KIPINDI NA BISHOP PAUL BENDERA

  Рет қаралды 329

ufunuo tv

ufunuo tv

Күн бұрын

Kanisa linapatikana kimara bonyokwa ndani ya Jiji la Dar es salaam, kwa wale wanaotokea njia ya mjini kwa kutumia njia ya morogoro road ukifika kimara mwisho upande unaoshukia wa kushoto utaona stendi ya bajaji na magari yanayokuja bonyokwa,kwa wale wano tokea njia ya mbezi mwisho ukishuka kimara unavuka upande wa pili wa barabara ukipanda hayo magari au bajaji utashuka kituo kwa Bendera kanisani utakua umefika, Kwa wale wanaotokea stendi ya segerea panda Bajaji au magari yanayokuja bonyokwa mwisho ukifika hapo ulizia kwa Bendera utaelekezwa

Пікірлер: 7
@Ibrahimubomoa
@Ibrahimubomoa Ай бұрын
baba hongera kwakitabu kizuri natamani kifike Serengeti watoto wa Mungu wajifunze hekima hiyo. Adam hakuwa wakwanza, hatari sana!!!
@silvanuskimbe2656
@silvanuskimbe2656 Ай бұрын
Ameen
@Ibrahimubomoa
@Ibrahimubomoa Ай бұрын
Kweli baba Mungu wako atukinge na mabaya zidi kutuombea
@Ibrahimubomoa
@Ibrahimubomoa Ай бұрын
kiongozi mzuri anaepukana na Uasi
@AbubakariJuma-wl3db
@AbubakariJuma-wl3db Ай бұрын
kweli baba
@rahelfocus9385
@rahelfocus9385 Ай бұрын
Nikweli kabisa
@Ibrahimubomoa
@Ibrahimubomoa Ай бұрын
Baba wewe hukuasi mahari ndomana ufunuo yeyeto anaye asi huwa hafanikiwi🎉
LIVE: Rais wa DR Congo, Felix Tshisekedi Ikulu Dar es Salaam
29:32
MAHOJIANO MAALUMU NA ASKOFU PAUL BENDERA
38:43
ufunuo tv
Рет қаралды 552
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 13 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,2 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 79 МЛН
TAFSIRI YA NJIWA NA KUNGURU KIBIBLIA
1:09:49
ufunuo tv
Рет қаралды 604
Makonda aibua madudu makubwa Dar es salaam, aweka msimamo
49:55
Dar24 Media
Рет қаралды 1,5 М.
KUSIMIKWA KWA WACHUNGAJI KATIKA KANISA LA UFUNUO BUZA KIPERA
2:08:21
Tupate wapi Mtu kama Huyu | Mzee wa Upako aongea Mazito.
38:48
Mzee wa upako
Рет қаралды 4,6 М.