Hakika...kazi njema hii. Mfululizo huu nimeona namna ambavyo Mungu hatishiki na adui yake.
@lilian-kiwone21 күн бұрын
Historia saifi makala safi 🔥
@josephinemaeda460721 күн бұрын
Shalom. Nimejifunza kwamba kila Karama niliyonayo ni ya Thamani na ni Utajiri wangu. Pili, Hakuna karama ndogo ndani ya Ufalme wa Mungu. Heko kwenu waandaaji wa Kipindi hiki, Bwana azidi kuwapa mafuta ya Simba Injili hii ifike duniani kote kwa iina la Yesu Kristo Bwana wetu. 🙏 🙏