SOMA HII SURA HATA MAADUI WAKIWA WAMEKUZUNGUKA UTAWAPOTEA - SHEIKH OTHMAN MICHAEL

  Рет қаралды 122,502

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Пікірлер
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 7 ай бұрын
Aaamiiin inshallah 🙏 ❤️ allah atujaalie tuwe miongoni mwa mwisho mwema😊
@nuruddin5074
@nuruddin5074 3 ай бұрын
SHUKLAN SHEIKH WETU ALLAH AKUPE MAISHI MWEMA NA SS PIA WANFUZ WAKO 🤲🤲🤲🤲
@user-hq8nj7zf9
@user-hq8nj7zf9 10 ай бұрын
Asalam alaikum warahma tullah wabarakatuh Shekhe nashkuru sana sana ningelijuwa unapo ishi ningekufa nipate Elim zaidi na zaidi
@KingiOfwar
@KingiOfwar 6 ай бұрын
Allah akupe bora kuliko unalo muomba
@رحمهكيبوندا
@رحمهكيبوندا Жыл бұрын
Subhana Allah wabihamdih...Allah akupe kla hitaji la nafsi yko inshllah sheikh wetu
@SophiaHakika
@SophiaHakika 11 ай бұрын
Mashallaah hakika unatupa faraja mungu akupe zaidi umli mlefu na afya njema amiina
@DaFey-u7e
@DaFey-u7e Жыл бұрын
Allah akulipe mara dufu inshaallah 🙏
@OmanOman-vf3li
@OmanOman-vf3li 5 ай бұрын
Mashallah Mungu Atusaidiy
@FatumaMwalimu-f6w
@FatumaMwalimu-f6w 7 ай бұрын
Inshallah naomba Allah atupe husnul hatima,indhall heading....
@WaSa-j7l
@WaSa-j7l 4 ай бұрын
Wallah nataman huyu shehe nimkabidh mwanangu wa kiume amfundishe hii kaz nataman sana mwanangu aifanye hii kaz. 😢insha allah
@FatumaMwalimu-f6w
@FatumaMwalimu-f6w 7 ай бұрын
For me it very nomol I like you from tha bottom of my ❤️
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed Жыл бұрын
Alhamndulillah, Mafunzo Mema naomba niwe Mwanafunzi wako nitafuatilia Maelekezo.Inshallah.Namuomba ALLAH Akupe Maisha Marefu.Amiina.
@Jdshhd-rr3zy
@Jdshhd-rr3zy 5 ай бұрын
Amiin thuma amina yarabi ustadhi Allah atujalie mwisho mwema inshallah
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 11 ай бұрын
Amina .shekhe ❤❤❤❤ Amina
@FatumaMwalimu-f6w
@FatumaMwalimu-f6w 7 ай бұрын
Inshallah naomba Allah atupe husnul hatima,indhall heading....thanks Alot
@AishaMubaraka
@AishaMubaraka 4 ай бұрын
Assallam aleikum warahmatullahi wabarakatuh sheik Allah akupe kher inshallah unanipa faraja na darza yako naomba nifanikiwe na mm inshallah natokea Kenya 🤲🤲
@muniraabdallah-y4w
@muniraabdallah-y4w Жыл бұрын
Mashaallah allah akupe kila lenye kheri duniani na kesho akhera
@mariamsaidaboud4959
@mariamsaidaboud4959 Жыл бұрын
Ameen yaa Rabbil Alameen
@FatumaMuya
@FatumaMuya Жыл бұрын
Amii
@AliBakari-k1e
@AliBakari-k1e Жыл бұрын
mm nikutoka KENYA, MOMBASA shk Athman ALLAH akulipe ujra mwema duniani nakesho aakhera, aamin
@kalamuMedia
@kalamuMedia Жыл бұрын
Akulipe nawe
@mariamsaidaboud4959
@mariamsaidaboud4959 Жыл бұрын
Ameen yaa Rabbil Alameen
@sabontumohamed9192
@sabontumohamed9192 4 ай бұрын
Amiiiin yaa rabbi 🤲😭
@MuhammadiNasoro-mo5ji
@MuhammadiNasoro-mo5ji Жыл бұрын
Huyu shekh nampenda sana kwa ajilya allah amlipe kher inshallaah sjuw anapatikna wap tukachote elim kama hii wallah.
@sultanasalim5177
@sultanasalim5177 Жыл бұрын
Dar kiwalani bombom bila kukosea
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 Жыл бұрын
Link yake iyo nenda utajua alipo na Namba utapata hapo kama unamuhitaji
@salimhaji9040
@salimhaji9040 Жыл бұрын
@salimhaji9040
@salimhaji9040 Жыл бұрын
@saidaabdalla2854
@saidaabdalla2854 Жыл бұрын
JazakAllwahu khairan, Shukran kwa kutuelimisha
@SalimuMwantumu
@SalimuMwantumu Жыл бұрын
❤ allh akubarik Ishaalh silali bila kukuskiza nakuyafanyia kaz wallh nimefanya adhkar nilikua na mitihani wallh imeniongoka
@HamidaMussa-k8x
@HamidaMussa-k8x Жыл бұрын
Jazzak Allahu khaira shekh darasa lako ni zuri najifunza vitu vingi kupitia darasa lako Allah atakulipa
@mohamedngaugia7911
@mohamedngaugia7911 Жыл бұрын
Yuko vizuri sana Shekhe huyu Mungu ampe Mema atuelimishe
@hafswanaaman2911
@hafswanaaman2911 Жыл бұрын
MM NATOKA KENYA MOMBASA MASHAALLAH MASHAALLAH MUNGU AKUJAZI KHERI AKUPE UMRI TWAWILI ❤❤❤
@leonardofaruk1077
@leonardofaruk1077 Жыл бұрын
Ameen
@HalimaTunutuTunutu
@HalimaTunutuTunutu Жыл бұрын
Asante kwa mawaidh mazuri
@Mejumaa-v3g
@Mejumaa-v3g Жыл бұрын
Mashaalah lazima niifanyie bidii niijue biidhin ahi
@KhadijaJuma-f8d
@KhadijaJuma-f8d Жыл бұрын
Assalam aleikum sheikh othman Michael maashallah Allah akuweke akuonge umri twaweel maashallah mawaidha yako na dawa zako alhamdulillah
@buhitexmohamed4785
@buhitexmohamed4785 Жыл бұрын
Mashallah nakupenda kwa jili ya Allah
@kamandaaron-gc7lh
@kamandaaron-gc7lh Жыл бұрын
Jazzak allahu khaira shekh darasa lako nizuri najifunza mengi
@MwinyiMwanashabani-pi9lf
@MwinyiMwanashabani-pi9lf 4 ай бұрын
Jazakallah
@zuhurasaid1097
@zuhurasaid1097 Жыл бұрын
Aaw mm ni mama Niko na shida Dani ya miaka kumi sasa Niko Kenya MSA nimekaliwa na uchawi mda wote huko kama utafika Kenya karibuni nijuwe uko wapi nine nikuone tafadhal huwa nasikiza sana darsa zako akujaze Allah wabillahi taufik
@zeinabjuma9389
@zeinabjuma9389 Жыл бұрын
Masha Allah Mola azidi walinda n dua zenu zitufikie na elimike zaidi
@leylasaid9641
@leylasaid9641 Жыл бұрын
MASHAALLAH UMETULIA MAWAIDHA YAKO YANAINGIA VIZURI.
@FridaMajii
@FridaMajii Жыл бұрын
Mashaalah sheikhe Allah akulipe Kila hatua maan huw nahix km nko kwa pepo ninapockia mawaidha yko
@harithlamela7588
@harithlamela7588 Жыл бұрын
Asante mungu akulipe pepo
@saidaabdalla2854
@saidaabdalla2854 Жыл бұрын
JazakAllwahu khairan Shukran kwa kutuelimisha
@AdidjaNyirasafari-u6i
@AdidjaNyirasafari-u6i Жыл бұрын
Allah akudjaze he kher
@ZainaRashid-t3m
@ZainaRashid-t3m Жыл бұрын
Alhamdulillah Sheikh wangu Allah akulipe wema
@BoraSalumu
@BoraSalumu Жыл бұрын
Allah akupe maisha marefu yenye kheri
@zainabolenga2829
@zainabolenga2829 Жыл бұрын
Allah akujaze ilm kwa wifi shekhe akuepushe na shari za pembe nne za duniya.
@niyongiraidi7242
@niyongiraidi7242 Жыл бұрын
Allah akuzidishie kira raheri
@AminaBalozi-h8m
@AminaBalozi-h8m Жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe mwisho mwema
@ahmedhamisi-jc2hs
@ahmedhamisi-jc2hs Жыл бұрын
Shukuran Sana shekh wangu kwa nasaa nyenye mazingotio
@buhitexmohamed4785
@buhitexmohamed4785 Жыл бұрын
Mashallah Allah atujalie watoto wetu wabadilike
@mac_browntz4095
@mac_browntz4095 Жыл бұрын
Amiin InshaAllah Allah Akupe maisha marefu na mwisho mwema
@khalfansuleiman6206
@khalfansuleiman6206 Жыл бұрын
MAASHAALLAAH ALLAAH AKUPE UMRI MREFU WENYE MANUFAA KTK DUNIA NA AKHERA YAKO
@rahmaali916
@rahmaali916 11 күн бұрын
Shukran jazakallah
@joycebongo9275
@joycebongo9275 Жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie
@mariamsaidaboud4959
@mariamsaidaboud4959 Жыл бұрын
Ameen yaa Rabbil Alameen
@TeddyMtonga
@TeddyMtonga Жыл бұрын
Napenda kukusikiliza mda wote mimi marshall ah
@FatmaHassan-g2g
@FatmaHassan-g2g Жыл бұрын
Mashallah jazakallah khaira
@ZainabuMsuya-gk3dt
@ZainabuMsuya-gk3dt Жыл бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh
@rahmamohammed9678
@rahmamohammed9678 Жыл бұрын
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA JIMAIN ❤️❤️❤️ Jazak Allaahu kheri yaa sheikh Othman Michael
@maryamally3085
@maryamally3085 Жыл бұрын
Jazzakallah kheir Sheikh 🙏🙏🙏
@mustaphakiluke1941
@mustaphakiluke1941 Жыл бұрын
JazakaAllah khaira Sheikh
@hafswanaaman2911
@hafswanaaman2911 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mungu akujazi kheri akupe umri twawili
@shuweyaabdulkarim3261
@shuweyaabdulkarim3261 11 ай бұрын
Anapatikana buguruni
@halimasaid4977
@halimasaid4977 Жыл бұрын
Allahuma bariki shukran jazaqalahu khairan
@OmanOman-rk7gz
@OmanOman-rk7gz 9 ай бұрын
Manshaallah
@shekhasufiani5950
@shekhasufiani5950 Жыл бұрын
We love you fr the sake of Allah
@rahmashabani9738
@rahmashabani9738 Жыл бұрын
Maashallah allah akulipe
@SalmaBakari-b4h
@SalmaBakari-b4h Жыл бұрын
Jazaka llahu kher Allah akulipe ujira mwema
@mariamsaidaboud4959
@mariamsaidaboud4959 Жыл бұрын
Ameen yaa Rabbil Alameen
@FatimaJuma-i1q
@FatimaJuma-i1q Жыл бұрын
Masha Allah, shukran Sheikh, Allah akuhifadhi
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Жыл бұрын
Jazakallah khaillah
@abubakarnassor8280
@abubakarnassor8280 Жыл бұрын
😅😂anamkonyeza mtume chakula tayar good ilike it
@ramadhanimambea3643
@ramadhanimambea3643 Жыл бұрын
Masha Allah 🙏🙏🙏
@asa121amenahtanakshfrombur5
@asa121amenahtanakshfrombur5 Жыл бұрын
Mandhaallah tabarakallah fik allahu akujaze heri nahekima
@Shakila-t3c
@Shakila-t3c Жыл бұрын
Aslm alkm ww.... Masha Allah!!! Hata wewe sheikh wetu kipenzi una Mzaha mwingi katika mawaidha Yako. Mzuri Kwa Mzaha Masha Allah. Allah akulinde 🙏. Jazakallah kheir.
@kalamuMedia
@kalamuMedia Жыл бұрын
Aaaamin
@HabimanaAbdaul
@HabimanaAbdaul Жыл бұрын
@@kalamuMedia 00 ĺ
@HabimanaAbdaul
@HabimanaAbdaul Жыл бұрын
@@kalamuMedia Ĺ Llllllllllĺlĺll
@mariamsaidaboud4959
@mariamsaidaboud4959 Жыл бұрын
Ameen yaa Rabbil Alameen
@KobaAbbas-v5c
@KobaAbbas-v5c 2 ай бұрын
Shekh naomba niwe mwanafunzi wako please 🙏
@zainabuabdi8549
@zainabuabdi8549 Жыл бұрын
As Salam aleikum warahmatullahi wa barakatu.jazakhapahu kher
@shekhasufiani5950
@shekhasufiani5950 Жыл бұрын
Shukran sana may Allah rewards you more thanks alot
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py Жыл бұрын
Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.
@shamilamchimiler2514
@shamilamchimiler2514 Жыл бұрын
Masha Allah
@HalimaSasya
@HalimaSasya Жыл бұрын
Jazaqallah khayr
@aminamwanzi1568
@aminamwanzi1568 Жыл бұрын
@ClemenciaFoalima-zg5no
@ClemenciaFoalima-zg5no Жыл бұрын
Faida tunapata sana
@maryamhassan1154
@maryamhassan1154 Жыл бұрын
Jazaka wallahu lkheir sheikh
@halmahalishi1345
@halmahalishi1345 Жыл бұрын
mashaAllah... Jazzakallahu kheyran
@faizunmohd9839
@faizunmohd9839 Жыл бұрын
Mashaallah tabarakallah
@MasnamussaPp
@MasnamussaPp Жыл бұрын
Tabaraqa llwah
@LEYMAXCAKES
@LEYMAXCAKES Жыл бұрын
❤ it’s very good
@RehemaYusuph-jv9xb
@RehemaYusuph-jv9xb Жыл бұрын
Shekhe naomba namaba yako ninashida
@gamalashur5412
@gamalashur5412 Жыл бұрын
MAA SHA ALLAH TWAPATA FAIDA KUBWA
@AliBakari-k1e
@AliBakari-k1e Жыл бұрын
Kwanamna unavyouelimisha umma wakiislamu .
@rukaiyalema7966
@rukaiyalema7966 Жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@rahmahasan32
@rahmahasan32 Жыл бұрын
Amiin
@AllyNgale
@AllyNgale Жыл бұрын
Mashaallah safi
@ThaniaAli-zb3lk
@ThaniaAli-zb3lk Жыл бұрын
Zadakallahu ilmaan wal afya.
@HarrisonMasha-z4p
@HarrisonMasha-z4p Жыл бұрын
Nitumie nomber yako sheheh
@FatumaMwalimu-f6w
@FatumaMwalimu-f6w 7 ай бұрын
Sorry I mean 🎉
@muna9741
@muna9741 Жыл бұрын
Mashaallah
@asa121amenahtanakshfrombur5
@asa121amenahtanakshfrombur5 Жыл бұрын
😂Manshaallah kisakitamu chenyeladha mubashara
@Vauxhallmental
@Vauxhallmental Жыл бұрын
Maneno ya hekima shekh!
@SaliIddi
@SaliIddi 2 ай бұрын
Je kama kazaliwa mwisilam na akatoka kwenye wiisilamu akatwe shingo lake?
@RehemaMgongwe-di3yf
@RehemaMgongwe-di3yf Жыл бұрын
Ama kwa hakika mafunzo nimazuri
@FatumaAbdallah-n7c
@FatumaAbdallah-n7c Жыл бұрын
Nikweli nakama ulikuwa na matatizo anakusaidia Sana
@hajingunde9998
@hajingunde9998 Жыл бұрын
😊😢
@mkanaonlinetv2994
@mkanaonlinetv2994 Жыл бұрын
Allah atujaaliye kiipata pepo
@mariamsaidaboud4959
@mariamsaidaboud4959 Жыл бұрын
Ameen yaa Rabbil Alameen
@FatumaMuya
@FatumaMuya Жыл бұрын
Allahumma Amiin
@Jumanull-ui6pm
@Jumanull-ui6pm Жыл бұрын
Maneno ya ukweli kabisa mimi ninayasadiki kwa yaqiin kabisa,nilikuwa nikimfanyia visomo dada mwenyekupatwa na majinni akapoteza nguvu kabisa kiasi cha kushindwa kusimama wallah thumma wallah mapak naogopa na watu waliniona si binadamu wa kawaida nilichukua maji nikayasomea aya nambari 12 katika surat yasin inayosema inna nahnu nuhiy mauta wanaktubu maa qadam wa atharahum wakula shayn ahswainahu fiy imamim mubiin nikampaka maji yale mikononi akakunja ngumi nikampaka miguuni akanyoosha miguu nikamwambia nyanyuka akanyunyuka ndani ya sekunde 3 wallah watu wakasema kweli huyu ni ustadh na hatuwah ona mtu wa namna hii
@AminaHamadi-bw6vw
@AminaHamadi-bw6vw 4 ай бұрын
Ulisomea mara ngapi kwenye maji
@abdulhakimhussein6039
@abdulhakimhussein6039 Жыл бұрын
Ao km kuna yeyote anaemiliki number yake basi anisadiye
@kalamuMedia
@kalamuMedia Жыл бұрын
Sheikh Othman Michael +255 784 122 858
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 Жыл бұрын
Hiyo sura ni gani ustadh tafadhali???
@abubakarbwika8397
@abubakarbwika8397 Жыл бұрын
Suratul Yassin sikiza mawaidha vizuri.
@firstlady9848
@firstlady9848 Жыл бұрын
Yaa siin
@abdulhakimhussein6039
@abdulhakimhussein6039 Жыл бұрын
Naomba km Cheikh Uthman mwenyewe anaona hii msg , anisadiye na number yake ya WhatsApp jamani
@Oabdiomar
@Oabdiomar Жыл бұрын
Mashallah allah akujazie
@HassaniMwamedi
@HassaniMwamedi 5 ай бұрын
Masha allah
@flowerbee5704
@flowerbee5704 Жыл бұрын
Mashallah
KISA CHA MARAFIKI WAWILI TAJIRI NA MASIKINI // SHEIKH OTHMAN MAALIM
44:49
HII SALA YA MTUME USIIWACHE FUNGUA RIZIKI POA MARADHI BADILISHA MAISHA
1:06:37
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 74 М.
Fanya Hivi Ili Dua Yako Ijibiwe Kwa Haraka Zaidi - Sheikh Othman Michael
24:32
AFARTANKII (40) QISO OO UGU SAAMEYNTA BADNAA_2022 iyo 2023_ SHEIKH MUSTAFA.
3:26:03
IFTIN BROTHERS STUDIO
Рет қаралды 2,5 МЛН
Vitu 6 hatari katika Maisha yako - Sheikh Othman Michael
27:26
Si kila ukweli ni wa kusema -Sheikh Othman Maalim
24:59
Kalamutz
Рет қаралды 134 М.
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:19