Hakika askari wetu huyu anastahili kuwa mfano wakuigwa, Mungu amjalie maisha marefu na afya njema
@robertmwakimi31162 жыл бұрын
Namkubali sana huyu jamaa,hata ukiwa na hasira ukimwona tu zinapotea.kama matraffic wengine wangekuwa hivi,tanzania tungekua mbali sana,mungu ampe maisha marefu.
@RoseNdile-v1j Жыл бұрын
The best traffic officer ever well done our super traffic officer❤🎉
@aminabkr31922 жыл бұрын
Huyu jamaa yuk pw San mwenyew nimemshuhudia kabisa mbezi shule pale👍👍👍
@magdalenemuchoki9326 Жыл бұрын
love from Kenya. Beautiful. Sijastaajabu kuona haya kutoka Bongoland. Creativity yenu ni ya hali ya juu, nd'o maana tunawapenda
@delphinamakupa4914 Жыл бұрын
I visited dar es salaam...around goba..I saw thus guy...I laughed the whole day but was happy that he was happy enjoying his work....
@RamaKimbeu-tw4po10 ай бұрын
Yuko vizuri SANA na kaziyake
@tumainilukumay99072 жыл бұрын
Damu ya Yesu imfunike nimempenda kwakwel,Mungu amuongezee nguvu daima
@mossesmichaelnzowa3378 Жыл бұрын
Amen.
@MwittaJuma-yk5dm Жыл бұрын
Huyu anapenda kazi yake Kwa moyo mumoja Yan safii, mungu ambariki San aendelee nakazi yake
@alexymdee Жыл бұрын
Asipandishwe cheo bali aingezewe mshahara
@kigwandiohome4174 Жыл бұрын
yesu kafikaje tena apa
@geofreylulu4360 Жыл бұрын
@@alexymdee pesa siyo kitu bro. apandishwe cheo kwa ufanisi wake maana anaweza kuwahimiza wenzake kujitoa kazini Kama yeye na yeye akiwa role model wao. vile vile cheo kikipanda sidhani kama mshahara wake utabakia pale pale
@saleheselemani55812 жыл бұрын
Mungu ambariki sana kwa kazi yake ikibidi aongezewe mshahara. Allah amlinde inshallah!!!
@josephmsanga67512 жыл бұрын
Napenda Askari Wote Wange kuwa kama Huyu! Maana pia anaondoa pia hata stress za madereva.Hongera Zake Kipenzi cha Madreva.Mungu Amwongezee Umri na Afya njema.
Kiukweli ukifanya kazi kwa moyo unajisikia raha lkn ukifanya hupendi utaona no mzigo
@josesway87972 жыл бұрын
Aisee yuko vizuri sana. Napenda sana kupita njia hiyo na gari. Huwa nainjoy sana nikifika mazingira yale.
@erickegidius66259 ай бұрын
Mungu akulinde Afande, chapa kazi. Idara zote za Serikali na hata zile za Private sector wanatakaiwa kuwa na watumishi wa hivi kuanzia ngazi ya juu.
@convenantTV6 ай бұрын
Yupo vizuri ukipenda KAZI yako hakuna uchungu moyoni ...Mungu amlinde baraka Tele kutoka kenya
@allykarama55742 жыл бұрын
Maa Sha Allhaa Hiki ni Kipaji Alicho Tunukiwa na Allhaa Anafanya Kazi Ndani ya Nafsi yake Nimeipeda
@sabryahmed6940 Жыл бұрын
This officer is a one in a million.
@rashadymuhamad62932 жыл бұрын
Jamaa yupo vizuri, namkubali kwa sanna. Mungu ampe afya na kila la heri katika kazi yake na maisha yake kwa jumla.
@peteruzia8313 Жыл бұрын
Asanteee sana yupo vizuri sana Lakn pia hicho ni kipaji.kuroka kwa Mungu.kweli hasa Maana sis tunaona kwa macho yetu. Wenyewe kuna matrafk wana upendeleo kabsa hawamuogop mungu. Ukfka matumbi unakaa masaa ma2 Mpaka uvuke tazara hv ni kweli
@RoliMokolo11 ай бұрын
Uyu djaama nampenda sana Kuna watu wako ici anavituko asipo Vanya vituko Yani kama anaumwa Yuko vizuri from congo DRC.
@JumanneKapinga-mk9zm8 ай бұрын
Na wengine waige kazi nzuri ya huyu afande Nampa big. Up
@dannypeter49512 жыл бұрын
Huyu mtu mungu ampe maisha marefu katika kazi yake
Vizuri sana ni mazoezi ya mwili viungo vinakuwa madhubuti Mungu ampe afya njema.
@alymuhammad81042 жыл бұрын
Mm nimefikia kutaka nimuon laiv yan kwa anvyo furahisha by abeid ridhwan suleiman kutaka dong kitarun ukipenda $tar big*
@sebastianrespickius5267 Жыл бұрын
MUNGU Abariki kazi ya mikono yako mahana unaipenda nimejifunza kit kwak chanzo cha kupoteza uchovu n kupenda Nazi yako God bless you
@ShamimMsofe9 ай бұрын
Mashalah inapendeza Sana . Anafamya kazi yake kiuweled Sana .Mwenyezi Mungu ampe Maisha marefu
@powerofgodtv99822 жыл бұрын
Kwa mm binafsi kwakweli nimejifunza kitu huyu askari anaipenda sana kazi yake wala hajalazimishwa piya inatakiwa awe mfano kwa wengine utakuta trafiki anasababisha foreni bila sabbu za msingi ila huyu dah!!! aiseee big up sana bro God bless you
@jujudanda55112 жыл бұрын
This man must be promoted binafsi nilishawahi kumzawadiya 20,000. Akiwepo hapo makutano ya fire. Good guy serikali impromote itakuwa motisha kwa wengine. Japo I will stay missing him
@kazenmronga4163 Жыл бұрын
Ckuhz yup chin uku mbez shule
@jonasmpita2206 Жыл бұрын
clean money alijipatia wala sio rushwa
@LizzyMeibuko-qr7iy Жыл бұрын
dah ningekuwa nae karibu ningempa binti yang amuoe kam hajaoa nampenda san
@martinisadru2 жыл бұрын
Mungu amlinde katika kazi yake, wangepatikana Askari wengi kama huyo katika majiji makubwa hapa nchini foreni zingetoweka na maendeleo yangekua kwa kasi, maana watu watafika kwa wakati katika kazi zao.
@kulthumabdulrahman29152 жыл бұрын
Mashaallah
@sharefazngepar86462 жыл бұрын
Kipindi icho napita apo naelekea msasani job namiss tz
@VioletNamz-tq4tg Жыл бұрын
Hongera Sana, Yuko na moyo Safi, damu ya Yesu imfunike Kaka yetu ili na wengine wajifunze kupitia kwake.
@naomimbondoh37074 ай бұрын
Hata mimi pia nmempenda sana anafanya kutoka moyoni mwake ama sio wote wenye moyo kma wake, but traffic wengine wanatamaa na kupenda hongo za kipumbavu, nmetoka Kenya. Nngependa nijue jina lake na pia nije Tanzania mimi mwenyewe kumpongeza kazi nzuri I say ongera sana askari traffic
@Mtayamwega2 жыл бұрын
Daaah! Binafsi mwenyewe nimemkubali sana huyu jamaa. Mungu ampe maisha marefu na mafanikio katika maisha yake.
@aminabobudeo2675 Жыл бұрын
Mungu amuongoze katika maisha yake
@HellenMendard Жыл бұрын
Jamanii aamishiwe arusha tutafurahi sana❤
@shamsafarijala48013 жыл бұрын
Nimempenda bureee mungu aendelee kukupa afya njema
@deusogiro90442 жыл бұрын
nampenda ssna Askari uyo Kama wangekuwa wote Kama uyo daa tungefurai Sana mungu ampe ulizi afanye kazi vizuri kupita iyo
@mohammedkombawadomtznamungopig Жыл бұрын
Huyu mwamba nakubali sana namfahamu muda kidogo ukipita maeneo alipo una enjoy kiukweli Mungu ambariki sana
@haikaelmamuya9312 жыл бұрын
Ni kweli huyu Kaka ndio maisha take mwanzo siku amini mpaka nilipopita eneo lake la kazi Ila ndio utendaji wake. Mungu azidi kukubariki Bro.
@PaulThomasi4 ай бұрын
Kaka ningekua Mimi ningempandisha cheo mara moja kaka nitafute
@robertbutahe28352 жыл бұрын
Bonge la Traffic police officer. Safi sana. Good job, keep it up.
@JamilaOmari-qs4cp Жыл бұрын
Safy
@Livingstone123-c7c Жыл бұрын
Huyo jamaa ni noma,ni kweli anapenda kazi yake,asiondoshwe barabarani bila kufundisha wengine,ila aongezewe mkwanja
@abdulazeezuae24422 жыл бұрын
Mi naona hana habar ya kupendwa ndivo halivyo uyoo hata kwake hanaonekana mtu mwenye vichekesho mashaAllah
@makameali64413 жыл бұрын
Mimi nimempenda na nuombea kwa Allah adumu nayo kazi yake inshaallah
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Kabisa nimempenda mno yaani ningekuwa boss wake ningempandisha cheo faster
@raphaelmitimingi60813 жыл бұрын
Anafaa kuongezwa mshahara na kuwafundisha wengine waww na ari ya kuipenda kazi kama yeye! Nimempenda sana!
@nobertevarist69522 жыл бұрын
Me Kwa mala ya kwanza kumuona nilijua anatumia kijit ise
@guidokalinga Жыл бұрын
Mm namkubali sana tena sana na ni shauri mzuri kwa madereva kama kuna mapungufu katika gari hatoi adhabu atakupa onyo , kwa mdomo, ilikaidi unapigwa faini Mungu mtie nguvu
@nimphermonicah47542 жыл бұрын
This guy is Amazing ❤️❤️❤️👍
@Attraction-y3h Жыл бұрын
Ulinzi wa KRISTO uwepo juu yake na pis watu wajitolrr kumsapoti
@hunaynasalimu-te6fi Жыл бұрын
Mashallah nimempenda mungu amuongoz katk kaz yake amuondoshe na husda wengine hawapend anachokifanya huy askari
@emmanuelemmanuel10562 жыл бұрын
Nimeipenda hyo yuko vzr sana kwakifupi anafurahisha 👍👍💯
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Afande wangu mungu akupe maisha marefu kwani nafurahi sana unachokifanya
@hashimuhaji10363 жыл бұрын
Dah!kusema ukweli kila mtu na kipaji chake ila jamaa yuko vizuri zaidi ya sana
@amaniswai49693 жыл бұрын
Awe mwalimu kwa wengine,na hapendi sifa Ila anajali kazi yake na anaifanya wa upendo wa Hali yajuu.hongera bro
@OmanAl-s9l Жыл бұрын
Yupo vizuri cn askari ❤mng amtangulia ktk kz yake in shaallah
@philipokitutu-4064 Жыл бұрын
Mungu akubar ki sana my trafiki huyu aishi milele❤️❤️💯💯💯
@sharifuteacher50252 жыл бұрын
Allhamdulillah allh amtangulie kwa kila jema kwenye kazi yake insha allh
@magumeangelo79262 жыл бұрын
Mungu ampe afya njema ikiwezekana serikali imwongezee mshahara maana anaipenda kazi yake. Na anaifanya kwa weledi mzuri sana
@magumeangelo79262 жыл бұрын
Mungu ambariki
@magumeangelo79262 жыл бұрын
Piga kazi kaka wengine wajifunze kwako
@peteryonna44342 жыл бұрын
Ama kweli anafanya kazi vizuri sana mungu amlinde na ambariki katika kazi zake aliyoichagua na vituko vyake nimevikubali sanaaaa
@godfreymakau3932 Жыл бұрын
Anafaa kuigwa
@eliahnjavike4827 Жыл бұрын
Asipandishwe cheo,bali aongezewe mshahara.
@margaretwangari3523 Жыл бұрын
This is so good! GOD BLess him and help others to learn from him 😂
@DeoMbongo-k7t2 ай бұрын
Huyu trafki anafurahisha sana ktk kazi yake safi sana kuna buku yake hapa
@abdulqareemabdallah257911 ай бұрын
Dah analet raha za barabarn mawazo hakun makosa tufanye wenyewe kwa huyu askar big up Allah akupe umri mrefu
@leahmgunda52482 жыл бұрын
Anafanya kazi aliyopangiwa na Mungu mwenyezi.Wazazi tusilazimishe watoto kazi wasizozipenda.
@joycejulius58002 жыл бұрын
Nampenda saan namuonag pia 🥰❤️
@metuselangungulu40112 жыл бұрын
Tz we are proud with this kind of workers may God bless a man
@yasinta23422 жыл бұрын
Proud of** SIO PROUD WITH!
@RamjiNdomba-cz7qv Жыл бұрын
Yuko poa vizuri na Kila mtu ana kalama yake so huyo ni kalama ambayo Mungu amempa pamoja na kwamba ananipenda kazi yake
@adammartinmwigune45012 жыл бұрын
Mimi binafsi nimemkubali, anaonyesha dhahiri kazi ipo kwenye damu.
@CharlesChangwe-uf8rz Жыл бұрын
Yupo poah sana very nice ni wachache sana kweny mia yeye ndiye wa kwanza ana stahili pongezi sana
@PatricalBeti Жыл бұрын
Alieangalia brother's ataikumbuka hii😂😂😂😂Ricardo dersay mambo yake hayo
@charlessando41292 жыл бұрын
I like this man Soo Much the way he is responsibilities for his duty
@mirajiissa47212 жыл бұрын
Safi sana uyo jamaa
@saidally48902 жыл бұрын
Nampenda sana naomba hapewe posho ilinawengine wawe nawivu waige undajiuo
@saidimgawe65482 жыл бұрын
👍
@amirikyaka69422 жыл бұрын
Safi sana mkuu hinimeipenda sana
@venancemwanya42122 жыл бұрын
Jamaaa anafanya kazi vizuri sana inafaa aongezwe cheo Ila hata akipewa cheo zaidi ,asiache kuongoza magari barabarani . Kulikuwa na mtu akiitwa mayenu pia vizuri sana.
@omarykiza Жыл бұрын
This man deserves a Prize 🏆
@SimoniPhilipocom-ce7xi Жыл бұрын
Hai broo
@kelvinmhilu65092 жыл бұрын
I love this guy his in love with the job and his enjoying it his super
@deofelix80032 жыл бұрын
Good job afande
@lokurepeter33962 жыл бұрын
Has to be promoted
@kamburanyamaronda1893 Жыл бұрын
I appreciate too
@LABANIGABLIEL3 ай бұрын
B Kama maskili wote wangekua kama Huy ingependeza sana tumupe maua yake anaweza 🎉🎉
@SimeonMwakalobo Жыл бұрын
Hongera sana Askari kwa kuipenda kazi yako. Nakuombea Baraka na Neema ya Mungu.
@graciousdavid98182 жыл бұрын
He is amazing!! I like it.
@engmasanjamayenga50482 жыл бұрын
Naipenda sana hawa ndo wanatakiwa
@abelikizitosawasawa6352 жыл бұрын
Vizur sana 👊👊👊
@rashidmohamed67922 жыл бұрын
Mwamba anauchapa mwingi
@josemgy1199 Жыл бұрын
This man deserves a prize
@solomonpeter8843 Жыл бұрын
Mmabodaboda wameshapack wanamshangaa tu
@f.a60432 жыл бұрын
Hakuna jambo zuri kama mtu kupenda kazi yake MUNGU AKUBARI Traffic officer asipandishwe Cheo ili azidi kuonyesha mfano mzuri wa kazi lkn aongezewe mshahara
@samwelimabula Жыл бұрын
Wao jamaa anaheshim kazi yake mimi binafsi nimempenda
@FaridaHaule-r4s Жыл бұрын
Hongera Kaka kazi inahitaji hivyo kujituma ukovizuri sana Kaka Kazan utapandixhiwa xheo
@EstarPhinias10 ай бұрын
Jaman nimependa sn mngu amubariki yy nauzao wake mashalaa❤
@juniorberbilizjr9212 жыл бұрын
❤❤ God bless him
@anastanziaaroisi86662 жыл бұрын
Safi nimeturia sana huyu turafk jembe anaipenda kazi take naanajali uutu sana nawengine wajinze
@janetmanyansa73852 жыл бұрын
so encouraging,l like it
@elikanayese50762 жыл бұрын
Jamaa yuko pw
@rukiammanyi-qm9iz Жыл бұрын
So proud of him 🫠
@AmenaMm-r5t11 ай бұрын
Honger san kk mung akubarik🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mung akuwek uhamishiwe pemb jaman
@magdalenakamano670411 ай бұрын
Uko vere Sana unaipenda kazi Yako hata waendeshaji waburudika,hongera Sana hunambambamba.
@hamisihamisi9396 Жыл бұрын
Huyu kaka yuko vizr sana tlafik kama huy ndo wanatakiwa mungu am.baliki
@marianamrosso79511 ай бұрын
😂😂anachekesha sana huyu jamaa mbezi shule pale yaani mnacheeka yeye hajali ndo kwanza yuko busy kuwachekesha
@florashija8773 Жыл бұрын
Yuko vizur nikifikaga apo nataman ata daladala isimame nimuangalie nakaaga sit ya mbele mungu amfanyie wepesi kaz ya mikono yake mashallah
@BartholomeoKayagambe Жыл бұрын
Hata Mimi nimependa Yuko sawa kabisa Mungu amlinde na ampe maisha marefu
@MichaelMachemba-sw1xn Жыл бұрын
Hongela sanaa ubarikiwe mungu akutie nguvu uzidi kuongoza zaidi
@GorgoniaPonsiano3 ай бұрын
Nampa maua yake kaka yetu kazi nzur👏👏👏👏👏👏👏👏
@Lukasilevokatusi5 ай бұрын
namkubali Sana Huyu jamaaa anafanyakazi kwamoyo mmoja sana tens anaipenda kazi yaka vzuli mnooooo mungu ambaliki sanaaaaa
@babumohamed6751 Жыл бұрын
astahiki soda afande kwa kazi mzuri.(awe mfano mwema)
@EmanuelDaudKamwela17 күн бұрын
Daaa sana kanivutia hakika uzuri wa kazi ipende
@EdigaNyudike Жыл бұрын
Hongera sana Askari huyo nashauri na wengine waige mfano wake Mimi Allen nyudike
@wiliambruno56572 жыл бұрын
Safi sanaa nimempenda yupo vizury xanaa
@LilianSilasАй бұрын
Jmn waooh nimempenda bule MUNGU azidi kumpa afya na kibali afike mbali zaidi ya apo alipo awe traffic wa kimataifa 🙏🙏🙏
@ahmadalli8169 Жыл бұрын
Kazi nzuri kheri kubwa ikufikie askar wangu aaaammin
@RuthMwangi-lz3js4 ай бұрын
Hata nilitokwa na machozi juu sikuamini mungu amwongezee miaka❤
@GetrudaFaustine8 ай бұрын
Kazi yake nzuri na eye ndivyo alivyoumbwa na anatakiwa awe mwalim wa wenzake
@MsafiriMsalali11 ай бұрын
Huyu mwabani hodari sana sana naa mungu amntangulie hukoaedako apandishwe cheo au aongezwe mshahala wake nimemkubalisaana huyu askar
@KomboSaid-bj5kf11 ай бұрын
KAZI safi sana... hongera kaka Baki na moyo huo huo.
@ramadhanalmashamza3458 Жыл бұрын
Mungu ambariki anafanya kazi yake vizuri sana
@abubakaryomary80592 жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri nimeflahi wengine wajifunze kutoka kwa ko
@menaurukivuyo67964 ай бұрын
Ata ivo Mimi ningependa tu apandishwe cheo maana Yuko viti tena sana
@StephanoCharles-d3v2 ай бұрын
Askari unafanya kaz nzr kwel mungu akupe maisha marefu
@rehemamkumbo6746 Жыл бұрын
Safi sana kwakweli inafurahisha inaonyesha jinsi gani anavyo ipenda kazi yake namuombea kwa MUNGU YESU AMLINDE NA MABAYA YOTE YASIMPATE DAMU YA YESU IWE JUU YAKE POPOTE ATAKAPO KUA
@AlexNjelekela-e6e11 ай бұрын
Huyu jamaa yuko bize na kazi hana shida na maokoto,Mungu akubariki kwa kazi yako njema(Iliyotukuka
@oldgoldcancela203411 ай бұрын
Uyu jamaa ni comedian mzee bongo nzima Yuko pekeaka