global Group kwa ujumla tunatoa pole kwa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kwa ujumla kwa msiba wa kiongozi wetu..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 421
@fiziparadise7808
@fiziparadise7808 3 жыл бұрын
RIP our African hero, les bonnes choses ne durent jamais! We have lost a true panafricanist, who sacrificed his life for not only his country, but also for fighting western imperialism, capitalism, materialism and neocolonialism systems in order to restore African dignity, respect and prosperity. Such extraordinary presidents are rare nowadays - it is a big loss in our continent. A luta continua✊🏾 Respect from Congo 🇨🇩
@paulsiame906
@paulsiame906 2 жыл бұрын
Kusa
@calebcaleb3193
@calebcaleb3193 2 жыл бұрын
Mungu yupo nasi ingawa tumebacki yatima kila.mungu atatuletea mwingine sisi tulimpenda zaidi Na mashetan yakamchukia
@BeldaObara
@BeldaObara Жыл бұрын
He was a truely warrior of many including me he was my hero 😢😢😢
@nickolauscostantine9817
@nickolauscostantine9817 Жыл бұрын
​@@paulsiame9061:25
@MasaiLaizer-ts9xo
@MasaiLaizer-ts9xo Жыл бұрын
3:18 3:18 ​@@paulsiame906
@allymapinda8804
@allymapinda8804 3 жыл бұрын
Ewe Mwenyezi Mungu ipokee roho ya DR. John . Magufuli Rais wetu mzalendo aliyeipenda sana nchi yake na kujali masikini... Pumzika kwa Amani Amen...
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 3 жыл бұрын
Amiiin
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 3 жыл бұрын
Amen😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿
@salvatorykebwe4702
@salvatorykebwe4702 3 жыл бұрын
Mungu wetu na bba yetu wa mbingun umevuna tunda lako lako tulilitegemea san katka bustan yet ya tanzania hatuna namna bba tunashkur kwa uchguzi wko uweke roho yake mahala pema pepon apumzke kwa amani mung wetu tuchagulie tena kiongoz mwadilfmpen
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
Amina
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Amina yarabi tusikilize duwa zetu baba mpokee magufuli msamehe alipkosea mana alifanya mengi hata Kama kuna amekosea Lakini mema pia kayafanya tunayaomba haya kwa kuamini mwenyezi mwenyezi mungu duwa zetu utazipokea 😭😭r l p baba
@elidarweyemamu5144
@elidarweyemamu5144 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Baba,abarikiwe Mwanamke aliyekuzaa,Asante sana kwa kujenga nchi yetu na matendo mema uliyotenda kwa Watanzania yakakutetee mbele za Mungu.
@mbindyojolly0015
@mbindyojolly0015 3 жыл бұрын
Amina milele...
@hadijahaji9712
@hadijahaji9712 3 жыл бұрын
Siwezi kusema jinsi gani nimeumia anayejua ni mungu .Asante mungu 😢🙏
@Benjaminq-8263
@Benjaminq-8263 9 ай бұрын
Maguli❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@winnienekessa7006
@winnienekessa7006 3 жыл бұрын
Pumzika salama baba na poleni sana familia na taifa la tanzania,pole sana baraka magufuli kumpoteza pacha wako from 🇰🇪
@FestusMaitha-k3q
@FestusMaitha-k3q 28 күн бұрын
As a Kenyan citizen,I just shed tears, nikimkumbuka magufuli,daima utasaulika mioyoni mwetu😢😢
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Historia ya kweli ya mwanadamu huandikwa na Mungu mwenyewe. Maandiko yanasema " Nalikujua toka tumboni mwa mama yako". Hivyo ndivyo Mungu alivyomjua Marehemu Mh Rais Magufuli R.I.P. Tumwombee.
@mabujuma9355
@mabujuma9355 2 жыл бұрын
❤❤❤
@kenncheruiyot8253
@kenncheruiyot8253 3 жыл бұрын
Roho yangu imeumia kabisa nlimpenda magufuli sana sana ni mungu tu ata ni kama sijaamini aki
@paulondiek1345
@paulondiek1345 3 жыл бұрын
Am completely finished,my beloved president and mentor whom I used to watch repeatedly R.I.P baba and may God bless The good work of your hands as you shine on your way
@magorimagori9264
@magorimagori9264 3 жыл бұрын
Kamwe hatutakusahau maishani mwetu..umetufuta umasikini na kutufanya kua wa pekee duniani kote..your legacy will never perish
@charlesvaati4615
@charlesvaati4615 3 жыл бұрын
I'm a Kenyan citizen but magufuli was my president , RIP my hero u have a room in heaven, Amen
@BeldaObara
@BeldaObara Жыл бұрын
Same too he was my hero
@kiyabolnjemu9646
@kiyabolnjemu9646 3 жыл бұрын
Wengi wa kipenzi cha Dr magufuli wanaishia Tu kuumia na wanashindwa kukoment chochote but he was a Goodman, wise one and intelligent president I never met in Tanzania! Lala salama Mzee na mkombozi wa bara la AFRICA
@claudinemaxime936
@claudinemaxime936 3 жыл бұрын
The pride of Tanzania and all of Africa,,, Nani anaweza kuheshimika kama huyu? Tumempoteza Kiongozi wa maana,,,
@frankmtulo9413
@frankmtulo9413 3 жыл бұрын
Hakika kizuri hakidumu mungu ilaze loho ya rais Wang mahali pema peponi amen
@mamanantou637
@mamanantou637 3 жыл бұрын
Im not Tanzanian but Mr Magufuli was my president. He was a beautiful man whith compassion, behavior. He was a worker man , humble, incorruptible, determined,.. Un homme pas comme d'autres,.je n'avais jamais cesser de l'admirer de par sa beauté physique et intérieure. Il m'a inspiré par sa façon d'être et de faire. Un homme humble , travailleur,...je ne sais quoi dire encore.. Les occidentaux sont contre des dirigeants africains qui veulent développer leurs pays. Ils l'ont ôté la vie... A jamais dans mon coeur papa Magufuli. Forever in my heart. African hero's, alive monument 😭
@hassanmzulumbi8342
@hassanmzulumbi8342 2 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima maguful mungu akulaze mahalo pema pepon
@faustalugome2860
@faustalugome2860 3 жыл бұрын
Upumzike kwa amani wa mimi maskini siwezi kujizuia. Natamani nikae sehemu nilie sana kwa sauti labda maumivu ya moyo wangu yatatulia
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 3 жыл бұрын
Sio wewe peke yako ndugu sote wa tz😭😭😭😭😭🇹🇿.
@NewNew-ep5dq
@NewNew-ep5dq 9 ай бұрын
Mm naon kam yup man had leo siamin 😭
@StanleyMiyeji-ys1wm
@StanleyMiyeji-ys1wm 6 ай бұрын
Mungu ampumzishe salaam
@NikoChuchi
@NikoChuchi 6 ай бұрын
Kiongoz Bora tanzana​@@StanleyMiyeji-ys1wm
@AarahatibuHatibu
@AarahatibuHatibu 4 ай бұрын
😢😢😢
@AmanduceFesto-nb6kh
@AmanduceFesto-nb6kh 13 күн бұрын
❤❤saf saan mwandishi kwaktupa hstory nzur hkk afrika bado tna safar ndefu kpata viongoz weny maamz magum km magu
@janeontegi2576
@janeontegi2576 3 жыл бұрын
For sure , African political leaders, none compared to him. A visionary leader of all times. Sorry we miss you when we needed you most. Rest In Peace, our hero. Thank you
@BeldaObara
@BeldaObara Жыл бұрын
For real no other leader like him we lost a perfect leader in Africa
@lzzambi1159
@lzzambi1159 Жыл бұрын
Tunakukumbuka sana kwameng uliyo tufanyia at a mngu akulind huko uliko
@paschaltinuga1484
@paschaltinuga1484 3 жыл бұрын
Nilikuwa nakupenda sana baba kiongozi wangu
@FaustaDaniel
@FaustaDaniel 9 ай бұрын
Ee mwenyezi mungu. Nakuomba uiweke roho ya Dr John pombe magufuli mahalo pema peponi amina
@EmmanuelPatrick-n4v
@EmmanuelPatrick-n4v 2 ай бұрын
Jsh bless you mr John..u hv done what uborn 2 done.all the glory 2 almighty 👉☝️☝️☝️👌💪
@InnocentLibrary-pj5xo
@InnocentLibrary-pj5xo 5 күн бұрын
𝙈𝙖𝙮 𝙪𝙧 𝙨𝙤𝙪𝙡 𝙧𝙚𝙨𝙩 𝙞𝙣 𝙥𝙚𝙖𝙘𝙚,....𝘼𝙢𝙚𝙣 𝙡𝙤𝙫 𝙪 𝙙𝙖𝙙𝙙𝙮❤🎉
@belzylucas7275
@belzylucas7275 2 жыл бұрын
Mungu akupumuzishe kwa amani akuseheme kama kuna makosa ulifanya bila kujuwa me najuwa roho yako nimepumuzika kwa amani 💚🙏
@nyeimarg-cm9te
@nyeimarg-cm9te 7 ай бұрын
Pumzika kwa amani jembe letu,,,, tulikupenda but Mungu kakupenda zaidi
@DotoS12
@DotoS12 19 күн бұрын
Duh Magu nikikuwa nampenda sana aiseeee bas tu kifo hiki hakina huruma kweli 😢😢😢😢😢
@AlfanLunyungu
@AlfanLunyungu 6 ай бұрын
🥶❤❤❤❤❤❤❤mungu ailaze roho yako mahali pema peponi amina🎉
@ShabanAmiri-f5d
@ShabanAmiri-f5d 5 ай бұрын
Mungu akupumzishe salama Rais wetu watanzania tumeumia sana ktk mioyo yetu..
@charlesking8252
@charlesking8252 3 жыл бұрын
R.I.P Our beloved President John Joseph Pombe Magufuli... Mwenyezi Mungu akupokee katika uzima wa milele na akusamehe zambi zako zote Amen Amen Amen...
@Waida-vp4jc
@Waida-vp4jc 8 ай бұрын
Tunakukumbuka daima Mungu akupe Raha ya milele
@mendradngoja9935
@mendradngoja9935 Жыл бұрын
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. Amina
@fauziashabibu1467
@fauziashabibu1467 2 жыл бұрын
Eweh Mungu naomba umpumzishe kwa amani baba yetu mpendwa hayati Magufuli
@kapesatv3446
@kapesatv3446 Жыл бұрын
Historia imembeba vizuri Ila iliokuwa na changamoto na hakuwa aliemtangulia ni jitiada binafsi. Mungu uko hivyo kunyenyua vizaifu na kuweka juu.
@FabianoJumanee
@FabianoJumanee 7 ай бұрын
mungu amlaze mahali pema raisi wetu mpendwa
@IongwaEzekiel
@IongwaEzekiel 21 күн бұрын
Mimi ni Congo mani na hishi inching Finland 🇫🇮 kweli huyo raisi watanzania miaka ya kuja mutamukubuka sana na weiner watakuwa sana walioyo kumufatilia raisi wa wanyonge sija hona mutu kama Hugo iko na decision kama zangu kupitiya nilipo tumika katika kambi za wakimbizi kabini Zimbabwe hate huge na pesaro zako siwezi hitika juu wakimbizi wote ni sawa tu Mungu halaze Roho yake mapema Amen.
@KahomboErickTstr
@KahomboErickTstr 2 ай бұрын
Mungu amurehemu
@FasdaJamali
@FasdaJamali Жыл бұрын
Punzika Kwa aman mpendwa wetu tutakukumbuka daima😢🤲🤲❤️🙏
@LaisonPonshen
@LaisonPonshen Жыл бұрын
Asanteni baba
@Thekevinblessed
@Thekevinblessed 2 жыл бұрын
The most respected man on Africa... RIP🥺😭😭😭from Kenya🙏
@estermwanilwa5469
@estermwanilwa5469 3 жыл бұрын
Mbele yako nyuma yetu magu wetu inauma sana mwenzenu nimeguswa mno
@restitutorcharles4253
@restitutorcharles4253 2 жыл бұрын
Tushakukumbuka sana Baba!Mungu wa mbinguni akupe pumziko la milele
@kindroshaban1705
@kindroshaban1705 3 жыл бұрын
Daaah! Mungu amuweke pazuri mzee wetu Amiin!! By alshy
@jumajrwolf764
@jumajrwolf764 3 жыл бұрын
He was the legend in Africa rip magufuli
@EspoirElisha-ef8bq
@EspoirElisha-ef8bq Жыл бұрын
Mungu akupokeye
@jyohana0059
@jyohana0059 3 жыл бұрын
😭😭😭emwenyez mungu ulituumba kwa udongo sote tutaludi mavumbini amen
@BenedictMmbelwa
@BenedictMmbelwa 4 ай бұрын
Mungu akuweke mahali pema peponi.
@antidiuselipidius8373
@antidiuselipidius8373 Жыл бұрын
Nzuri sana
@ZaituniKumbulu
@ZaituniKumbulu 11 ай бұрын
Pumzika kwa amani, kama ni mipango ya mungu sawa, ila kamakura watu wametenda hivo mungu atawanyoosha
@MussJosia1
@MussJosia1 7 ай бұрын
Xxx
@tanzaeduforumtef4310
@tanzaeduforumtef4310 3 жыл бұрын
Siyo like ni lake secondary
@hiradevasco8558
@hiradevasco8558 3 жыл бұрын
Ho my God. He was a truly Hero for his people. I am so sorry Tanzanians, my heart is to you all
@IBRAHIMKUHUNGURU-n6v
@IBRAHIMKUHUNGURU-n6v Жыл бұрын
❤🤦nitakukumbukasana shuja uliye lala
@emilychichi7517
@emilychichi7517 3 жыл бұрын
jamani hata mimi nitakuwa rais wa kenya☝🏾✌🏿Rest in peace🙏🏾🎈❤️
@mashamadinda5817
@mashamadinda5817 3 жыл бұрын
Inauma sana tulikupenda sana ila mungu kakupenda zaidi ni kumshukuru mungu tu.
@Rachel-q8h
@Rachel-q8h 9 ай бұрын
Uongozi wa magufuli hauna mpinzan... Damu yke na iwamulikie viongozi wema daima, R. I. P 🙏🙏🙏 baba yetu
@peterkayombi8941
@peterkayombi8941 2 жыл бұрын
Hongela jembe
@johnthuo7007
@johnthuo7007 7 ай бұрын
Mimi ni mkenya lakini nilikuwa nampenda sana rais maghufuli
@projestkasiringi4994
@projestkasiringi4994 2 жыл бұрын
Mungu amlaze maali pema amina
@godfreymakau3932
@godfreymakau3932 2 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima raisi wa Africa
@FilsMumbere
@FilsMumbere 9 ай бұрын
Hâta mimi ni mucongomani, lakini historiya ya raisi magufuli na mema yake ukarimu, mû shauri bora, hatuta kusahau kamwe, huku Congo tulikuwa tukifata na kusshuudiya mema yako, mungu akupokeye salama
@AnastaziaKwezi-kb9pv
@AnastaziaKwezi-kb9pv Жыл бұрын
2me kukumbuka baba mungu akulaze mahali pemapeponi🤲🤲🤲
@davidkashaga7
@davidkashaga7 2 жыл бұрын
interesting nice story
@siliviaiginas5215
@siliviaiginas5215 3 жыл бұрын
Asanta mungu apokee vizuri raisi wetu
@AboubakaryKimwinyi
@AboubakaryKimwinyi 7 ай бұрын
Umetisha
@FistonNgona-j3f
@FistonNgona-j3f 3 ай бұрын
mimi nimu congo lakini nilikuwa nampenda magufuli
@DanielMichael-y8o
@DanielMichael-y8o Ай бұрын
You are myhero
@laurentmashenene4362
@laurentmashenene4362 2 жыл бұрын
Nitakumbuka sana
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 3 жыл бұрын
DAAAAAH Magufuli ENZI Zako Ulikuwa Handsome 😀😀😀😀
@asekasheldon8427
@asekasheldon8427 4 ай бұрын
U will always be a hero
@DaisyMamajayden
@DaisyMamajayden Жыл бұрын
Machungu machungu sana ..hivi iposiku kweli tutakusahau kweli eee mungu tupunguzie uchungu huu hatuwezi pekeyetu ..saidia Tanzania je tutawahi kumpata kama yeye ajuaye matatizo yawananchi wachini ee mungu tusaidie kila ninapo angalia video zake machozi yanatiririka ..😭😢😭
@isabelazabron7044
@isabelazabron7044 2 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema baba yetu
@KasonaNgamila
@KasonaNgamila Ай бұрын
Sio mtawala bali kiongozi ❤
@damiangabriel8721
@damiangabriel8721 2 жыл бұрын
The late president John Pombe Magufuli our hero,the true legend who fought the war till his death. He stood very firm and strong from the beginning to the end, the Tanzania has lost a true legend ever, may his soul rest in peace Amen
@paulndimanya6912
@paulndimanya6912 3 жыл бұрын
Lala salama shujaa nilikupenda baba pamoja na watanzania wenzang lala shujaa
@mariamabdalla2999
@mariamabdalla2999 3 жыл бұрын
Allah ailaze roho yake pema peponi insha'Allah 🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Moc.khalfan
@Moc.khalfan 3 жыл бұрын
Hamuna mkiristo anayeingia peponi ata awe kaishi vipi duniani nna ushahidi wa Quran
@hildantandu5909
@hildantandu5909 2 жыл бұрын
@@Moc.khalfan hayakuhusu ,we mja wa shetani
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 жыл бұрын
@@Moc.khalfan Quran ndio nini?
@abuusuleym7298
@abuusuleym7298 3 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo shule ya sekondari like aiseee
@JenniferAlexander-dw3sd
@JenniferAlexander-dw3sd 6 ай бұрын
Daaah 😢😢
@simonmisri6968
@simonmisri6968 3 жыл бұрын
Mungu yupo atatenda tena
@FakiiKassimu
@FakiiKassimu Ай бұрын
You was so intelligent man
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 2 жыл бұрын
Asante
@BeldaObara
@BeldaObara Жыл бұрын
He was my favorite warrior he led with just and wisdom we lost a perfect leader in Africa 😢😢😢
@happynesskatabazi-qh1cz
@happynesskatabazi-qh1cz Жыл бұрын
Tutakukumbuka daima
@meshackMuro
@meshackMuro 5 ай бұрын
Lala baba mbele yako nyuma yetu inshallah 😭😭😭😭😭😭
@IbrahimKibela-p3l
@IbrahimKibela-p3l 4 ай бұрын
Wengi tumeumia sana baba umetuacha tunateseka mungu akuongoze ulipo
@SHABANIMGOMI
@SHABANIMGOMI 11 ай бұрын
Nice❤❤❤❤❤❤
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 3 жыл бұрын
Mungu amuweke pahala pema peponi.
@IBRAHIMKUHUNGURU-n6v
@IBRAHIMKUHUNGURU-n6v Жыл бұрын
Itakukumbuka sana shuja wetu mzalendo
@kelvenmasai7463
@kelvenmasai7463 3 жыл бұрын
Hatuta kusahau milele yote rais wetu umepeleka nchi yetu mbali Sana R.l.P magufuli
@sabatorobert730
@sabatorobert730 3 жыл бұрын
Kweli nakubaliii sanaaaa
@WinfrdaMaico
@WinfrdaMaico 3 ай бұрын
Upumzke kwa Amani🙏🕊😭😭
@rukyahassansuleiman5977
@rukyahassansuleiman5977 3 жыл бұрын
Rais wng nilikupenda nikakuamini lkn mungu kakupenda sn hakika alipangalo allah alipingiki ntakukumbuka daima 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@schorasticaldeus5443
@schorasticaldeus5443 3 жыл бұрын
Mungu mpokee mwanao
@mathiasgamaya1117
@mathiasgamaya1117 Жыл бұрын
Oooohi my god remember to see My county
@suleamberforreal7401
@suleamberforreal7401 2 жыл бұрын
Magufuli will live forever in Our hearts❤ He was the Hero of African and not only in Tanzania
@francisjoseph1292
@francisjoseph1292 3 жыл бұрын
Pumzika kwa Aman rais wetu hakika umepambana
@FatumaSiraji-l2r
@FatumaSiraji-l2r 5 ай бұрын
Tutakukubuka sana jamani
@lawistruth
@lawistruth 3 жыл бұрын
Humble but stern ....RIP KING
@TwitikeMwakyonde
@TwitikeMwakyonde 5 ай бұрын
Daar,mungu tutiye,nguvu,sasa,ivi ospitalini kujifugua,tunalipia,tungekuwa,nauwezo,tungekuludisha,kifo,kifo,kifo,nimekwita,mala,tatu,kwamasikitiko,yote,tunamwachiyamungu,amina
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 3 жыл бұрын
Umetuacha njia Panda Rais wetu,Maendeleo tuliyo tegea kupata kwa kipindi chako,......duuuh.kweli kizur hakidumu.Maguful wetu jamani....nikweli..!!!,au naotaaa......
@happymoshajustine6908
@happymoshajustine6908 3 жыл бұрын
Fka salama raisi wetu
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 2 жыл бұрын
Exactly.
@SendamaNigo
@SendamaNigo 8 ай бұрын
Sitakusahau
@Kingkigwema
@Kingkigwema 2 ай бұрын
Munguakulazemahali pema
@BeldaObara
@BeldaObara Жыл бұрын
He was a true war and the legend of many including me
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
17:01
Global TV Online
Рет қаралды 848 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 10 МЛН
HISTORIA Ya Rais MAGUFULI Na FIKRA Za Kujilisha na KUJITEGEMEA Bila KUOMBAOMBA!
23:42
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН