No video

“Niliplan kumaliza tatizo la mafuriko Dar lakini nilishindwa kisiasa” -Pro Tibaijuka

  Рет қаралды 8,612

Millard Ayo

Millard Ayo

6 жыл бұрын

Prof Anna Tibaijuka alipokuwa Waziri wa Ardhi alikuwa na plan nzuri ya kusaidia kudhibiti athari za mafuriko katika mkoa wa Dar es salaam kwa kutumia master plan ya mwaka 1979 lakini alishindwa kutokana na mfumo wa kisiasa ulivyokuwa

Пікірлер: 8
@chrispinlaurean3673
@chrispinlaurean3673 6 жыл бұрын
Bravo Prof.Tibaijuka huyu mama alikuwa vizuri kiutendaji namkubali sana' lukuvi hajaitendea haki wizara
@ashachecheo9619
@ashachecheo9619 6 жыл бұрын
Kweli professor .serekali ijitahidi hususan nchi zetu za afrika mashariki NI janga kubwa hili .Mungu atunusuri
@farajisureman9925
@farajisureman9925 6 жыл бұрын
Nimemuelewa Prof. Tibaijuka. Suala la Mipangomiji na Mafuriko ya DAR. Nadhani Mh. Makonda sasa akikaa vizuri sasa ni kazi ndogo kulishughulikia sauala la utekelezaji sa Master Plan ya Jiji ya 1979.Ni mawazo yangu
@dr.hamiduibrahim1307
@dr.hamiduibrahim1307 6 жыл бұрын
Katika viongozi ambao Binafsi nakubali michango yao na wako very organized ni huyu mama. Basi tu mapungufu ni kila mtu anayo
@shindapapaya9194
@shindapapaya9194 6 жыл бұрын
😂😂😂 shikamoooo mshiko mnene eti kasema ya mboga tu aise shikamoooo MaMa
@husseinkarim7839
@husseinkarim7839 6 жыл бұрын
Ulifanya nini mama tuambie, Halafu ikawaje ukafukuzwa?
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 жыл бұрын
Miaka yte imekua kma wimbo wa taifa
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,3 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 31 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 48 МЛН
Lissu kuongoza mawakili kuwashtaki Awadhi, Sisty mahakamani
2:56
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2,4 М.
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,3 МЛН