Content nzuri sana, kiredio unafanya kazi nzuri sana, but kuna shida hutupei conclusion, embu jaribu kutuunganisha matukio since unaongea na jamaa hadi una kutana na binti and conclusion ilikuwaje
No hii nimegundua ni njia ya kweli hata we unaweza mtumia mpenzi wako zawadi ili kuprove atapokeq mtu sahihi?
@ibrahimally50559 ай бұрын
Kiredio et "mnakunywa soda au?" 😂😂😂😂
@clintonvlogs42579 ай бұрын
Long distance relationships huwa hazifanyi kazi, great content.
@dainesszuber74049 ай бұрын
Yaani hii kila muda naangalia na nacheka sanaa ndugu zangu uaminifu ni muhimu sana Mumewangu popote ulipo Nakupenda sana na kamwe sito kucheat nimelidhia na wewe❤❤❤
@theresiamtewele61659 ай бұрын
Vip kuhusu yeye hakucheat pia😁😁😁
@medyelira9 ай бұрын
😅
@queensalema52629 ай бұрын
Watu wanapewa had iphone mm hata w kunihonga kiswaswadu hakunaa 😢cjui nafel wap
@agnesmasoud9508 ай бұрын
Hio lazima
@albamwanja43049 ай бұрын
Mmmh inatisha sana. Focus on yourselves gentlemen it's a really cold life in this eraa
@dotnatajoseph26203 күн бұрын
Ila wa tz kwenye sekta ya mahusiano sio wa kweli kabisa hii ya Leo kiboko kiredio hata kama aliokutuma kajionea live
@Wdtv8989 ай бұрын
Hao ndo wanawke wa tanzania sasa❤
@shazyahya41219 ай бұрын
Hii inaonyesha wazi 80% ya wanawake wa chuo sio waaminifu cha msingi vijana wanatakiwa kua makini mpende demu kwa maslai tu ya kung'ata na kupotea hata ukisikia rafiki yako amekula demu wako usigombane nae hii generation marafiki muhimu sana kuliko mademu wa chuo ni kausha damu
@daimavlog9 ай бұрын
Kiredio leo umepigwa na kitu kizito siyo kwa kukujia na shemeji yenu😂😂
@tabithayohana85739 ай бұрын
Mungu wangu weee demu kashamjua mshikaji wake ooh my GOD
@paulmrema1083Ай бұрын
napenda kuona watu wanateswa na mapenzi...😅😅😅
@amosdeo95349 ай бұрын
Inachekeshaaa😂😂😂😂😂😂 Hali ya bwan mahusiano ni teteeee
@zainabjordan56599 ай бұрын
Part 2 please
@hellendaniel38099 ай бұрын
Tuko confussion😂😂😂😂😂
@michaelbalele9299 ай бұрын
😂😂😂😂😂 oya mlipona maana at atujaelewa kilicho endelea😅😅😅😅
@FaudhiaSwalehe-tp9ox9 ай бұрын
Kiredio wew mungu atakupa kiti chako
@JanethMaumbi9 ай бұрын
Alafu ni wajina eeh Yesu😢
@user-ef6zt8dr7p3 ай бұрын
Ila kiredio jamn😂😂 muone namaliza bando lang kila siku mpaka nakopa 😅😅😅😅 kisa hiz mamb zako I love you
@maryrich9 ай бұрын
Jmniii part two 😂😂😂
@nuratirama9 ай бұрын
Daaah jamani inauma sana
@nnieraudhwa86119 ай бұрын
Sasa kiredio ikawaje 😅😅mbona mtu aliinuka tuu then fyuu au alivunja camera😂😂😂😂
@oscarjohn4779 ай бұрын
sasa ndo useme kiredio ameishiwa nguvu oviasiii😂😂
@esthermakelemo28649 ай бұрын
Safiiiiiiiii,safi sanaaaaaa, Good job kiredio
@MuleMoviestore21 күн бұрын
Uyo mvulana si julius
@LucyMalingumu-xb2vp9 ай бұрын
Ds dodoma ❤❤
@prudenceeliakimu9 ай бұрын
Daaaah
@dianerditto9 ай бұрын
😂😂😂😂😂daaah...wazee wa kuachanisha mahusiano yaliyofika hatua ya mwisho😅
@blackeagle44418 ай бұрын
😆😆😆 sijapentaaa
@fatmaally99439 ай бұрын
Jamani mapenzi haya 😢
@bashiriissahmgannah57389 ай бұрын
Weee kiredio wewe Mungu anakuona 😂😂😂😂 nakukubali kinoumaa
@matildamushi17419 ай бұрын
Mnakunywa soda au?😅ila wanawake tuache tamaa.
@-_GOGO-L-BAHRY_-9 ай бұрын
Ila nimefurahi SANA man,pale alipo mtambulisha BF wake kabla.
@mvumafamiliy9 ай бұрын
Ulikua unaulazima wa kuuliza kama anaweza kupigana, picha linaanza jamaa kavuta kamera sijui nyie mpo kwenye hali gani 😂😂😂😂😂
jaman kiredio na mr uk 😅😅😅 haraf mr uk nilikuona kwenye mr right
@ShaziaKikoleka2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣bongo hii, tutafika tumechoka sana
@elizabethwilliam82569 ай бұрын
Mwendelezo jamani😂😂😂😂 tuone iliishaje
@zuwenasalim27949 ай бұрын
Kumbe kiredio kupigana huwez,yn mm ningekudunda🤣🤣🤣
@salmazwallo59209 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 et tunakujaa asaiv 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂cjui ataa nachekaa nn
@AthumaniNyagali-uh9so9 ай бұрын
Sema kiredio we mnafiki sana maswali gani hayooo😅😅😅😅😅
@gloriamadati14819 ай бұрын
Ipo siku utarogwa kijana😂😂😂😂😂.......... Sema naikubali kazi yako😂😂😂
@asmahasanirashid50599 ай бұрын
Ila mnasaidia mna hueenda watabadirika
@lilymuro88829 ай бұрын
Mwendelezo
@ElyNego20239 ай бұрын
😂😂😂 Nice work
@user-qu5tx7yw1x5 ай бұрын
Na mimi nataka univunjie mahusiano huku😢😂😂
@Masterclass_Pi2 ай бұрын
@Kiredio Kiukweli nimechelewa kuiona hii ila huyo dada hapana aisee.... Kanikumbusha nilikutana nae Ze Bistro😅😅
@Miasa-rz8le9 ай бұрын
😂😂😂eti unaweza kupigana
@andrewtesha11329 ай бұрын
Hii kalii kmk 😂yan nimejifunzaa kbsa n vyemaq kuishi single tuu huu ujingaaa
@bluelionboyhistory65919 ай бұрын
Mpenzi wangu ajiandae namletea zawadi ila mshenga ni kiredio 😂😂😂😂
@hussainmawanjila68512 күн бұрын
Mbagara lini kak
@neemaelieza56029 ай бұрын
Nmekuja shwaaaaa😂🤣😂🙌🙌🙌
@hellendaniel38099 ай бұрын
Sasa kiredio mpo wawili unawaza kupigwa😂😂😂
@Ramadhani-y6e12 күн бұрын
Kiredio genius
@bluelionboyhistory65919 ай бұрын
Mbona haijaisha😢😢
@user-zo5sx5ko5s10 күн бұрын
Kiledio mm nataka nimchalenji mpenziwangu
@JARIRY9 ай бұрын
karibu singida mzee mwenyewe uje ukiwashe kwa wanyaturu😂😂😂
@nikrahayubu-sz3pw9 ай бұрын
😂z😂😂😂😂😂huko hatar
@user-tg7ol1io8c9 ай бұрын
Part2
@victoriarichard87612 ай бұрын
😂😂😂 jaman mbona mmekatisha aah 😢
@-_GOGO-L-BAHRY_-9 ай бұрын
Sema Sasa,umefeli jambo moja mbona haijaisha.
@dinaalfani8 ай бұрын
❤❤❤❤ kiredio kaz nzur komesh michèpuko
@FaudhiaMiduma-hh6sv2 ай бұрын
😂😂😂
@GraceMayala-go1yp9 ай бұрын
😂😂kilijiri nini
@user-nf1ip7vf7s8 ай бұрын
Wew kiredio unaharibu mahusiano ya watu wew
@moseafrica1-ms5ko4 ай бұрын
Daaaah ninomaaaaaa
@zuhuraMangapi9 ай бұрын
Hahaha wale sabu kiboko yenu kiredio aaaahh
@popoescobatz9 ай бұрын
Tunataka part 2😂😂😂😂
@NellyFrenk-vr6mz9 ай бұрын
Khaaaaaaaaaaa hii ni hatar jmn wanawake tumezidi jmn duuuuuu sijawah kukoment chochot lkn Leo imebid niongee neno duuuuuuu kama wap wadada wa hivi siku yatakuja kuwakuta mamb haiwezekani mtu ana kuhudumia au anakufanyia Surprise Kam hiy ww unaleta mambo ya ajabu na ya haibu pia khaaaaaaaaaaa 🙆🏽
@NellyFrenk-vr6mz9 ай бұрын
Na pia pongezi ziende kwakwako kiredio watu watajifunza na kujirekebisha kupitia ww
@user-lz2ch4hr1y9 ай бұрын
😂😂😂daah
@sarahjoseph54119 ай бұрын
Dada kama kweli una mashaka gani kiredio usipige cm hahahahhaha jmn
@TinahThadeo2 ай бұрын
Khaaaaa😂😂😂😂 nimecheka sana
@mwapendosultan8879 ай бұрын
apo Kwanza nicheke😂😂😂
@thomaschindeka70229 ай бұрын
me mapenzi basi tena😂😂😂😂🙌🙌
@BenNdege-ke4wd9 ай бұрын
Jamani mbona mmeikata hatujaona mwisho 😂😂😂umbea kazi nyie
@user-xt1ci3px3f9 ай бұрын
Yaani Mimi natetemeka Mungu wangu
@subiramassawe86879 ай бұрын
Kiredio ban😂😂😂 eti kila mtu ajue
@RamsoMabumba2 ай бұрын
Zanzibar tokae mzee
@michaelbigvai11999 ай бұрын
Somo la kuondoka nalo hapo jifunzeni kuweka mbali camera
@deborahmchona55849 ай бұрын
Daaaaah 😂😂😂😂😂😂
@humphreymhule7339 ай бұрын
Inabidi nikutume na mimi maana😅😅
@mswahilitz16148 ай бұрын
Next
@medyelira9 ай бұрын
Ety hii ni kali bora ya gari😂😂😂😂, hapa ni wapiiiii
@goodluckmzuzuri2 ай бұрын
Dah!! Kadadaa kamechanganyikiwa!! Baada ya kujua kayakanyaga hataki kuharibu pande zote! Ni nouma wadada wa chuo