Mashaallah tabarak rahmani alhamdulilah namshukuru allah kutuletea othuman maal Allah atujaalie kher wewe na familiya yk ameen
@SaidKumbi6 ай бұрын
Allah azid kukulinda sheikh wangu, nilikupenda kukusiliza toka nilipo kuwa mdogo sana
@AnamiMoussa7 ай бұрын
Mwenyezimungu akupe mwisho mwema.Tunanufaika kwa Kila mawaidha yako yote .Hamna mawaidha yasiyo kuwa Mazurie kwenye vidéo zako zote.
@nabillsuleyman51885 жыл бұрын
Yaa Allah muongowe mja wako huyu pamoja na sie tuongowe ktk njia iliyonyooka wawah nimebadilika kitwabia najiona Niko tofauti najiona kwa kuskiliza mawaidha kwa kipindi cha mda mrefu sina cha kukulipa ispokua Allah atakulipa
@user-to6up4hg2w10 ай бұрын
Mashallha ❤❤ i like him may Allah protect you sheikh
@rokiroki18254 жыл бұрын
ALLAH akulipe kher sheh Usman nikisikiliza maidha yako moyo wangu huingia imani
@fisabillah-o7r9 ай бұрын
Maa Shaa Allah Sheikh wetu kwa elmu... Jazakallahu kheri. Dawa ya siku za mazama haya ni masheikh kutukana masheikh wengine ndio mtihani wetu tulionao. Allah awape akili wapate kutafakari.
@ibrahimthani66855 ай бұрын
MashaALLAH tabaraka ALLAH ALLAH akujaalie umri twawel ALLAH akupe kheir nyingi sn ww na wazee wako mm nimsikizaji kubwa wa mawaidha yako yanatuelimisha Alhamdulilah
@hawaa22274 жыл бұрын
Ma sha Allah Rahman shekh othuman mwenyezi mung azid kukuongoza uzid kutukumbusha na in sha Allah mung atupe shahada wakati wa kuondoka kwetu yarabbiy jannaty Fridaus akatukutanishe pamoja na mtume MOHAMMAD SWALALLAHU ALEYHI WASALAM
@eshasaid32588 ай бұрын
Sheikh allah akuhifadhi duniyani❤❤❤❤❤ shukrani zako kwa allah wajalla❤❤❤❤❤
@abuujuma15754 жыл бұрын
Ustadh abuu bakar Masha Allah mungu atujalie tuwe miongon mwa watu wema peponi amiiin na mungu akujalie malipo mema shehe Othman maalim na atuingize peponi sisi na ww pamoja na mtume ( s,a,w) tukiwa pamoja amiiin
@halimaramadhan20004 ай бұрын
Amiin yaa Rabb
@sandramtumwa22186 жыл бұрын
Jazakallahu'khairy. Nakushukuru daina ustadhi Othnan kwa kunirudisha katika mstari hu. Hakika Allah atakulipa leo na kesho Akhera. Kila nikitetereka ktk iman nikikusikiliza basi ibra kubwa na narudi kwa Allah.
@ginimbidombo15404 жыл бұрын
N
@fauziajuma27936 жыл бұрын
Mashakhallah.mungu.akuweke.uzidi.kueremisha
@sadasada12916 жыл бұрын
yaraab tunusulu ss waja wako tuwe wenye kutubia na utukubalie tauba zatu hakika ww ni mwenye kusamehe Aamiin
@SaidiMaheshe5 ай бұрын
Mashaallah vizuri sana sheikh wangu
@muniramohamed88876 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha amin
@jafarykangwa25883 жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe nyingi her pia. atujalie tuwe waja wema
@birdofpry38976 жыл бұрын
Shukran sheikh wetu kwa mawaidha mazuri unayo tupatia tunamuomba Allah atujaalie tuwe ktk waja watakaotubia mazambi yetu tuwe ktk miongoni mwa waja wema watakao ingia peponi
@kijogooayubu27304 жыл бұрын
Maashaallah
@jamalathman62194 жыл бұрын
Mashallah sheikh othman, Allah ajalie niwenye kusikia na kuyafuata kwa vitendo,mungu akupe umri mrefu akulinde na mabaya inshallah
@imraniqbal007656 жыл бұрын
Allah akulipe ujira mwema na janna iwe mafikio yako mwisho mwema iwe ndio mwisho wako
@AnamiMoussa7 ай бұрын
Sheih Nilitaka darsa ulizungumza mtu asiyokubali maradhi yanatoka kwa mungu wanajiuliza maswali mengi mpaka wanaumwa maradhi ya hofu.
@SylviaOgola5 жыл бұрын
Alhamdulillah, nampenda huyu Imam, ana hekima.
@hajimassawe25925 жыл бұрын
Allah azidi kukupa umri Shekhe wetu
@rukiamohamed844211 жыл бұрын
Masha Allah.. Allah(SWT) akupe umri na akujaze kheri In Shaa Allah
@joharsuleyman82266 жыл бұрын
Rukia Mohamed
@OmanOm-wy5wj9 ай бұрын
Mungu akuzindishiee elimu yenye manufaa uzindi kutuelimisha
@asinakassim15486 жыл бұрын
MASHAA ALLAH ...... YAA MUQALIB alqulubi THABIT gelby ALAA dunik. .. yaaa RABBI RABBAH tusameehewaja wako KATIKA makosa yetu YA SIRI na dhahiri n.a. utuongoze KATIKA nyendo zakukuridhisha...😢😢😢😢na utuepushe n.a. matamanio YA kidunia
@memoonmoon91937 жыл бұрын
Mashaallah sheikh Othman Allah atujaalie tuwe wenye kutubia mazambi yetu, pia aturuzuku pepo ya jannah atukutanishe na kipenzi chetu bwana Mtume wetu(rehma za Allah zimifikie)
@zaharaomani63456 жыл бұрын
Memoon Moon asalamu alleykum
@dab88594 жыл бұрын
🤲
@dismasgasper415810 жыл бұрын
mwenyezi mungu akupe umri inshaalah othman maaalim nguvu na afya pia na familia yako awa jaaalie inshaaaalah
@iddisdanga70415 жыл бұрын
Othman maaliam ww ni dokta wa njoyo za wachamungu
@issaklingsman37273 жыл бұрын
ALLAH akupe mwisho mwema wwe ni mchango kwango allahmdhullilah.
@ffed18762 жыл бұрын
Maa sha Allah kheri nyingi kwako maalim zikufikie fii dunia wal Akhera.
@ayubumwitawandwinikijanamc1755 жыл бұрын
Mashallah shekh Allah akujalie mema katika dunia Hadi ahera
@saudakibanda92394 жыл бұрын
Kwa hivyoo ss Wanawake wa duniani tutakuwa hatuna soko hukoo
@aminajaber96184 жыл бұрын
Shukuran Allah akulipe kheri
@fauswalidauda89586 жыл бұрын
Shekhe othumqni unapatikana wapi kakangu siku moja nikutembelee ukweli mungu akupe umri mlefu mimi uwa nikisikia mawaiza yako uwa nakua nalia
@khadijahhemed89103 жыл бұрын
Mola akujaalie umri mrefu ili upate kuwapa waislamu wenzetu elimu ya manufaa Amin na ndio itakuwa umepata shura kubwa kwa allah mashaallah
@ALIALI-bl4bw2 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIK SHUKRAN KWA MAWAIDHA AMBAYO YAMETUONGEZA IMANI
@fadhilaadam57264 жыл бұрын
YaRabby atujaze iman atujalie kheri Atueke katka mstari na ulionyooka tufayate aliyoyaamrisha ..... Yarabby atujaze Hofu ktk nafsi zetu Juu Yake Ameen
@halimaramadhan20004 ай бұрын
Allah akupe afya njema na umri mrefu sheikh Othman
@eshasaid325811 ай бұрын
Mashaallah jazaka Allah kheri Allah akupe pepo ya firidas ameen lnshaallah❤❤❤❤❤❤❤
@bakariitaso70193 жыл бұрын
ishaalwaa alwa akuzidishie until mrefu wakuwatoa watu gizani kuwaweka njia iliyonyooka alwa ukubariki majazo mema shekh ohtuman maalim
@اختياسية4 жыл бұрын
jazzaq llah khayra sheikh wangu ALLAH akupe nur DUNIA na akhera
@muhammedswaleh88444 жыл бұрын
Masha Allah sheikh wangu Allah atupe mwisho mwematuwe karibu na mtume wetu Mohammad s.a.w
@zaitunisinamenye17994 жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema
@lemugamba70216 жыл бұрын
Alhamdoulillah mungu akupe mwisho mwema
@abuujuma15754 жыл бұрын
Masha allah mungu akulipe maisha mema peponi shehe othman maalim amiiin
@AishaMshabaha Жыл бұрын
Innii yuhibbuka fiillah❤
@zulfaalnabhanzulfaalnabhan86539 жыл бұрын
mashaa ALLAH mungu awajaze kheyr masheikh wetu awape umri mrefu yaraby
@azizafaraji85107 жыл бұрын
Allahuma ameen yaraby
@shamimasalim69126 жыл бұрын
ALLAHUMMA AMYIIN YAA RABBY
@abuujuma15754 жыл бұрын
Abuu bakar Mungu akulipe Kila la lenye kher shehe Othman maalim amiiin
@abuujuma15754 жыл бұрын
Ustadh abuu Tunakuomba Allah umlipe shehe Othman maalim Kwa kher yake
@kuntaalkinte54156 ай бұрын
Ma Shaa Allah unatufunza mazuri Allah akupe shifaa
@fatmaabdulrahman622010 жыл бұрын
mungu akujaze kheri na sote inshallah,mungu awaongoze kizazi na kizazi kinacho kuja
@saidysherukindo67896 жыл бұрын
Ixhaalah
@anifakatabazi36485 жыл бұрын
Jazakallah khaira sheikh wetu unatusaidia katika kukosha nafsi zetu
@NimoJama-iw6tg Жыл бұрын
Think my brother Allah give you blessings of Allah
@nafesamohamed75535 жыл бұрын
MashaAllah jazakAllah kheri sheikh Othman
@hateebtripazze66552 жыл бұрын
Allah aklipe Wema shekh Othaman Maalim
@shaabansoma76614 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe afya bora,shekhe ulie jitoa kwa ajir ya Allah, mwenyezi mungu akuongoze inshallah amin
@rahmamuna59879 жыл бұрын
Aliamdullirah mashallah mwenyezi mungu atujaalie tuwe waja wema a minii
@lemugamba70216 жыл бұрын
Mungu akupe elim zaidi na zaidi alhamdoulillah nimepata faida nyingi kupitia wewe mungu akupe afya njema
@samamussakibwana57034 жыл бұрын
Yarabii tujalie Pope na atupe mwisho mwema. Tunaomba utusamehee ndani ya ramathan hiii
@fuadabubakar5768 жыл бұрын
mashallah shekh othman maalim zidi kutuilimisha
@leodavid57147 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Sheikh Othman maalim All bless you for everything inshallah
@akilimwendajohn33262 жыл бұрын
O
@akilimwendajohn33262 жыл бұрын
O
@tatuta65295 жыл бұрын
Mashaallah mungu akupe mwisho mwema aminnnnn
@saraasantmussa73945 жыл бұрын
Mashallah Allah akujalie heri na afya jema malimu othimam
@OmarAhmed-pb9pw4 жыл бұрын
Allah akupe Afya njema na akulinde
@khamfarali11028 жыл бұрын
nguvu moja wislam 👊
@shadyamohd46513 жыл бұрын
ningekuwa mie tushapigana😄kanitemea mate.
@mallulu90862 жыл бұрын
Swadkta sherk maalium othamn Allah akubarik
@alirashid429112 жыл бұрын
my favour maalim in tanzania
@zawadalismaili23326 жыл бұрын
exactly
@kagameboblee9733 жыл бұрын
jw
@mwanaimaabdallah78255 жыл бұрын
باراك الله فيكم وجزاك الله خير يا شيخ عثمان
@AnamiMoussa7 ай бұрын
Nilikuwa nataka mawaidha ulikuwa unazungumza unasema mtu akifikwa n'a maradhi anasema Namimi nafanya mazowezi naumwa sababu gani sielewi Bada ya mwezi nakwenda kufanya chekingi ya afya yangu.sielewi kwa Nini nimeumwa
@shaabans.marijani96596 жыл бұрын
Mwenyezi mungu amekupe neema zaidi inshaallah
@taabohosain38497 жыл бұрын
Mashallah jazzakallah khayr
@OmanOman-gc1zu5 жыл бұрын
jazzakaAllah kheri Allah akuzidishie kheri in Shaa Allah hasant kwa ukumbusho.. 🙏🏻🌹🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@abdiisaak9278 жыл бұрын
ALAHU BARIK SHEIKH OTHMAN MAALIM
@swabriali45834 жыл бұрын
Mola atujalie tufanye taubatu nasuha
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Mashaalah kuruani imetuliaalla allah awalipe
@XYZHome5 жыл бұрын
i am dreaming 🕋and my great appreciation to Sheikh Othmaan . May Allah preserve you and your family ❤
@fatmaalfalahi8976 Жыл бұрын
P
@munamuna74883 жыл бұрын
Mashallah allha akuzidishie
@saudambinga38324 жыл бұрын
Kisa Cha kujifunza hiki,
@salimmohamed6945 жыл бұрын
Tabarakallah fiq
@habibbinkombo84076 жыл бұрын
Mashaa-Allah
@newlightmoviesproduction35982 жыл бұрын
Mmepotea sana jamani msiseme mjahambiwa njooni kwa christo mshidwe majini nyie!!!.
@mbarackseti463911 жыл бұрын
mswaki wa moyo kwa kawaida huwa ni mawaidha,maana hutoa kutu ya roho
@HalimaKa-u3l8 ай бұрын
❤JazakaAllah khery
@shabanimarijani6625 жыл бұрын
Neema kubwa kwa mawaidha yako
@balkisamisi21312 жыл бұрын
Allahuma sali ala Muhamadin wa ali Muhamad
@MagdalenapMashauli5 ай бұрын
Mashaallah mashaallah ❤
@noureysaheen46234 жыл бұрын
Zingeachiwa video ka hizi tudownload kuliko kuifunga
@shadiahborandi26874 жыл бұрын
Mashallah shukuran yaa sheikh
@hassanbawaziri14988 жыл бұрын
MA sha Allah
@hadijagwandi68406 жыл бұрын
manshaallah
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
Mashalla Allah ❤❤❤
@samsonezekiel92324 жыл бұрын
Shukrani sheikh
@salimmohamed6944 жыл бұрын
Mashaallah
@latifar82858 жыл бұрын
yarab tu jaalia tuwe wenye kutubia madhambI hakika wewe ni mwingi wa rehma
@khadijambuta43606 жыл бұрын
latifa r Allahumma amiyni kwa sote jamii muslimina
@phillisterlaowo26466 жыл бұрын
thanks a lot may Allah Bless you and stay long to help his Ummah .... am changed bcoz of your help, ...
@twaibashabani35986 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@ftimaramadan47484 жыл бұрын
Amiin yarabi
@mohdseif77615 жыл бұрын
ماشاء الله تبارك الله شيخنا الفاضل ابذل جهدا في انتشارك الدين الإسلامي