AIBU YA MWAKA, KAPEWA GARI SKU YA GRADU KUMBE ANACHEAT

  Рет қаралды 176,882

KIREDIO

KIREDIO

Күн бұрын

Пікірлер: 460
@amosmahwago6496
@amosmahwago6496 11 ай бұрын
Ukisikia fungu la kukosa ndio hilo, hakuna kinacho sumbua hapo ni tamaa iliyopo ndani ya wadada wa siku hiz, uaminifu hakuna ukute mshikaji alijiweka hali ngumu ili aangalie upendo wa kweli upo wapi, ni bora ametumia njia hiyo japo inauma kwa Mwanamke ambaye ulikuwa unamuwazia kwenye future yako, lakini ni bora kujua uchafu wake mapema kulikoni maumivu ukiwa kwenye ndoa, Big up sana @kiredio kwa kufanya kazi kwa uaminifu,
@davicekombe4932
@davicekombe4932 11 ай бұрын
Uko Sahihi kabisa kaka yani siku izi hakuna mapenzi ya kweli tena kama unavyosema jamaa kajimake kwa muda ili amnunulie demu wake gari lakin the end of the time mtu unategemea utatajwa kumbe dem anakuja mtaja mtu mwingine je kama angekurupuka na kumpa gari si ingekua ni pressure kila siku na ugomvi usioisha ndani ya nyumbaa dah ladies punguzeni tamaa jamani
@gedrickgerazi210
@gedrickgerazi210 11 ай бұрын
Dah kweli Nimecheka sana yaani dem unashindwa kumjua boi wako mwenye hela
@dreamer123.
@dreamer123. 11 ай бұрын
Hahaha huyo atakuwa nao wenye hela kibao....😅
@gedrickgerazi210
@gedrickgerazi210 11 ай бұрын
Hakika ila Si wakumpa gari ila udsm 🙌🙌😂
@immanueljoseph7190
@immanueljoseph7190 11 ай бұрын
Dah imekatika kama umeme!!??
@qinakimaka5308
@qinakimaka5308 11 ай бұрын
Daaaaah nimeumia sana kama mimi ndio nimekosa hiyo gari, unaweza ukafa wallah. Daaah wanawake tujifunze kutulia hujui nani atakuja kukutoa kimaso maso. Uksikia fungu lakukosa ndio hii jaman.
@edgarndoleki8827
@edgarndoleki8827 11 ай бұрын
Pole sana kama ni wew kwer
@IdarousPossy
@IdarousPossy 11 ай бұрын
Na hakuna atakae kuja kukununulia gari aiseee,
@vanemmy6043
@vanemmy6043 11 ай бұрын
😂😂😂😂uyu mtangazaji eti kumamake daaaaa amejisahahu kama Kuna camera
@KingoBoniface
@KingoBoniface 11 ай бұрын
Daaaaaaaah uyo mwanake hatari malaya uyo hafai kbs 😂😂😂😂😂😂😂😂😂, kiredio hongera sana unafanya kazi vzr sana
@nadomkalikwanza5550
@nadomkalikwanza5550 11 ай бұрын
daah huyo manzi anaweza kwenda kujinyonga ebu mfuatilieni 😂😂😂
@NicemonFrancis
@NicemonFrancis 11 ай бұрын
Hahahahah
@juliethmoshi2923
@juliethmoshi2923 11 ай бұрын
Afe kabisa
@rehemasamwel7785
@rehemasamwel7785 11 ай бұрын
😂😂😂😂kwakwel apewe ulinzi
@joycechaz2840
@joycechaz2840 11 ай бұрын
Malaya ajinyongi bado kuna sponsor mzee apo😂😂
@jeffhard5773
@jeffhard5773 11 ай бұрын
Bora age mapema ili asituachie mbegu mbaya ya unafki wake,,
@murielchikoko1165
@murielchikoko1165 10 ай бұрын
Umalaya umezidi kashajiona mzuri kila bwana wake akome😂😂😂😂😂
@aliaboud9202
@aliaboud9202 11 ай бұрын
Beni Beni Beni Beni Beni Beni Beni Beni Beni Beni jamaniiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Huyu demu anaachwa na wote
@7Ammy69
@7Ammy69 11 ай бұрын
Katika kazi zako hiiii ndio nimeikubal sana 🎉
@johnmdee7963
@johnmdee7963 11 ай бұрын
😂😂😂 nmeipenda hiyo kwanza mapenzi shikamoo
@ShijaBugumba
@ShijaBugumba 11 ай бұрын
Yote Tisa inshallah kumi mapenzi shikamoooo
@user-jd8lu1bk8k
@user-jd8lu1bk8k 11 ай бұрын
Kuna la kujifunza kwa wanawake wasiotaka kutulia na mwanaume mmojaa😢❤
@michaelezekiel4297
@michaelezekiel4297 11 ай бұрын
Sio mara zote bwana 😂
@Moses.Waszczykowski
@Moses.Waszczykowski 11 ай бұрын
USIKUTE BENN NDO ANAMLETEAGA SANA AHADI ZA UWONGO ZA KUMNUNULIA GARI ILA HUYU DADA USHUHUDA HUU HADI KWA WAJUKUU😂😂😂
@nazarenamode8584
@nazarenamode8584 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@SuzyWilfred
@SuzyWilfred 11 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@jacquelinemichael3928
@jacquelinemichael3928 11 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 kwanza siku yake imeshaharibika dadeq zake
@elyg8550
@elyg8550 11 ай бұрын
Fact.
@joycechaz2840
@joycechaz2840 11 ай бұрын
Ben ni tapel maskini kamuaminisha dada wa watu😂
@Officalnaph
@Officalnaph 11 ай бұрын
maigizo yako mazuri kijana hongera unajua kuzipanga
@Zenygoldsuperwoman
@Zenygoldsuperwoman 4 ай бұрын
Hamupendi ndo maana kataja jina lingine nakuondoka ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂clip hiyi nipeipenda duuui wadada wadogo mambo makubwa
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 11 ай бұрын
Udism malaya wakutosha sana,Hongera kiredio rudisha gari langu yard kaka! Vijana tunajitolea sana kisa hizi nguruwe lkn hawanaga akili kabisa
@KHABISIBRAH
@KHABISIBRAH 11 ай бұрын
Mbona usinipe mm nifate tu iringa
@najimafaustine1881
@najimafaustine1881 11 ай бұрын
Pole sana
@Linner-f7s
@Linner-f7s 11 ай бұрын
Nipende mm kaka😂😂😂😂
@agriparose3942
@agriparose3942 11 ай бұрын
Si ujege huku baba
@nnieraudhwa8611
@nnieraudhwa8611 11 ай бұрын
Kama ni wewe seriously polee sanaa kaka but Kila kitu huwa ni mipango ya Mungu amini katika yeye na atakupa mwanamke anae kustahili🙏🙏
@user-sv3sv4xd1q
@user-sv3sv4xd1q 2 ай бұрын
Huyo ni Malaya mm ndyo maana wanawake weupe siwapendi coz wengi wao ni malaya siyo waaminifu rangi yao inawadanganya kwamba wao ni wazuri na hawanaga mtu mmoja yani ni malaya.
@Kokafamil
@Kokafamil Ай бұрын
Huyo jamaa alie shikilia kifeni hafiki mbinguni dah 🙌🏽🙌🏽 anampepea kabisaaaaaaa 😂😂
@FocusNyari
@FocusNyari Ай бұрын
huyo ni mr uky kweli mbinguni hafiki huyoo
@hamisahamisa5896
@hamisahamisa5896 11 ай бұрын
Nimehisi mm roho imeniuma😢😢😢😢😢😢 ndio maana mm nakuaga na wanaume mmoja Tu hata usingizini ukiniamsha namtaja 😢😢😢😢kakosa ndinga naumia mm😂😂😂😂😂
@abuumayunga3349
@abuumayunga3349 11 ай бұрын
😂😂😂 Unakuaga na WANAUME MMOJA?.. NDIO NYINYI NYOTE
@GsmtzUnlock
@GsmtzUnlock 11 ай бұрын
Elewa neno wanaume 😂😂😂😂
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 11 ай бұрын
Hahahah mbona kama keyboard imekusaliti vile "wanaume mmoja" au sio😂
@ibn__ibn
@ibn__ibn 11 ай бұрын
WANAUME MMOJA ..it's plural 😂😂 We ni walewale wakina ..irine magari😂
@mathiassakwa1551
@mathiassakwa1551 11 ай бұрын
Kiredio msenge sana et Kumamae😂😂😂
@peninashungu6633
@peninashungu6633 11 ай бұрын
Huyo msichana hamtaki huyo jamaa ndo maana kaacha kila kitu na yeye anampenda ben😂
@MASAWE302
@MASAWE302 11 ай бұрын
Ben mwenyewe ametajwa kashaka na yeye yupo Rehan
@joycechaz2840
@joycechaz2840 11 ай бұрын
Ben mwenyewe utakuta muuni zaid yake😂
@belyseirakoze5371
@belyseirakoze5371 11 ай бұрын
Hongera kiredio kwa kazi nzur unayo ifanya watu wafunguk macho hakun ku cheatiwa tena maybe kwa wale ambao manapend wenyen kiredio uyu hapa anaraisisha kila tu honger ❤❤❤❤❤❤
@fkimwaga
@fkimwaga 11 ай бұрын
kazi yako njema kaka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fridakimwanya1158
@fridakimwanya1158 11 ай бұрын
Duh umekosa ivi ivi hahah benny popote ulipo mpo wengi kwa uyu dada😂😂😂
@oshenifrank614
@oshenifrank614 11 ай бұрын
#kiredio hii kityu sijawahi ona Kwene channel yoyote Toka niache kumiliki smart Leo ndo Kwa mara ya kwanza naona kwako big up broo
@Keyjop
@Keyjop 11 ай бұрын
Ooh! Wana Fanya saana wa Nigeria mpendwa 😂😂😂
@SarahChambo-p9e
@SarahChambo-p9e 11 ай бұрын
Kenya wamejaa kibao wakina kiredio wanavunja hadi ndoa za watu kiredio ameiga tu
@jombilozoo
@jombilozoo 11 ай бұрын
😂😂😂 kazi nzuri kiredio 👏👏🔥🔥
@user-qv6ou3nu5s
@user-qv6ou3nu5s 11 ай бұрын
Good job kiredio 😂
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 11 ай бұрын
uhun mbay😂😂😂😂 kakos tako la nyani 😂
@SalmamathiasatanasSalmamathias
@SalmamathiasatanasSalmamathias 11 ай бұрын
Wanaume na wanawake wote malaya tuu sikuizi, ubahatishe saana kupata mwenzi atakaetulia kwenye mahusiano
@salhaayub1338
@salhaayub1338 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kaacha gari sababu ya mwanaume wengi
@SupermanOman-qd6sd
@SupermanOman-qd6sd 11 ай бұрын
Maraya mm ningechukua tu
@salhaayub1338
@salhaayub1338 11 ай бұрын
@@SupermanOman-qd6sd usikute huyo Mwanaume anamjua ben ndy maana kashindwa
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 11 ай бұрын
Mi ningepambana alafu ningemwambia ben ni kk Yangu we mbele ya ndinga ningejua Cha kujieleza 😂😂😂😂
@salhaayub1338
@salhaayub1338 11 ай бұрын
@@zawadichalale4047 🤣🤣🤣 akili inaruka unachanganyikiwa kwa mda chezea kuchanganya dozi wewe 🤣🤣
@deomaster77
@deomaster77 11 ай бұрын
Yani kiredio kaumia utadhani yeye ndy alikuwa anapewa hilo gari😂😂😂
@issaadinaniissa6487
@issaadinaniissa6487 11 ай бұрын
Hapana we kama mwanaume utahisi anachohisi mshua huko home au kazini anapambana kwa ajili ya huyo mwisho anadhihirsha alivhokua anamficha cku zote
@restjaca82
@restjaca82 11 ай бұрын
Itakuwa mume wa mtu alafu awajazoeana we angemzoea asingebabaika
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 11 ай бұрын
Hii ishu sio kiki huu ni uhalisia kabisa coz reaction za hawa watangazaji baada demu kuondoka is genuine, kwakweli hii mbini nimeipenda san ni rahisi kumjua gal anaekuchiti na asokua na mapenz kwako
@user-ih1rj8ov8j
@user-ih1rj8ov8j 11 ай бұрын
Inauma Sana..lakn kapata funzo lake,,tulia na mpnz 1tu hayo mambo ya kuruka ruka tuwaachie wasio na malengo ya kuwa future wife💞,,jamen tuacheni ss wadada wa udsm sio sote vicheche jamen malaya wapo kila sehem huyo asituchafulie wengine kila mtu na tabia yake.......Ila dah! Kakosa gar😂 +💔
@malikzafarani172
@malikzafarani172 11 ай бұрын
Duuuh kidada Kikware balaa dah 🙌🇶🇦
@michaelezekiel4297
@michaelezekiel4297 11 ай бұрын
Mamake 😂
@bahatkisam8367
@bahatkisam8367 11 ай бұрын
Kaeni chin mle iyo keki 😂😂😂😂 na maua yenu😂😂
@rusiabyaombe5494
@rusiabyaombe5494 11 ай бұрын
Aaah weee moyo wangu mimi nimeumia kama ni mimi vile
@Zlfa-y2p
@Zlfa-y2p Ай бұрын
Umalaya kuoitiliza😂😂 kiredio safi sana ni shabiki wako omani
@sein.208
@sein.208 11 ай бұрын
Yaani ndiyo kamaliza chuo alafu akili ziro hatari
@user-sc9rh9qy7k
@user-sc9rh9qy7k 11 ай бұрын
Daaaaa ndo maana halisi ya uaminifu, adi moyo umepasukaaaa 💔💔💔
@wilonderby
@wilonderby 11 ай бұрын
Dah na unakuta mwana alikua yeye ndo boom mpaka anamaliza Chuo aise nimesikitika kama kiredio aisee 😔 kiredio kabaki kujilaumu Tu maskini dah.
@philipocharles8507
@philipocharles8507 11 ай бұрын
Uskute ben ni mme wa mtu😅
@SteveneJohn-w2j
@SteveneJohn-w2j 11 ай бұрын
Kiledio sijui nita kupataje wewe nikupe pongezi yan ninge kuwa na namba zako kila mwisho wa mwezi nakutumia mshahala kwakazi nzur yani nime fulahi sana huja kosea hata kidogo yani pongez kwako kaka 🤸🤸🤸🤸👍👍👍asante kiledio wee kiledio weweeee🙂🕺🕺
@chrithicksambo2287
@chrithicksambo2287 11 ай бұрын
Haka kamalaya kanaongea... Aibu naona Mimi mamake 😂😂
@Sharifajafari-ys6gx
@Sharifajafari-ys6gx 3 ай бұрын
Jamani umalaya uuu jamani apana kaaaa ebu nitulie na mume wangu pengine anaweza nijalibu kama Ivo bule😂
@chrisstemba
@chrisstemba 11 ай бұрын
Aaah kumamakee msenge huyo ukute uyo beny ni mpiga tofali anaacha ndinga
@Brunomwaisa
@Brunomwaisa 11 ай бұрын
😢😢😢 daaah mapenz shikamo 😂😂
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 11 ай бұрын
Ningekua mim najijua nnamabwana wengi ningeondoka ata singeotea
@FranceMsumba-lg2oc
@FranceMsumba-lg2oc 11 ай бұрын
😂
@user-xt1ci3px3f
@user-xt1ci3px3f 11 ай бұрын
Loh jamani nimeumia Sana. Dada hata maua kaona mazito😂😂😂😂😂😂
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 10 ай бұрын
Yanaanzaje kuwa mepesi kwa mfano😂😂😂😂
@felicianmabepe3958
@felicianmabepe3958 11 ай бұрын
ametajwa BENNY wakacheka kwanza😂😂,,
@shabanidaruweshi-jw5jy
@shabanidaruweshi-jw5jy 11 ай бұрын
Kutoka Kilwa,aisee ukusikia mtu ana Digree 10 ndo kama huyu Kiredio jiulize kama gari angelipeleka mwenyewe alishabugi pia kuwapanga alio watuma kua wasiseme nani katoa mpaka aseme mwanamke mwenyewe Gooooood Kiredio umetoa somo aisee
@oscarjohn477
@oscarjohn477 11 ай бұрын
sasa kama umlfanya nae challenge nashindwaje kumjua nyie msitifamye watoto sisi mmeskia..japo mm ndo ningekua mzazi wa huyo binti kaul ingekua n bora ache vyet uko lkn bira gar asirudi nyumban 😂😊😂😊😂
@teddyemmanuelyemailteddyemmanu
@teddyemmanuelyemailteddyemmanu 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Officalnaph
@Officalnaph 11 ай бұрын
Ni uongo ni usanii
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 11 ай бұрын
Yan hata mm nilijua naweza sn ivo ikiwa wanaume wameshamtumia sn alafu ameishiwa t kupata hela ya Chipsi leo kashaoata gari mtego umemnasa mame inakwambia asa ukija huku uje na gari laaa sivyo huku ucje umbwa ww😂
@ibraahmfw1147
@ibraahmfw1147 5 ай бұрын
Hii ni "Big project"... Safi sana Bro... MADEM WAZINGUAJI MNOO 😂😂😂
@MaryamSuleiman-xs5ph
@MaryamSuleiman-xs5ph 11 ай бұрын
Inavoonekana huyo kaka alioileta hyo gar hpo anampenda huyo dada .. na huyo dada akipambana hyo gar inakuw yake 😂 xx ajifikirie hpo kwny kupamban na huyo sponsor wke😂😂😂
@mwanaSalim-re4pn
@mwanaSalim-re4pn 11 ай бұрын
Mmmh kwan tamaa za waume wengi za nni mwanamke mzima
@yahayamjenga1996
@yahayamjenga1996 11 ай бұрын
Kaka achana na content zako zote, shikilia hapa hapa unafanya kazi ya kijamii 😂
@suleimansalim8408
@suleimansalim8408 5 күн бұрын
Yn mwanangu ww Kiredio ni noma 😅😅
@Enitha-gv8ub
@Enitha-gv8ub 2 ай бұрын
Nimelia mwenzenu
@RahmaMusa-fi2ft
@RahmaMusa-fi2ft Ай бұрын
Pole mpenzi.nilichomuhurumia nikua maisha yalivyo magumu mtaan baada ya kuhitimu😢ukute alitoa Gali kisha apatiwe na kaajira maskini ona Sasa Binti mdogo kamaliza chuo na gundu maana huo ni mkosi mpenzi japo ningumu kunielewa kwa haraka
@asiakise2072
@asiakise2072 11 ай бұрын
Eti mwanaume anakupenda na kukununulia Hadi gar anawapa kiredio akuletee😂😂
@collinspius5480
@collinspius5480 11 ай бұрын
Ubunifu mzuri
@Laughter_man
@Laughter_man 11 ай бұрын
Hio kmmk ya mwisho umesahau kuitoa mbonaa😅😅😅😅
@Mr.Nyingi
@Mr.Nyingi 11 ай бұрын
Sema kiredio umechoma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 11 ай бұрын
Nliwambia nyie mtajavunja mahusiano ya watu na ndoa pia mumeona🤣🤣🤣😜😜
@prospermmary1388
@prospermmary1388 11 ай бұрын
Mm ndo ben na sikutaki tena 😂😂
@emanuelmaeda7809
@emanuelmaeda7809 11 ай бұрын
Reality at it peak
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py 11 ай бұрын
Michepuko so dirii Beniii😅😅😅😂😂
@stevenjosephy4739
@stevenjosephy4739 11 ай бұрын
mpenzi wake kamtaja mpenzi wake 😂😂
@BerthaEdward
@BerthaEdward 11 ай бұрын
Daah 💔💔💔Iyo imeenda
@esterkiyongo2316
@esterkiyongo2316 11 ай бұрын
Daaaaa Mungu wanguuu
@happynkya9770
@happynkya9770 4 ай бұрын
umalaya mbaya sana aisee unaweza kupoteza vitu vingi
@amirially750
@amirially750 11 ай бұрын
Eti unamjua anajibu siyeah haha😂😂😂
@UpepoVlogs
@UpepoVlogs 11 ай бұрын
Alipatwa na kigugumizi maana kaumbuka,Gari kakosa na kaharibu siku yake kwa herufi 3 tu yani "BEN"😂
@khatibuahmad6400
@khatibuahmad6400 11 ай бұрын
Daaàah kiredio umempa manz mtihan mmoja mwepes San na mgumu pia kakosa ndiga kizembe ivi. ivi 😂😂😂
@doreenogola
@doreenogola 11 ай бұрын
Hujui kazi yako kijana unamkubalia kushika simu mbona
@EsterLeonard-l5n
@EsterLeonard-l5n 11 ай бұрын
Pole sister😂😂
@medyelira
@medyelira 11 ай бұрын
Ukute bro alkuwaga hajionyeshi anapesa mbele ya dem🤣🤣🤣kamtaja sponsor BEN ye hana huo mdaaa. Ndo ujifunze🙄
@realdude64
@realdude64 11 ай бұрын
Ben kachana mkeka wa dada😂😂😂😂
@AcrayMdemu-td4kr
@AcrayMdemu-td4kr 11 ай бұрын
😂😂Umetishaaaaaa
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 11 ай бұрын
umetisha kiredio
@noelmbena9565
@noelmbena9565 11 ай бұрын
Ukahaba wake mwenyw umeharibu graduation yake 😂
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 11 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@southernkid6932
@southernkid6932 11 ай бұрын
Mimi tokea jana nilijua tu lazima atakosa tu ikifikia time unaona kabisa mpaka mwanaume anajitoa ivoo anajua kabisa kitacho tokea
@yusuphchiputa4809
@yusuphchiputa4809 11 ай бұрын
Au alikua na mabahasha wenye Hela wengi daah..😂
@FoxJr-lh4fe
@FoxJr-lh4fe 11 ай бұрын
Dash kafeli sana uyo dem
@jabirkhamis5301
@jabirkhamis5301 11 ай бұрын
Nimecheka ki KU###### "ETI KWENYE MA BOYFRIENDS ZAKO UNASHINDWA KUMJUA MTU MWENYE HELA MWANANGU"😂😂😂😂😂😂😂
@omariaman7818
@omariaman7818 11 ай бұрын
Hiki kisa kifatilie vizuri unaambiwa huyo jamaa mwenyewe anaishi life la kawaida sana tu kama bwege halafu sio kwamba anamkwanjaa saaana
@sophiemtitu9921
@sophiemtitu9921 4 ай бұрын
Wadada muwage mnatulia khaaaa
@dinaalfani
@dinaalfani 11 ай бұрын
Mmh.kiredio honger sn njoo na huku ukomeshe wachepukaj jmn n ayb kw kwel
@SophiaSalvatoryLucas
@SophiaSalvatoryLucas Ай бұрын
😂😂msifanye hamjaskia kama kiredio katukana
@gastonfuraha
@gastonfuraha 11 ай бұрын
Duh shd sana
@fredricksabick-hi1fl
@fredricksabick-hi1fl 11 ай бұрын
Usha haribu graduation ya mtu hapo😅
@azizayassin3623
@azizayassin3623 11 ай бұрын
Wanaume wawili kwa wakati moja hpo ndio niishindwa kwenye hii dunia
@AngelAbbah-wc5un
@AngelAbbah-wc5un 11 ай бұрын
Wawil hapo ukute ana zaid ya wawil lkn huyo ben ndo anampenda sana hlf ukute hana maajabu yeyote huyo alomtaja
@رضيهتنزانيا
@رضيهتنزانيا 11 ай бұрын
Usishindwe Tupo wanawake nunaoweza kulidhika na mwanaume mmoja ilahyu kauwa jaman😂😂
@azizayassin3623
@azizayassin3623 11 ай бұрын
@@رضيهتنزانيا 😀😀😀 umala kiwango cha juu kashindwa kutofautisha baba na boyfriend 🙄😏
@azizayassin3623
@azizayassin3623 11 ай бұрын
@@AngelAbbah-wc5un 😃😃😃😃 my na wewe hna kweli majabu yoyote yle
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 10 ай бұрын
Uaminifu kitu cha msingi sna😂😂😂😂
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 11 ай бұрын
Hiyo gari si nipewe mm tu😢😂
@silamwamlima2758
@silamwamlima2758 11 ай бұрын
Hiyo nimeipenda
@witnessinary7807
@witnessinary7807 11 ай бұрын
Wadada wa chuo😃😃😃😃
@jebellwallace3509
@jebellwallace3509 11 ай бұрын
Unamjua yeaaaarrr,mbwembwe nyingi kumbe Malaya tu😊
@obsonjulius312
@obsonjulius312 11 ай бұрын
Hahaha, kijizi kikubwa kabisa, swaga nyingi Yeeeaarh za kutosha
@christinajohn3718
@christinajohn3718 11 ай бұрын
😅😅😅😅mbwa wewe nimecheka hadi machozi
@Jonah_lee.
@Jonah_lee. 11 ай бұрын
Eti kirediooo 😂😂😂😂 tamaaa mbaya sana
@user-fs8ov6ut6d
@user-fs8ov6ut6d 11 ай бұрын
tatizo ni malaya sana anamabwana wengi asa apo alikuwa ajui na bwana gani aliemtumia gari
@linetnyiro9374
@linetnyiro9374 11 ай бұрын
Mamee irudiwe kiredio naomba mwendelezo please yahurumisha jamani siuwe na mmoja jamani mambo gani sasa
@michaelezekiel4297
@michaelezekiel4297 11 ай бұрын
Angekuwa na mmoja si angekuwa na ben ambae asingempa gari ko bado angekosa tu 😂
@MaryBeauty-ck8ne
@MaryBeauty-ck8ne Ай бұрын
Jamani Kuna watu Wana bahati iv mm nipate mtu wa kunipa gali bdo nachet kama ameweza kununua gali ni bingo anampa ila Wanawake muwe na uruma na wanaume jaman
@jaymalebo2159
@jaymalebo2159 10 ай бұрын
Kuma make mademu wa sikuu izi daaaah😅😅😅😅😅
@user-ci2jd3jj5o
@user-ci2jd3jj5o 11 ай бұрын
Na kwa beni kashaharibu pia😂😂😂😂
@ShudaCure
@ShudaCure 4 ай бұрын
Mh aibu naona mm jaman 😢😅😂😂
@JosephLeonardMatemba
@JosephLeonardMatemba 11 ай бұрын
Daah kiredio 🎉🎉🎉 nakutafuta mke Wang nae nione vip
@umukulthumu1419
@umukulthumu1419 11 ай бұрын
Mke hata akiwa namchepuko lazima atakuja ww mumewe mana wake zenu wakutoka nje yandoa huwa wanaiambia muchepuko yao kama anae mume yan hii challenge wanawake waliolewa hawawez kunasa😆😆😆 ila wanaume waliooa wananasa kwasababu huwa wakitoka nje hawawaambii michepuko kama wameoa zaid watadanganya ili tuu wapate ngono
@jumalimbende4021
@jumalimbende4021 11 ай бұрын
mnaachia matusi tu wasenge nyio😂😂😂😂😂
AIBU! AKOSA IPHONE 14 KISA KUCHEAT, KAJA NA BWANA MWINGINE
7:40
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 62 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 16 МЛН
Huyu naye anadoz na malecturer wawili ndo Aeze kugraduate
28:52
Thee Pluto Show
Рет қаралды 145 М.
MPENZI KADANGANYA ANA SAFIRI
10:02
Mr Uky
Рет қаралды 69 М.
Happy birthday to you y blood 🩸
5:16
Akachukwu iwuchukwu
Рет қаралды 314
IRENE NI NANI?? MKE AMTUKANA MUME WAKE, UMEBADILIKA SANA
9:28
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 62 МЛН