KIPONDO KIMETEMBEA KWA VIGOGO CHADEMA, SUGU MAHUTUTI| POLISI WALIMRUSHA LISSU KWENYE GARI

  Рет қаралды 63,329

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 258
@JaneWalter-m7l
@JaneWalter-m7l 2 ай бұрын
Nashindwa kusikiliza mpaka mwisho naumia sana Mungu yupo
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 2 ай бұрын
Tii sheria bila shuruti..no one is above the law
@DMSTUNDUMA
@DMSTUNDUMA 2 ай бұрын
Hongeren wasaf mmechambua vema.....kikosi chenu kimekamilika
@Alute-son2003
@Alute-son2003 2 ай бұрын
Usiku uliendelea sana kunakaribia kucha
@adaNahimana-y7b
@adaNahimana-y7b 2 ай бұрын
Chadema Acheni Yoga Haki Haipatikani kilelemama Police Ni Wachache Wananchi Ni Wengi Inapotokea Hivo piganeni Kama Vurugu Na Zianzie Hapo. Mnasema Sana Zaidi Ya Kujitetea
@joselinejonathan8818
@joselinejonathan8818 2 ай бұрын
Kumbukeni wenzio wana siraha,
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 2 ай бұрын
Katika siku ambazo nimeona hawa jamaa wameamua kufungua ni leo.... M! Nimeshangaa sana leo😢
@Werema3760
@Werema3760 2 ай бұрын
■Utaelewa nchic inaelekea wap mwaka kesho.😂 mama akiwa yupo benchi
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up 2 ай бұрын
Wasafi ....asanteni sana kwa uchambuzi makini....
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 2 ай бұрын
YOU'RE NOW BEST PUNDITS
@JumaMkiji
@JumaMkiji 2 ай бұрын
Wanaendelea kuwapa usugu lakini mungu anaupande
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 2 ай бұрын
Msichukulie Mzaha Huyo Awadhi Haji Ni Jambazi... Nitashangaa RAIS SAMIA KUMWACHA... I SWEAR!
@mickyjoseph5492
@mickyjoseph5492 2 ай бұрын
Hii nchi hatuna jeshi la polisi hao ni green guard,taka taka kabisa.
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 2 ай бұрын
Jakika Kitenge na wenzio ktk kutangaza mmetutendea haki na kuwatendea haki wanachadema
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 2 ай бұрын
Polisi Tanzania ni shida sana
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 2 ай бұрын
Polisi hawana shida tatizo waliogongwa huwa wanajifanya wajanja sana na wanajifanya wanajua sana! Na kama wamemgonga sugu safi sana anajifanya anajua sana
@emanuelnisetas7510
@emanuelnisetas7510 2 ай бұрын
@@ndogoroedson199 hujuii unacho ongea nyamaza ccm ww
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 2 ай бұрын
​@@ndogoroedson199upo sahih mkuu....Tii sheria bila shuruti..no one is above the law
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 2 ай бұрын
Kumanyoko na kuma la mamayako msenge konyolo wewe​@@ndogoroedson199
@FidesferdinandikimtiKimati
@FidesferdinandikimtiKimati 2 ай бұрын
Waandishi ongeeeni tunalihesh jeshi ila wakivuka mipaka rahia atutavumilia iloooo tutapiga kelele nakupaza sautiii zetu
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 2 ай бұрын
Leo naona maajabu sana WASAFI kuchambua namna hii....😢
@VenaEliki
@VenaEliki 2 ай бұрын
Wasafi hakika leo Niko na nyie nimewapenda buree
@LeonardKajiba
@LeonardKajiba 2 ай бұрын
Mkitenda haki namna hii Mungu atawakumbuka ktk kazi yenu ya utangazaji
@Igauf3
@Igauf3 2 ай бұрын
Ayayi! That was a waste of taxpayers’ money. It ended up costing them time and resources, which could have been better utilized elsewhere.
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 2 ай бұрын
Buffaloooo! Solder inthe hot tough Tanzaniaaaa!
@paulswai1237
@paulswai1237 2 ай бұрын
Wazee wa minyama Mungu awabariki mnafanya kaz nzr
@MsendoPhinias-xc2jb
@MsendoPhinias-xc2jb 2 ай бұрын
Sasa naona wasafi tv mmeanza kupevuka niwapongeze akili sana kwahili mmeanza kuthubutu kuzungumza na kutenda haki juu ya haki na usawa wa watanzania, ongereni sana 👏👏👏hili jopo nzima la kipindi hiki
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 ай бұрын
Oya sikieni ongezeni idadi ya magazeti mnajua sana kuyasoma.
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 2 ай бұрын
Nchi ya Giza Tanzania polisi wanatumika na ccm
@paulseleman0604
@paulseleman0604 2 ай бұрын
Duh nchi yangu Tanzania
@EliaMwamengo-uu6ky
@EliaMwamengo-uu6ky 2 ай бұрын
Wasafi kweli wasafiiii
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 2 ай бұрын
Utawala dhalimu wa CCM inatumia polisi kudhalilisha upinzani
@ezekielmabwai4614
@ezekielmabwai4614 2 ай бұрын
SERIKALI YA KISHENZI!!!
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 2 ай бұрын
Tii sheria bila shuruti..no one is above the law
@flova7022
@flova7022 2 ай бұрын
​@@wekezauchumi7440we ndio mpumbbavuu WA mwishooo sanaaa
@TatuCharles-f5m
@TatuCharles-f5m 2 ай бұрын
​@@wekezauchumi7440kwani we unajua hawakutii c.c.m ni wafisadi tu
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Watangazaji.wasafi.mnafurahisha.asante.elimisheni.wananchi.tanzania.ya.leo
@InocentPius
@InocentPius 2 ай бұрын
Hii Nchi syo ya demokrasia
@EmmanuelNdahya-ud5nj
@EmmanuelNdahya-ud5nj 2 ай бұрын
Mbeya wajitafakali haki za binadamu
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 2 ай бұрын
Inauma sanaa
@peterbujari5128
@peterbujari5128 2 ай бұрын
Polisi wanatumia kodi za wananchi kutesa wananchi......Je ni mpaka lini?
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 2 ай бұрын
Kama utaenda kinyume na kuvuka mipaka mi nasema upigwe tu
@JohMalila
@JohMalila 2 ай бұрын
​@@wekezauchumi7440mipka unaijua wew endeleeni tu kumbuka ilii uwe ugali unaanza kua uji ko bomu magaidi vurugu, upotevu wa aman hutengezwa Kwa mda mrefu may be not today ilaaa ukoo mbelee atujui
@AminaMoshi-fp1pc
@AminaMoshi-fp1pc 2 ай бұрын
😢😢😢mama aoni?
@AngelMazola
@AngelMazola 2 ай бұрын
Walimlusha ili iweje sasa mbona awa watu wamekuwa hawaheleweki jamani khaa!! Aya wammalizie walizike
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye 2 ай бұрын
hii media sahv napenda sana kwa maana hamna uchawa mnazunguza vitu vya msingi
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 2 ай бұрын
Huko mlishavuka lini? Kivipi? 😢
@SundayNkaza
@SundayNkaza 2 ай бұрын
Jeshi lapolis walitoa naul wapi ya kuwaludisha
@josephmlazier1391
@josephmlazier1391 2 ай бұрын
Tanzania ya MAMA ABDUL ndiyo hiyo sasa 😢😢😢 kila atakaye Sema kilicho tofauti na yeye ni kipigo cha mbwa wa msikitini😢😢 Yaani ninavyomchukiaga dalali KITENGE imagine kwa hili nimewasikiza ad wakamaliza wueh tumeumia kwa tukio hili jamani
@matukutajuma156
@matukutajuma156 2 ай бұрын
MIMI CCM NTAFIA HUKO LAKINI KWA HILI KUNA BAADHI MNATUHARIBIA!!😢
@laurentkatambi8799
@laurentkatambi8799 2 ай бұрын
Ila mungu yupo naamini atajinu
@TishaniUlanga-bj3nx
@TishaniUlanga-bj3nx 2 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza naona ile point ya freedom of mass media kupitia wasafi
@paultavin3114
@paultavin3114 2 ай бұрын
Polisi wanatakiwa wajirekebishe swala la kupiga lipo, sana sana kwa raia wa kawaida ndio limezidi. Muda mwingine hata dhamana kupata ni wanachukulia ni kama hisani
@faridamapogolo2892
@faridamapogolo2892 Ай бұрын
Yani sikuhizi bila kuwasikiliza sijisikii raha
@neemamdami7466
@neemamdami7466 2 ай бұрын
😂😂😂 Maulid Kitenge apenda umbea jamani afanya kuamka amka 😂😂😂😂😂😂
@ImaniMadiba-yu7wn
@ImaniMadiba-yu7wn 2 ай бұрын
LEO WAKWANZA MIMI NAOMBENI LIKE ZANGU JMN,,,KWANN LKN!????? DUNIA SOTE TUNAIPITA TU KWANN TUNAISHI HIVI LAKNI KEKI YA TAIFA NI.... SO IPO SIKU WAPINZANI NAO WATASHIKA NCHI NAO WATAGEUZA KARATA🙏🏽
@judicalosika7642
@judicalosika7642 2 ай бұрын
KITENGE, UNAMFAHAMU JEFF KOINANGE!! UNAKARIBIA KUENDANA NAYE LAKINI WEWE UNAKUWA NA KASI ZAID
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 2 ай бұрын
Mama yupo kazini
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 2 ай бұрын
ako kazi aje? saitani wewe
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 2 ай бұрын
Polen sana ndugu zangu ingawa mimi si mwanasiasa lakin inaumiza sana.
@andrewIzdory-sk4cu
@andrewIzdory-sk4cu 2 ай бұрын
Kazi yenye laana.
@hamismabula9934
@hamismabula9934 2 ай бұрын
Huyu mama anawasha moto ambao kuuzima utamgharimu sana!
@majutoomari7445
@majutoomari7445 2 ай бұрын
Mpo vizuri
@hassankisuda1189
@hassankisuda1189 2 ай бұрын
Tatizo sio kupigwa tatizo waliotakiwa kuhojiwa ni wengine lakini viongozi wakuu waligoma na kuwakingia vifua, Wakapewa dk 40 lakini wakadharau hayo ndio matokeo ya ujuaji Tii sheria bila shurti uone kama jeshi la polisi litakushambulia bila sababu
@mitanakadorho2356
@mitanakadorho2356 Ай бұрын
Unakubali sasa kuwa katiba yetu ni nzuri si munapigaka kelele eti hii katiba
@ChansaElie
@ChansaElie 2 ай бұрын
Kwanini kichwa cha habari kimekaa kama kushabikia kilichotokea na kukifanya kionekane kawaida?
@paulseleman0604
@paulseleman0604 2 ай бұрын
Kama polisi wanaweza kuambiwa baka huyu na wanafanya niumasikini na ujinga tu nadhani mh
@rastheunique
@rastheunique 2 ай бұрын
My poor country Tanganyika😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 2 ай бұрын
Mkitoka tu kwenye Reli hatuwasikilizi, MUENDELEE hapohapo
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 2 ай бұрын
Police Yasu mwenyewe aliwambiaga police 10 kwa 1
@ladislausriwa7768
@ladislausriwa7768 2 ай бұрын
Nguvu kiasi! Inapimwaje?
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 2 ай бұрын
Katika media nafiki ni hii apa bongo yan awaipendi chadema we fatilien utagundua 😂😂😂
@MosesMgala-qx3bb
@MosesMgala-qx3bb 2 ай бұрын
Wasaf I tunawapenda achanen na hiyo maada
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 2 ай бұрын
Upendo gani sasa huo, mnawapenda kwa sababu zipi?
@Eliaskasanya-hm5yk
@Eliaskasanya-hm5yk 2 ай бұрын
Wangeacha vijana wakae wazungumzie mambo yao na kama hao viongozi wa kisiasa walikuwa wanania ya kuzungumza na wananchi wangetafuta siku nyingine
@clauschaula2050
@clauschaula2050 2 ай бұрын
Polisi tunawalani sana kama mliwapiga Viongozi wa chadema.Kwa hili waziri wa ulinzi jihudhuru mara Moja.Huu ni unyama kabisa.
@DicksonMagesa-l5g
@DicksonMagesa-l5g 2 ай бұрын
Waongo hao semeni mavi 8 yanawadumbua
@JumaMwakyambiki
@JumaMwakyambiki 2 ай бұрын
PONGEZI nyingi kwenu kwa kuwajibika ipasavyo kama waandishi.
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 2 ай бұрын
NDUGU KIPONDO SIO TANZANIA TUU MPAKA ULAYA KIPONDO KIPO AMERICA KIPONDO KIPO HIVI HAMSIKILIZI MABO YA NJE YANAVYOKWENDA HUKO?
@directortwicep3028
@directortwicep3028 2 ай бұрын
Tusichekee haya mambo Tusipo kua makini Tz civil war itatokea maana itafika muda Raia watachoka kunyanyaswa Tuombe saana Mungu atuepushe kwa hili😢
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 2 ай бұрын
Si wanategemea police?
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 2 ай бұрын
​Tii sheria bila shuruti hakuna aliye juu ya sheria@@daudimaembe3360
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 2 ай бұрын
Tusilahisishe tu polis hawana chama.hata spite chadema polis watabaki.vilevile wananchi tupevuke wanasiasa baadhi wanapandikiza chuki wanaongea.vibaya sana ccm chadema acheni sisi ni.watanzania harafu mm siasa ni vita ya bila.sababu yaan.watanzania hatupendani.tunatamkiana maneno mabaya hivi siasa ina.lengo.gan.duniani.siasa.ni.nyoka.yenye.sumu watanzania tuwe macho​@@daudimaembe3360
@paulseleman0604
@paulseleman0604 2 ай бұрын
Hapo ndo mhimili wa bunge pia unatokea msisahau na rais wa ,ila inasikitisha sana huu ubaguzi utatumaliza kwani walishindwa kulinda mkutano wakaona wapate night allowance na kusafirisha hao watu c wanalipwa maisha magumu ndg zangu mh
@RawsonNkini
@RawsonNkini 2 ай бұрын
Bado hata nyie waandishi wa habari mtapigwa ngoja tuu utaona maana wengi niwanafiki
@GabrielSky64
@GabrielSky64 2 ай бұрын
Sisi Raia hatuongei afadhari ukimbizwe na chui ila sio.police wa Nchi akukamata
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 ай бұрын
Mtu anakaa Moro unapelekwa arusha 😊😊
@priscairene4605
@priscairene4605 2 ай бұрын
Wamepigwa?
@AliceGoldson
@AliceGoldson 2 ай бұрын
Hao jamani waamuue liability wafaidike
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 2 ай бұрын
Huyu awadhi hafai kabisa alikuwa hivi hivi alipokuwa Zanzibar lazima awajibishwe.
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 2 ай бұрын
Ukiona mbwa juu yamti ....
@zephanialuangwaeliatosha9723
@zephanialuangwaeliatosha9723 2 ай бұрын
​@@Aziz-p6snasubiria wamalizie😅
@expeditormwalyu
@expeditormwalyu 2 ай бұрын
KUMBE KAZI NDIO IENDELEE ILEEE NA INAENDELEA
@Faridkhalid-z3p
@Faridkhalid-z3p 2 ай бұрын
Hili jamaa mbona halijui kutangaza aisee
@lumeaaniceth6391
@lumeaaniceth6391 2 ай бұрын
Vichaaa wamepewa nch
@AllanLyombile
@AllanLyombile 2 ай бұрын
Nchi ya Libiya ilikuwa salama na kuwa na maendeleo makubwa kwa muda mrefu,lakini wananchi walinyimwa kabisa haki na uhuru, hivyo chuki na hasira ndio chanzo cha wananchi kushawishiwa na maaduwi wa nje, leo Libiya ile pale tunaiona, NI NANI ALAUMIWE?
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 2 ай бұрын
Nani alikwambia walinyimwa uhuru acha uongo
@flova7022
@flova7022 2 ай бұрын
​@@wekezauchumi7440we jammaa mbona umekaza mkanda Sana mnatumika vbya
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 2 ай бұрын
Walaumiwe.wanaoshabikia mipira wanakataa kumcha Mungu
@zephanialuangwaeliatosha9723
@zephanialuangwaeliatosha9723 2 ай бұрын
😂mbona kama mmelifurahia Sana ndugu watangazaji
@JoshuaNgolela-pi3nh
@JoshuaNgolela-pi3nh 2 ай бұрын
jeshi la polisi ni la ccm sio letu tusidanganyane hii nchi kila kitu ni cha wana ccm ila chadema na wapinzani wengine na sisi tusio na chama chochote atuna chetu hii nchi
@ShamsiKasoma-fn4cl
@ShamsiKasoma-fn4cl 2 ай бұрын
hiki sasa ndio chombo cha habar co vingine vipovipo tyu maaana ya muandishi ni kujitoa sadaka kwajili ya nch au raia
@CEO9494
@CEO9494 2 ай бұрын
JOSEPH MBILINYI ANATAFUTA KIKI ANAKESI KWA RPC AMEMTOA MTOTO WA WATU MIMBA KAMPA KILEMA ANATAKA KUFICHA MADHAIFU YAKE KWENYE CHAMA.....CHADEMA SUGU NI MBABAISHAJI ANAKWEPA KESI YA JINAI INAYOMKABILI.....RPC NA RCO ANGALIA HILI SWALA
@joselinejonathan8818
@joselinejonathan8818 2 ай бұрын
Wee mama mtu mzima ovyo, kwani hilo lilikuwa linahusiana vipi na mkutano kwa watu wote? Wee kenge tuu
@mitanakadorho2356
@mitanakadorho2356 2 ай бұрын
Jameni ndugu zangu, tusilewe amani bali tuzingatie kwa njia na garhama zoote, Lissu, Mbowe na CHADEMA wao ni nani kuitafutia taifa leo fujo na vurugu?
@zedekiahjulius6
@zedekiahjulius6 2 ай бұрын
Fujo zipi kila kitu kiko kikatiba kufanya mikutano ipo kisheria sio hisani katiba inaruhusu
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 2 ай бұрын
Bola wanajeshi mtusaidie vibalaka hivi wanatuonea watanzania yani nikimkuta asikali anapigwa nitafulahi na mimi namuongezea kumdunda
@pueblo148
@pueblo148 2 ай бұрын
Mmeanza kurudi ktk akili zenu.wengine tulishaachaga hata kuwasikiliza ambavyo mmejifanya vilaza .Sasa mmeanza kutufanya kuwakumbuka kuwa mpo
@AbbySalum-yq7lc
@AbbySalum-yq7lc 2 ай бұрын
Kitenge kwani ulizani jeshi la polisi ni wauguzi au wachungaji,ninyi mlitaka waubiri neno
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 2 ай бұрын
Hata yeye atashughulikiwa tu hata uparesheni wa rohoni tutamshughulikia
@WillKilulya
@WillKilulya 2 ай бұрын
Wanajeuri sana hao jamaa,Polisi wametumia guvu kiasi kuwakamata.
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 2 ай бұрын
Sahih kabisa...Tii sheria bila shuruti..no one is above the law
@hamidkololeki5009
@hamidkololeki5009 2 ай бұрын
Wapigwe tu wanajifanya wako juu ya sheria
@DeodathChinyamba
@DeodathChinyamba 2 ай бұрын
Si kweli kila mtu ana haki ya kufanya kile anataka ila asivunje sheria
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 2 ай бұрын
Na kama amevunja sheria anatakiwa afanywajwe??
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 2 ай бұрын
Sasa hivi tutaanza kutembea na marungu kwe mikutano maana uonevu umezidi
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 2 ай бұрын
Uko sahihi polisi nikikosi kazi cha ccm
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 2 ай бұрын
​Tii sheria bila shuruti..no one is above the law
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 2 ай бұрын
​@@JeremiahMwalukosya-eh5nfTii sheria bila shuruti..no one is above the law
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 2 ай бұрын
@@wekezauchumi7440 Sheria ipi waliovunja ningekuwa naongea na binadamu wakaida ningesema kitu ila sababu naongea nabinadamu nusu mtu acha nishie hapahapa
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 2 ай бұрын
​@@wekezauchumi7440sheria gani uyozungumzia ww cc tunkujua ww ni kibaraka cha ccm na ushoga unajitahid San kukomment ushalipw tyar😂😂
@Alute-son2003
@Alute-son2003 2 ай бұрын
Ninyi ni waandishi kweri kweri
@generosennko8343
@generosennko8343 2 ай бұрын
Ubaya ubwela miyangu. Uuwwiii!!
@TWENZETUEDEN
@TWENZETUEDEN 2 ай бұрын
Labda walikuwa wanasumbua kitii Sheria bila shuruti ??
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 ай бұрын
Watii Sheria gani? kuonea chadema kila siku ndo sheria au? ushawahi kuona ccm wana zuia mikutano na matamshi ya ccm? shame on them
@davidntowanga7717
@davidntowanga7717 2 ай бұрын
Polisi
@epafraditopajenga4650
@epafraditopajenga4650 2 ай бұрын
KTK JAMBO LA KUJIFUNZA WOTE MUNGU DHURUMA HAPENDI KUIUIMIZA NAFSI YA MWEZIO KWA KUMPIGA KWA KUMUUONEA TUJIFUNZE Na Nchi Zenye Vurugu Kizazi Chote Mpaka,Sasa Walianza Hivi,Mungu Aisaidie Nchi Hii.
@jackhans7708
@jackhans7708 2 ай бұрын
Ebwana hata ulaya ukileta uzushi maafande wanakurukia vilevile,hawa jamaa wanatafuta shari,lakini hapa sio kenya 🤔unachezea halafu sana tu.
@Zenny89
@Zenny89 2 ай бұрын
Kesi ya Binti inaendelea kuzimwa Tena Taratibu😆
@ProsperUlungi
@ProsperUlungi 2 ай бұрын
Yule malaya watu hatupotezi muda kumfuatilia malaya😂😂
@IssaTayari
@IssaTayari 2 ай бұрын
Hii nch
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 2 ай бұрын
Nusu nch
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 2 ай бұрын
Yaani nyinyi,sijui ni wanahabari gani,mna makelele sana au ndio style yenu ya utangazaji? Maadili hamna kabisa.
@estachengula3902
@estachengula3902 2 ай бұрын
Polis tz hawana weledi na kazi zaoo
@SYLIVERIOKILIMILA
@SYLIVERIOKILIMILA 2 ай бұрын
Mtavishwa sketi nyinyi
@Kabeya410
@Kabeya410 2 ай бұрын
Kitenge na wote hapo kumbukeni Lipumba alivunjwa mkono akaibiwa na saa yake mpaka leo mnashangaa kuvunjwa miwani, watu walipigwa Zanzibar polisi waliwapiga watu hovyo mtu kafunga mlango dukani mlango unavunjwa anatolewa nje anapigwa na kuvunja baiskeli na piki piki rudini maktaba.
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 2 ай бұрын
Polisi wanatumika vibaya sana
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 2 ай бұрын
Tii sheria bila shuruti hakuna aliye juu ya sheria
MAPYA YAIBUKA SHAMBULIO LA RISASI 38| TUNDU LISSU KUSHTAKI KAMPUNI
7:12
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 3 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 123 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,5 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
كواليس إطاحة السيسى بالرجل الأول عباس كامل !!
47:39
القناة الرسمية للإعلامي محمد ناصر
Рет қаралды 250 М.
DANSON OMARI EXPOSING HOW JUDGES ARE PLAYING GAMES ON GACHAGUA
9:12
Fact-checking and trust in times of fake news
32:00
Eurostat
Рет қаралды 16 М.
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 3 МЛН