Mimi nimependa sana hii stori sana imenibariki sana mzungu kaolewa Na Maasai wetu Ni Baraka YA mwenyezi mungu❤❤❤
@MrLojilo10 күн бұрын
Kama kuna jambo la kusema "praise God" basi ni hili.Tazama mtoto wao anavyopendeza; very handsome boy hata nilikuwa nafikiri msimulizi amekosea kusema mtoto wa kiume.Mungu awape maisha marefu zaidi ili vizazi vingi hasaa vya kimasai vijifunze pakubwa kutoka kwao.
@Emmahmuwanga15 күн бұрын
Nampongeza steven kuwa cha siri mwanamke ambaye aliyekuwa na uamuzi ulio nzuri mtu anapopenda amependa si uongozi wala sio ukabila mapenzi haina ukabila tanzania amerika kenya uganda zanzibar mwanamume ni mwanamme bora awe mwaminifu nawe na mapenzi ya dhati mwanamke hupenda mtu yeyote kwa moyo wake wote ninampongeza sana steven
@JollyKimaro15 сағат бұрын
Niunganishe nao
@WemaKibona-m5y17 күн бұрын
Nimeipenda hii story
@halamascat28165 сағат бұрын
Naic❤
@kokusimabuberwa25918 күн бұрын
Uyo mzungu kunakitu anakifukuzia akikamilisha kazi anasepa huyoo nimesha shuhudia wengi sana anasepa na mwanae umuoni tena😂
@captenndunga674518 күн бұрын
Usikariri sio kila mzungu kaja tz kukamilisha kz
@melkizedck18 күн бұрын
Si wote
@SalumSaid-w8i17 күн бұрын
Wivu😂😂😂😂😂😂unasumbuwa
@rashidomar277117 күн бұрын
Ni kweli kabisa hayo ,,huku mitaani kwetu mzungu mwanamke kazaa na kijana wa mitaani kwetu watoto watatu ,kawachukua wote na sasa ni zaidi ya miaka 8 ,hamna mawasiliano yoyote na kijana yupo tu mitaani
@BarreHotel17 күн бұрын
Huo ni ukweli kabixa tuko na jirani wetu alifanya bonge la harusi kisha after 1 year alipata mtoto 1 alisepa mbna
@SamuelWambua-ej9iw18 күн бұрын
I am the first number one like
@siffakuria339815 күн бұрын
IVI NYIE WATANZANIA, MZUNGU MMOJA KAOLEWA TANZANIA MNACHANGANYIKIWA, JE WATANZANIA WANAOOLEWA HUKO KWAO MBONA HAMUONGEI KITU......
@saudakayanda6 күн бұрын
Nimependa sana inafunza kutokudharau kabila
@aymankhadija61916 күн бұрын
Nimeipenda sana hii story imenikumbusha kitu❤❤❤😂
@AnastasiaKilonzi-d3y17 күн бұрын
Vizuri❤
@MalifezaMajidi15 күн бұрын
Mzungu huyu anaswaabu kwamungu.
@musaenocy18 күн бұрын
miaka mitatu nikifuatilia hii channel
@Asiyedjali17 күн бұрын
Upendo haichagui kabila wa rangi
@PendoMarco-x3u18 күн бұрын
Wazungu wapo makini sana hawakurupuki kuchunguza vitu vyao wanaweza vumilia ata miaka 20
@thadeusmarkiminja228218 күн бұрын
Hakuna maajabu kwani Mmasaai sio binadamu?huu ni ushamba mapenzi au kupenda hayana sura ukabila utaifa utajiri wala umaskini.Mmaasai ni mtu bora sana hataki kuacha mila zao.Nyie shangaeni kwanza akili mingi.Wafungueni macho wasiojua kupenda ni nini.Hongera pia japo sio ki vile maana wewe ni mmoja wanaoshangaa kuona Mmasai kaoa mzungu .
@SalumSaid-w8i17 күн бұрын
Sio kill mzungu yupo kazini mapenzi kitu kingine mapenzi yana mbadilisha mtu muelekeo mzungu kakubali mziki wakimasai na yeye sio wakwanza acheni ushamba
@Worldunite16 күн бұрын
Kilamba mchuzi😂😂😂😂😂
@BarakaEnglishMedium12 күн бұрын
Nawatakia Maisha mema.
@mussasaidhamad189117 күн бұрын
anatafiti kitu akimaliza mbiooooo
@JuvenalNiyomungere9 күн бұрын
Sio kila mwanamke anakubali azalishwe kwa michezo
@saudakayanda6 күн бұрын
6:54 6:56 6:57 6:58
@usher_bambi9418 күн бұрын
Kumb story ya white masai znFanana😂😂😂
@HassanSeifali18 күн бұрын
Jichanganyeni wengine ni ma spy wametumwa na serekali zao
@barakapascal-hm2kb18 күн бұрын
😂😂
@Fathasssane-vs2th16 күн бұрын
Sana wanatumwa hao
@esthermutua946810 күн бұрын
Anaspy nini mpaka amezaa na maasai!
@Fathasssane-vs2th10 күн бұрын
@esthermutua9468 wanazaa na kutumwa huwa wanatumwa ili wazidi kutuamiza mtoto anakua na uraia tz
@GijariSimon9 күн бұрын
Hao watu sitaki hata kuwaona tunasahau walituulia wazee wetu na kuwatesa na kuwafanya watumwa ety leo tunawaona wa maana sana tuamkeni kifikra waafrika hao sio watu wazuri jana leo na hata kesho
@dancanonserio977813 күн бұрын
Hii inafanana n mzungu mwingne kutoka Italia na yeye pia aliolewa na Masai wa Kenya sasa . Mwenye anataka kujua zaidi atafute you tube account ya LYN Ngugi atapata ukweli hapo
@lightnessgamasa603917 күн бұрын
Koment nifupi sababu ni wivu TU,hamnachakuongeza juu yampango wa Mungu 🤓🙌🏻
@MakehaNehemiah14 күн бұрын
Awaeleweki hao
@masoudmasoud813817 күн бұрын
Ila uyo mzungu ni jasusi
@AllenSalewa18 күн бұрын
❤❤
@Wicklifu18 күн бұрын
Uko sawa bro, Sasa kitu ambae sijui kuhusu bahari?kuna awa watu ambie ni nusu mtu na nusu samaki? Ebu utuandalelie it kwa udani, zaidi ausio?
@benjo_brighter18 күн бұрын
Story iko poa👍 Na mimi nijipatie sasa mzungu wangu nimpeleke Tarime kwenye kichuri 😅😅
@jacksonmsendo347818 күн бұрын
Mmasai nae mtu jamani😂
@bene28april18 күн бұрын
mmasai mtu haswa, tena original,hata kwenye biblia yumo,wazungu wanalijua hilo
@DicksonMwandandilatbc18 күн бұрын
Nimeipenda sana
@johmangistics850718 күн бұрын
Hello people recognize that love is blind also love is miracle
@ROZITHOMAS-y4q16 күн бұрын
Wazungu wanataka mbegu
@Hassanonesmo16 күн бұрын
Sasa tunao subili dizasta vina atoe nyimbo hapo tujue ukweli tujuane
@masoudmasoud813817 күн бұрын
Bado wako pamoja
@ambokileosward885011 күн бұрын
Huo ndo utafiti wenyewe,,,
@2000-j3i14 күн бұрын
Malaya wakizung
@GressMlima14 күн бұрын
Apo hamna ndoa huyo ni jasusi kunakitu wanatafuta hao wazungu ni hatari xana
@ElizabethNdale-p5e18 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@BakariAthumani-vs8lk16 күн бұрын
Tumieni akili huyo kaja kuchunguz tamaduni za kimasai na kuja na mpango wa kuporomoa tamaduni zenu mzungu mzungu tuuu
@mohdkhatib22314 күн бұрын
Wamependeza na wamemech
@KINGABUMEKAR18 күн бұрын
kishapangiwa kama atakuja kuolewa na mmasaii
@DicksonMwandandilatbc18 күн бұрын
Nimepeda
@ZachariaZacharia-y6v18 күн бұрын
Duuuh
@RechoR2218 күн бұрын
Masai wanawaroga
@SalumSaid-w8i17 күн бұрын
Acha kupenda uchawi utakupeleka pabaya
@mtotowamanka18 күн бұрын
😮😮 broo,uwe makini, sy australia, ni, ustria.
@sixbertrobert386018 күн бұрын
Sio ustria ni Austria, ambayo zamani iliitwa AUSTRIA-HUNGARY
@mtotowamanka18 күн бұрын
@sixbertrobert3860 saf Kaka kwa kunirlbsh
@Mahene-w1l18 күн бұрын
Hawa unakuta ni majasusi Tu
@Sh_Taqee18 күн бұрын
Wajasusi kipi cha Muhimu Tanzania?! Kwahiyo hata Balozi za nchi Dunia zikija Nchini ni ujasusi?! Watanzania wakienda Ulaya wakaoa Wanawake wa huko Ulaya... Huwa Wanafanya Hilo kwa kuwa ni majasusi?! Rekebisha Afya ya Akili yako
@SalumSaid-w8i17 күн бұрын
@@Sh_Taqee😂😂😂washamba waelimishe mbana vitus vya kawaida sana kwenye mapenzi
@yehoshafatisuhuzwa439912 күн бұрын
Wewe una changamoto ya afya ya akili
@HagereyEritrea17 күн бұрын
Leave the Masai alone…. Do not do your social experiment
@YussufMpwani-u1z18 күн бұрын
Kwanini comment zenu zinakuwa fupi sana
@Kingmasai14918 күн бұрын
❤❤❤❤
@Mahene-w1l18 күн бұрын
Hawa unakuta ni majasusi Tu
@kokusimabuberwa25918 күн бұрын
Yes atasepa uyoooo na mwanae😅
@KisakaZdmk17 күн бұрын
Ninaomba mwendelee kupendana nakuheshimiana ili kuilinda heshima ya mjukuu wetu na kuheshimiana kwa upendo mama yake aliokuonyeshs.karibuni Arusha chanzo halisi cha Wamasai.
@kellyngogo331917 күн бұрын
Jasusi hadi leo? Yupo tu! BWANA ASIMAME KATI YENU MUMKUZE MTOTO KWA REHEMA ZA MUNGU