JINSI RPC NA RCO WALIVYOKUWA WAKIBISHA NDANI YA OFISI YA CHADEMA MENGI YAFICHUKA

  Рет қаралды 314,201

Chadema Media TV

Chadema Media TV

Күн бұрын

Пікірлер: 758
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 2 ай бұрын
Watu wanatumika kama majini😢😢😢😢 watanganyika tumeumizwa sana na haya madude😢😢😢
@khamis9187
@khamis9187 2 ай бұрын
Kweli bongo bahati mbaya!!! 🔥yani ni fire...
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 2 ай бұрын
WEWE RPC NA RCO MMETUMIKA NA UMEKUBALI KUTUMIKA....NA UNADHANI WATANZANIA NI WAJINGA. CHADEMA WAPELEKENI WOTE HAO POLISI MAHAKAMANI....WAFUNGULIENI KESI KWA MAKOSA MBALIMBALI.
@kamandamlimaog3430
@kamandamlimaog3430 2 ай бұрын
Hapo hakuna kosaa la askari kwenda mahakaman Sema kikubwaa huyoo kamanda katumia busara sanaa apo angetakiwa kuingia ndani ya ukumbi wa kikao na kuwachukua tuu kwa mujibu wa kanuni zake za arresting
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 4 күн бұрын
@@MiriamAziz-z5t chagadema ndio nani wewe? Hicho sio chama ni sacoss ya makengeza Mbowe, hawana jipya na wampeleke nani polisi?
@driss4957
@driss4957 2 ай бұрын
CHADEMA PUNGUZENI UNYONGE, WATAWACHEZEA HAWA MPAKA MTAKAPOWAONYESHA NGUVU YA UMMA KWA VITENDO.
@RamadhanAlly-cf7du
@RamadhanAlly-cf7du 2 ай бұрын
Kweli kuna wakat tupunguze unyonge huu ni upuuziiii
@Zanzibar-e4h
@Zanzibar-e4h 2 ай бұрын
Maneno yangu kilasiku nandomana chadema hawamo ktk serekali
@personpeter2221
@personpeter2221 2 ай бұрын
Ko ww unahisi wafanyaje kama unataka wauliwe wadanganye
@nasrikhoja9664
@nasrikhoja9664 2 ай бұрын
Unawasemea watu ww umejificha
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 2 ай бұрын
​@RamadhanAlly-cf7wachuuze tu
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 2 ай бұрын
Hv polisi wetu wana shda gani hv ukimkamata mtu kuna shda gani kumwambia kosa lake kama P G O inavyosema?? Yani shida ni ipi??? Mbona polis wetu wana mambo ya hovyo hv yani manyota kibao lakin hawana busara kabisa shda ni ipi
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 2 ай бұрын
Matumizi ya akili tafsiri yake tumeipata.hao askari ni four years for faiting for food. F F F F.
@RamadhanAlly-cf7du
@RamadhanAlly-cf7du 2 ай бұрын
Ni police wa hovo aana yani hawajielew
@gm003
@gm003 2 ай бұрын
Very sad, Vijana tuchukue UJASIRI WA CHIEF MKWAWA. tumalizane na hawa polisi wa ccm!!
@DennohKelvin
@DennohKelvin Ай бұрын
Acha mdomo mtandaoniii jitokeze kawaonyeshe hizo action zako cowward mkubwa unaropoka mtandaoni jichunguze kwanza siasa mwachie lisu tafuta pesa
@gm003
@gm003 Ай бұрын
@DennohKelvin Just wait, time will surprise you, ukiwa usingizini...Daudi alikuwa pekeyake, jiulize ktk vita zake aliua watu wangapi. Tz tusisubiri jeshi, JWTZ hawatoingilia hii vita, kwa sabb hata wao wanamjua adui wa nchi yetu, ccm! Tutaelewana tu, very soon!! But never say hatujawa alert ⚠️
@JacksonGodifrey
@JacksonGodifrey Ай бұрын
😂😂😂😂😂 ushauli mfano umeenda kazini kwako umeludi umekula ugar wako ukalla Kuna shida??
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 ай бұрын
Ee Mungu katika hili usimame wewe mungu mwenye haki
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up 2 ай бұрын
Tunachomwomba MUNGU, zama za wapumbavu zipite. Tanganyika MUNGU hatatuacha. Ukombozi wetu umeshapatikana. Tuendelee kumlilia MUNGU.
@HadijaJoseph-d1g
@HadijaJoseph-d1g 2 ай бұрын
Huyo afande kwanza anadhalau ilitakiwaapigwe kweli jeshi ya polisi hatuna Hilo nijeshi la chama tawala
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 2 ай бұрын
@@HadijaJoseph-d1g una uhakika??
@engisack9610
@engisack9610 2 ай бұрын
Imani bila matendo imekufa nafsini mwake mtu' Tanzania hamjawahi kua na ujasiri kama wakenya
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 4 күн бұрын
@@engisack9610 ili iweje baadae?
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 2 ай бұрын
CHADEMA kuna vichwa aisee🎉
@matalo0551
@matalo0551 2 ай бұрын
Afande ababwabwaja tuu ...kana kwamba hajui taratibu za kumkamata mhalifu ...Mimi na degree yangu ya darasa la saba naona anafadhaika sana kwa kuwa anakiuka katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndio anaongea akiwa hajiamini.....
@BraxedaDomina-xn4zc
@BraxedaDomina-xn4zc 2 ай бұрын
​@@matalo0551umeonaee
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 2 ай бұрын
​@@matalo0551Huna ulijualo kaa kimya hayakuhusu. Au na wewe ni chagadema?
@abdulmelele7322
@abdulmelele7322 2 ай бұрын
​@@MilloWamilonga-ft8irNdiyo wale wale hao😅😅
@YusufuAbas
@YusufuAbas 20 күн бұрын
The rpc is so humble 🎉🎉
@SimoneNyanga
@SimoneNyanga Ай бұрын
Mwanangu akiwa polisi nampa laana
@kamalabuberwa2001
@kamalabuberwa2001 2 ай бұрын
Huyu Kantimbo ndo alimtesa Mbalikiwa, mungu atamuandalia nafasi yake
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 2 ай бұрын
Kabarikiwa ndio nani, Wewe haujabarikiwa?
@shadracknyese3307
@shadracknyese3307 Ай бұрын
Mbalikiwa mwakipesile
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 Ай бұрын
@@shadracknyese3307 Ungemalizia bangi kwanza ndio u comment, Ona Sasa unachoandik Utadhani unachati labour 😂😂😂😂
@mengindegeya2780
@mengindegeya2780 2 ай бұрын
Aaaaaaa kumbe huyo ndiye kantimbo alie simama kwenye kesi ya mbarikiwa badala ya mhusika mwenyewe!!!!!!!!!!
@ramadhaniharuna5441
@ramadhaniharuna5441 Ай бұрын
Yaani huyo RPC anaonekana ni mnafiq mkubwa sana, Ongea yake tu inaonyesha kuna maagizo.
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 2 ай бұрын
Ndo maana mim nilikataa kuvaa hayo mavazi utapata rahana buree😂😂😂😂
@nasrikhoja9664
@nasrikhoja9664 2 ай бұрын
Huna vigezo bana mgonjwa wa figo
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 2 ай бұрын
Unfit wew
@PherollanceErnest
@PherollanceErnest 2 ай бұрын
Lissu is very sarcastic, anadeal na hawa wapuuzi kwa akili sana.
@kamandamlimaog3430
@kamandamlimaog3430 2 ай бұрын
Mpuuzi nanii sasa nduguu mazungumzo nimeyaskia yapo sawaa hakunaa mtuu aliyedilii na mwenzake
@zakariapaulowiliamuwiliamu1840
@zakariapaulowiliamuwiliamu1840 2 ай бұрын
Tulia ameshawapa hela hawa 😅wanabwabwaja tu ndio maana hawaelew wanacho fanya
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 2 ай бұрын
Mungu Baba Mwenyezi Atusaidie. Tunataka Amani na imoja, Upendo wa ndugu
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 2 ай бұрын
Polic mnatia aibu sana mnatumika vibaya sana poleni😢
@noelsanga6853
@noelsanga6853 2 ай бұрын
Form 4 failure wengi wapo humo
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 2 ай бұрын
Umenena mengi maana walifeli fm 4 ndio wakaingizwa humo kama kimbilio la waliofeli
@JoshuaSabu-r2p
@JoshuaSabu-r2p 2 ай бұрын
Mmmh yakweli hayo watu wanaelimu zao ndg​@@TNgwale-eu3xl
@jumaseifally6337
@jumaseifally6337 2 ай бұрын
​@@TNgwale-eu3xlwewe unaelim gani
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 2 ай бұрын
Polis polis polis
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 2 ай бұрын
Maaelekezo Toka juu huu ni unyanyasaji na ubaguzi wa kichama.mbona ccm walikongamana Zanzibar hakukua na figisu kama huo.
@danielishigita2423
@danielishigita2423 2 ай бұрын
Wanafiki hawa wanashindwa kuthibiti uhalifu wanahangaika na chadema
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 2 ай бұрын
Tanzania ni nchi ya hovyo sana###!!KATIBA MPYA ,###
@RamadhanAlly-cf7du
@RamadhanAlly-cf7du 2 ай бұрын
Kabsa tena sana mm nawachukia sana ccm ni chama cha hovo sana askar hii nchi wanatumika vibaya sana tena sana hii ni kuwapga skumoja ili wawe na adabu
@promramson1478
@promramson1478 2 ай бұрын
​@@RamadhanAlly-cf7duhujanizid mm kuwachukia aiseeeee
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 2 ай бұрын
@@sebastianthadeus5270 chagadema yenyewe haina katiba mpya. Makengeza tangu arithi chama hadi leo yeye ni mfalme tu aibu
@kalikenyadominicus2394
@kalikenyadominicus2394 Ай бұрын
​@@MilloWamilonga-ft8irkwa hiyo unaridhika na hii katiba😅
@AsungaSteven
@AsungaSteven 2 ай бұрын
Sisi watanzania hatuki chama bali tunahitaji viongozi sahihi watakayeweza kuongoza watu vizuri.
@gabrieljohn6422
@gabrieljohn6422 2 ай бұрын
Ambacho hujui ni kwamba Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kiongozi lazima atokane na chama cha siasa.
@AliphonceMartina
@AliphonceMartina 2 ай бұрын
​@@gabrieljohn6422nikweli 🙏 ndugu yangu tatizo tukitaka haki zetu kwa kutegemea viama vya siasa chama tawala kinatumia nguvu za selikali kutunyanyasa na kuzuia maandamano
@illomowerner7690
@illomowerner7690 2 ай бұрын
Pole AsungaSteven, katiba inawataka viongozi wote wa kuchaguliwa watokane na vyama vya siasa,..namna pekee ya ekebisha ni KATIBA MPYA ili tuwe na wagombea binafsi pia
@salomeshongola1697
@salomeshongola1697 2 ай бұрын
Kwa nini wasiweze?
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 2 ай бұрын
Kweli Chadema ni dude kubwa. Watu wanawatuma polisi wengi wadili na Chadema du.CCM hampati usingizi kwa ajili ya Chadema.
@geeva99
@geeva99 2 ай бұрын
Bongo kazi sana, yani muda wote ndio mjadala, b
@emmanuelpeter9744
@emmanuelpeter9744 2 ай бұрын
Waovu siku zote hujaa hofu na uoga, kwa uovu wao wamejaa hofu kwa nguvu ya vijana wa chadema 🙏🙏🙏
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 2 ай бұрын
Afande anaonekana ana hasira sana. Amejitahidi sana kuwa mvumilivu lkn wapi
@GabrielSky64
@GabrielSky64 2 ай бұрын
😅😅😅 kabisa
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 2 ай бұрын
Kabisaa...katika kitu ambacho askari hapendi kukisikia ni neno subiri
@EdnaMbowe
@EdnaMbowe 2 ай бұрын
Kumbe umeona na ww
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 ай бұрын
Hawafundishwi subira unakuta ana hasira zake binafsi
@jeremiahmwambalaswa570
@jeremiahmwambalaswa570 2 ай бұрын
Wanatakiwa kufukuzwa kazi washenzi saana hawa
@williammwaisunga3407
@williammwaisunga3407 2 ай бұрын
CCM na serikal mnaichafua kabisa japo mimi ni mwana CCM.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 ай бұрын
who cares
@peterhelpeterluena9191
@peterhelpeterluena9191 2 ай бұрын
Chadema na hasa viongozi wao wapuuzi sana
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 2 ай бұрын
Upuuuz wao nn Nyinyi ndio wapuuz kwa sababu mmeshika madaraka tangu ukolon na bado munaogopa chama ambacho kina wafuaz robo ya watanzania ni wapumbavu mnoo​@@peterhelpeterluena9191
@aidankakulu398
@aidankakulu398 2 ай бұрын
​@@peterhelpeterluena9191wapuuzi ni wazazi wako waliokunyima elimu
@abdulmelele7322
@abdulmelele7322 2 ай бұрын
​@@aidankakulu398Sasa wazazi wake wamehusikaje hapo?Tambua hata wewe una wazazi ok
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah 2 ай бұрын
Huyo RPC nikama kunamtu kamtuma ila ipo siku mungu atageuza wakubwa kua watt na watt watakua wakubwa
@HamadFakh
@HamadFakh 2 ай бұрын
Hahahaha,stori za paukwa pakawa
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Ай бұрын
Yan hapo polis yupo kazn katumwa hajatumwa anafuata shelia
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 ай бұрын
Haya yana onekana kabsa ni maelekezo toka juu lkn mjue hao sio Mungu yupo Mungu alie tufanya ote chin ya jua hili
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 2 ай бұрын
Sijaona kazi waloifata mtihani sana
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
Natamani niwaone nyinyi Polisi baada ya kustaafu, maana najua wengi wenu wanageuka omba omba
@robertphilip385
@robertphilip385 2 ай бұрын
Watakua raia tu tenawatakua wanalalamikia serekali kama sisi raia
@margarethalyimo5475
@margarethalyimo5475 2 ай бұрын
Tena sasa hivi wana stafishwa wakifika miaka 50
@michaelboniphace3685
@michaelboniphace3685 2 ай бұрын
​@@margarethalyimo5475 Acha uongo
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
@@robertphilip385 Nafahamu baadhi yao waliostaafu wanatia huruma wengine wamejitia waokovu, shida waliyonayo huwezi kuamini ni wale walikua wakibweka hivyo na nguvu bila busara .Kuomba omba sasa na pia wanachanganyikiwa wengine ni walevi wa kutupa dhambi dhulma zinawatafuna.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 ай бұрын
​@@margarethalyimo5475Kwa tabia zao hizi wanatakiwa kustaafu wakiwa na miaka 40.
@IsaacEliamini
@IsaacEliamini 2 ай бұрын
Ukitoka huko nje ukidokolewa shauri yako😂😂😂😂
@matalo0551
@matalo0551 2 ай бұрын
Mimi ni mwanachama wa CCM tangu nasoma chuo, ila kwa huu udhalimu unaofanywa dhidi ya upinzani Chadema....basi natangaza rasimi kujivua uanachama wa CCM na kadi yenu mkihitaji ntawarudishia, tena kuanzia sasa najiapisha juu ya udongo wa nchi yangu Mama Tanzania kuwa nitajiunga chadema......kama mwatenda haki kwanini mhofie vikao vya vijana? Mwataka vijana wasiwe na umoja muendelee kuwahujumu kwe mambo yao ya msingi kama ajira, maisha bora na siasa safi.
@aloycejames4862
@aloycejames4862 2 ай бұрын
Karbu sana
@HamadFakh
@HamadFakh 2 ай бұрын
Mpiga ngumi ukuta anaumiza mkono wake mwenyewe
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 2 ай бұрын
Acha uongo wewe ni CHAGADEMA halisi
@stevenkatani3047
@stevenkatani3047 2 ай бұрын
Uyo ndo fara ahame2 Kwan ccm ile ile walihama akna rowasa sembuse uyo
@johngerald4677
@johngerald4677 2 ай бұрын
Polisi ni mbwa
@ebenezersumari5408
@ebenezersumari5408 2 ай бұрын
Kweny haya maisha ukiwa na Msimamo kama Chadema lazima utoboe 🫡
@jtheophil5499
@jtheophil5499 2 ай бұрын
Mbona unachagua vidagaaa ovyooooo... mimi nachukia sana mtu anayekanyaga Democrasia.Sipendi sipendi sipendi..
@YusuphKhelef
@YusuphKhelef 25 күн бұрын
Askari ana busara ,
@billgussy6099
@billgussy6099 2 ай бұрын
Polis Tanzania msipo acha kutumika na ccm mtaendelea kushusha hadhi yenu mbele ya jamii ya watanzania na ya ulimwengu mzima
@SubiranTimo
@SubiranTimo 2 ай бұрын
Pole watanganyika
@ce-08
@ce-08 2 ай бұрын
Huenda wewe ni yule unayeishi kwenye koloni letu😅 tunalolitawala
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 2 ай бұрын
​​@@ce-08Koloni gani wakati Rais wa Tanganyika ni Mzanzibari sasa nani anatawaliwa? Nawapenda Watanganyika ila hizi kauli zenu za kujifanya nyinyi ni bora kuliko sisi Wazanzibari zinanifanya niwachukie sana
@ce-08
@ce-08 2 ай бұрын
@@OmerSuley-gl7go mkituita watanganyika unaona kawaida ungeanza kumkea huyo wakwanza kusema watanganyika sababu hakuna watanganyika bali Kuna watanzania bara na visiwani ningekuona kweli hupend mambo ya utengano ila umeiona Mimi kusema koloni kwakuwa yeye aliongea hivyo kusema watanganyika Ili kutukera watu wabara na Mimi nimemjibu Ili kumkera vile vile
@ce-08
@ce-08 2 ай бұрын
@@OmerSuley-gl7go kaa popote pale mtafute mtu anayetoka bara muulize wewe ni nani lazima atakwambia Mimi ni Mtanzania ila nyinyi ndyo mnaupenda kututia watanganyika sasa hicho kitu sisi hatuna na sisi kuwaita wazanzibar tunawaita sababu Zanzibar ni jina ambalo Bado linatumika lakini jina la Tanganyika halipo sasa nyinyi kwanini mlitumie km sio kutafuta utengano Kwan mnashindwa kusema watu wa bara au Tz bara
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 2 ай бұрын
@@OmerSuley-gl7go tanganyika ndio nini? Mbona mpo mazwazwa hivi?
@gabrieljohn6422
@gabrieljohn6422 2 ай бұрын
Sheria inataka mtu umwambie na watu wake wa karibu wajue tuhuma ni zipi?
@innocentkaduma5821
@innocentkaduma5821 2 ай бұрын
Afande RPC kajitahidi sana mbele ya huo msitu
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 2 ай бұрын
Kwa kweli badosana siasa za chuku sana izi zitalifikisha taifa pabaya ipo siku mtayaona ayo
@dennisungonella205
@dennisungonella205 2 ай бұрын
Hivi polis wetu Elimu zao polis zikoje?
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 2 ай бұрын
Wamesomea uselemala
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 2 ай бұрын
Yani Ukimsikiliza Afande Unashangaaa Uwezo wa kufikili wake Umekaaje Mimi Siwatetei Chadema Hila nashangaa uwezo wa kufikili
@allyfutto8763
@allyfutto8763 2 ай бұрын
Duh zarne hizi watu wanafaidi sana mambo waziwazi mitandaoni Dunia inaonekana rangi zake ukweli unadhihiri kuhusu Maisha tunayo yaishi kupitia yanayojiri kwa nia ya maendeleo ya nchi na Dunia julma MIRINDIMO YAKE.
@JmotorsAutogarage
@JmotorsAutogarage Ай бұрын
Mh lisu na mnyika na mbowe pamoja na lema pambaneni tukombowe nnchi yetu
@GoodluckTarimo-u3j
@GoodluckTarimo-u3j 2 ай бұрын
Dah hakika Kila mwenye akili polisi wetu tatizo kubwa kuliko tatizo lolote duniani
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
Polisi wanatumika,wanajua wajibu wao.. tatizo viongozi wetu tuliowachagua hawajiamini
@farajiissa560
@farajiissa560 2 ай бұрын
Hawa polisi hua mungu anawauwa vibaya
@twinzfashion4534
@twinzfashion4534 26 күн бұрын
nchi bila vyama vingi je ni sawa
@willingtonalphonce1747
@willingtonalphonce1747 Ай бұрын
Muoga sana na Mnafiki sana, mimi Nasema ivi😊 Ajui kujielezea
@Missionary_work
@Missionary_work 2 ай бұрын
Hivi huyu Afande ni Afande kweli??😂
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 2 ай бұрын
Wakupavhikwa
@harshkirit6780
@harshkirit6780 2 ай бұрын
Hawana akili
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 2 ай бұрын
Mpigie cm umjue
@Elisha-zr8ms
@Elisha-zr8ms Ай бұрын
Safi sana nchi yetu Tanzania 🇹🇿 niyawote siyo ya police wapumbavu wanapambana nawema
@maonezinyagalu9393
@maonezinyagalu9393 2 ай бұрын
Daah! Tuna safari ndefu sana mamae!
@samrichard290
@samrichard290 2 ай бұрын
Kiukweli inaumiza sana😢 hii nchi alieturoga sijui ninani aosee😢😢 Mungu atusaidie na adili nawatu kama hawa asiwaache
@Nunshumutwafa
@Nunshumutwafa 2 ай бұрын
RPC alikuja kwa unyenyekevu wa hari ya juu rakini shida ya viongozi wa chadema wote ni wana sheria.
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 ай бұрын
Sheria inatumika police huwa wanatumia nguvu sana bila Sheria ndiyo shida ya plc wa Tz
@esterhezron6143
@esterhezron6143 2 ай бұрын
We nawe utakuwa mmoja wao ww
@khatibalamin401
@khatibalamin401 Ай бұрын
Dharau ya hali ya juu kwa Jeshi letu la Polisi. Afande yuko humble sana❤
@johngasto4154
@johngasto4154 2 ай бұрын
Ishin vizur na raia mkistaafu Macje kudhalilika huku mtaan tu awaona wengi ohoo mim nilikuwa flan zen nahitaji msaada wa kitu flan acha wafanye vikao waandamane ikitokea wakafanya fujo hawawez kushinda na vyombo vya Dola apo ilikuwa ni akil tu waandamane zen wasimamiwe vilivyo
@BakariJuma-g9n
@BakariJuma-g9n 2 ай бұрын
Tundu lissu kwenye Sheria ni Messi anajiamini sana aisee napenda sana kuwa kama uyu mtu ukiijua Sheria raha sana
@davidsosthenes4479
@davidsosthenes4479 2 ай бұрын
Mungu wetu yuko pamoja nanyi Chadema, Kamwe hatawasahau.
@nasrikhoja9664
@nasrikhoja9664 2 ай бұрын
Mtu kawa mstaarabu nyinyi mnamletea ngonjera daah afande anabusara sana
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 2 ай бұрын
Busara gani na watu wetu wana teswa
@mwambietv7614
@mwambietv7614 2 ай бұрын
R P C mwenyewe anaonekana kama kapewa maelekezo tu anababaika tu yaan huu upumbavu na ujinga nchi hii utaisha lini?
@richardhosea8827
@richardhosea8827 2 ай бұрын
Safi sana afande
@YunussefuNagawa
@YunussefuNagawa 2 ай бұрын
Mungu awalinde chad muikomboe nch
@RahmaMwamwezi
@RahmaMwamwezi 2 ай бұрын
Mpaka hapo tunajua lengo lilikuwa ni kufanya maadhimisho yasifanyinyike na so vurugu walizozisemea ata kujieleza ni shida kumbe walijua mwenye makosa ni Mwaipaya na mwenzie sasa wengine walikosea nn
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 ай бұрын
Maelekezo toka juu
@MfanoMfano-f8w
@MfanoMfano-f8w 27 күн бұрын
Ety Ngoja sisi tuwasubiri 😂 nchi hii 😂😂
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono 2 ай бұрын
Jamani polisi kumbukeni kuwa kazi nayoinamwisho na watarudi uraini na wakipanda kwa upanga watalipwa kwa upanga
@GabrielNtandu
@GabrielNtandu 16 күн бұрын
Umewatuma wafanye hovyo yani mtu anapo onesha uvunjaji wa sheria n haraka kukamatwa una zuia askar asifanye kaz pia Afande kawa letea kawaida sana
@BahatiIsangu
@BahatiIsangu 2 ай бұрын
People's power
@LidiaBenjamin-io9dz
@LidiaBenjamin-io9dz Ай бұрын
Amejihami mapema kwa lisu ety sitaki kuingea na weee haaaha alijua moto wake
@jessemhally5385
@jessemhally5385 Ай бұрын
Hakuna marefu yasio na ncha,hakuna mwanzo usio na mwisho...pasipo na upendo amna Mungu...
@judithfrancey7068
@judithfrancey7068 Ай бұрын
Ila kusema kwelu rpc na the other guy walikuwa wastaarabu, Lisu alikuwa stubborn na sidhani kama ni vibaya nkisema lissu na mnyika waliprovoke police
@hanskalou1852
@hanskalou1852 14 күн бұрын
Askari amenyooka japo mkakati upo kukwamisha shughuli za chadema Ila ingekuwa hao ni wahalifu alikiwa anatekeleza majukumu yake kiweledi sana
@mrishoamani-tz8qp
@mrishoamani-tz8qp Ай бұрын
Duh kwakweli Hii nchi yetu duh mpaka naogopa aseeee
@JmotorsAutogarage
@JmotorsAutogarage Ай бұрын
Mama samia Raisi wa jamhuri watanzania tunaomba haki ipatikane ktk nchi yetu mbona watanzania tunauwawa je tunatakiwa tukaishi wapi mama etu
@NassormsuruzyaRupia
@NassormsuruzyaRupia 2 ай бұрын
Nanukuu wimbo wa mitego ""wy mungu ulimchukua john mapemaa kama ikikupendeza chukuwa na awaa 😂😂😂😂
@reginas1832
@reginas1832 2 ай бұрын
Acheni kutumika nyie police mtaalaaniwa na vizazi venu
@dennisungonella205
@dennisungonella205 2 ай бұрын
Polis wetu wanakosa busara na utulivu, wao wanawaza nguvu zaidi
@onesmomnyeke3477
@onesmomnyeke3477 2 ай бұрын
Iyo ni busara tosha
@emakoresahili
@emakoresahili 2 ай бұрын
Lissu "Ukitoka Nje uko kwenye Ufalme wake" Hahahahaha hatari sanaa...Jamani mambo gani haya lkn
@phinaphina3201
@phinaphina3201 2 ай бұрын
Afrika ina mzaa sana yani. Hatutawahi kuendelea.
@jacobelias1834
@jacobelias1834 2 ай бұрын
Mimi kiufupi sijamuelewa huyu police zaidi ya kuleta vurugu na kuwapotezea mda watu ambao wana vikao vyao kwa mjibu wa sheria inaboa sana
@julianobihabansi4000
@julianobihabansi4000 Ай бұрын
Hawa chademo ni wapuuzi sana, Ingekuwa ni mimi navikamata vyote kwa nguvu, Askari wananyanyasika sana, wanadharaulika kwa sababu ya vipuuzi kama hivi
@josephdimosopantaleomadegh7599
@josephdimosopantaleomadegh7599 29 күн бұрын
Apo awo police wamejitaidi sana kuoneaha busala ila chadema nao walitakiwa wawe na busala ila lisu ameoneaha busala apo mwishoni usha uli wangu acheni siasa waachie nchi afu tuone baada ya miaka mitano itakuaje wakiwa wenyewe
@andrewsamwel2280
@andrewsamwel2280 2 ай бұрын
Nidhamu mbovu sana ya Jeshi la Polisi wameonesha Kwa Chama, wamejidharirisha sana. Ila sishangai ndo mambo ya amri hayo yanavyokuwa
@kapingageorge7635
@kapingageorge7635 2 ай бұрын
Askar anaasimamia sheria ambayo hajui anasimamia nin kuna kaz kubwa aisee
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Ай бұрын
Lakn mm naona hapo mwenye busala nipolis maana yeye yupo kazi anatumiwa au katumwa hausian lakn katumia hekima shida ya chama changu chachadema kwasababu tunaitaka nch tunaona hata tukikosea tupo sawa na tunawazarau sana polis Kwenye mpila ukisha amin lefa anapendelea hata akiwa sahii utasema anapendelea
@rabsonmichael9720
@rabsonmichael9720 Ай бұрын
Aya mambo yanatia hasira sana,huyu polisi hata aeleweki anachokiongea.
@nsodyaphilimon9153
@nsodyaphilimon9153 2 ай бұрын
Tatizo chadema ni wadumavu mbona afande n mtaratibu??
@AdamLeyan
@AdamLeyan 2 ай бұрын
Mungu ibariki chadema kunasiku watakuwa chin yenu
@ErastoNzibonera
@ErastoNzibonera 2 ай бұрын
Akuna democrasa
@RayNittu
@RayNittu 2 ай бұрын
Nimeipenda ya mnyika, kwamba hawawezi kuzungumza na mwalifu mbele ya jumuiya. Kwahyo mwiz alikamatwa kwenye jumuiya,polic anawaambia wanajumuiya watoke ili tumhoji mwiz akiwa peke yake..
@isaackmwakapala8663
@isaackmwakapala8663 Ай бұрын
Hii nchi uhuru uko mbali sana.
@giftotaru5808
@giftotaru5808 2 ай бұрын
Wanazungukaaaaaaaaaa Mungu mtakatifu akasimame na wote wanaonyanyasa wanapigania haki aman na mambo ya kwelii
@KajokaTanzania
@KajokaTanzania Ай бұрын
RPC na Lissu wako very hamble sanaaa nimewapenda.
@JosephMwaitete
@JosephMwaitete 26 күн бұрын
Jamani kwa nini watu wanapenda kujifanya wajuaji?
@ernestmbago848
@ernestmbago848 2 ай бұрын
Nchi inaraha sana jamani maana natokwa na machozi kwa kinachoendelea nchini
@richardhosea8827
@richardhosea8827 2 ай бұрын
Afande Nkantimbo mtu safi
@bensonfikirini4112
@bensonfikirini4112 2 ай бұрын
Ila hii nchi daaah...!!!
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 2 ай бұрын
Kama mtu ana kosa mlisubiri hapo ndp mmkamate mtu? Ili kuharibu kikao?
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 2 ай бұрын
Rpc alikuwa mwerevu sana...sijui nini kilitokea nyuma ya pazia
TAMKO KALI LA LISSU BAADA YA POLISI KUZINGIRA OFISI YA CHADEMA MBEYA
8:59
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Jesser
Рет қаралды 17 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 282 М.
SATIVA AMSHIKA UCHUKU KAMANDA MULIRO
31:58
SK Media Online TV
Рет қаралды 25 М.
MZEE AMWAMBIA RAIS MWINYI UOVU WA ZANZIBAR BILA KUOGOPA.
6:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 65 М.
'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW
16:33
DW Kiswahili
Рет қаралды 802 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29