Hahaha mshangazi mwakatobe na kipara nina wakubali sanaa nawapend ❤❤
@omarbosiomar86085 ай бұрын
mwakatobe bila ndevu handsome
@michaeltheophile70355 ай бұрын
Mwakatobe 😂😂😂😂😂 nakukubali sana mwanangu
@PaulGitua5 ай бұрын
With my two years ago macho mawili unyama mwingi ⚡⚡ mwanetu mwakatobe😅😅
@achila2545 ай бұрын
What do you happen or what's happen kipara😂😂😂 KIINGEREZA pooo😂😂
@Mpakauseme5 ай бұрын
hiyo style ya mtindo wa kingereza cha uwongo nendanqcho mjomba kitakupeleka mbali aisee husiache mzee Eti i m give you your my friend 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-er3cb9mb9m4 ай бұрын
Much love from Kenya guys like back❤😂
@MOASLLY5 ай бұрын
Umependeza mwakatobe.... 😂
@PATRICIALEILA-yx3ec5 ай бұрын
Mwakatobe kingereza kipara am going to hom 😂😂😂🔥🔥nawapenda sana from kenya
@Mpakauseme5 ай бұрын
😂😂😂
@mohammedkidody56185 ай бұрын
😂😂😂
@marynyota61465 ай бұрын
Kipara,weee🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
@BekaBouson-rx5uh3 ай бұрын
kiparawee kipara Kafanya nini? ropond mois jmp 🎉dieume congo 🇨🇩 ♥ now niwawapi😮 like zng
@user-zj3hm8wm5f5 ай бұрын
😂😂😂😂 mwakatobe kingereza Cha kimenivunja mbavu😂😂😂😂
@sanitolucas38525 ай бұрын
😂😂😂ok my wife,gud bye😂😂😂
@sirngetich18155 ай бұрын
Much love from kenya team kiparaaa 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ila kizungu😅😅😅😅😅
@Memphispaltrow5 ай бұрын
My wife take care 😂😂🤣🥰🔥🔥
@aishaomar22875 ай бұрын
Mwakatobe chizi sana😂😂😂ati kugeuka biriani tena 🙌 🙌 🙌
@user-pw9pz5gj3s5 ай бұрын
Mwakatobe nakukubali sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-lk2wm1th2k4 ай бұрын
Nimeipenda hongereni jaman
@user-cr8cs2qc8f5 ай бұрын
Mwakatobe😂😂😂😂😂.et uso wako mweusiiiiii kama njia panda ya kuzimu😂😂😂😂😂😂.we uliiona hiyo njia pand ya kuzimu😂😂😂😂
@MadeteKonah-md1hn2 ай бұрын
😂
@kibibimlaula25265 ай бұрын
Mwakatobe kanona mishavu hihaaa mashallah 😂😂😂
@NatureMw1555 ай бұрын
Kipara much love from malawi timakukonda
@EvodearVenance-xe3xs5 ай бұрын
Mwakatobe umealibu😂bhan usingenyoa mi nakupenda comedian yako ukiwa na madevu
@NoorEesa5 ай бұрын
😂😂😂😂😂mlingoti chuma bendera chuma😂😂😂😂
@rizikisam64815 ай бұрын
Ila huyu shangazi nampenda ❤
@user-il3bd2lp6p5 ай бұрын
Uko vizuri mwakatobe 😂😂😂😂😂😂
@MoTalentTz5 ай бұрын
Kipala vevo 🖐️🔥💪💪
@jamesmusombwe40095 ай бұрын
Vp na Kingereza anacho ongea kipara Ni comedy au yupo serous?? Aah ndugu yangu unafanya vizuri Sana isiaribu na Kingereza
@NatureMw1555 ай бұрын
Kipara is comedian ndomana kingereza chake nichakuchekesha
@user-su3it7sq8l5 ай бұрын
@nassercurtis95795 ай бұрын
Ok, shortly wamevaa uhusika wa watu wa kijijini wasiojua kingereza hivyo wanakitumia kama msisitizo kwa mazunguzo ya watu wa vijijini kujiona wasomi, ukisema sentence hata moja hata ukikosea wanakuamini sana
@user-pq5fm9vj5y5 ай бұрын
Daaaah mwakatobe unanichekesh san pamoja n kipara wanaman
@Amina-Rshd5 ай бұрын
Mwakatobe umenyoa izo devu 😂😂😂keeh uhami tsee😂😂😂 kaeke za bdia bwana ili upende🇰🇪🇸🇦
@hassanpashua4 ай бұрын
Hii uhami tseeee imenikosha❤
@user-kv4pv1xv8f4 ай бұрын
Mwakatobe the best🎉 I'm from Mozambique
@moseshandsam18655 ай бұрын
Hawa jamaa wa aclam wapo vizuri sana 😅😅😅😅
@AgueroBoaz-ei5qt5 ай бұрын
Kanyoa uyooo
@malkiamommy2935 ай бұрын
Mwakatobe jaman napend kingerez chako n umenyoa dev 😂😂😂 Shekh kipara
@rizikisam64815 ай бұрын
😂😂😂😂 eti simuogopi 😂😂😂 my wife maana ake ni mumeo 😂😂😂
@MwanamkuuMumbe3 ай бұрын
Mwakatobe na kipaya nawapenda sana na huyo shangazi yenu❤❤❤❤
@user-sn8tp9gq5r5 ай бұрын
Weer mwakatobe utatuuwa we kipala toka apo kwende kavae nguo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Godfrey_lusekelo5 ай бұрын
Shangazi kaja mzeee😅😅😅
@miriamdavis38935 ай бұрын
Shangazi ni muigizaji Mzuri
@MARYAM808ZING3 ай бұрын
Iko vizuri n mko vizuri❤
@bettynyasuguta58164 ай бұрын
Kipara wa tabia za umbea umbea much love brother from kenya
@ryankoech4 ай бұрын
What do you mean by umbea umbea
@suleimanibrahim68244 ай бұрын
😂😂😂😂kizungu enye iko hapa ni hatari sana
@ErasmeHORANIMANA5 ай бұрын
Kipara unawez endelea ivo
@user-ce1vh4rl5c5 ай бұрын
Mwakatobe kwa muonekano to unaonekana km umevuta jiko la kukupikia Ramadhan 😂😂😂😂😂