Kipigo Walichokitoa YANGA Dhidi Ya KAIZER CHIEFS Ni Udhalilishaji Mkubwa - EDO KUMWEMBE

  Рет қаралды 83,565

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 56
@jonathaneliabu2298
@jonathaneliabu2298 Ай бұрын
Mimi simba but I'm sorry to recognize this, Yanga iko bora sana sio tu dhidi ya vilabu ya Tanzania hata vilabu vya Africa Yanga ni Bora.Hakuna clab bora kwenye peach kwa sasa Africa ukiwatoa Alhal cairo hao labda ndio wanaweza kuwasumbua kidogo Yanga huu ni ukweli bayana kwa consistancy record ambayo Yanga wamekuwa wakionyesha uwanjani.
@user-mj8ct4ki9l
@user-mj8ct4ki9l Ай бұрын
Ngoja tuone
@respiciusgasper4845
@respiciusgasper4845 Ай бұрын
Unajua mpira,
@dorcamadela
@dorcamadela Ай бұрын
upo sahihi sana big app
@shanisalum3921
@shanisalum3921 Ай бұрын
Tuliomuelewa baba Levo ganga like hapa😂😂😂😂😂😂😂vidonge kanywa
@proisolution7166
@proisolution7166 Ай бұрын
MR EDO BURGET DOESNOT JUSTFY SHOW ON THE PITCH AND PICKING A PROPER FORMATION OR PATTERN OF PLAY,WE NEED WATU WANAJUA SOKA LA KISASA MAMBO YA FITNA,DO OR DIE,BRIBING REFEREES NDIYO MAANA NO IMPROVEMENT(CONSISTENCY) KIUCHEZAJI KWA BAADHI YA TIMU ZETU WANAVUNJA TEAM KILA MWAKA WAKIDANGANYA ,KITAKACHO FUATA NI KUWAPA MAREFA PRESSURE KULAZIMISHA MATOKEO-UTASIKIA ILE YA KIBU ILIKUWA PENAT............TUBADILIKE PLEASE.
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt Ай бұрын
B Levoooo nomaa saana
@NchembaNchemba-of7db
@NchembaNchemba-of7db Ай бұрын
Yanga on the fire🎉🎉🎉
@user-mo7iq2fd8g
@user-mo7iq2fd8g Ай бұрын
hua napend sana kumskiliz mtaalam #Edo..ana mambo mengi san na mpira upo
@peterchande957
@peterchande957 Ай бұрын
Edo unachanganya mada Kaizwr ktk bara la africa kwa utajiri ni wa pili, kwenye pitch Yanga wako juu sana kwa sasa timu nyingi zimekula tano tano ikiwemo Simba hii ni ujumbe kuwa Yanga iko juu sana levels zao na barcelona real madrid bayern munich nk tusiiangalie Yanga kwa mazoea. Mfano utaona ngao ya Jamii
@samsonmaclean6370
@samsonmaclean6370 Ай бұрын
Young Africans to the World🎉🎉🎉
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Ай бұрын
Kaizer kafungwa 4, dunduka alifungwa 5, tuache ushabiki ipi ni timu mbovu?.
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Hapo ndo wananichekesha! Utasikia Makolo eti KC Kala 4,mbovu! Makolo Kala 5 ila hawasemi wao wabovu! Yanga makes teams look AVERAGE coz Yanga are better n getting better!
@bm4tv602
@bm4tv602 Ай бұрын
Baba levo ni mtetezi wetu ss wanayanga
@ZulfaSefu-x6v
@ZulfaSefu-x6v Ай бұрын
naipenda San yanga
@user-zv3rm3st3b
@user-zv3rm3st3b Ай бұрын
Yanga kiujumla yk vizuri usimbeze, je kolo alivyokula chuma 5 -1 naye aliyumba? Acheni hizo wachambuzi wa makolo.
@augustinemainde
@augustinemainde Ай бұрын
Kocha baba Levi nakukubali msingemsems Mzize angejilegeza😅😅😅😅😅
@aziziwailu7531
@aziziwailu7531 Ай бұрын
Waoo
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 Ай бұрын
Na kolo alivyochovya 5 ilikuwaje?
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Ай бұрын
Once again kitu kinachopikwa Yanga SC kuna siku team itapigwa goli 7
@user-rd3zb5rg5s
@user-rd3zb5rg5s Ай бұрын
Bom mochwari mmesahau zile tano pia tulipigaga bom mochwari nyinyi makoro wivu utawauwa jmani
@lovenesdickson1824
@lovenesdickson1824 Ай бұрын
Nani bora kama Yanga❤😂😂😂😂
@ShidavenaceMartin
@ShidavenaceMartin Ай бұрын
💚💛🖤🔥🔥🔥
@user-dx1gs8jh3c
@user-dx1gs8jh3c Ай бұрын
🎉
@bahatichikoko6362
@bahatichikoko6362 Ай бұрын
Yanga ili wapiga warabu goli 4-0 tena wakati wamekuja waliibeza Yanga hii ni Yanga bora sana.
@proisolution7166
@proisolution7166 Ай бұрын
WAMBIENI WATU WENU HAO TFF YENYE MFUMO WA KISIMBA BUT ALSO NA THE SO CALLED MEDIA WE NEED KU TRANSFORM MPIRA WETU KUIGA YANGA WANAVYO TRAIN NA KUTENGENEZA VIWANGO NA MFUMO WA KISASA WA KIUCHEZAJI,WATU WAPO TFF WANJIFANYA WANAJUA MPIRA KUMBE WAPO ENZI ZA SUNDAY KAYUNI WE NEED MODERN FOOTBALL PLEASE.
@hamisihassan4923
@hamisihassan4923 Ай бұрын
Sasa edo ela yetu na ya wasauzi tofaut yetu ipo chini unawezeja kulinganisha bajeti yetu ni TSH mapato wanayapata Kwa tsh how tunaweza kufanana now
@ElishaYohana-g3p
@ElishaYohana-g3p Ай бұрын
Siyo tmu ya kawaida ile ni kubwa
@SambuloKhumalo-q3t
@SambuloKhumalo-q3t Ай бұрын
Tg Yanga the best
@KidibuleKidbwai
@KidibuleKidbwai Ай бұрын
Ho et TUmeifunga timu ya kumi acheni ujinga ninyi simba mbona mlishapigwa goli4na huyohuyo
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 Ай бұрын
Timu yako bora iko wapiii?
@lovenesdickson1824
@lovenesdickson1824 Ай бұрын
Yanga Baba Laoo.
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs Ай бұрын
Ali kamwe hoyeee
@RajabuYahya-yv1ob
@RajabuYahya-yv1ob Ай бұрын
Edo kumwembe hiyo suti huna nyingine
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham Ай бұрын
Edo ongerea performance ya mpira Acha uwezo wa pesa
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Ай бұрын
Xavi mtupu
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Ай бұрын
YANGA NEXT LEVEL SI WA KUUNGA UNGA, MAMBO YA BAJET NI KWENYE BANK ACcoUNT, HAPA tunaongea soka uwanjani
@RachelBujuli
@RachelBujuli Ай бұрын
Eddo hatuongelei bajeti tunaongelea ubora kwenda zakoooooo mkia wewe
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t Ай бұрын
Unakataa Nini baba levo kaizer nafas ya kumi kwenye league yke hana ubora sasa hv,,Kwa kifupi bomu mochwary 😂😂😂😂😂
@MzeewaYanga-hm8jq
@MzeewaYanga-hm8jq Ай бұрын
Na vp kuhusu telecom dalaja la 4 dah kwl dunduka ni dunduka2😂😂😂😂😂😂😂
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Ай бұрын
Sawa Boss hilo tunalijua na pia tunajua mpira ni mchezo wa wazi
@songombingo108
@songombingo108 Ай бұрын
Wewe msenge kweli. Madunduka toka mpigwe 5 akili zenu bado hazijakaa sawa
@edgarndoleki8827
@edgarndoleki8827 Ай бұрын
Keiza angecheza na simba mpaka sasa simba 0 - 5 keiza
@usatoenglandvegas4046
@usatoenglandvegas4046 Ай бұрын
Kwani wewe kinacho kuuma nini brother 😂😂😂😂
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 12 М.
KAIZER CHIEFS VS YOUNG AFRICANS ALL GOALS HIGHLIGHTS
11:48
DISKI FLAVATV
Рет қаралды 36 М.
What does Satoru Gojo have? #cosplay#joker#Harley Quinn
00:10
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 64 М.
Kaizer Chiefs vs Young africans Toyota Cup Highlights (0-4)
9:21
HOME OF DISKI
Рет қаралды 370 М.