KISA CHA MAYAHUDI KUGEUZWA MANYANI //SHEIKH OTHMAN MAALIM

  Рет қаралды 47,740

arkas online tv

arkas online tv

Күн бұрын

Wayahuki walipinga amri ya ALLAH kutofanya kazi siku ya SABATO ndipo wakaadhibiwa kwa tamaa zao

Пікірлер: 66
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 10 ай бұрын
MashaAllah Namuomba Allah (s.w) aniongezee upendo wangu uzidi Kwa mtukufu wa daraja kipenzi chetu mtume Muhammad (s.a.w). Ameen
@mangashajunior242
@mangashajunior242 10 ай бұрын
Hadithi za kizee zisizo na maana mtume Paulo alionya tuziepuke....
@jumahamad3723
@jumahamad3723 10 ай бұрын
Maaashallah Allah akulipe ujira ulio mwema Kwa darsa nzur
@AllyMtukah
@AllyMtukah 5 ай бұрын
Mashallah
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 10 ай бұрын
mpaka leo laana inawaandama
@ruweydaharith2429
@ruweydaharith2429 10 ай бұрын
Mashallah tabarakal Allah
@maalimkaisitv8385
@maalimkaisitv8385 10 ай бұрын
mashallah Allah atuhifadhie sheikhe wetu
@user-rk2dd5kq2f
@user-rk2dd5kq2f 4 ай бұрын
Mashallah ya rabbi akuzidishie elim
@ahmedmpimbi9684
@ahmedmpimbi9684 10 ай бұрын
Allahu akbar, hv ni mimi tu ndio naona sheikh anasoma quran vizuri au?
@miskyabdillah7451
@miskyabdillah7451 10 ай бұрын
Mashaalh hadithi za mtume Muhammad S.A.W zina ladha. Alhmdlh ❤
@AishaHassan-xy2yv
@AishaHassan-xy2yv 10 ай бұрын
Mashaallah
@hamadtv294
@hamadtv294 10 ай бұрын
Kumbe mayahudi wanabalaa toka zamani
@user-jj1sl7dd7p
@user-jj1sl7dd7p 10 ай бұрын
Mashalha mashalha😊😮
@user-uq5zn3mq7c
@user-uq5zn3mq7c 10 ай бұрын
Allah akuhifadhi shekh
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 10 ай бұрын
Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py 10 ай бұрын
Masha Allah tabarak Allah kheri
@aminajumale6805
@aminajumale6805 10 ай бұрын
Jazakallahu kheir ❤❤❤
@user-gi3mp8nf2v
@user-gi3mp8nf2v 10 ай бұрын
Mashaallah mashaallah ❤❤
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 10 ай бұрын
Mashalla Allah
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 10 ай бұрын
MashaAllah
@mifunga3414
@mifunga3414 10 ай бұрын
Allahuakbar
@user-fj8kw6vt2v
@user-fj8kw6vt2v 10 ай бұрын
Mashaalaa
@paschalcosmas6093
@paschalcosmas6093 10 ай бұрын
Hizo Hadithi dah!...Mungu anajua
@adkajisi4536
@adkajisi4536 10 ай бұрын
Wanafarijiana hatarii
@salimakida95
@salimakida95 7 ай бұрын
Bado hamjasema
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 10 ай бұрын
Jamani acheni hadithi za uongo, hii si sawa na ile yà wanasayansi eti binadamu wote tulikua manyani.
@nassirhaji3608
@nassirhaji3608 10 ай бұрын
We acha usenge miongoni mwao
@user-sy3qw2zk1b
@user-sy3qw2zk1b 10 ай бұрын
MUogopeni MUNGU.acheni hadidhi za uongo. Je mbona husemi kama haohao manyani ndio waliokula chakula kutoka peponi? Mana!
@nassirhaji3608
@nassirhaji3608 10 ай бұрын
We mtu acha upumbavu hukuambia walijua ndo asili Yao umeambiwa walikabisha Ahadi na wakaenda kinyume kwaiyo wakapewa Azabu kisilize icho kisa sio kichwa Cha habari
@nassirhaji3608
@nassirhaji3608 10 ай бұрын
So awo mayahudi ni ndugu wa manyani umenielewa hao wanatabia za kinyani ndio maana mpaka Leo wanawaandama ndugu zetu was palestina lkn ALLAH (s.w) eshaweka Ahadi kushinda kwao no Kwa mda mfupi na dhulma haidumu awo nakuahidi watakuja kupigwa wake wajiulize na watafutane
@mangofish9079
@mangofish9079 10 ай бұрын
​@@nassirhaji3608hapana bwana ukishaumbwa binadam ndio umeumbwa binadam hio ni aya "mutashabihat" ktk quran iliposema "wakageuzwa manyani" haina mana waligeuzwa viwiliwili bali matendo yao na hivyo ndivyo hadi vizazi sasa vimendelea kuwa na tabia za unyama waunyani. Na kuna sababu kwanini ametajwa nyani. Kijana kasome hawa mashehe wetu elimu yao wamesomeshwa quran kwa upeo wa miaka 1, 4000 iliopita na wao wanapita mule mule tu hawana upeo wa kuleta tafakari juu ya baadhi ya tafsiri ktk quran.
@kibavumrisho3495
@kibavumrisho3495 10 ай бұрын
Usilojuwa uliza uenda hata vitabu vingne muanivyo ipo hyo ulizeni uislam ni dini ya kusoma
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 4 ай бұрын
Assalam aaleykum wa rakhmatullah wa barakatuh chekh naomba namba yako ya sim nina kitu nataka unisaidie kwakwel mana nimeshakosa lakufanya naona utanipa msaada
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 10 ай бұрын
Hiyo haina shaka na ndio maana leo nibora kugonga binaadamu kuliko kima .tunayaona jozan pale..kumbe mikafir inajuwa kuwa ililaaniwa na Allah na ndio maana wanaupiga vita uislamu kila kina ya dunia eti kushindana na Allah ,huko ni kujidanganya ..moto wenye muako mkubwa unawasubir huko akhera..Allah atuepushe na adhabu zake..hizo azabu ziwafike hao awanai tetea ushoga na kuwauwa wapelestina kisa ni waislam
@janetmwende7280
@janetmwende7280 10 ай бұрын
Muhammad alikufa na hatawai kuja tena,tunamgoja yesu mnaomkataa siku ya kiama,adhabu itawapata tu mhamed anahukumiwa na waislamu wezake
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 10 ай бұрын
Mimi nadhani uislam ndiyo unapinga ukristo na uyahudi na Koran inasema piganeni na Wakristo na wayahudi na ndiyo maana nchi kama Saud Arabia, Pakistan, Kuwait wanaua Wakristo kwa hofu kwamba dini yao itakimbiwa
@user-rt1wf6se5f
@user-rt1wf6se5f 10 ай бұрын
Uongo wew unaekubaliana na ushoga sis syo wabaguzi
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 10 ай бұрын
Anae kubaliana na waizirail au wamagharibi huyo ni shoga kama alivo sema Mungu wenu papa fransis kuwa Mungu wenu anakubaliana na ushoga kwahiyo ww ni miongon mwao ila jiandae na moto wa jahanam...
@zakariamalembela3974
@zakariamalembela3974 10 ай бұрын
​@@muhammedbakari2867Leo ndiyo nimesikia muislam akimtambua kama Mungu, pole sana ndugu fuatilia upapa ni nini na kwanini kuna madhehebu hayanaa cheo cha papa utaelewa, usiropoke kufru zisizopo.
@mousableus
@mousableus 10 ай бұрын
Awus na fasaraji abul baba khalifa wa ma awus. ( mayahudi waligewuzwa Ma kima na manyani )
@sadiqselengu4197
@sadiqselengu4197 10 ай бұрын
Nakuomba ukimaliza vipande vipande utupie kisa kizima kutoka mwanzo mpk mwisho
@mohammedali-qv2jo
@mohammedali-qv2jo 10 ай бұрын
we chalakulende hunaakili wao wenyewe hiyo hadisi wapingi wewe unapinga kwani kwa mungu kitugani hakiwezekani wewe tafuta elimu japokwenye bibilia yako
@user-gi3mp8nf2v
@user-gi3mp8nf2v 10 ай бұрын
Ww vp mbn huweelewk
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 10 ай бұрын
Ukweli utabak kuwa ukweli tu ..sasa kama wew umechukia Hawa mayahudi kuwa manyan badilisha hiyo uwageuze binaadamu tena kama ww kidume kweli😂😂😂😂😂😂😂..
@user-dc3bj8mv8s
@user-dc3bj8mv8s 4 ай бұрын
Mataifa zaidi ya hamsini yakisram wamewashindwa mayahudi afu mnasema nini yie waisramu hamna maana mayahudi kiboko yenu wachache sana ila nimwimba kwa mwaisramu noma,
@listonjiwe3467
@listonjiwe3467 10 ай бұрын
Shehe wewe mwenyewe waarabu wanakuona nyani
@user-rt1wf6se5f
@user-rt1wf6se5f 10 ай бұрын
Tupo kweny Imani waarabu wote ndio wastaraabu sawa au weusi wote ndio wastaraabu sawa au wazungu wote ndio wastaraabu sawa!!!!
@abdallahhamisi45
@abdallahhamisi45 10 ай бұрын
Waarabu gani hao. Hata mimi na wewe imani hatuko sawa. Ila mtume wa Mwenyezi Mungu Mohammad SAW hayuko hivo
@zephaniamanembe6929
@zephaniamanembe6929 10 ай бұрын
Myahudi asili take ni mweusi na wewe ni myahudi usiyejitambua, mfalme suleimani anakili kua ni mweusi. Iweni na ufahamu, wimbo uliobola 1: 3
@abdallahhamisi45
@abdallahhamisi45 10 ай бұрын
😂😂😂😂 sasa umeandika nini. Kuwa mweusi na kuwa nyani kuna uhusiano gani. Ndugu wa kima na manyani ni wayahudi. Kwanza hao wayahudi wana wabagua wenzao wenywe asili ya Ethiopia. Kichwa kile
@TeddyMgen-zl3hp
@TeddyMgen-zl3hp 10 ай бұрын
Wadanganye wajinga wenzako
@Putin331
@Putin331 9 ай бұрын
Mjinga mamaako
@idrisalimapema2539
@idrisalimapema2539 9 ай бұрын
Twambie ww ukweli
@salimakida95
@salimakida95 7 ай бұрын
Wajinga ni wale wanaouziwa jiwe la kiomoni wakaambiwa Lina upako 😂
@user-vh1ex6te2o
@user-vh1ex6te2o 6 ай бұрын
Mjingaaa ni wewe na huyoo aliyee kuzaa..
@lookmanlookman6297
@lookmanlookman6297 6 ай бұрын
Huyo anaeipinga ni mfuasi wa lucifer make mngeambiwa ukweli kiasi gani mngepinga tu
@user-rz6qp6gd3g
@user-rz6qp6gd3g 9 ай бұрын
Mashallah
KIMETOKEA NINI BAADA YA KUFA HAMZA- SIMBA WAMUNGU - DR SULE
30:12
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 96 М.
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 16 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 37 МЛН
KISA CHA SAAD BIN WAQAS// SHEIKH OTHMAN MAALIM
39:35
arkas online tv
Рет қаралды 47 М.
ALAMA ZA KUPENDWA NA ALLAH || SHEIKH KOMBO ALLY FUNDI ||
3:58
ABUUKHUBAYY
Рет қаралды 11 М.
KISA CHA NABII YUSUF - Sheikh Othman Maalim
1:12:49
Arahman Tv Online
Рет қаралды 34 М.
041 2 OTHMAN MAALIM MARADHI YA NAFSI
1:09:22
HABARI MOTO MOTO TV
Рет қаралды 35 М.
068 OTHMAN MAALIM....UKAIDI WA BANI ISRAEL
1:18:51
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 468 М.
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 16 МЛН