Umenifaa sana aseee, ushauri mzuri, very honestly, God bless you
@loaras9620 күн бұрын
@@nicholauscharles74 Amen
@hildakazinza8481Ай бұрын
Asante sana. Tupe mawasiliano yako
@loaras9627 күн бұрын
0743133421
@Evelynemlemeki4 ай бұрын
Asante sana barikiwa
@loaras964 ай бұрын
Amen
@fortunatusanyilebuli3182 ай бұрын
❤❤🙏🙏kipenz
@loaras96Ай бұрын
@@fortunatusanyilebuli318 shukrani
@ScolahGwamaka6 ай бұрын
Namba yko my
@loaras966 ай бұрын
0743133421 karibu
@LuccyJoseph-n4i4 ай бұрын
Asante sana Mungu akubariki
@loaras964 ай бұрын
@@LuccyJoseph-n4i Amen
@FaustaMlawa4 күн бұрын
Unapatikana wapi pia unauza mtupa wa ainagani
@octavianmacha77398 ай бұрын
Barikiwa mno dada angu sijawahi kujutia uwepo wako Mimi ni mshindi na tajiri kupitia wewe!!
@yunicemaloda71667 ай бұрын
Nahitaji mzigo
@loaras967 ай бұрын
Amen 🙏🏾
@loaras967 ай бұрын
@@yunicemaloda7166 karibu sana
@FinerMushy7 ай бұрын
Nimekupenda Bure mpendwa maana Niko na mpango wa hiki unachikisemea mpendwa
@loaras967 ай бұрын
Asante sana karibu
@hassanomar444620 күн бұрын
sauti sauti huna sauti
@loaras9620 күн бұрын
@@hassanomar4446 yeah
@Oceancooperate2 ай бұрын
ushauri mzuri lakini sauti yako ipo chini sana jitahidi kuwa unazingatia sauti yako
@loaras9627 күн бұрын
Sawa boss
@JeremiaShaonaro4 ай бұрын
How much for a quality chiffon blouse bale
@loaras964 ай бұрын
480,000 Tsh
@Steve-q8m2 ай бұрын
Vp dada naweza PATA belo ya taulo
@loaras96Ай бұрын
@@Steve-q8m nina bathrobe pekee boss
@monaishm94456 ай бұрын
Dada minataka baro la jinsi za kiume bei gan
@loaras966 ай бұрын
BALO ZA MEN JEANS BEI ZAKE NO 1 & CREAM👇👇 ✅Kuna la 500,000 /= 580,000 /= china pc 90-100 hizi ni kampuni mbili tofauti ndio mana bei tofauti 🔰650,000 /= LA CHINA PC 90-100 - 🔰750,000 /= la UK PC 100 - 850,000 /= la canada pc 100 pia la DUBAI bei moja - ✅ kiufupiiiii MEN JEANS BALO NI 500,000/=, 580,000 /= za CHINA PC 70-80 (kampuni tofauti izo) izi bana zinatoa jeans modooo za vijanaaa pekeee , UK / TURKEY 750,000 /= pc 100 & mainili kabisa CREAM DUBAI au ilo la CANADA 850,000 /= PC 100 hizi pia zinakuaaa mchanganyiko modo za vijana na jeans pana za watu wazimaaa ✔️✔️✔️ BALO NZURI NI HIZO TU ACHAANA NA UO UCHAFU MWINGINE 🟥NB ; kuna balo hadi za 300,000/= nyingine 250,000/= ila hizo nilizoorodhesha hapo ndio balo NZURIIII HAZINA MASHAKA ✔️✔️✔️
@ruthotanga29607 ай бұрын
Dada nashukuru mimi ni mkenya nataka kuuza balo la cotton dress lable kani nzuri nashukuru
@loaras967 ай бұрын
Sina kitu inaitwa Lebo sababu Lebo hubadilika kwa kipindi
@TusaKiblaga-vp9jg3 ай бұрын
❤❤
@RaphaelChacha-x9g4 ай бұрын
Dada nahitaji kuanza ila sijajua mahali pakupata mzigo
@loaras964 ай бұрын
@@RaphaelChacha-x9g karibu tuwasiliane 0743133421
@RaphaelChacha-x9g4 ай бұрын
@@loaras96 ahsante nita kuchek
@RaphaelChacha-x9g4 ай бұрын
@@loaras96 ahsante nita kuchek
@pilipili19075 ай бұрын
Uko wapi Mrembo na Bero la Nguo za Mitumba za watoto shi Ngapi
@loaras965 ай бұрын
@@pilipili1907 Nyamanoro Mwanza,Kuanzia 480,000 nk
@veronicambilinyi38546 ай бұрын
Naomba namba zako please
@loaras966 ай бұрын
0743133421 karibu
@thomasmtweve98995 ай бұрын
Namba Yako please
@loaras965 ай бұрын
@@thomasmtweve9899 0743133421
@PETRONILAMNYILIPANDUKA8 ай бұрын
Upo wapi
@loaras968 ай бұрын
Nyamanoro Mwanza 0743133421
@hamisstimu4 ай бұрын
Weka namba yako ya simu madam
@loaras964 ай бұрын
@@hamisstimu 0743133421
@hamisstimu4 ай бұрын
@@loaras96 ubarikiwe saana
@ramanycore6 ай бұрын
BALO MNATUMA MIKOANI NA GHARAMA NI ZA NANI?
@loaras965 ай бұрын
@@ramanycore tunatuma,gharama ni juu ya mteja
@LeahGabriel-nk6tz6 ай бұрын
Namba jaman
@loaras966 ай бұрын
0743133421 karibu
@OyelMina7 ай бұрын
Na nikija nataka pisi moja moja ila nataka kama 600.!?!
@loaras967 ай бұрын
Pis za kitu gani boss
@OyelMina7 ай бұрын
@@loaras96 yaani namanisha kuchambua moja moja ila nachukua kama pic za nguo 600 bei inakuwaje hebu nieleweshe Dada..!?!
@loaras967 ай бұрын
@@OyelMina itategemeana na aina gan umechanganyaje bei sio uniform huu ni mtumba boss
@OyelMina7 ай бұрын
@@loaras96 haya Sawa Dada nimekuelewa..!??
@vailethsawe-fj2mz6 ай бұрын
Dada kama nataka niwe nachukua mzigo wa nguo za kike lakini niwe natembea minadani nitatoboa