Рет қаралды 10,674
Baada ya Wiki iliyopita kuwaona na kuwasikilia baadhi ya wafugaji walionufaika na mradi wa Uboreshaji Malisho ya Mifugo kwa kuzingatia utunzaji wa mazingira uliokuwa ukitekelezwa na Shirika la kimataifa la Utafiti la CIAT kwa kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Mifugo nchini (TALIRI), leo tuendelee kuangazia maeneo mbalimbali ambayo wafugaji walinufaika nayo pamoja na ahadi zilizotolewa na Serikali kuhusu kuendelezwa kwa utekelezaji wa miradi ya aina hiyo...